tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post1728587008435938311..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Mume wangu amebadilika sana,nifanye nini?KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-19897605871054924632008-09-13T13:42:00.000+03:002008-09-13T13:42:00.000+03:00Mumeo anahisi kuma watu wamekufundisha hayo manjon...Mumeo anahisi kuma watu wamekufundisha hayo manjonjo, either shoga zako au umepata jamaa la pembeni lililokufundisha hayo manjonjo. Kwa sababu mumeo ana busara ndo maana hakurupuki kuuliza na kudadisi kuhusu hayo madiliko. anachofanya ni kujaribu kutafuta mtu ambaye amesababisha wewe ubadilike kihivyo, so ana monitor nyendo zako kujua unapita wapi na wapi na kina nani unakutana nao.

Ushauri wangu ni kufanya jitahada za haraka kumuambia umepata wapi huo ujuzi ili kumuondoa duku duku, kabla kibao hakijakugeukia.

Njia unayoweza kutumia ni hii hapa: Baada ya manjonjo akiwa hoi muulize ki swali cha uzushi, kuhusu manjonjo yako mapya, then angalia atakavyokujibu, then muulize unajua ni nani aliyekufundisha, akaionyesha interest ya kujua kama mna internet nyumbani mfungulie hii page, kama hakuna mpe URL kwenye karatasi na umwambie akaangalie. Hiyo blog.

Akirudi atajua reaction yake. Ni ngekuwa mimi ninaiangalia.

Ataelewa na kupunguza wasi wasiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-45639759023038465332008-09-11T23:47:00.000+03:002008-09-11T23:47:00.000+03:00Mapenzi yalipungua na kutokana na juhudi zako kupi...Mapenzi yalipungua na kutokana na juhudi zako kupitia mafundisho ya Dinah umefanyikia kuyarudisha mapenzi ya mume wako nyumbani.
Mume wako amekuwa na wivu baada ya kumuonyesha mambo hadimu na anaogopa wengine wasije kumuibia na kufaidi zaidi.Tumpe hongera dada dinah wetu kwa kubuni kitu kama hiki.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-53416534567645013362008-09-11T09:09:00.000+03:002008-09-11T09:09:00.000+03:00Dada Hongera sana kwa kujifunza na kuyafanyia kazi...Dada Hongera sana kwa kujifunza na kuyafanyia kazi mafundisho ya Dina.
Dina Hongera sana kwa maana kazi unayoifanya sio bure, majibu unayapata kama haya ya kutoka kwa huyu dada.
Mimi ninafikiri kwamba anarudi nyumbani kutokana na wewe ulivyobadilika na kuanza kumridhisha, pili kutokana na wewe ulivyobadilika na yeye kuridhika upendo umeanza kurudi na wivu umekuja.
Hivyo usione ajabu ni jambo la kawaida hilo.Kutokuuliza mtafutie wakati mzuri/mazingira mazuri na kwa upendo umuulize na kumfahamisha kuwa umebadilika kutokana na Dina, na umshauri nae apatapo nafasi apitie.
Mapenzi ni sanaa ambayo tunajifunza kama tunavyojifunza mambo mengine, hakuna mtu aliyezaliwa akijua kupenda, kufanya mapenzi, n.k. Vitu vyote tunavikuta hapa Duniani na kujifunza,
Kila la kheri na hongera sana,
Mtanzania,
tmajaliwa@yahoo.com.Anonymousnoreply@blogger.com