tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post4193464828319539730..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Tekinolojia ndani ya mahusiano yetu ya kimapenzi.KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-53124983296634630742007-09-08T23:32:00.000+03:002007-09-08T23:32:00.000+03:00Ujumbe ni ujumbe tu.Lete vitu dada, maana kama uli...Ujumbe ni ujumbe tu.

Lete vitu dada, maana kama ulivyosema, internet isipoangaliwa kwa macho matatu, inaweza kuleta vurugu na kutokuwepo kwa maelewano kwa wapenzi.

Anano wa juu hapo, ni kweli Dina anawalenga watumiaji wa internet ambao pia hupitia blog yake, maana wasio na internet hii habari haiwahusi. Wao kutakuwa na kitu kingine chenye kuchukua nafasi hiyo, labada TV au soga.

Kuna watu wengine hata kama anaumwa anaweza kuwasha computer kucheki email ila akashindwa kufanya kitu kingine chenye manufaa kwa mpenzi wake. Tena kamtindo haka kapo sana hapa Dar hasa kwa sasa kuwepo kwa mtandao kwenye kila kampuni ya simu na wenye computer zao nao ni wengi kuliko walioko mikoani.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-14293612095258919302007-09-06T14:54:00.000+03:002007-09-06T14:54:00.000+03:00hapo umegusa penyewe,lakini naona unawalenga wasom...hapo umegusa penyewe,lakini naona unawalenga wasomaji wako.kule kilamba nyoka hata umeme hakuna,kazi kweliAnonymousnoreply@blogger.com