tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post3717181717731682602..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: SmS imezaa Penzi linalonichanganya-UshauriKKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger35125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-35056273041595456872010-05-20T00:58:57.964+03:002010-05-20T00:58:57.964+03:00Dada pole sana!
Huyo mwanaume hakukupenda ila alik...Dada pole sana!
Huyo mwanaume hakukupenda ila alikuwa anakutamani tu ss keshakuonja na hakutaki tena.Pia ww ni mtu mzima usikubali kusex na mtu kabla hujamchunguza tabia yake coz ahadi za kwenye simu mara nyingi zinakuwa si za kweli na ukizingatia hamjawahi kuonana kabisa kwa sababu kama angekuwa amekupenda ni wazi kuwa angeendelea kuwa na mapenzi ya dhati na ww.Ninachokushauri tulia muombe Mungu atakupa mwanaume ambaye hatouumiza moyo wako tena.happynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-91019428207024322372010-05-15T10:31:43.625+03:002010-05-15T10:31:43.625+03:00Helo Angel mapresha ya nini sister??mapenzi yalian...Helo Angel mapresha ya nini sister??mapenzi yalianza tangia enzi za Adam na Eva kutendwa kupo nakutaendelea kuwepo.Ila naomba nikwambie mshukuru mungu kakuepushia kitu kikubwa sana hata kama ulimvulia chupi potelea mbali,je hao wake zake kama ulivyosema uliona sms zao/zake wangekutoa reception si ungeumia zaidi.Ujue mungu kakuandalia mume mwema zidi kuomba ipo siku utaandika kwenye blog hii kuwa"Nakushukuru dada Dina kwa ushauri wako mungu kanipa ubavu wangu"mwisho najua wewe ni mwalimu umri wako bado mdogo ingawa foolish age ulishapita tumia hata elimu uliyo nayo kung'amua mambo mfuate mchangiaji mmoja amekusema sana tena sana lakini mwishowe kakupa bonge la ushauri kuwa you have to select the man whom you know well not through internet /phones.Kaza buti fundisha hao madogo hivi mmeo wa dhati yupo njiani anakuja na utaifurahia ndoa yako hayo yoooooteeee ni mapito dada yangu!!!!!!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-68481087077437193412010-05-14T12:13:33.933+03:002010-05-14T12:13:33.933+03:00huna haja ya kuendelea kupenda mahala usipopendwa,...huna haja ya kuendelea kupenda mahala usipopendwa,utaishia kufa na presha buree.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-78857649472674834682010-05-13T14:10:23.209+03:002010-05-13T14:10:23.209+03:00ivi inakuaje watu mnapanga future kupitia upepo? m...ivi inakuaje watu mnapanga future kupitia upepo? mie siwezi tongoza dem kwa staili iyo, uyo mchz inaonesha ndo zake izo, package iliuza kuliko contents ndo maana mchz aliboreka baada ya kuufungua, nakushauri kabla hujaumia zaidi fanya uamuzi wa kumwaga...achana na msongo wa mawazo kwamba wanamm wanapenda madem wembamba,kuna maturbo yanachetua mbaya.MiEhttp://michuzijr.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-63733541323751404722010-05-13T12:02:06.573+03:002010-05-13T12:02:06.573+03:00Achana na huyo mwanaume ni taperi na hakupendi.Ali...Achana na huyo mwanaume ni taperi na hakupendi.Alitumia mbinu hiyo akupate, then akutumie tu. piga moyo konde na msahau kabisa, ipo siku wako wa kweli atapatikana. pole sana.

Salaam.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-35087472814142575442010-05-13T10:42:02.091+03:002010-05-13T10:42:02.091+03:00Mpendwa dada yangu kwa ufupi huyo kaka akupendi,kw...Mpendwa dada yangu kwa ufupi huyo kaka akupendi,kwasababu kwanini akataze usisome msg kwenye cm yake,pili ww mwenyewe umesoma msg ukakuta za wasichana tofauti2,uoni kama huyo kaka si muaminifu?ushauru mm naona achana nae atakusumbua akili yako ushindwe kufanya kazi zako vizuri na kwa ufanisi,muombe mungu akupe wa kupendana nae.kwa kuwa asilimia kubwa ya vijana cku hizi si wa kweli wengi wamekuwa matesta wa mapenzi,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-34710025837994299622010-05-12T23:11:39.232+03:002010-05-12T23:11:39.232+03:00mimi naona huyo mwanaume hakupendi kwani akufukuza...mimi naona huyo mwanaume hakupendi kwani akufukuzae akuambii toka wewe bado mdogo sana usjipatie mapresha kwa mtu asiyekujali tulia umtoe mawazoni kisha uombe mungu akupatie wako wamilele bado ujachelewa kabisa take care manAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-22297141048873009752010-05-12T23:05:35.403+03:002010-05-12T23:05:35.403+03:00mimi naona mdogo wangu wala usijipati mapresha bur...mimi naona mdogo wangu wala usijipati mapresha bure na wewe bado mdogo huyo mwaume hakupendi anashidwa tu kukuambia kwani akufukuzae akuambii toka bado ujachelewa utapata tu wako wakukupenda bado mdogo take careAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-12268801478954470832010-05-12T20:54:08.001+03:002010-05-12T20:54:08.001+03:00hapo mbona majibu unayo wewe mwenyewe.Labda mimi n...hapo mbona majibu unayo wewe mwenyewe.Labda mimi nikukumbushe tu hayo majibu: 1. Nikuwa huyo jamaa hana mpango na wewe ila alitaka tu akuvue chupi na aweze kulinganisha Kuma yako na za hao wasichana wengine ambao uliona sms zao, au ubize aliokuwa nao katika simu yake akichat nao. 2. Wewe lengo lako akuoe, yeye lengo lake akutombe tu akuache. 3.Unajua mwanaume akishamtomba mwanamke na kumkojolea shahawa zake basi anamwona huyo mwanamke hana maana, hivyo kwa kuwa wewe ulimvulia chupi, tena hakutumia hata condom, yaani alipima vema Kuma yako, na pengine ndo imejaa maji yaani inakinaisha hata wakati wa kutomba.Wewe si umesema "MNENE KWA UMBO" ni dhahiri una maji mengi ndo maana kakumwaga au huna mvuto. 5. wewe tulia tu hapo shule fundisha ipo siku utampata wa kukuoa dada yangu ila tu nakuomba usifanye tena kosa la kumvulia mwanaume chupi hadi mkapime au tumia kondom, au hadi uone mipango ya ndoa imekamilika. Ninayo mengi ya kukushauri na ujanja wa kutumia kuwapima wanaume ambao kweli wanania ya kuoa au laa, kama hutojali basi unaweza kunikontact kwa e-mail hii: na kisha tukaongea mengi zaidi. Pole sana mdogo wangu, bado ninaimani utampata tu mkweli wa kukuoa, ila huyo achana nae kabisaaaaa! KAZI NJEMA!samahani kama nitakuwa nimekukwaza kwa maneno makali yasiyo na tafsida lakini nilikuwa naelezea hisia zangu, maana hawa wanaume kwa kweli wanatuumiza sana sisi wanawake! am sorry dear.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-91731569005061997542010-05-12T18:25:19.741+03:002010-05-12T18:25:19.741+03:00Mmhhhhhhh Binti wewe!!!
Umeumizwa na kugalagazwa ...Mmhhhhhhh Binti wewe!!!

Umeumizwa na kugalagazwa kwa sababu ya wema wako wa kumrudishia credit jamaa aliyoituma kwako kwa makosa!!

Wema wako umekufanya umekufanya uwe mtumwa wa mapenzi na mtu ulimtendea wema!!

Wema wako na uaminifu wako umekuingiza kwenye mapenzi yasiyo salama.

Uaminifu na wema wako umekukimbiza hadi kumfuata jamaa kule Musoma pasipo kujali usalama wako?

Wema wako ulio adhimu sana miaka hii katika jamii ya sasa unataka kukuingiza kwenye mkenge wa kuambukizwa virusi?Je ulipofika Musoma kweli ulipima kabla hamjaingizana kwenye majamboz na jamaa huyo?Naamini mlifakamiana bila hata kujijali maana ulijipeleka mikononi mwa simba aliyejeruhiwa angekuachaje kukurarua pasopo huruma na uko kwenye kiota chake?Mwenyewe umesimulia kuwa siku mbili ulipofika mambo yalikuwa murua!!! Siku ya tatu uchungu ulianza kuota makeke na ncha kali za misumali.

Uaminifu na wema umeanza kukuliza machozi na kukukosesha raha na hata kuwakosesha wanafunzi wako haki yao kufundishwa kwa umakini na wewe.Jamani binti nakuonea huruma kuwa umechimba shimo ambalo unajitumbukiza mwenyewe.

Kwa upendo na huruma nakushauri usiendelee na mapenzi bubu kama hayo.Umeliwa uroda inatosha kwani ukiendelea naye utanyofolewa jicho ns kukufsnys kipofu kabisa.

nakutakia kila la heri na mwamini Mungu katika maisha yako,msiba wa mapenzi bubu ni mkubwa mno hivyo be careful usipatane na mtu kwenye mitandao na kumfuata mbali kabla hujamjua kwa ukaribu na mahali palipo salama.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-81348201040070788062010-05-12T18:14:55.181+03:002010-05-12T18:14:55.181+03:00HAKUPENDI HUYO,HEBU ACHA UJINGA,SHIKILIA KAZI YAKO...HAKUPENDI HUYO,HEBU ACHA UJINGA,SHIKILIA KAZI YAKO. NA USHUKURU KUJUA TABIA YAKE MAPEMA,UTAMPATA MWINGINE MWENYE MAPENZI YA KWELI,HUYO NI MBABAISHAJI.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-66940643046358237052010-05-12T16:55:16.127+03:002010-05-12T16:55:16.127+03:00dada pole sana. kwa ushauri wangu naomba uanze mai...dada pole sana. kwa ushauri wangu naomba uanze maisha mengine huyo kaka umtoe moyoni mwako,sina hakika kama umri wako unakurusu kucheza na wakati.inaonesha wazi huyo kaka hana mpango na wewe kuna kitu alikuwa anataka toka kwako na ameshakipata.so....!we jaribu kucheki mtu mwingine atakae kupenda...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-24739581198916973162010-05-12T14:32:19.921+03:002010-05-12T14:32:19.921+03:00Madam Angel...! ukwl ni kwamba, huyo kaka hakuwa a...Madam Angel...! ukwl ni kwamba, huyo kaka hakuwa anakupenda hata chembe, yani ni tamaa zake tu ndo zilikuwa zinamfanya akawa anawasiliana na ww sana kabla hamjaonana live, na alipokuona tu basi hakuvutiwa na ww na ndio maana ameamua kukuonyesha kuwa hakutaki, sasa sikia ww ni mwl embu weka hisia zako za kike pembeni na kaza roho msahau na mfute kabisa ktk maisha yako.
Najua ni vigumu lakn embu jitahidi mpendwa manake kunakoelekea ni kubaya zaidi, atakuumiza sana, dalili ya mvua ni mawingu,
my dear watch...! huyo jamaa sio yani,, atakuumiza sana Teacher.Gisehttps://www.blogger.com/profile/09002344634844507460noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-75917638784778208702010-05-12T14:17:26.472+03:002010-05-12T14:17:26.472+03:00My dia Angel wewe bado mdogo sana ua only 23 u can...My dia Angel wewe bado mdogo sana ua only 23 u can still find someone who will cherish u! Wanawake tumekuwa na tabia moja siku zote tunatafuta excuse ya yale mabaya ambayo wanaume tunaowapenda wanatufanyia. Ushauri wangu get out of dat relationship mwanaume au hata mwanamke akisema kuwa tuache kuwasiliana kwa muda then ntakutafuta he wants out (meaning hapo alikuwa anakwambia he wants his space)inawezekana kuwa huyo hajaridhishwa with de way u luk en wateva bt dat shudnt bring u down am sure there is a guy out there ambaye will cherish en luv u kwa jinsi ulivyo. So i suggest u moveon en worry not u wil get thru dis wit tym!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-26743246098391064902010-05-12T12:37:37.811+03:002010-05-12T12:37:37.811+03:00DADA USHAURI WANGU NI KWAMBA HUYO HAKUPENDI. INAON...DADA USHAURI WANGU NI KWAMBA HUYO HAKUPENDI. INAONEKANA ALIIPENDA SAUTI YAKO NYORORO KWENYE CM AKADHANIA NI BONGE LA MREMBO FLANI HIVI. ALIVYOKUONA IKAWA TOFAUTI NA ALIVYOTARAJIA. NAKUSHAURI MFUTE KICHWANI MWAKO KABISA HUKU UKIMUOMBA MUNGU AKULETEE MCHUMBA KUTOKA KWAKE. PIA SIKILIZA NYIMBO NZURI ZA KUKUPA MATUMAINA KAMA WA MSANII CHAMILION-NK.Paul Akwilinihttps://www.blogger.com/profile/12054975286150840333noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-27478555791976427162010-05-12T11:46:55.462+03:002010-05-12T11:46:55.462+03:00Huyo kaka hana mapenzi na wewe, hakutaki, jikaze u...Huyo kaka hana mapenzi na wewe, hakutaki, jikaze uendeleee na maisha yako.....akufukuzae hakwambii toka!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-70249247350334002832010-05-12T11:40:15.927+03:002010-05-12T11:40:15.927+03:00Dada, mimi sitaki kukuumiza zaidi, lakini mbona na...Dada, mimi sitaki kukuumiza zaidi, lakini mbona naona kama umeshajionea vyakutosha. Wewe ukiona dalili za mvua kimbia ukachukue mwavuli maana itamwagika tu. Yaani hana hata ustarabu anakwambia wazi wazi mkate mawasiliano, atakutafuta (yaani inaama akiwa tayari kuona kama bado anakupenda au bado unafaa....ni yeye ataamua kukutafuta?) Hebu jiulize yaani anajali hisia/feelings zako huyo jamani?. Mimi naona wala usiumie, utapata wako tu na ni Mungu atakupa, wala usisononeke maana hawa wa aina hiyo ndio hao hao hata kama mkikamilisha ahadi zenu mkaona mambo yatakuwa mabaya zaidi - dada usije ukafa na gonjwa ukijiona - huyo jamaa bado anataka kusample huku na huko - kimbia!!.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-64648786333325606052010-05-12T11:18:29.666+03:002010-05-12T11:18:29.666+03:00pointi ya msingi ni kwamba mlifanya uchaguzi pasi ...pointi ya msingi ni kwamba mlifanya uchaguzi pasi na kuelewa upeande wa pili ukoje sasa basi kitu kilichotokea ni kuwa nduguyo ni mgonjwa wa kuchat na sasa yuko kwenye hit point ya kuchat na mtumwingine huo ndio ukweli hivyo kwasa huna chako hapo. na kwa upande wa mapenzi ni kuwa kiukweli kabisa wewe sio aina ya mwanamke anayo ipenda na ndio maana ukaona yote yaliyo tokea aombi msamaha na aoni kama anakosea hii inamaanisha kwamba hata akikukosa hapotezi.SOCIALWORKERTZhttps://www.blogger.com/profile/18068907425334959398noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-71155629212173366222010-05-12T11:13:28.432+03:002010-05-12T11:13:28.432+03:00pole sana dada kwa yalokukuta the same story happe...pole sana dada kwa yalokukuta the same story happen to me few years ago unajua mmnapokuwa na mawasiliano bila ya kumit unajenga picha ya uyo mtu so mnapokutana na kugundua ni tofauti na vile ulivyofikiria unapoteza muelekeo uyo mwanmme alipokuona na kukuta upo tofauti na alivyokuwa anafikiria alipoteza upendo wake wa kujidai kwako dada think aanza kukubali kuwa he is not that into you na anza kufocus your future apo hapana tena uhusiano kama mlisex think kapime na ucomfarm afya yako epuka mapenzi ya simu or internetAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-88841923225334719402010-05-12T11:11:23.261+03:002010-05-12T11:11:23.261+03:00Pole sana mdogo wangu kwa hilo lililokupata, naele...Pole sana mdogo wangu kwa hilo lililokupata, naelewa unavyojisikia, kwani hata mimi nimekutwa na janga kama hilo, hivi nipo kwenye process za kupona majeraha ya moyo kwani nimeona ni bora tu niachane nae na niumie kwa muda kuliko kuendelea kung'ang'ania maumivu ambayo hujui mwisho wake lini.

Wanaume wa dunia ya leo wengi ni waongo, wahuni, hawana huruma kwa sisi wanawake, wanatutumia na kutuumiza kupita maelezo bila kujali.

Nakushauri achana nae usisubiri akutamkie wanaume huwa hawasema kwa maneno bali kwa vitendo, hayo anayokufanyia maana yake ndo hiyo kwamba hakuhitaji tena. Najua sio rahisi kuachana na mtu ambae wewe bado unampenda hata kama ameshakuonyesha kwamba yeye hakuhitaji, na ndo hasa hicho ambacho huwa kinatutesa wanawake wengi kwani hatuko rahisi kuachilia kwa ajili ya upendo

Ukiendelea kusema umfatilie au uvumilie Nakuhakikishia litakalo kuja kukukuta utatamani utafute sumu ufe.

Nakutakia kila la kheri na Jitegemeze kwa Mungu atakupa AMANI NA FURAHA na zaidi atakuletea yule alie muandaa kwa ajili yakoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-56054339558041950732010-05-12T11:10:06.646+03:002010-05-12T11:10:06.646+03:00dad huyo kaka hana mapenzi na wewe nikwambie ukwel...dad huyo kaka hana mapenzi na wewe nikwambie ukweli, inawezekana mwanzo alikua akikupenda lkn baada ya kukuona nadhani type anayoitaka sivyo ulivyo dada yangu, hata mimi ilitokea kuna kaka alikuja kazin kwangu long time then tukabadilishana namba, though sikua makini sana kwani hata sura sikuishika, after kama 7 months tukawa tukichat then akaniomba tuwe wapenzi, sikuwa na hiyana lkn siku tulipokutana kweli sikumpenda kabisa yaani sikufeel chochote juu yake lakini ilibidi nimwambie ukweli kuwa sijampenda, alinielewa japo aliumia sana kwani yeye alikuwa kanipenda toka moyoni, sasa huyo jamaa yako anakosea ni bora angekwambia tu mapema kuliko kukuficha. take it easy najua mapenzi yanaumiza sana lkn inabidi ukubaliane na ukweli. pole sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-80552095818530359862010-05-12T11:03:22.759+03:002010-05-12T11:03:22.759+03:00Jamani mdogo wangu sijui ni kuambie nini kuhusu ha...Jamani mdogo wangu sijui ni kuambie nini kuhusu hawa wanaume ndotiketi hiyo jamani.japo moyo haukubali piga moyo konde mdogo wangu najua maumivu yake yameshanikuta mimi miezi miwili sasa nilishindwa kula nikashindwa kulala mpaka nyumbani kwao nilikwisha tambulishwaa.ama hakika mwanaume ni rafiki yako kwenye shuka tuu.kwahiyo angalia ustarabu mwingine utakufa kwa preshaa wkt mwenzie anakulaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-20564481457144794912010-05-12T08:50:56.716+03:002010-05-12T08:50:56.716+03:00Mimi naona huyo mwanaume hana mapenzi ya dhati kwa...Mimi naona huyo mwanaume hana mapenzi ya dhati kwako,nadhani baada ya wewe kwenda huko musoma kumfuata ametimiza mahitaji yake yakufanya mapenzi na wewe kisha anataka kuingia mitini,jambo la msingi ukae ukijua kuwa huyo kaka hana tena mapenzi na wewe,pia kama umeshaona yuko bize na wanawake wengine ni wazi kuwa huyo kaka ni play boy,nakushauri uachane nae mapema acje kukua kwa ukimwi..MOMAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-68214170313676684082010-05-12T08:50:56.717+03:002010-05-12T08:50:56.717+03:00Wewe naona bado una mambo ya teenage. Huyo ni play...Wewe naona bado una mambo ya teenage. Huyo ni playboy flani, na huo ndio mchezo wake. Kwa taarifa yako tu ni kuwa keshawanasa wengi tu kwa mtindo huo, na anaendelea nao. Ni fataki mwenye ubunifu wa hali ya juu. Na kama hukutumia condom siku hiyo, wahi haraka kapime ngoma, zingatia ushauri utakaopata na ujiepushe kabisa na mitego hiyo. Umejifunza, usirudie tena mdogo wangu.Barafuhttps://www.blogger.com/profile/17763594286064639188noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-7853096302996018372010-05-12T08:38:54.645+03:002010-05-12T08:38:54.645+03:00achana nae mpuuzi huyo asiyejua thamani ya mnwanam...achana nae mpuuzi huyo asiyejua thamani ya mnwanamke utapata mwingineAnonymousnoreply@blogger.com