Thursday, 10 April 2014

Muda wa Kawaida..

Dada dinah pole na majukumu. mi naitwa J na ninaomba kujua muda wa kawaida ambao Uume unatakiwa kusimama tena baada ya  kupiga bao la kwanza ili kuendelea na round nyingine. je ni dakika ngapi?


********************


Dinah anasema: Ahsante na shukurani kwa Ushirikiano.Nadhani inategemea na mwanaume in terms of umri, afya, anavutiwa vipi na mwanamke anaefanya nae mapenzi, anasisimuliwa kwa njia zipi na maeneo gani? Ukame (amekaa muda gani bila tendo), Uwezo wake wa kingono (sex drive), Uchovu au Uvivu.Inaweza kuwa kati ya Dakika 5 mpaka saa nzima na wengine huenda mpaka kesho yake au wiki ijayo na huo wote ni muda wa kawaida kwa mwanaume husika.Nikijibu swali lako, sijui kwa uhakika, labda wanaume wenzio wasaidie kwenye Comments.


Kila la kheri!
Mapendo tele kwako...

2 comments:

Anonymous said...

Mmmmn mpaka saa nzima na wengine
huenda mpaka kesho yake a

Anonymous said...

Binafsi ni robo hadi nusu saa. Kujua zaidi labda usearch kitu kinaitwa refractory period kwa ufahamu zaidi.