Mpenzi mpya, hafiki haraka, help!(Repost from 2014)

Helo dinah. Dinalicious.

Hongera kwa kazi nzuri na pole pia.
Sasa nina shida moja na nahitaji ufumbuzi wa fasta. Nina mpenzi mpya na tumefanya mara chache ila anachelewa sana kukojoa.Yaani mnaweza kuduu 1 hour lakini wapi. Siku nyingine hata hamwagi.


Yaani ni kusuguliwa mpaka kesho kutembea au kuweka nne inakua tabu then raha yageuka karaha. Then najiskia vibaya kuwa yeye hapati orgasm mida mingi. Juzi nikiwa Saluni niliskia kwa mbali wadada wanasema kuwa Machangudoa wanambinu ya kufanya ili mwanaume akojoe fasta ili yeye asichoke aweze kuduu na wateja wengi.
Sikupata nafasi ya kuuliza ila nikasema dinalicious bingwa wa manjonjo atakua anajua tu. Naomba ujuzi wako na wadau pia maoni yenu.

**********



Dinah anasema: Ahsante na Shukurani kwa ushirikiano.
Samahani sikujibu on the day kama ulivyotaka kutokana na mishughuliko yangu ya kikazi na kifamilia. Natumaini link niliyokupatia ndani ya Blog hii itakuwa imekusaidia kwa kuanzia (nilikwisha elezea hilo miaka ya nyuma).



Nilidhani Machangudoa wanafanya kutokana na pesa aliolipwa/Muda alioelewana na Mteja wake na sio per Cum/Kukojoa (Ejaculate....I hate this word....I like kukojoa/Cheka/Mwaga....anyways).Since mie sifanyi Ngono kama kazi/ajira/jukumu siwezi kukupa uzoefu wa kumkojolesha mwanaume "mpya" haraka.


Kwa uzoefu wangu wa kufurahia ni muhimu(unahitaji) kumjua mpenzi wako a little bit more kabla hujakurupuka na mbinu za kutaka kumpagawisha. Zijue kona zake, ujue mwili wake....kumbuka wanaume wanatofautiana kama ilivyo kwetu wanawake. Kinacho mkojolesha Yusuf kwa Jacob kinadunda.Inawezekana kabisa ufanyaji wako "haumuiti" na kumfanya aje(kukojoa) haraka.



Huenda pia ndivyo alivyoumbwa kwani wapo wanaume wa namna hiyo. Punguza kubadilisha Mikao (kubadili mikao kunachelewesha kufikia Mshindo) na jaribu kuwa in control yaani umfanye yeye na ukichoka kabla "hajaja" basi muachie akufanye. Kama huwa mnafanya baada ya yeye kunywa pombe basi anaweza kuenda mpaka asubuhi na asimwage....au pengine anapiga Konyagi Makusudi ili akufurahishe kwa kwenda mwenzo mrefu.


                                 

Kama kumwaga ni muhimu sana kwako basi hakikisha hanywi pombe kabla ya kufanya mapenzi. Kitu kingine muhimu unachotakiwa kukijua ni kuwa mwanaume kufika kileleni sio Kukojoa japokuwa vyote viwili vinaweza kuambatana lakini si wakati wote mwanaume anapokojoa anakuwa ka-orgasm.



Muhimu ni wewe ku-focus kwenye kupata raha na kufurahia mwendo wake mrefu, mfano unaweza ukajipigia bao zako nne hivi wakati yeye bado.........bao hizo zitakusaidia kuongeza unyevu ukeni na hivyo kukuepushia maumivu na michubuko baada ya tendo. Vilevile (tangu unajua anachelewa) wekeza kwenye kilainisho (Gel) ili uwe unaongeza kila unapoanza kuhisi ukavu, pengine ukavu wa Uke wako unachangia kwenye kuchelewa. Kwavile ni mpya kwako, inawezekana pia alikotoka hajamaliza hisia (bado anahisia na Ex) hivyo anapofanya tendo anashindwa ku-focus kwenye anachokifanya hali inayomfanya aende mwendo mrefu.



Kumkojolesha haraka: Anza na kazi ya Mikono ukifuatia na kutoa mdomo wa kutosha katika mitindo tofauti(itafute humu kwenye blog angalia topics za kati ya mwaka 2007-2009)....bila haraka kwa mapenzi na huba.



Msome, ukiona anaufuata mdomo kila unapokwenda juu huku akitoa miguno/sauti basi ujue "tunda" limeiva....(Timing mihimu hapa)...Taratibu jiweke juu yake na uushike Uume na kuanza kuingiza taratibu huku ukiendiketa(bana misuli ya uke na kuachia hatua kwa hatua) which itafanya mwanzo wa uke kuukamata uume na kuuachia, endelea kufanya hivyo huku unaingiza mpaka nusu. Nusu Uume ndani ya Uke nusu ipo nje, rudi juu na ubakize kichwa tu ndani kisha piga Endiketa mbili ndefu alafu rudi tena moja kwa moja hadi mwisho wa Uume.



Huku ukijimuvuzisha hapo Uumeni, jiinamishe kiasi kuelekea kifuani kwake (ni more comfortable kwa uume kuliko kukaa Wima) na fanyia kazi "nyonyo" zake kwa kutumia mdomo huku ukitumia eneo lako la chini (kiuno na makalio) kuzunguusha kiuno na kurusha matako kwa kupokezana....hakikisha hapati pumziko, kwamba nenda na mrindimo mmoja(usibadilishe) kwa dakika 3 mpaka 5(yep unahesabu kichwani moja mpaka 60 mara 3-5 inategemea na stamina yako).


Uume ukiwa ndani yako, jinyooshe na umlalie kabisa kisha kunja Mguu mmoja kama vile unataka kukimbia then mpe kiuno ukichoka piga Endiketa.....kumbuka timing na fuata reaction yake....akitulia basi ongeza bidii na utundu, kula shingo kiufundi, usisahau masikio na chuchu zake.



Badilisha mtindo(sio mkao), ukiwa juu na Uume still ndani panua miguu kama unapiga msamba....toa takos za kutosha Mdundiko style ile nimeokota kidude thing...(Binua matako kiasi kisha yatikise) unayatikisa huku unapokezana na kubana misuli ya uke na kukata kiuno kwa chini....timing + angalia reaction yake....


Ukisikia miguno huku anakushika kiuno au matako au anakubusu, anakaza msuli ya mapaja/miguu, anataka kuinuka... (inategemea na mwanaume) huku uume unaongezeka ugumu (unabana Uke) basi ujue ama anafika kileleni au anataka kukojoa au vyote.....endelea bila kupumzika mpaka amalize.


Usipomkojolesha kwa kutumia hii na nyingine nilizoeleza kwenye Blog miaka iliyopita (nilikupa link) basi Jamaa yako atakuwa na issues nyingine. Au pengine ninyi sio compatible kingono....anahitaji mwanamke mwenye high sex drive, mwanamke mwenye uwezo wa kukojoa mara kibao katikati ya tendo.


Nawewe unahitaji mwanaume wa kawaida, mwenye uwezo wa kujizuia ili ufike kisha kujiachia baada ya wewe kufikia mshindo. Since ni mpya huwezi hata kuweka the issue mezani eti, lakini kama unaumia au unahisi anakuchosha basi ni vema kuwa muwazi na kumwambia in a nice way ili usiumize hisia zake.

Kila la kheri.

Mapendo tele kwako...

Comments

Anonymous said…
Dada Dinnah,

Me naomba nitoe mawazo yangu kuhusu hili swala kwa sababu I have some experience about it.

Mwanaume kuchelewa kufika inaweza kusababishwa na factors nyingi sana na kwa bahati mbaya mambo haya ya mapenzi mara nyingi binadamu huwa hatupendi kuyajadili hata kama tunajua kuna tatizo. Kitu kikubwa hapa Dinnah ni stimulation of the penis, sasa swali ni vitu gani vinaweza kuathiri mwanaume kupata msisimko kwenye uume wake. Ngoja ni-list some factors hapa then yeye mwenyewe anaweza kuona kama zina-apply kwake.

1. Masturbation/Punyeto

Mwanaume kufanya sana punyeto kunasababisha usugu kwenye kichwa cha uume hali inayopelekea mwanaume kukosa hisia wakati wa tendo. Uume unakuwa umeshazoea kusuguliwa na mikono ambayo inaweza kuubana sana mpaka mtu ana-cum. Sasa kama amekubuhu kwenye punyeto ni dhahiri kwamba atachelewa sana kufika au inaweza asifike kabisa kwa sababu anakosa stimulation. Uume kusimama ni hali tu inayotokana na hamu ya kufanya mapenzi lakini kufika kileleni lazima kuwe na actual physical stimulation of the penis.

2.Matumizi ya kondomu

Hili nalo linaweza kuchangia hasa hasa kama jamaa pia ni mshiriki wa vitendo vya punyeto. Kondomu inapunguza stimulation na kama ana amekuwa akishiriki punyeto ndio inaweza ikamfanya asihisi kitu chochote wakati wa kufanya mapenzi

3. Hali ya uke

Hapa kuna vitu kadhaa dada Dinah, upana wa uke na joto la uke. As per my experience kuna wanawake wana uke baridi kweli kweli. Na kama umewahi kufanya mapenzi na kitu cha moto, it feels really different na inaweza ikachangia mtu kuchelewa kufika kileleni. Size ya uke pia inaweza changia, je upana wa uume ukilinganisha na upana wa uke vinalinganaje? Kama uke ni mpana sana, pia inaweza kupunguza ule msuguano ambao ni muhimu katika kupata msisimko. Lingine linaweza kuwa hali ya unyevu kwenye uke wake, kama uke una unyevu mwingi kupita kiasi inasabibisha kukosa friction kati yake na uume which may lead to little or no stimulation.

Yapo mambo mengi lakini me huo ndio mchango wangu dada Dinah
Anonymous said…
Asante... nimejaribu hio endiketa akamwaga nyiiiinngi. Ila he stil took a long time na inanifanya nijiskie sio mkamilifu kwny 6 by 6 ila jamani mambo haya sikuyajua....sasa mnajua ntapata wap kungwi anifunde mambo haya laivu maana mh..... sio mchezo dina hizi mambo waniambia mimi mgeni kweli na nahtaj practical
Anonymous said…
I agree kuhusu masturbationn mwanamke aliyeizoea hiyo yaani huchukuwa forever kumwaga