tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post2489809363226238577..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Sitaki kufika 30yrs nikiwa BikiraKKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-92072419282334097332014-07-31T18:34:25.007+03:002014-07-31T18:34:25.007+03:00I wish nikuoe kabisa mimi ili unizawadie hiyo biki...I wish nikuoe kabisa mimi ili unizawadie hiyo bikira yako uwe malkia maana kwa karne hii hiyo kitu adimu kabisa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-82394773592888921392014-07-31T18:34:04.987+03:002014-07-31T18:34:04.987+03:00I wish nikuoe kabisa mimi ili unizawadie hiyo biki...I wish nikuoe kabisa mimi ili unizawadie hiyo bikira yako uwe malkia maana kwa karne hii hiyo kitu adimu kabisa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-58043216018706949572014-07-21T13:32:03.138+03:002014-07-21T13:32:03.138+03:00Chezea kupukuchuliwa wewe? He he dada kashtukia an...Chezea kupukuchuliwa wewe? He he dada kashtukia anapishana na mautamu.Chamsingi zingatia malengo yako lkn pia afya yako.Usikubali kupukuchuliwa bila mpango.After all kuolewa na bikra inakuongezea heshima kwa mumeo so think twice kabla ya kutoa hicho kiharage.Kuhusu ex kama unataka kulilia chooni mpe hicho kidudu ushajua ni player inatosha acha hata mfikiria vijana waaminifu wengi tu.Kirunguhttps://www.blogger.com/profile/01989863360347645521noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-70402501090681516792014-07-19T08:35:26.504+03:002014-07-19T08:35:26.504+03:00dada acha mawazo potofu dada acha mawazo potofu Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-47427705483666885052014-07-19T08:33:56.895+03:002014-07-19T08:33:56.895+03:00acha mawazo potofu dada mtunzie mmeo utae funga na...acha mawazo potofu dada mtunzie mmeo utae funga nae ndoa ili aje akufurahie zaidi ukimpa huyo hutamsahau hata ukiingia kwny ndoaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-434174931841140032014-07-17T22:02:17.125+03:002014-07-17T22:02:17.125+03:00Mmmmhuh! wengine wanatamani wangebaki na ubikira h...Mmmmhuh! wengine wanatamani wangebaki na ubikira hadi waolewe wengine wanapanga namna ya kuuondoa!! Mimi nilidhani ungejivunia sana kwamba umemudu hadi miaka 26 umekuwa bikira kumbe tena unaichukia unatafuta mtu wa kuiondoa.<br /><br />Mimi nakushauri uondoe mawazo hayo badala yake muombe Mungu akupe mwanaume wa kukuoa ambaye ataifurahia hiyo bikira na utakuwa umempa zawadi kubwa sana na atakuheshimu. Huyo mwanaume unayemuwangia nadhani hakufai kwa mujibu wa maelezo yako.Kama unajua ana mwanamke mwingine unachoendelea kukitafuta kwake nini hasa?Hebu fikiri zaidi,Dina kakushauri vizuri thamini utu wako na jikubali na lingia ubikira wako.Anonymousnoreply@blogger.com