Maeneo ya Kumshika Mwanaume...

Habari dada Dinah
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28 na ni bikira tatizo  nimepata mchumba tumepima ukimwi na tuko kwenye process za ndoa.


Tatizo mimi ni mwembamba yeye ni mnene na mboo yake ni kubwa na ndefu akitaka kuanza kuniingilia kwa ajili ya kufanya mapenzi naumia mno anaishia kuingiza kichwa tu.

Hebu nisaidie nifanyeje na nakaribia kuingia kwenye ndoa. Pili nataka kujua sehemu zipi nimshike ili apate raha.

******************************


Dinah anasema: Kwanini unasema "tatizo nimepata mchumba"? Inamaana haukotayari kuolewa nae? Kwanini udhanie kuwa na mchumba ni tatizo?

Wembamba wako hauna uhusiano wowote na unene wake kwenye suala la kufanya mapenzi.


Kwa kawaida kuingiliwa kwa mara ya kwanza (tolewa Bikira) kunauma na sio wanawake wote wanaotolewa Bikira siku ya kwanza kwani hushindwa kuvumilia maumivu na hujawa na Uogoa hivyo misuli ya uke inashindwa kujiachia(relax).


Ndio maana zamani wakati Mabinti wanaolewa na Bikira walikuwa wanakaa ndani siku Saba, Usiku wa ndoa Bikira inatolea na siku saba baada ya hapo mwanamke "anazoeleshwa" uume(kuingiliwa ukeni) na yeye kuonyesha mambo mengine ya kimapenzi aliyofundwa kwao.


Ikiwa Mchumba wako amefanikiwa kuingiza kichwa ni wazi kuwa wewe sio Bikira tena, isipokuwa Uke wako haujazoea kuingiliwa na kitu kinene na kigumu + hofu ya kuumia.


Vilevile kichwa cha uume huwa kikubwa kiasi kuliko sehemu ya nyuma ya Uume, ikiwa kichwa kinaingia ni vema kama utavumilia ili aendelee kuingia taratibu na kwa hatua, sio anaingia moja kwa moja na kwanguvu na shauku zake zote....utaumia na kumchukia!!


Weka uaminifu kwa Mchumba wako na muombe aingie taratibu-taratibu, usiwe na haraka ya kuzoea leo au kesho! Unaweza kusubiri mpaka mtakapofunga ndoa na kwenye Fungate ndio mkazoeshane.


Wanaume wanatofautiana hivyo siwezi kusema umshike wapi ili afurahie kwani mie simjui(sijawahi kuwa nae hehehehehe)....anyway! Kuna maeneo ambayo ni General na mengine jaribu kubahatisha au kutafuta jinsi mnavyozidi kuzoeana.

--Kubusu shingo katika mtindo wa kuuma kwa mbaaali


--Busu au papasa juu ya Kinena(sehemu inayoota mavuzi) au niseme kiunoni kwa mbele hivi kama unaelekea chini ila usifike kwenye uume.


--Lamba katika mtindo wa kunyonya Chuchu, hakikisha unazinyonya kwa kupokezana, usibaki kwenye chuchu moja kwa muda mrefu kwani utampoteza "msisimko".


--Masikio, unaweza kuwa ni sehemu ya chini, kwa nyuma au kwa ndani kama sio sikio lote. Tumia midomo yako kulamba, busu, hemea na nong'oneza maneno matamu kumfanya Mchumba wako asikie raha na kuelewa hisia zako kwake.


--Busu katika mtindo wa kulamba sehemu ya ndani ya mapaja yake, pia busu sehemu ya nyuma ya kiuno(juu kidogo ya makalio yake).


--Shika Kende zake na kuzichezea(taratibu usimuumize) na tumia midomo yako kutumbukiza pumbu na kuzitoa kama vile unapuliza ki-slow-mo.

Anza na hivi, vingine tutaendelea kuelekezana jinsi unavyoendelea na maisha yako ya ndoa.


Maana ukionyesha mengi jamaa anaweza kukushangaa....Lol!


Hongera sana kwa kuchumbiwa na kila la kheri kwenye maandalizi ya Ndoa yenu. Mungu awaongoze na kuwalinda.
------------------

Comments

Anonymous said…
Hongera sana dada kwa kuchumbiwa na bado uko bikra mi nakushauri tu uvumilie japo inauma kama ulivyoambiwa aingize polepole baadaye utashangaa inazama yote wala hana uume mkubwa ila wewe bado njia yako haijafunguka ukizoea ndipo utapata utamu wa mboo hata mimi,kuhusu kumshika wapi mwanaume kila mtu na sehemu zake za kumsisimua ila kuwa tu mtundu kujaribu hayo dad dina aliyokuambia na utafanikiwa nakutakia kila la kheri na mafanikio.
Hamadi said…
Aende duka la dawa anunue mafuta ya KY. Itawasaidia kupunguza maumivu kwako. Hongear kwa kujitunza mpaka ukapata mchumba.
Hamadi said…
Aende duka la dawa anunue mafuta ya KY. Itawasaidia kupunguza maumivu kwako. Hongear kwa kujitunza mpaka ukapata mchumba.
Hamadi said…
Correction spelling ya 'hongera'. Aende duka la dawa anunue mafuta ya KY. Itawasaidia kupunguza maumivu kwako. Hongera kwa kujitunza mpaka ukapata mchumba.
Anonymous said…
Thnx sis mi mwenyewe nimeiba mautundu
Anonymous said…
we dada hongera til that age bado bikira i like that
Anonymous said…
dina hii blog ueiacha? DAH TUMEIMISS HASWAAAAAA
Anonymous said…
Napenda sana kazi zako!!!