Wednesday, 12 June 2013

On the Small side...Utajuaje sasa?


Utajuaje kuwa ni kubwa au ndogo? Obviously ni kwa kujipima....lakini wanaume wengi wanapenda au hata kujisifia kuwa wao ni "wakubwa", wakidhani ni moja ya sifa au hitaji la muhimu la mwanawake.

Umewahi kusikia wanawake wa Kitanzania/Afrika wanalalamika/chukia au kukimbia "mziki mnene" lakini wanawake wa Kizungu wanapenda/furahia? Well kwa mujibu wa maelezo ya mume wa rafiki yangu ambae ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake ni kwamba wenzetu (wazungu) hawana utaratibu wa kujiswafi (ondoa Utoko) mara kwa mara, wao wanafanyiwa na Daktari mara moja ndani ya miezi Sita.

Utoko ukikaa sana Ukeni husababisha Uke kuwa mpana...achilia mbali harufu mbaya na pengine kuwa chanzo cha maambukizi..

Sisi Wanawake wa Kitanzania ambao baadhi yetu tulipata bahati ya Kufundwa, kama unakumbuka unaambiwa wazi kabisa kuwa Utoko unaotoka Mchana unalinda Uke dhidi ya Magonjwa lakini ule wa usiku una "panua" Uke....ndio maana ni muhimu Kujiswafi asubuhi.


Sasa kama ilivyo kwa Wanawake kuwa tumetofautiana kimaumbile, hali kadhalika wanaume pia wametofautiana. Kuna kubwa na ndogo, ndefu na fupi, nene na nyembamba, zilizopinda na zilizonyooka, safi na chafu, laini na ngumu, zenye ukurutu na mororo/nyororo...n.k.


Kwa bahati nzuri inasemekana wanaume wengi wenye Asili ya kiafrika wamejaaliwa kuwana maumbile ya kutosha kulingana na maumbile ya wanawake wengi, lakini kinachosikitisha sio wanawake wanaojishughulisha sana na suala la ukubwa au udogo wa Uume  bali Wanaume wenyewe.

Mwanaume anaweza kuhofia kama Uume wake unatosha kumridhisha mwanamke au la! na ikiwa bahati mbaya anauzoefu wa "kuelea", kwamba alikutana na Mwanamke mwenye maumbile mapana/kubwa basi mwanaume huyo ataendelea kujishtukia kuwa yeye yupo on the small size.

Ukweli ni kuwa Size yeyote inaweza kumridhisha Mwanamke ikiwa wewe na yeye mtashirikiana na kuwasiliana wakati wa tendo, utundu, ubunifu na kujifunza namna yakutumiamaumbile yenu kulingana na ulivyojaaliwa ndio njia pekee itakayofanya uridhike na kuridhisha mpenzi wako.

*Unless ni chini ya Inchi Tano isimamapo, lakini yeyote kuanzia Inchi Tano ikiwa Ngumu(dinda) inauwezo wa kuridhisha mwanamke yeyote hata kama ni mpana kama Karai(karai? hihihi natania)...

Ahsante kwa Ushirikiano.

8 comments:

Anonymous said...

ni kweli kwani pia mwanamke anaweza akaridhishwa bila kufanya ngono kwan maeneo yenye kumpa msisimko yapo jirani na nje ya uke

Crazy Publisher said...

Mhh Sijui nisemeje but i liked the honesties of the post..

docha said...

dada Dina asante sana kwa topic hii nzuri. Please elezea kidogo kuhusu utoko wa mchana na usiku na pia namna gani tunatakiwa tusisafishe hiyo asubuhi?

docha said...

dada Dina asante sana kwa topic hii nzuri. Please elezea kidogo kuhusu utoko wa mchana na usiku na pia namna gani tunatakiwa tusisafishe hiyo asubuhi?

Anonymous said...

Asante da dina

Anonymous said...

Maelezo mazuri dinah. je vipi kuhusu kukuza maumbile ya mwanaume ambaye anataka kuongeza kwa kuwa yeye binafsi haridhiki na aliyonayo. Huwa kuna maelezo kwamba kuna madhara lakini watu wengi inawezekana hawana elimu kuhusu ili jambo.

Kornel prosper said...

dar noumer sana

Kirungu said...

Dada Dina long time, uko salama? maana huo ukimyaaa mmmnhhh.Stay blessed mdada na hongera kwa kazi nzuri and I really miss it :(