tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post1333012582069626684..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: M3 anaomba tufichue yale yanayoweza kuharibu ndoa!KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-32926332025943951152009-03-02T07:39:00.000+03:002009-03-02T07:39:00.000+03:00KiswaEnglish, siunajua tena...KiswaEnglish, siunajua tena...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-1025921038055457042009-02-27T12:19:00.000+03:002009-02-27T12:19:00.000+03:00lugha aliyotumia MIMIlugha aliyotumia MIMIAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-73727680914891978592009-02-24T14:06:00.000+03:002009-02-24T14:06:00.000+03:00Kijogoo lugha ipi unayoiulizia, kwasababu wote hap...Kijogoo lugha ipi unayoiulizia, kwasababu wote hapo juu wametumia kiswahili?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-81806188691222291212009-02-23T08:31:00.000+03:002009-02-23T08:31:00.000+03:00Kwanini wanaume `tunacheat’ (tunakwenda nje ya ndo...Kwanini wanaume `tunacheat’ (tunakwenda nje ya ndoa)? Hili ni swali gumu kwa mtu mmoja kulijibu peke yake, kwani ni swala la uzoefu zaidi, ni swali la kila mtu imemsibu nini mpaka akaamua kurukia dirishani, lakini yapo mambo muhimu ambayo yanafaa kila mmoja ayajue kabla ya kumnyoshea mwenzake kidole.
Kwanza tujue kuwa mtu na akili yake `timamu’ hawezi akaamua tu ngoja niisaliti ndoa, labda kama ana ugonjwa wa ngono. Wengi walioamua kufanya hivi wanasababu `maalumu’ amabazo tunatakiwa tuwe wawazi kuzieleza ili tuweze kusaidiana, sababu zinaweza zikazidiana kutegemeana na uvumilivu wa mtu, tabia na upendo uliopo. Mficha maradhi hukomoka mwenyewe. Hili ni muhimu kulielewa.
Pili, nini msingi mkuu wa kuoana, (tunaoana ili kuulinda utu wetu, vinginevyo tungekuwa kama visivyo binadamu, mnakutana mnamaliza hamu zenu …) .Hii ni ajenda kubwa, na mara nyingi wanaume wanakuwa na sababu zao tofauti na wanawake,lakini msingi mkuu kuliko yote umelalia upande wa kiimani zaidi. Ndio maana ndoa nyingi zinafungiwa seheme za imani, na kama ni bomani bado kunakuwa na kiapo cha imani, ambacho kinalindwana katiba husika.
Tatu, ni mtu na hulka yake, licha ya sababu ya kukufanya ufanye hilo, lakini mara nyingi ubinafsi unakuwa ndio chanzo, kwani kama kila mtu angekuwa anajiuliza hivi mimi ningefanyiwa hivi ingekuwaje,nitajisikiaje,nahisi hali yoyote yakuumizana isingetokea. Kila mtu anajifikiria mwenyewe, ndio maana hata hii mijadala `ya kwanini hivi’ , kila mtu anamnyoshea mwenzake kidole kuwa nyie ndio sababu, hatujui vidole vitatu vinatunyoshea wenyewe, ikiwa na maana wewe una makosa matatu lakini huyaoni unaliona laa mwenzako. Subira haipo na ndoa inahitaji subira.
Nafikiri tukianzia na vigezo hivyo vitatu tutaweza kujijibu wenyewe kwanini sisi, wanaume,sisi wanawake ,huyu au yule ameamua kuisaliti ndoa yake,au amelisaliti pendo(Mziki wa Mwasiti unaweza ukausindkiza huu mjadala).
Huu ni utangulizi wangu, je wewe unasemaje?
emu-threeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-17333070961470746242009-02-23T02:00:00.000+03:002009-02-23T02:00:00.000+03:00mimi sasa hii ndio lugha gani nimeisoma zaid ya ma...mimi sasa hii ndio lugha gani nimeisoma zaid ya mara 10 sijaifahamu unakusudia nini.
kijogooAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-47174179219214541872009-02-22T15:33:00.000+03:002009-02-22T15:33:00.000+03:00this z very impotanti topic ile mimi nataka kumuul...this z very impotanti topic ile mimi nataka kumuuliza kaka M3 ivi kwanii nyie mnacheat kwenye mahusiano yeni ya kimapenzi..labda wewe hauna tabia iyo lakini in general u mite hv an idea sasa tel me wats da reason..
MimiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-19678416798457046732009-02-21T21:31:00.000+03:002009-02-21T21:31:00.000+03:00Wanaume ndio waanzilishi wa kuvunja ndoa. Tabia zo...Wanaume ndio waanzilishi wa kuvunja ndoa. Tabia zote mbaya wanazo wao matokea yake mke akiwa mjeuri anaonekana yy ndo mwenye makosa! Jamani WANAUME MUWE KIINI CHA MABADILIKO!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-36353324348995337122009-02-20T13:56:00.001+03:002009-02-20T13:56:00.001+03:00ubinafsi ukitawala ndoa itavunjika. Kwa mfano mwa...ubinafsi ukitawala ndoa itavunjika. Kwa mfano mwananmmme anapotarajia kufaidi tu vya mkewe wakati yeye hatoi matumizi na support asitegemee kupendwa.

Nimeshuhudia jamaa mmoja kaoa mwanamke msomi mwenye hela kibao na ambaye yupo simple sana nusura nimuoe jamaa kamwahi sasa alipomuoa mke kamwekea tiles kwenye nyumba, kamsaidia kwenye arusi, kampa hela za kumsogeza na support kibao na pia kwa upendo mke kampa msaada jamaa alipokuwa anakwenda nje kusoma lakini cha ajabu mume huyo hamjali kabisa mke wake na anatangazia watu kupitia kwa ndugu kwamba mke wake hafai. Hii ni wakati jamaa hatumi hata sentyi tano ya matumizi, hajali watoto wake wa kuzaa, hatimizi wajibu wake kama mwanamme na bado anamkata mke wake ndo ampigie yeye hela zake anazifanyia nini huyu jamaa? jamani mtu kama huyu anataka nini? Ubinafsi haufai.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-10120225449372221862009-02-20T13:56:00.000+03:002009-02-20T13:56:00.000+03:00ubinafsi ukitawala ndoa itavunjika. Kwa mfano mwa...ubinafsi ukitawala ndoa itavunjika. Kwa mfano mwananmmme anapotarajia kufaidi tu vya mkewe wakati yeye hatoi matumizi na support asitegemee kupendwa.

Nimeshuhudia jamaa mmoja kaoa mwanamke msomi mwenye hela kibao na ambaye yupo simple sana nusura nimuoe jamaa kamwahi sasa alipomuoa mke kamwekea tiles kwenye nyumba, kamsaidia kwenye arusi, kampa hela za kumsogeza na support kibao na pia kwa upendo mke kampa msaada jamaa alipokuwa anakwenda nje kusoma lakini cha ajabu mume huyo hamjali kabisa mke wake na anatangazia watu kupitia kwa ndugu kwamba mke wake hafai. Hii ni wakati jamaa hatumi hata sentyi tano ya matumizi, hajali watoto wake wa kuzaa, hatimizi wajibu wake kama mwanamme na bado anamkata mke wake ndo ampigie yeye hela zake anazifanyia nini huyu jamaa? jamani mtu kama huyu anataka nini? Ubinafsi haufai.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-77526692486707554652009-02-19T12:26:00.000+03:002009-02-19T12:26:00.000+03:00Hallo Da DinnahNakushukuru kwa kazi nzuri unayofan...Hallo Da Dinnah

Nakushukuru kwa kazi nzuri unayofanya ya kufanya mahusiano yadumu.

Mimi nina dukuduku moja na ningependa kufahamu zaidi. Kuna hizi style za wanawake kuingiliwa uani yaani kuliwa tigo naona inakuwa popular siku zinavyozidi. Dukuduku langu ni kuwa hicho kitendo kinaongeza nini kwenye swala la mahusiano, kiimani Uwe mkristo kwa mwislam hakikubaliki je kisayansi kinakubalika? Nini madhara yake au faida zake?

Mdau wako.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-5733630862758379782009-02-19T06:11:00.000+03:002009-02-19T06:11:00.000+03:00Mawasiliano ni ufunguo wa kudumisha na kuendeleza ...Mawasiliano ni ufunguo wa kudumisha na kuendeleza ndoa ya furaha na matumaini. Communication is the key to a successful marriage. M3 nakubaliana na wewe. Shukran hii kweli inafundishaAnonymousnoreply@blogger.com