tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post3772310684506043060..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Nimtokee bila taarifa!KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-9786921690946638282014-03-22T13:52:45.262+03:002014-03-22T13:52:45.262+03:00uwe na ubavu wa kuhimili utakacho kikuta maana una...uwe na ubavu wa kuhimili utakacho kikuta maana unaweza zimia.By the way uhusiano bado mchanga sana sidhani kama unahitaji kujihangaisha hivo kwa sasa pengine bado anachambua yupi ni yupi, relax kama wako ni wako kama sio wako sio wako hata kama ushampa utamu.Watu tushachukuaga flight unalipa pounds kibao ili uje ufanye surprise unakuta madudu, ptuuuu mapenzi ya siku hizi kamali ukipatia umepatia na ukikosea umekosea, so be careful usibweteke na neno baby wala nitakuoa hizo ni gia za kupatia k kwasisi men hehehe hio inaitwa mambinu plus<br /><br />lajk@ymail.comlajk@ymail.comnoreply@blogger.com