Friday, 19 September 2014

Samahani Nipo Likizo!

Habari gani?

Samahani kwa kutokukutonya kwani sikuona umuhimu wa kufanya hivo (Mie sio Celeb bana).
Nachukua nafasi hii kukufahamisha kuwa nilikuwa na bado nipo Likizo (napumzika na Blog hii) kwa Muda.
Ahsanteni wote kwa kuonyesha kujali kwa kunijulia hali/ulizia kama nipo salama.Nitakuona nikimaliza Mapumziko.
Mapendo tele kwako...

1 comment:

Anonymous said...

Da Dinah when will you b back, please? We need you here . Thanks!