Mke Ulaya Mume Afrika...

 ...the long suffering ones wa US, UK and Canada nyie wa Scandinavia, Spain, Italy, Germany, etc hamuolewagi...wait, huwa hamuolewi na Waafrika wenzenu na wengi ni Mama wa nyumbani (natania).



Dayaspora wives work several shifts in the cold and spend the money to support their husband's business ventures in Africa. Them ones who want something back home, they want to become somebody somewhere kule kwa Motherland. 


Mnakubaliana vema tu kuwa mara 4 kwa mwaka yeye atakuwa anaenda Tanzania au Kenya(depends on their origin) na kukaa huko kwa wiki 2 mpaka mwezi "kusimamia" Mradi/Biashara,  hiyo ni kila baada ya miezi 3.

                                      picha kutoka gazeti la The Telegraph*?


Kwasababu ya yeye kurudi kwao/kwenu mara kwa mara ni wazi kuwa haingizi kipato cha kutosha na hivyo yeye sio breadwinner isipokuwa wewe mkewe. Unajitolea mhanga ukiamini kuwa Mradi ukikamilika utaacha kufanya kazi kwa kiwango ufanyacho na Mumeo kuwa breadwinner, a provider and protector God made him to be...(to another wife in Africa). 


Diaspora wives my dear, your husband is funding another wife somewhere in Afrika where he visit few times a year. If husband goes to Tanzania* know that there is another woman
in there. Huenda mie nina trust issues but  If my husband  want to go to Afrika, Tanzania to be specific(kwa mfano) to "simamia" mradi, I would rather asimamie mbele yangu kwa maana kwamba I, myself, me and the kids will go with him twice a year. Not 4 times a year๐Ÿ™„


Sasa unafanyaje kama wewe tayari ni London (popote ulipo nje ya Afrika) suffering Diaspora wife?

have said  in this Blog years back that no Diaspora wife should give her hard earned money to any man unless the business is in where she and her children lives either in UK, US , Canada etc. If he wants to do that business somewhere in Africa, let him do it all by himself with his own money. Diaspora wives, tambua hao Waume zenu wa "maisha ya sasa ni kusaidiana"  maana yake ni wewe tu ndio u-work your tail off so he can use your money to fund Ua lingine Tanzania.


Mwanaume anaekupenda kamwe hawezi kukuacha hapo unachakalika halafu yeye anakinga tu mikono kwa kisingizio cha "naendesha miradi Africa", Baba yangu aliwahi kunambia, "mwanaume(Mume) anaekupenda atabeba shida zako na kukupunguzia mzigo ili akili itulie na hivyo kumpa amani".


Hujaumbwa kuhimili stress za kazi kiasi hicho bali Mumeo, wewe  stress zako ni wakati wa Mimba, Uzazi, Elimu na mlezi ya watoto, kama unapenda  kufanya kazi nje ya nyumbani ni sawa ila iwe kwa kiasi kidogo ili kutunza afya ya mwili na akili kwa faida yako na mumeo, Menopause is waiting, na kama uli-abuse sana mwili na akili yako, hali itakuwa mbaya kwako. Umewahi kusikia Mama wa nyumbani anahangaika na premenopausal? Exactly.



I advice you to cut down work hours na mwambie akuze pumbu, asimame kama mwanaume, mume na baba wa watoto wenu na apige kazi. Akipanga kwenda Afrika dadaaa go with him, don't let your African husband(hata kama kabadilisha Uraia bado ni Mwafrika)  use your money to build a house and business for another woman to live in. You work so hard overseas, to entrust it over a deceiving  husband of yours? Hayo mapenzi/ndoa au Utumwa?

Nyie African Muzungu wives najua mna changamoto zenu, your Post is on the way. ๐Ÿ˜


Bbai.

Comments