tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post2546821693782807986..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Kumbe mpenzi ni Kaka...nimerudi tena-Ushauri!KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-46263658723086359722008-11-18T13:45:00.000+03:002008-11-18T13:45:00.000+03:00Kwako Mgm, huyu dada na huyo kaka yake hawana undu...Kwako Mgm, huyu dada na huyo kaka yake hawana undugu wa damu na tulimuambia hivyo baada ya kuja hapa mwanzo.

Angekuwa ndugu wa karibu kidamu ambae anaweza kusababisha matatizo ya kibailojia wangekuwa wakijuana tangu awali sio mpaka baada ya msiba wa fulani ambapo kwa kawaida ndugu wengi hujitokeza hata wale ambao ubinamu ni wa kukaa jirani kule kijijini.

Kibaolojia, ukizaa na binamu yako watoto wanatoka bomba bila matatizo ya kiafya kwa vile wote wawili mmechanganya damu za watu wengine na zinawafanya msiwe ndugu. Makabila mengi wanaona na binamu zao kabisa ndio itakuwa mtoto wa mtoto wa binamu wa mama?
Ebu kafungeni ndoa na mzaliane bwanaaa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-72350367051870694262008-11-18T12:52:00.000+03:002008-11-18T12:52:00.000+03:00Habary waungwana!! Pole sana Mdadaa!! Ni mtazamo w...Habary waungwana!! Pole sana Mdadaa!! Ni mtazamo wangu, kuwa wewe hivi sasa umekosa kwa kuangalia hasa kwa kuwa binadamu huwa tunakasumba ya kuhamaki na wewe ndiko uliko.

Sasa basi baada ya kusema hivyo nataka nikurudishe nyuma kabisa kwani kila watu na jamii wa mila na Desturi zao, natumaini pia wewe na huyo mwenzio na ndugu zako pia mna desturi zenu nikiwa namaana tufuate "ITIFAKI" izingatiwe japo mnapendana, kwani kuachana mngali mnapendana ninyi si wakwanza na haitawaumiza milele kwani itakuwa ya muda tu then mtazoea na badae mtapa kila mmoja wake wa maishaishani.

Kwani jambo jingine hata kibaologia kunaweza kukawa na matatizo juu ya familia yenu i mean watoto mtakao kuwa mkiwazaa.

Na la mwisho ni kuwa ni kweli mwaweza pendana wenyewe kiukweli lakini mapenzi yenu hayatakuwa na furaha na amani hasa pale mtakapokuwa mnakutana na wanandugu kwani mnakuwa moja kwa moja mmewasaliti kati suala zima la mila na desturi, kwani kwa upande huu wa mila mimi siioni sababu ya ninyi kung'ang'ania kuwa pamoja kwani kama ni hivyo basi ni weli kama alivyokuambia Dada yako kuwa waweza pia kumchukua hata baba yako nikiwa namaanisha baba yako mdogo, mkubwa na hata wajombazako pia kitu ambacho katika jamii yetu ya kitanzania ni tofauti..

Huo ndio ushauri wangu kwa leo..

ur's
MgmAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-31994308726400358472008-11-17T14:32:00.000+03:002008-11-17T14:32:00.000+03:00Nakumbuka wengi tulikupa ushauri kutegemeana na `h...Nakumbuka wengi tulikupa ushauri kutegemeana na `hisia, au imani zetu' nafikiri uliamua kitu kutokana na ushauri huo. Hapo nikakumbuka usemi usemao `unalo hilo'
`Unalo hilo' sina maana mbaya kulitumia hapa, ila nina maana kuwa asilimia kubwa inategemea `uamuzi wako' binafsi, sisi ni washauri tu.
Nasema hivyo nikiwa na maana kuwa `mapenzi' hasa yale ya kweli ni kati ya `wawili wapendanao' wengine ni washabiki tu,na wengi wa washabiki nia yao ni `kuharibu ili wapate kila wanachozani watakipata.
Mfano mzuri ni dada zetu wanapomuandama wifi yao, wengi wanadhani kuwa huyo wifi akiondoka wao watafaidi kile alicho nacho kaka yao. Na vitu kama hivyo.
Lakini,narudia tena LAKINI' kama nyie wawili mnapendana na mna msimamo wa kweli na penzi lenu washabiki hawataona ndani.
Wewe kama umeamua kuwa dada-binamu is ok,kama mimi ninavyoona,basi usijali hayo maneno wanayosema, kwani nyie sio mlio-anza hilo. Ila ukiona vipi wazuri, na wanaofaa kuwa nawe wapo,usikate tamaa.
mimi
emu-threeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-89653755476379789522008-11-17T08:42:00.000+03:002008-11-17T08:42:00.000+03:00halow pole sana dadaangunajua jinsi mapenzi yanavy...halow pole sana dadaangu
najua jinsi mapenzi yanavyotesa hasa mkifikia point fulani mnakua kama vichaa,then mje muachane mmmmh ngumu sana....
sasa mi ushauri wangu we achana na huyo nduguyo kwa kweli kwa sababu we mwenyyewe utakuwa unajistukia mara nyingine kuwa huyo ni nduguyo???
ila jaribu kukaa nae then umwambie kwa kirefu najua itakuwa ngumu sana lakini sasa kuepusha yote bora nusu shari kuliko shari kamili...
wee mweleze mkubaliane.....
poleee saaana-Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-58372336607848326152008-11-16T23:16:00.000+03:002008-11-16T23:16:00.000+03:00jamani dada TUMEKUCHOKA! dada dinah topic nyingine...jamani dada TUMEKUCHOKA! dada dinah topic nyingine plz..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-22186880377030634672008-11-15T22:44:00.000+03:002008-11-15T22:44:00.000+03:00Pole dada yangu!Kwanza nimepata swali juu yako, Je...Pole dada yangu!

Kwanza nimepata swali juu yako, Je, kule kuacha simu, na dada yako kuichukua kuna maana alikuta message inayozungumzia mapenzi yenu na yule kijana au yule kijana alipiga simu na huyo dadayo akapokea na kuzungumza na huyo jamaa yako?Sijaelewa kwa kweli ni vipi simu ilizua kasheshe na dad yako?

pamoja na hayo nini maamuzi yako baada ya kupata ushauri pale mwanzoni,Je, uliamua kuendelea naye na kuoana au umezidi kuwa katika mahusiano ya kuibiana?Kwa nini dada yako akuite malaya?Je, amewahi kukufuma na wengine?au anajua una mtu mwingine?
Samahani kwa maswali hayo kwani inanipa ugumu kuchangia katika swala lako ninapokuwa bado sijaelewa mambo yanayozunguka hapo.Anonymousnoreply@blogger.com