Wednesday, 4 February 2015

Naomba radhi.......

Habari za leo?

Ni kwamba kikompyuta changu kimegoma ku-start kwa muda sasa. Nimejaribu kutumia ufundi wangu imeshindikana so nimeipeleka kwa fundi.Sasa inanibidi nitumie simu ambayo inanisumbua sana kwenye ku type na inabidi nifanye editing kutokana na kuchapia in which sina muda na hii inafanya nishindwe ku publish kama nipendavyo.
Kama ulivyoshuhudia  mechapia  vya kutosha kwenye post mbili zilizopita is just too much....naomba  radhi na tafadhali endelea kuwa mvumilivu.Nitajitahidi kujibu swali moja wiki hii halafu nitatoa somo ambalo mtalifurahia kama wapenzi.


Usikose....na ahsante kwa kuachana blog hii.

3 comments:

Mille Moyens said...

Oh pole sana Dada. kwa kazi hii kubwa unayo fanya ingekuwa heri uwe na computer mbili zakutumia. Endapo moja ikiwa na tatizo nyingine inachukuwa nafasi. Ispokuwa nikuombe umpush fundi ili awearaka. Asante kwa ustaharabu kwakutufaamisha. Ubarikiwe.

Mary Christa said...

Pole sana dada

Anonymous said...

Pole dadaangu kwa masahibu ya kifaa cha mfumo wa kisasa wa mawasiliano.

kitapona na utaendelea kutupatia kila kilicho chema,
inshalaah