tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post3679675653095911235..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Baada ya Ultrasound na kujua umri wa mimba Mpenzi kaikataa!KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger17125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-86718714743037949222010-09-16T15:57:47.630+03:002010-09-16T15:57:47.630+03:00Pole sana, usiseme uko mpweke, wewe si ni mjamzito...Pole sana, usiseme uko mpweke, wewe si ni mjamzito ongea na mtoto wako japo angali tumboni, muimbie nyimbo, ongea naye maneo mazuri ili tabia ya baba yake isimuathiri kisaikolojia. Kitu kingine naomba ujiandae kisaikolojia, manake inonekana huyo mwanaume ameshaoona huna jinsi namna nyingine ya kuishi bila yeye ndio maana anakuumiza, nakutia moyo hutaumia tena, na hata kama unajua bila huyo mtu hutaweza kumudu maisha, muombe Mungu, atakapozaliwa mtoto akupatia njia nzuri ya kumlea. Wanaume sio watu nakwambia mdogo wangu, kama wana laana vile, na hii dunia ipo kwa sababu tu ya wanawake, wanaume wamekuwa chanzo cha machozi ya kila siku kwa wanawake, haki ya nani ipo siku watajuta. Mungu akutie nguvu mdogo wangu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-16704236582387689492010-09-04T21:49:50.694+03:002010-09-04T21:49:50.694+03:00mie naboreka sana na tabia za wanaume wa bongo wan...mie naboreka sana na tabia za wanaume wa bongo wanavitafuta visababu visivyo na msingi kukimbia mimba kaa, Mie sikulaumu hasira wkani ujauzito unabadilisha mtu vibaya mno anayetakwia kukusupport ni huyo mwenzako. Na kingine hizi utra sound huko hamani mjue zinavyofanya kazi na mahesabu unavyosema madaktari wamesema ni kweli kabisa watu wanakosea kuhesabu. Sasa anachosema mtoto sio wake anamaana gani? mie nashidnwaga kuelewa kabisa hapohapo ameshapata kimada nje tayari for short periso mliyotengana hapo anauzuri gani? mume wa hivyo mie walaa nisingeumzia kichwa lea mwanako MUngu atakusaida akituliza kichwa na kumwa mtu mzima atarudi na usimfungulie miguu bila kujua kama mpo salama ndio mnamalizana na magonjwa tu !Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-73020350728360477492010-09-03T15:07:44.603+03:002010-09-03T15:07:44.603+03:00jamani....hii habari inasikitisha kwakweli ushauri...jamani....hii habari inasikitisha kwakweli ushauri wangu kama atajirudi msamehe fanya hivyo kwa ajili ya mtoto wako.kwani mtoto wako ataitaji kupata malezi ya pande zote na itamsaidia kumjengea msingi bora wa maisha...jua kusahau na kusamehe Mwenyezi Mungu ni mwema atakusaidia...ni hayo tuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-63125589430762181602010-09-03T10:18:22.413+03:002010-09-03T10:18:22.413+03:00My Dear,nina umri kama wako na nimeshawahi kupata ...My Dear,nina umri kama wako na nimeshawahi kupata tatizo kama lako but wakati mwingine mwanaume si mtu wa kueleweka wako kama upepo leo unavuma kesho hakuna mvumo.Nakushauri mpigie mungiu goti hakuna amblo linashindiokana katika dunia MUNGU ni mwaminifu anajibu na atajibu imani yako iweke mbele god is thre na huyo mwanaume achana na e kwani anaonekana haeleweki,TUNZA MIMBA YAKO MTOTOT AKIZALIWA MUNZE THEN UTAMWONA ATAHAHAAnnahttp://Mbeyanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-90100735401248541692010-09-02T16:27:45.077+03:002010-09-02T16:27:45.077+03:00Pole sana dada mungu yupo upande wako atakusaidiat...Pole sana dada mungu yupo upande wako atakusaidiatu huyo anataka kukwepa majukumuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-85777081520095271682010-09-02T16:10:12.092+03:002010-09-02T16:10:12.092+03:00mwache aje amwone mtoto wake bestmwache aje amwone mtoto wake bestAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-32255953062512449332010-09-02T14:49:27.327+03:002010-09-02T14:49:27.327+03:00msamehe bure huyo mtoto ni wake na ni wa kiume,bad...msamehe bure huyo mtoto ni wake na ni wa kiume,bado anaogopa majukumu lakini baadaye atakuwa sawa, wote tumepitia huko-msowetoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-14636002349940973882010-09-02T12:24:44.648+03:002010-09-02T12:24:44.648+03:00Pole sana mdogo wangu. Mimi ni mama mwenye watoto ...Pole sana mdogo wangu. Mimi ni mama mwenye watoto 3 sasa. Na kabla ya hapo nilipata mtihani kama huo, nilipata mimba ya mtoto wa kwanza na baba watoto wangu, na tulikuwa tunaelewana vizuri tu. Na nisipo muona nilikuwa sina raha kabisa. Nilijifungua mtoto wa kike. Baada ya mwaka nilijikuta nina mimba nyingine, hapo ndio matatizo yalipotokea. Kwanza nilikuwa sipende kumuona kabisa, pili nikimuona nakuwa na hasira mno. Na yeye aka-take advantage hiyo akaondoka kabisa. Kuja kupeleleza nikasikia kuwa alikuwa na mawasiliano na mwanamke mwingine. Hakujali mimba wala nini. hata matumizi alikuwa haleti. Mpaka siku ya kwenda kujifungua ndio nae alitokea. Na alinisaidia kunipeleka hospitalini tu. Lakini cha ajabu kaniacha hapo hata pesa za matibabu hakutoa. Ila nashukuru Mungu nilikuwa nafanya kazi, nililipa hiyo pesa na kurudi home. Niliishi kwa shida sana na watoto wangu lakini Mungu Mkubwa. Siwezi kukwambia mengi. Ndio maana nakwambia usikate tamaa. Mimba zinasababisha mambo mengi sana. Hasa ukipa mimba kabla ya ndoa. Kwani wanaume hawajui mimba ina mambo mengi. Kwa vile hawajafundishwa hayo. Ndio maana siku hizi wanafanyiwa(Bed-Party).

(Hicho kitu nakijutua sana ktka maisha yangu, sina budi kuwafundisha watoto wangu, wasije kurudia hilo kosa.)

Lakini sasa ndio niko nae na tuna watoto watatu. Kwa vile sikupenda kuzaa huku na kule. Ndoa ni uvumilivu tu. Nimekupa hiyo stori kwa ufupi ili ujifunze kitu hapo. Kwamba wewe sio wakwanza, na usikate tamaa kama Mungu kaandika kuwa huyo ndie mme wako, atakuwa wako tu, hata iweje.

Mawazo yangu mimi ni kwamba wewe omba Mungu ujifungue salama tu. Kwani kila kitu ni Mungu ndiye anapanda. Ila usiwe na hasira ya kumlani kwani kumbuka kuwa bado una kiumbe chake tumboni. Na mtoto huyu uliyenae tumboni anaona kila kitu kinachoendelea. na kujifunza kitu kwenu. Ukikasirika sana utamuathiri huyo mtoto tumboni. Wewe sali muombe Mungu tu. Na kwenye sala zako umuombee na yeye pia. Kwani ukimlaani utalaani na kizazi chako chote. Kama Mungu amepanga binadamu hawezi kuzuia. (Ni mapito tu) Ni mitihani tu ya maisha, ndio maana ya maisha. Tukiwa wadogo haya hatuyajui, sasa ndio tunajua maisha ni nini. USIKATE TAMAA na wala usiongope. MUNGU NI MWEMA.

Pole kwa kuandika msg ndefu, na kukuchosha kusoma, ila ni kutaka kukupa mwanga fulani, ktka maisha mdogo wangu.

Ni mimi mama TAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-21336360410340316652010-09-02T05:31:37.987+03:002010-09-02T05:31:37.987+03:00dada pole sana kwahayo yote kwani siwewe pekeyako ...dada pole sana kwahayo yote kwani siwewe pekeyako wako wengi mabo kama hayo yametokea maranyingi saana ,
kitu ninacho kushawishi nikuwa kama wataka jenga ndowa yako kwaza mukaee muongee muelewane vizuri ,then muende kwa daktari mukapime D.N.A a prove kwani mambo sikuhizi ni kizungu dada kama ni mtoto niwake mwambiye akulipe kwanzia mwezi alipohama nyumbani, akikubali zote hizo basi muregeeyane mimi yangu nihayo nakushawishi dada pole saana ,
GOOD LUCK FOR YOU MARRIGE, TRAYING D.N.A DADA USIOGOPE KAMA UNAVOJUWA MTOTO NIWAKE ITAKUJA APROF ,
MOMBASA KENYA .Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-69492348383262420262010-08-31T14:35:12.340+03:002010-08-31T14:35:12.340+03:00Sasa bibi hasira hazijengi zinabomoa.kwanza baada ...Sasa bibi hasira hazijengi zinabomoa.kwanza baada ya kuwa mjamzito, ulipoona unamchukia ungejikaza na kujizuia, kwa njia maja ama nyingine japo ni ngumu,kumbuka kesho na keshokutwa mtoto akikwambia baba utamjibu nini. kama unamuoana anamsimamo masamehe, jifanye hamnazo kichwani, flash anza upya. Ni kwa faida yako, unajua kipindi cha ujauzito kinabadilisha tabia kupita kiasi, unaweza ukawa na tabia mbaya mno au kama mtoto, au ukawa normol tuu,Mimi nilikuwa namtukana baba wa watu, halafu baadae najilaumu, mpaka nikaona hapa nisipobadilika nitaachwa kwenye mataa nilijitahidi nikabadilika na nilimuomba msaamaha nilijizuia mno, ukitaka ndoa kama ndiyo umebeba mimba kabla ya ndoa unyekee mwanamme, hatukanwi.Kuusu kukosea tarehe hilo ni tatizo lakawaida kwa watu wengi huwa wanakosea, ndiyo maana ukienda klinic ukiwaambia tarehe ya kubeba mimba wanakupa kitu kinaitwa makisio. Sasa unaweza pitisha makisio au ukajifungua tarehe ile ile uliopewa au mtoto kuwahi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-63647835525198555812010-08-31T13:44:39.625+03:002010-08-31T13:44:39.625+03:00msamehe tuu dada dinah kama akirudi na kutubu. naa...msamehe tuu dada dinah kama akirudi na kutubu. naamini anafanya hivyo kwa kutokujua ukweli. atakapojua ukweli na akitaka kurudi mpokeenohttps://www.blogger.com/profile/07225042276770480131noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-16536363049744252392010-08-31T12:21:13.291+03:002010-08-31T12:21:13.291+03:00Pole sana dada!! najua ni kwa jinsi gani ujauzito ...Pole sana dada!! najua ni kwa jinsi gani ujauzito unachosha!! coz naona kwa wengine. angetakiwa kujua kuwa unapokuwa mjamzito lazima hali itabadilika kwa kiasi fulani n aunaweza hata kuchukia kumuona aliyekupa mimba unakuwa una hasira mara zote. Ninavyo ona mimi huyo jamaa kwanza ni mjinga sana na pili wala hakujali!! na inonyesha kuwa hakuamini kwani kama ni mpenzi wake hawezi kusema kuwa eti ana subiri mpaka aone sura ndio a jue huo ni upuuzi shame on him!! kama akitoka kafanana na shangazi au mtu mwingine toka kwenye familia yako atajuaje!! bore hata angesema mkapime DNA lakini anasubiri aone sura!! huyo hana mapenzi ya kweli dada yangu kwangu mimi huo ndio mtazamo wangu japo unaweza ukatofautian na wengine pole dada kuwa mvumilivu katita dakika hizi za mwisho umejitahidi sana kuilea.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-82810521089373747242010-08-31T12:20:40.463+03:002010-08-31T12:20:40.463+03:00Kwanza kabisa nakupa pole kwa yaliyokukuta na pia ...Kwanza kabisa nakupa pole kwa yaliyokukuta na pia nakupongeza kwakuweza kustahimili hadi hapo ulipofikia ww ni mwanamke shujaa.ninachokushauri mm kama mwanamke mwenzio usiweke hasira juu yake kwani huyo ni baba mtoto wako tu na ukumbuke kuwa mtoto anahitaji malezi ya wazazi wote wawili.msamehe bure ili hata mtoto asiwe na kinyongo kwa mzazi wake.ila umweleze ukweli wa jinsi ulivyopata shida kulea mimba na hata mtoto na umwambie kuwa hutohitaji kuona makosa yakijirudia.msamehe na mjenge familia yenu.mm mwenzio nilibeba mimba na muhusika akaikubali lkn hakutaka kunihudumia hadi sasa namlea mwanangu mwenyewe na hamjui baba yake hadi leo,ana 3 yrs sasa.pamoja na yote aliyonitendea nilishamsamehe ingawa siko nae tena.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-8817632823569455982010-08-31T12:06:39.959+03:002010-08-31T12:06:39.959+03:00inawezekana ana hali ngumu hivyo kuogopa majukumu,...inawezekana ana hali ngumu hivyo kuogopa majukumu, na ww pia inawezekana una hasira kutokana na hali uliyonayo, tafuteni msaada wa kimawazo kwa wazazi kama mnapenda muoane au kila mtu ajue msimamo na kuhusu malezi ya mtoto.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-89258937656944515172010-08-31T12:06:10.148+03:002010-08-31T12:06:10.148+03:00inawezekana ana hali ngumu hivyo kuogopa majukumu,...inawezekana ana hali ngumu hivyo kuogopa majukumu, na ww pia inawezekana una hasira kutokana na hali uliyonayo, tafuteni msaada wa kimawazo kwa wazazi kama mnapenda muoane au kila mtu ajue msimamo na kuhusu malezi ya mtoto.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-76468432453285157042010-08-31T11:05:52.240+03:002010-08-31T11:05:52.240+03:00Sasa hivyo unavyomchukia mtoto atatoka kopiraiti b...Sasa hivyo unavyomchukia mtoto atatoka kopiraiti baba yake yani wala hatauliza jinsi watakavyofanana muombe mungu ujifungue salama.msamehe tuu mlee mtotoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-10404271203276326202010-08-31T10:08:37.405+03:002010-08-31T10:08:37.405+03:00Pole sana dada kwa yaliyokukuta kutokana na maelez...Pole sana dada kwa yaliyokukuta kutokana na maelezo yako inaonekana huyu mwanaume anakupenda.Tatizo limekuja kwenye umri wa mimba na inaonekana pia hamuaminiani na kwa kuwa hamjaoana na ianaelekea vilevile yeye anafahamu tabia yako ama mahusiano yako na wanaume wengi hivyo anaogopa kujikuta analelea mtoto wa mwanaume mwenzie.Ni wewe ndiye unayejua undani wa haya yote hivyo kabla ya kumuhukumu angalia mazingira yaliyopelekea mpaka mkaamua kwenda kupima umri wa mimba maana inaelekea kuna jambo lililopelekea mkaamua kwenda kupima.Kiukweli anayejua baba wa mtoto ni mama lakini kwa mwanaume inakuwa ni vigumu kuamini endapo mwanamke alikuwa na mahusiano na watu wengine ama anahisi tu maana inakuwa kama mpira wa kona mtaruka wengi lakini atakayepiga kichwa ni mmoja na ili ajijue ni mpaka mpira utue kichwani mwake.Kwa hiyo anapokuambia anasubiri mtoto azaliwe anamaanisha kuwa anataka apate uhakika kama mtoto ni wake au la kwa hiyo usimlaumu wa kujilaumu ni wewe kwa tabia uliyokuwa nayo ambayo inamnyima mwenzio uwezo wa kujiamini kuwa mimba ni yake maana inaelekea anajua kuwa hakuwa peke yake pamoja na kwamba wewe una uhakika ni mimba yake.Vilevile hamjaoana unabeba mimba inaelekea na wewe mambo yako yana walakini.Cha msingi akija kuomba kutambua mimba/mtoto mpokee na hata mtoto akizaliwa ni vema mkapime DNA ili kumtoa wasiwasi maana anaweza kuwa wake na asifanane nae kwa muonekano wa nje nayo italeta malumbano.Mwisho nataka ufahamu kuwa chanzo cha tatizo hili ni wewe hivyo usiishie kumlaumu mwenzio tu lakini pia ujiulize nini ulichofanya/tabia gani uiyonayo ambayo inakuondolea uaminifu kwa mpenzi wako maana wewe unalaumu kwa kuwa una uhakika ni mimba yake lakini je ni kweli kuwa ndiye mpenzi wako pekee au ndo yaleyale ya mpira wa kona?EDAMOnoreply@blogger.com