tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post4859631726631912282..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Wanataka nioe "Mtoto" ili asinizeekee!KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-43669941737431074332014-07-18T10:48:41.736+03:002014-07-18T10:48:41.736+03:00mm mke wangu kanizidi mwaka 1 kamili. but haijawah...mm mke wangu kanizidi mwaka 1 kamili. but haijawahi nipa shida hata siku moja. She's very mature na tunapanga mambo vizuri sana na yanaenda. Sijawahi hata kudhani umri utakuja kutupa shida coz umefunikwa na vitu vingi vizuri zaidi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-20408006241721105332014-07-04T06:17:13.641+03:002014-07-04T06:17:13.641+03:00Word Dina. Nilimzidi miaka miwili marehemu mume na...Word Dina. Nilimzidi miaka miwili marehemu mume na uhusiano wetu kwa kweli ulikua mzuri mno na umri haukuwa shida kwake wala kwangu. Moende mwenzako 'age is just a number'Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-32107722990513473852014-07-01T20:26:12.505+03:002014-07-01T20:26:12.505+03:00dinah mi kila siku nakukubali kwa ushauri wako. mi...dinah mi kila siku nakukubali kwa ushauri wako. mi ni mwanaume nina mpenzi wangu anaye nizidi miaka 3 lakini tunapendana. miaka siyo shida, shida ni kujielewaAnonymousnoreply@blogger.com