Kitu cha Mviringo ndani ya K!

Mimi bado ni mchanga kwenye mambo ya sex kwasababu nina mda mfupi tangu nimeanza ngono.



Naishi mbali na boyfriend wangu na tunaonana baada ya muda mrefu ila kila tukikutana kwa sex napata maumivu mwanzo wa uke.



Pia nikiwa najisafisha ndani ya Uke nahisi kama uvimbe kwa juu (wa mviringo) sijui kama ni kitu cha kawaida ama vipi na kuna siku boyfriend wangu alinambia wakati yuko ndani ya uke alihisi kama kitu kinamsukuma na hata mie nilihisi hiyo hali pia na nilihisi maumivu kidogo.



Naomba kama unaweza nisaidia kwa haya please.


***********

Dinah anasema: Hello there!

Kupata maumivu mwanzo wa uke nadhani kunatokana na kukaa muda mrefu bila kufanya ngono mie huwa naita "second time virginity".....sio Bikira ila maumivu yake yanakaribiana kwa mbali.



Kutokana na uzoefu "kuna kitu kama kinamsukuma mwanaume" ni Cervix au shingo ya Uzazi/Mlango wa uzazi.



Kila mwanamke anayo hii sehemu ila ni wachache ambao wanaweza kuifikia kutokana na ukaribu wake au umbali wake(inategemea kina cha Uke).



Unajua ukifungua mdomo na kuangalia kwa ndani kule mwisho wa ulimi unaona kama "kidole" hivi eeh, basi na shingo ya Uzazi ipo hivyo.



Hii Shingo ya Uzazi hufunguka na kufunga, inategemeana na mzunguuko wa Hedhi na hali ya kuwa tayari kushika mimba.



Hiyo sehemu ikiguswa hutoa maumivu yenye mchanganyiko na utamu....utamu unatokana na kuta za kuke na ule wa mwanzo wa Uke.....(Inabidi uwe na uzoefu kwanza).



Lakini usichukue maelezo yangu haya ya kisha ukatulia kwani mie sijahisi unachohisi, nimeelezea kutokana na uzoefu.


Hivyo ni vema ukaenda kumuona Daktari ili akuangalie na kukupa all clear!


Kila la kheri.
Mapendo tele kwako...

Comments

Anonymous said…
Nakushauri ukaonane na doctor bingwa wa maradhi ya wanawake ili akuchunguze vyema. maana lazima akichunguze hicho kitu cha mviringo ni kitu gani nakimesababiswa na nini. kwa maana sababu ikijulikana basi huwenda ukafikia kwenye matibabu yalio ya usalama kwako. sababu za kitaalam ni nyingi sana yawezekana ikawa ni kivimbe kinachoweza kukuwa na kusababisha tumor ambayo either inaweza kuwa ni benin (Isiyokuwa na madhara yeyote kwa sasa hivi lakini ikiendelea kukuwa inaweza kubadilika na kuwa malignant) au inaweza ikawa ni malignant (saratani) ambayo mara nyingi husababishwa na aina ya Vurusi sababishi vya ugonjwa wa saratani ya shingo ya uzazi. hivyo ni vyema kabisa kuwahi kuchekiwa na bingwa wa maradhi ya akina mama. na nivizuri vilevile kutowa wasiwasi ulokuwa nao. ili ufurahie tendo la ndoa maana wakati ni huu wa kufurahia na ukikupita utajuta. wacha kila kazi unazozifanya sasa hivi na muone dactari. please let as know the report after checking!! tunaweza kukusaidia zaidi baada ya kupata initial report.
Anonymous said…
dada dia nimesoma hii kitu hapo nimeogopa sana coz hata mimi huwa nahisi kuna kitu cha mviringo ila huwa kinakuja na kupotea, kuna wakati nakihi na wakati sikioni kabisa, kwangu ni tofauti kidogo coz,nina umri wa miaka 30 na mara ya mwisho to have sex is miaka mitatu iliyopita hii ni kwa sababu ya kutowaaamini wanaume na nimejipangia kuwa sitokuja kuamini mwanaume its better being free forever.sasa nahisi kama uvimbe some times ila mzunguuko hauchange wala sipati maumivu yoyote.sijaprove wakati wa kusex coz sijafanyahivyo muda....

ntafurahi kama utatoa maelezo kidogo pia hapo ama wadau please ....
KKMie said…
Annony wa 3:23pm sina maelezo zaidi ya niliyoyatoa kutokana na uzoefu.

Shingo ya uzazi huwa haiumi mpaka mwanaume a hit kwa nguvu wakati wa tendo na kamanilivyosema maumivu yake ni mchanganyiko sio maumivu ya kuia balii ya kudai "more hits".

Kama unahofu ni vema ukaenda kuangaliwa na Daktari wa wanawake.
kiomoni said…
Sometimes hicho cha duara juu kwenye kuma huwa ni G spot.
KKMie said…

Mr Ndauka, sio vema ku-mislead wenzio, hakuna cha sometimes....G-spot sio ya duara ni eneo ambalo halina muinuko isipokuwa lipo rough kuliko maeneo mengine ndani ya Uke.

Isitoshe G-spot ipo mwanzo tu wa uke hili eneo wanalozungumzia hawa wadada ipo mbele kidogo ya uke linaitwa CERVIX.

I thought i should make that clear hihihihi ciao.