tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post1323409039921511148..comments2023-06-04T11:15:25.464+03:00Comments on Dinahicious-Relationships, Love & Marriage: Sina raha na Ndoa Yangu!KKMiehttp://www.blogger.com/profile/03913977764860036912noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-5644074080962006282014-10-16T20:27:17.577+03:002014-10-16T20:27:17.577+03:00Nawashuru sana wachangiaji wote wawili kwa busara ...Nawashuru sana wachangiaji wote wawili kwa busara na hekima zenu. Nimejifunza vya kutosha kupitia majibu ya Dinah na michango yenu kimawazo kwani ni jambo nililokuwa nikilitafuta ili niweze kuinusuru ndoa yangu ambayo bado ni changa. Nimeanza kuchange slowly how i handle my marriage. Thank you all in advance....Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-65145763843656834742014-08-05T15:44:39.401+03:002014-08-05T15:44:39.401+03:00pole sana ndugu fanya kama mtoa comment wa kwanza ...pole sana ndugu fanya kama mtoa comment wa kwanza alivyosdhauri, naamini atabadilika tu. Zingatia masomo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3242810584517347839.post-87588671763589172442014-07-26T13:23:31.390+03:002014-07-26T13:23:31.390+03:00Pole sana kaka.
Kaka hapo hakuna tatizo...na "...Pole sana kaka.
Kaka hapo hakuna tatizo...na "dawa ya moto ni maji" kwanini nasema hivyo??
Nionavyo mimi,mkeo anamatatizo ya kisaikolojia (japolkuwa sijui sana kubusu saikolojia,but i can view it from that vantage)Kumbuka ishu imeanza siku ulipovunja bikra yake.
Yawezekana akilini mwake,aliweka kwamba...bikra ni "kitu cha thamani sana kwa mwanamke", actually it is but pale unapompata mwenza wa maisha yako thamani yake inakuja pale unapokuwa uko tayeri kumpa nafasi ya kuitoa.
So dawa yake ni wewe kuwa positive towards her all the time. Kuwa mume na siyo kidume. Be polite, no matter anakuudhi vipi,muoneshe mapenzi no matter anakuignore vipi.
Tumia njia mbadala...mtoe out mpeleke sehemu anayoipenda...au andaa romantic dinner kwa ajili yake...alika rafiki yake au yako amabaye anamwenza wake na wanapendana. Wakiondoka mwonyeshe jinsi gani mnavyotakiwa kuwa kama wao na si kufarakana. Jaribu kuzungumzia na kukumbushia urafiki wenu zamani.
Mpe vitu ulivyotunza ambavyo amewahi kukupa ama kukutumia (kama vipo)
Kila binadamu anabreaking point yake, na i promise you "Itafika tu", na ataanza kuchange mwenyewe.
Zingatia sana masomo....ondoa hisia za postpone shule.
Hii ni vita ya kisaikolojia..usiipigane kihisia (hasira) wala kimwili (kumslap)
Pole sana,yupo pamoja!!Vince 69https://www.blogger.com/profile/13772943660957590276noreply@blogger.com