tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post4426995501144174508..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Umri gani sahihi kupishana kati ya Mume na Mke?KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-80448112147412676382014-04-08T15:45:02.172+03:002014-04-08T15:45:02.172+03:00Wanawake mnakimbilia kuolewa au kuzaa mapema mno. ...Wanawake mnakimbilia kuolewa au kuzaa mapema mno. Mnatakiwa kuenjoy maisha na kufanya starehe zote kabla ya kuwa mke au mama. Huwezi kuwa mama na mke alafu uishi maisha kana ya watu ambao wapo single bila majukumu.Outings na hobbies sio muhimu mpaka watoto wajitegemee yaani wawe wamemaliza shule.<br /><br />Ndio maana huwa tunasema maliza ujana wako kabla hujazaa au kuolewa kwani there is no go back untill the kids are at least 21yrs old and leave home then you and your hubby can start outings and add more hobbies in your life and enjoy getting old together. <br /><br />Ushauri wangu ni wewe kumpa support mumeo na kumshawishi kwenda kumuona Daktari ili afanyiwe uchunguzi wa kina kuhusu afya yake kwa ujumla.Jaynoreply@blogger.com