tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post1428023591590556455..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Mume kapitiliza kwa Kudeka!KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-35838266983445215292014-08-12T21:37:14.986+03:002014-08-12T21:37:14.986+03:00Dina, Umemshauri vizuri sana huyu bibie. Nimekupen...Dina, Umemshauri vizuri sana huyu bibie. Nimekupendaje kwa ushauri mzuri sana!!!<br /><br />Bibie,mimi niko US ba alichokueleza dada Dina ndivyo hivyooo kabisa.Kuwatjhataja wazazi ni kitu cha kawaida mno na huku unaoambatana nao masaa 24 kama hauko kazini ni wazazi tu. Hivyo usimwelewe vibaya huyo mumeo. Tena ushukuru anawataja wazazi, je angewataja wapenzi aliokuwa nao ingekuwaje?<br /><br />Jiandae maisha ya huku utayaona vema,na pia hiyo nyumba ya wazazi wake inategemea imejengwaje, kuna nyumba ambazo ziivyojengwa ni kama mnagawana sehemu kiasi kwamba unaweza usionane na wakwe zako hata mwezi kama hutazunguka kuwasabahi.Muhimu ni kujua kuwa maisha ni kupanga, na kupanga ni kuchagua. Ukifika huku shati litakubana tu na utaona vema mbanane hapohapo hadi kitakapoeleweka. Na itachukuwa muda mrefu hata ukipata kazi bado utaona mambo ni mzegemzege tu.Fuata ushgauri wa Dina.Hata akitaja wazazi usiku kuchwa hakuna siku atahamishia penzi kwao hahahahahaa bado utabaki wewe kuwa mke na mpenzi wake mkuu.Muhimu ni jinsi wewe utakavyomuondoa na hayo mazoea ili mdomo wake uanze kukusemasema wewe. Karibu sana US.Yuko state gani bibie labda tunaweza kukusaidia zaidi.Anonymousnoreply@blogger.com