tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post4633024945358206881..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Nimetambulisha mchumba via simu, sasa hapatikani-UshauriKKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-83457894593088913772009-09-10T16:27:26.509+03:002009-09-10T16:27:26.509+03:00km ni voda aje tutamsaidia kwani hayo matatizo yap...km ni voda aje tutamsaidia kwani hayo matatizo yapo sn tuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-53362385125880435292009-09-08T19:07:07.152+03:002009-09-08T19:07:07.152+03:00Mimi namshauri awasiliane na kitengo cha huduma kw...Mimi namshauri awasiliane na kitengo cha huduma kwa wateja katika kampuni hiyo anayotumia line yao, na wao watamsaidia mara moja hilo walasioni kama tatizo la kukuweka roho juuBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-52919632160746072412009-09-08T14:35:58.948+03:002009-09-08T14:35:58.948+03:00inategemea na mtandao gani yupo, upande wa sms mie...inategemea na mtandao gani yupo, upande wa sms mie namtetea lakini kwenye kupiga simu nakataa mitandao yetu upande wa kupiga simu hamna kikwazo kabisaa na kama ushamwambia abadilishe namba na mpaka leo hajabadilisha basi kuna tatizo huko aliko angalia bwana asije akawa kakutana na binamu zake....!!!! TAFUTA NDUGU YAKO YEYOTE AENDE AKAMTEMBELEE AKIWA NA LAINI MPYA AMKABIDHI TUONEchaoganoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-30803435546214748732009-09-08T10:12:30.757+03:002009-09-08T10:12:30.757+03:00Ni sawa kabisa wayasemayo wadau,kwani hata mimi wa...Ni sawa kabisa wayasemayo wadau,kwani hata mimi wangu yuko hivyo ila simdhanii chochote kwakuwa tunaaminiana.Kitu cha kwanza munatakiwa kuaminiana ili kubolesha mahusiano yenu.kama hamuaminiani mahusiano yenu yatakua ya wasiwasi.Kitu cha kwanza katika mapenzi ni UPENDO Cha Pili ni UAMINIFU na cha Tatu ni MAWASILIANO YA KARIBU Cha nne UVUMILIVU-ni hayo tu ndugu yungu
KWA USHAURI ZAIDI: dasseph@yahoo.com or 520-881-9019Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-59358487028140690512009-09-07T17:09:11.478+03:002009-09-07T17:09:11.478+03:00Wewe hufai kuwa mchumba au mme. Yaani muda mfupi t...Wewe hufai kuwa mchumba au mme. Yaani muda mfupi tu umeanza kusaka ushauri? Utahimili kweli mikiki ya kwenye ndoa! Kuwa mwanamme tafadhali.
Vumilia. Kama unaona hujiwezi bora umwache dada wa watu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-62315839741937197292009-09-06T20:22:20.241+03:002009-09-06T20:22:20.241+03:00Wewe jamaa yangu! pamoja na kwenda shule bado una ...Wewe jamaa yangu! pamoja na kwenda shule bado una utotoutoto tu?

Yaani simu tu ni tatizo wakati ukimtafuta unampata kirahisi.Unapotaka abadili laini huoni ni gharama na yeye yuko likizo kwa muda tu? mbona unashindwa kuwa mvumilivu na kuwa na busara?

Hebu vuta subira kwanza si atakuja huko hivi karibuni?halafu kama na yeye anatembelea hii blog akaona kuwa umejitundika humu kumtafutia ushushushu utaingia matatani akijua kuwa wewe si mtu mvumilivu umejaa mashaka ya kitoto tu.

Mambo ya mahusiano na uchumba yanahitaji uvumilivu mkubwa siyo kila wakati kufikiria kinyume tu.Aidha umeyaparamia ungali bado hujakomaa.Kaa fikiri kwanza acha kuweweseka juu ya mpenzio eti kisa laini ya simu du!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-64868446420056610422009-09-06T13:54:28.301+03:002009-09-06T13:54:28.301+03:00Mimi naungana na msemaji wa kwanza kuwa sioni tati...Mimi naungana na msemaji wa kwanza kuwa sioni tatizo kama unaweza kuwasiliana nae kupitia ndugu zake.Kuwa mvumilivu ndio mambo ya mahusiano na uchumba hayo acha kumhisi mwenzio vibaya.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-62426620034727690392009-09-05T16:13:38.218+03:002009-09-05T16:13:38.218+03:00Hapo naona ni wasiwasi wako tu.
Ukizingatia yuko l...Hapo naona ni wasiwasi wako tu.
Ukizingatia yuko likizo kwa muda mfupi baada ya hapo atarudi huko muwe pamoja. Tatizo la laini yake umesema ni kutopiga wala kupokea message huko ulipo tu. Ukimpigia na mawasiliano na watu wengine huko Tz haina tatizo lolote.
Mie naona anashindwa kuibadili kwa kuhofia usumbufu wa kuisambaza ile mpya kwani ukibadili laini inakubidi tena ufanye kazi ya kuisambaza ili watu wako wayajue mabadiliko hayo. Japo inawezekana kununua laini nyingine ambayo itakuwepo kwa ajili yako tu; Ni wazi kwamba ukimhitaji hutompata kwa muda mwafaka sababu itakuwa mara kaweka laini hii kwa ajili yako mara kaweka laini ile iliyozoeleka Tz. Hapo haitakuwepo tofuti na hiyo ya kutumia laini ya ndugu zake. Unaweza kuvumilia ktk kipindi hicho cha likizo muendelee kuwasiliana hivyo. Pia waweza kumuuliza kwa upole sababu ya kutobadili naamini atakupa sababu zitakazokuridhisha.
Ni hayo tu.
2mJ.Anonymousnoreply@blogger.com