tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post4187818105527367518..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Mume ataja jina la binti yetu wakati wa Tendo!-Ni kawaida?KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-4535686614542246332010-01-22T01:41:45.832+03:002010-01-22T01:41:45.832+03:00Judy,
Acha kupandikiza minusi kwe huyo dada.hakun...Judy,

Acha kupandikiza minusi kwe huyo dada.hakuna chochote anachofanya mumewe na mtoto au demu mwingine.

Huyo mtoto anakaa naye siku zote na anamwita jina hilo every time, sasa kwa nini lisiwe ndilo jina liko open kwake hata kulitaja ndotoni?Kwani kutombana ndio sumu tu na mchana kutwa analitaja jina hili na yamkini kuliimbia hata wimbo? wewe dada mwenye kuomba ushauri usiingie sana kwenye uchunguzi huo utakugharimu amini usiamini.Tena utakugharimu pasipo sababu ya msingi.Wewe kaza mwendo endelea na kazi na maisha yenu salama.naamini kutombana hamjaanza sasa je amekuwa akitaja majina mengine zaidi ya jina hilo kwa siku hiyo?Tunza ndoa yako ukiweka mashaka sasa utaanza maruweruwe mengi na kupoteza ndoa soon.Wewe ndiye unayeifahamu tabia ya mumeo, sisi wengine ni wawindaji tu wala tusikukamatie nyani kwenye ndoa yako.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-40091707414112598092010-01-20T21:19:16.359+03:002010-01-20T21:19:16.359+03:00Sioni kwanini watu wanakua so naive, mimi binafsi ...Sioni kwanini watu wanakua so naive, mimi binafsi nilivyokutana kimwili na mume wangu alikuwa anataja jina la EX wake karibu kila siku ilikua inanikera sana sana, lakini baada ya miezi michache aliacha, hii ilitokana na kwasababu walikuwa wapenzi kwa muda mrefu sana na waliachana muda mfupi tu ndio tukaoana sisi. Sasa kwenye tendo mtu akitaja jina la mtu mwingine ni wazi wanashirikiana kwenye tendo la ndoa. Samahani sana Samantha kukuumiza lakini ukweli ni kwamba kuna uwezekana mkubwa kuwa mumeo ana mmolest mwanao au ana kamchezo anafanya nae, wakati wa tendo la ndoa mtu tu huwezi tu ukataja jina la muuza duka, au jirani au mtoto hata kama unaongea nao kila siku, lazima mshirikiane kwenye hisia za sex ndio hilo litokee, wataalamu wanasema kuwa kumbukumbu nyingi za binadamu hujificha kwenye subconcious mind na hata kama hutozikumbuka sasa hivi bado zimerekodiwa kwe ubongo huo, so if i were you Samantha nisingdeal na mume wangu kwanza, ningeanza investigation ya nguvu, mcheki mwanao mara kwa mara, muulize maswali machache ili usimchoshe, rudi nyumbani ghafla wakati mumeo yupo nae, na endelea kumuuliza mwanao tena na tena na tena, utakuja kujua ukweli it takes time though, naomba email yako tuongee zaidi coz nina ndugu yangu who went through the same shit. Kaza moyo mambo yatakua poa tu ila usipuuzie.
-JudyAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-14953892329498059542010-01-20T10:37:21.090+03:002010-01-20T10:37:21.090+03:00Hapo pana utata...sio utani kama watu wanavodhania...Hapo pana utata...sio utani kama watu wanavodhania. hakuna hata siku moja mtu akamtaja jina mtoto wake wawapo majambozini na mekwe...acheni mzaha kwenye hili eneo! We dada uwe makini. KWANZA: Yaelekea mlipopitia vitabuni jamaa akaliona jina la ex-girlfriend wake na akakushawishi kiaina kulikubali hilo jina...ndio inavokuwa almost always(especially kama ilitokea kakuoa wewe wakati bado ana deep feelings kwa ex wake...hayo mambo yapo sana tu!) Ndio maana wenye busara zao huwaachia wake zao wataje majina ya watoto wa kike na waume zao wataje ya watoto wa kiume...ku-avoid vi-issue vya ajabu-ajabu kama hivyo. PILI: Yawezekana jamaa ana kimada chake chenye jina kama la binti yenu. Ila kama ni kweli kamtaja mtoto wenu(na sio ex wake kama ninavodhani mimi) basi HIYO NI KALI YA KARNE! My take.Amos Bwirehttps://www.blogger.com/profile/12509917598507075823noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-76474151866997303792010-01-18T11:17:21.057+03:002010-01-18T11:17:21.057+03:00yaani hapo ametaja jina la mtoto wenu tena ana mia...yaani hapo ametaja jina la mtoto wenu tena ana miaka 3 tuu.unawasiwasi je angetaja jina la nyumba ndogo yake ingekuwaje?acha kuomba ushauri kwa maswala yasiyo na kichwa wala miguu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-86412960011953298792010-01-18T02:26:08.918+03:002010-01-18T02:26:08.918+03:00Mimi mtanisamehe, sio mbaguzi wala nini(racist)- l...Mimi mtanisamehe, sio mbaguzi wala nini(racist)- lakini nataka kuuliza swali kwa alietoa hii hoja. Hivi mumeo ni kutoka nchi gani??? - Asante.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-7169834062413379452010-01-17T19:59:30.768+03:002010-01-17T19:59:30.768+03:00Wee mdada usijizurie balaa tu,je ulitaka ataje jin...Wee mdada usijizurie balaa tu,je ulitaka ataje jina la demu aliyemmega huko nyuma?Tena unasema alitaja jina la "mwanangu" Huyo ni mwanenu!!

Hata mimi nikitombana na mke wangu huwa mambo yanaiva ile mbaya kiasi kwamba mke wangu saa ingine anaweza hata kutaja majina ya shangazi anapokuwa ametaja majina yangu au ya baba fulani.Si unajua jinsi mambo yanavyoshika hatamu kwenye kutombana?labda muwe mnatombana kama waibaji,lakini kama ni mke/mume wee acha tu pana raha sana hapo mkijuliana vitu mnavyopenda katiika kutiana, mbona utaimba hata wimbo wa kanisani!!

Kutaja jina la mwanenu yaani hiyo ni 'Given" kwani ndiye nkila siku mnacheza naye hapo ndani tena kama huku ughaibuni kila siku mko naye kwenye vikapu vyenu hivyo mnavyobebea.Mimi nawaona sana jamaa wanavyohangaika na kubeba watoto na kuachiwa na wake zao kila wakati, kwa nini asimzoee mtoto hata kuweweseka kutaja jina lake?Acha utoto wewe dada.tena kama ni mtembeleaji wa blog hii kama mimi atabaini kuwa ni wewe tu umeleta hilo na kukutilia kashikashi nyingi.Mawazo yako sasa unadhani anatomba mtoto wako?La hasha furahi kwa vile anamuweka mtoto motoni sana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-34717242564840487482010-01-17T08:51:45.539+03:002010-01-17T08:51:45.539+03:00Ama kweli mavituz hayo huwa yanapagawisha kiasi kw...Ama kweli mavituz hayo huwa yanapagawisha kiasi kwamba huwezi hata kujua nini unakiongea.Yaani wakati huo utamu ukiingia hadi kwenye mifupa unaweza kutamka kitu chochote kama vile unaota.Naamini hata mumeo kwa sababu ya kumpa vitu murua siku ya kuvuka mwaka na shampeni ilishawachanginyi mkaingia kwenye usiku wa kutiana bila shaka wewe mama ulijipatia staili za pekee hadi ukamfanya mumeo aone kiza na kutamka chochote ambacho kimetawala kinywani mwake.

Hakuna jambo lolote baya hapo,Hebu fikiria kama angetaja jina la msichana au mwanamke unayemfahamu mwingine yeyote si ungejinyonga?? Kutaja tu jina la mtoto ambaye ni wenu hapo ndani unajaa mashaka bibie?Vipi unaona mumeo kachanganyikiwa nini?au unadhani mumeo anachombeza kwa mtoto wenu?Nakusihi uondoe mawazo yawayo yoyote bali jenga hisia na dhamiri sahihi kuwa ulikuwa usiku wa kufa mtu baada ya kuvuka mwaka mkapeana vitamu vilivyo mpagawisha mumeo hadi katamka jina la mtoto.Hata mimi nikipewa na mke wangu kuna siku mambo yanakuwa mapya na kunoga hasa kiasi kwamba naweza nikatoa ahadi kemkem na kutaja majina yote hata yasiyoeleweka maana hapo hadi nywele zinashangilia utamu huo, sembuse jina la mtoto wenu wenyewe?

Aisee, kubali kwamba ulimpa mavituzi jamaa huyo hatakusahau na labda atapenda siku kama hiyo tarehe 1/1 iwe inajiri kila week.

Nikuulized swali, Je wakai mwingine mnapotombana hakuna vitu au majina mengine anataja au kuguna na kuongea kuashiria kuwa jamaa anapata minofu ya kuma?Nadhani kama mumeishi miaka mitano basi kuna mengine mengi tu ameweweseka nayo unapomkatia kiuno na kumkamatisha vema.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-83785477673727284212010-01-17T01:40:02.712+03:002010-01-17T01:40:02.712+03:00Dada dinah habari ya leo. Asante kwa mchango wako....Dada dinah habari ya leo. Asante kwa mchango wako. Jina la mtoto wangu na lakwangu yani yako tofauti kabisa. Na jina la mtoto watu tulikaa nchini na kuchagua kwenye vitabu vya majina si la ndugu upande wangu au upande wake yani mme wangu.

Samathasamathanoreply@blogger.com