Tuesday, 28 June 2011

Hivi kuna dawa Asilia ya kuongeza urefu wa Mb? Msaada...

"Mambo dada dinah na pole kwa shughuli nzito ya kutushauri na kutuunganisha ili tusaidiane kimawazo. Leo na mimi naomba ushauri ili niweze kusaidiwa kimawazo kwani nahisi kuchanganyikiwa kutokana na tatizo linalonikabili.

Mimi mwanaume mwenye miaka 25, nilikuwa na mpenzi toka 2007 but baada ya kumaliza form six tukaenda vyuo vikuu tofauti japo hilo hailikuwa tatizo kwani tulikuwa tunatembeleana sana.

Kwenye kufanya mapenzi binti huyo mwazoni alikuwa ananiambia anaridhika sana kiasi kwamba mpaka akawa analia sana sababu ya utamu. Nilikuwa na nguvu za ajabu coz kuna kipindi nilikuwa naweza kupiga mpaka bao tano bila kupumzika kwa muda mrefu kiasi kwamba alishawahi kuniambia kuwa kwa mntido huo wa kitombo hicho ndoa itamshinda japo kesho yake alikuwa anataka tena.

Nilimsimulia Daktari mmoja akaniambia nipunguze coz itaniathiri. Mwaka 2010 nilienda kumtembelea huyo demu wangu nikakuta mwenendo wake ni wa utata mtupu kwani hana bashasha na mimi alafu akawa na jeuri sana, kakini nikaongea nae kwa upole nini chazo cha ku-change akadai nothing.

Nikamwambia nahisi ana- cheat, akadai ningegundua wakati wa kufanya mapenzi, nikamuuliza kivipi akasema ningegundua mabadiliko kwenye Uke wake kwani mboo ziko size tofauti so ningekuta kuma yake imetanuka.

Hii ilinifanya nielewe kuwa anamaanisha kuwa mboo yangu ndogo so ikiingia nyingine kwake itatanua. Kila tukiwa tukisex ananiambia kuwa hasikii kitu, nikawa nabadilisha staili kwa staili but hakuna kitu zaidi ya kuambiwa hahisi chochote ninapoingiza, eti haisikii.

Kauli hii ilinivunja moyo kabisa na kilichofuata hata nikahisi kupungukiwa nguvu za kiume kwa hofu kubwa, mara ikawa haisimami. Baada ya muda mfupi tukaachana kwa visa vyake.

Kwa sasa nimepata demu mwingine ambaye anadai namfkisha kileleni kwani namtomba kwa nguvu ile ile ya awali na sichoki mpaka yeye aseme basi but juzi kanichanganya akili kwani kaniambia eti nitumie dawa ya kuongezea urefu wa mboo kwani kuna sehemu inakuwa haifiki vizuri inaishia katikati so anahisi kuna radha anakosa.

Nilimpongeza kwa kuwa mkweli kuliko kuni-cheat but nashindwa kuelewa dawa gani ni nzuri, naogopa dawa za Kizungu na natamani kutumia za kienyeji (kimasai) but nazo sijui madhara yake kwani sijapata mtu aliyetumia anishuhudie.

Kwa sasa Uume wangu urefu ni inchi 5.2 na unene (mzunguko) ni inchi 5 kamili ikisimama. Mpenzi wangu nadai unene wa mboo unatosha vizuri but tatizo ni urefu, je ninaweza kuongeza urefu bila upana? na urefu mzuri ni inchi ngapi isije ikazidi ikawa kero? na je hakuna madhara siku za usoni?.

Naomba msaada jamani, nahisi kuchanganyikiwa".

Saturday, 25 June 2011

Nisipo lianzisha ndio imetoka hiyo....

"Mimi ni yule dada ambaye mume wangu ni mbinafsi katika mapenzi, sasa ni hivi, kabla ya ndoa yetu tulidumu ktk mahusiano kwa miaka miwili, tulikuwa tukikutana kimwili mara chache kwasababu ya umbali na tulikuwa tukifurahia hilo tendo.

But toka tumefunga ndoa mambo ndio kama hivyo, nimeongea nae sana tu, nimetafuta movie zinazofundisha mapenzi, lakini mwenzangu anasema ye hawezi kufundishwa hivyo vitu. Mume wangu kanizidi miaka tisa, ni muhasibu ktk Ofisi moja hapa mjini, najitahidi kumpa muda wa kupumzika wa kutosha.

Lakini kama nisipomuomba tufanye mapenzi inaweza hata kuisha wiki mbili hatujafanya mapenzi wala kuchezeana na nikimfanyia romance mboo inasimama akitaka tu kuingiza inalegea na mchezo unaishia hapo, nimejitahidi kumuomba afanye mazoezi hataki anadai hiyo sio dawa. Najitahidi kupitia hii Blog kutafuta ufumbuzi lakini mwenzangu hanipi ushirikiano.

Sielewi labda ni wapi nakosea au nifanye kipi kuokoa hili, inafikia hatua nahisi labda nianze kujimasterbate mwenyewe ili nikidhi haja yangu coz naogopa sana kusaliti ndoa nahisi ni dhambi kubwa but ntafanyaje. INAUMIZA SANA.
Nahitaji msaada wenu jamani "

Dinah anasema: Kwa haraka haraka tu, kutokana na maelezo yako inawezekana kuna machache yanaweza kusababisha, moja ni kuwa mumeo anauwezo mdogo wa kungonoka na ndio maana mlipokuwa mnaishi mbali mbali aliweza kufanya bila shida(alikuwa hafanyi kwa muda mrefu kwa vile uko mbali) sasa kwa vile sasa mmefunga ndoa na mnaishi pamoja inakuwa ngumu kwa mumeo kukidhi mahitaji yako hasa kama uwezo wako umemzidi kiasi....anahitaji uelewa wako na kumkubali jinsi alivyo(huo ndio upungufu wake).

Pili, labda mumeo anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume, amekuzidi maiaka 9 wewe una umri gani? Ikiwa anaumri wa miaka 35-40 (wanaume wengi hupungukiwa) na akifikisha miaka 41+ zinaweza kurudi kwa kasi ya ajabu mpaka ukamikibia. Hii ni sensitive issue kwa wanaume wengi nahuwa hawapendi kuizungumzia nahivyo kujiongezea mawazo hali inaweza kuongeza tatizo. Tafuta namna ya kumshauri ili akamuone Daktari kwani tatizo hili lina tiba.

Tatu na mwisho labda humvutii tena(umesema anasimamisha vizuri tu lakini akitaka kuingiza tu kitu kinanywea na hawezio tena), hebu jiangalie umebadilika nini tangu miaka michache iliyopita? Je umeongezeka au kupungua uzito? au labda sasa unatumia madawa ya kuzuia mimba kwa vile uko kwenye ndoa lakini awali ulikuwa unatumia Condom kwa vile hamukuwa kwenye ndoa!

Matumizi ya madawa yanaweza kubadilisha "hisia" za uke wako kila anapoingia kwa maana kuwa inawezekana maji-maji ni mengi kuliko ilivyokuwa awali na hivyo ina m-put off mumeo (kukiwa na unyevu sana mwanaume anashindwa kufurahia tendo kwa kutopata msuguano uumeni).

Fanyia kazi hayo matatu niliyoyagusia ili kupata ufumbuzi wa tatizo, ikiwa la kwanza ndio linalomsibu basi huna budi kumkubali kama livyo. Kama la pili ndio tatizo ni vema kuwa mvumilivu na kuongeza mapenzi ya kihisia zaidi sio lazima akuingilie kwa uume wake anaweza kutumia viungo vingine kama kidole, ulimi n.k. na siku maluhani yakimpanda basi atafanya kwa uume wake. Ndoa ni uvumilivu na hili linavumilika au sio?

Ikiwa la tatu ndio tatizo basi hakikisha unarudia ile hali ya mwanzo, kama ni kuzuia mimba unaweza kutumia njia nyingine na sio hiyo inayokukondesha au kukuongezea uzito(inategemea umebadilikaje.

Oh! by the way kujichua hakuna tatizo na ni salama zaidi kuliko kutoka nje ya ndoa yenu. Tusubiri ushauri wa wasomaji wengine....
Kila lililojema.

Wednesday, 22 June 2011

Penzi linapwaya kwavile mpenzi haongei nami bali na EX wake!

"Mimi naitwa Noel naishi Dar es Salaam, habari yako dada. Tatizo langu ni kutompenda mpenzi wangu na sababu ni kitu kimoja ambacho ni kutokujua kuongea au kupiga soga na mimi.

Usiku anaongea kwa simu na wanaume tofauti tofauti asiowajua mbele yangu, sio kwamba namnyima uhuru lakini nadhani sio tabia njema. Siku moja nilichukua namba moja kati ya zile anazopiga piga usiku na kuipiga, alipokea mwanaume na kudai kuwa mpenzi wangu huyu ni mpenzi wake.

Nilipomuuliza mpenzi wangu yeye akadai kuwa jamaa ni Ex wake, kama ni mpenzi wake wa zamani je kuna umuhimu wa kuendelea kuzungumza nae wakati kwa sasa yuko na mimi na tunaishi pamoja, kinachokera zaidi ni kuongea nae usiku akidhani mimi nimelala, nikijitingisha au kujigeuza anazuga.

Nalinapokuja suala la kufanya mapenzi ni mpaka nimkumbushe hivyo najilazimisha kuvuta hisia pekeyangu kwani yeye hajishughulishi na lolote utafikiri ni mimi tu ndio nina shida ya kufanya mapenzi. Kiukweli tabia hiyo siipendi kabisa.

Maswali yangu ni haya, je kwenye kufanya mapenzi kunakulazimishana? na je mwanamke huyu wangu anaupendo wa kweli na mimi?

Kama sasa yuko hivi huko mbeleni itakuaje? na je endapo nitaamua kumuacha kutakuwa na makosa?"

Tuesday, 7 June 2011

Natatufa mtoto, nilingonoka mpaka K ikatetemeka lakini wapi!!

"Hi dada dinah,
Pole na kazi, leo kwa mara ya kwanza ndio katika pekua pekua yangu nimekutana na blog yako.Ninashukuru sana na nimefurahi sana kwani kuna mengi yalikuwa yananitatiza na nimepata ufumbuzi wake.

Dinah,mimi ni mwanamke wa miaka 25 nimeolewa miaka mitatu iliyopita na baada ya kuolewa mume wangu alisafiri kwenda nchi za nje na maekuwa huko kwa miaka miwili sasa. Nimekuwa nikitamani kuwa mama yaani nizae na nguvu zangu dada yangu, hivyo nikafunga safari kumfuata.

Nilitegesha tarehe za mimba nikaomba Mungu anisaidie,nilipata Period Tarehe 9 mwezi wa tatu na nikafika kwake tarehe Kumi na Tisa mida ya mcha. Alifurahi sana kuniona maana hakutegemea.

Dinah hapa ndipo majonzi yaliponishika! mume wangu kwa mbwembwe alinipikia na hatimae kama kawaida tukaingia kitandani, alikuwa na nyege za kutosha ila maajabu ikawa kila akiingiza Uume kwenye Uke inanywea nakuwa kama kidole cha mtoto dada.

Mdogo wako nilitumia ujuzi wote alionipa bibi, somo, mama,kila mtu wapi!!! nikamwambia may be ni stress au mshtuko coz it has been a long time since we made love na hajauona Uke yangu, akawa hana la kusema.

Ninampenda sana na sikutaka kumpa room of doubt kuwa ninamuhisi vibaya. Tukajaribu tena ukasimama uboo fasta akakojoa dinah shahawa zikaingia...tukapumzika na kuongea mawili matatu...yeye ni mcheza mpira so nikampa moyo may be mazoezi na vitu kama hivyo.


Usiku tukaingia tena mzigoni ile imesimama tu kaingiza kakojoa lakini kwasababu nilikuwa nina-plan za kushika mimba nikajibana zisitoke angalau ziingie...nikajipa moyo kuwa shahawa zinakaa masaa 72 so kuanzia tar 19 itakuwa 20,21,22 may bi itakuwa poa.

Basi dada nikajipa moyo sasa baadae itakuwa ok, lakini dada mume wangu hakuweza kitu, basi nilipika supu, nikamtengenezea milk shake,j uice, maziwa kila unachokijua wewe kinatengeneza sperms zitoke nyingi lakini wapii!.

Mwishowe ikawa inasimama ananitomba kisawa sawa nakojoa mimi ila yeye hakuweza kukojoa, tukabebana hadi Hospitali kujua kulikoni? Wazungu wakampa kidonge hapo ndio niita maji mma,maana nilitombwa hadi nikatubia salam, yaani raha zikapitiliza zikawa karaha na hakukojoa!! mwishowe ikabakia kupapasana na kukojozana kwa ulimi tuu mana mboo nilikuwa nauogopa, yaani uke wote ulikuwa inatetemeka.

Baada ya wiki mimi nikarudi zangu home, sasa dinah hebu niambie je mimba inaweza ikawa imeingia?na je nitajuaje kama ipo au laah, halafu tangu siku hiyo ilipofika siku ya tano tangu kamake love uke wangu umekuwa ikitoa ute fulani kama mlenda mlenda unateleza teleza na nikikojoa na kutia kidole ndio nauhisi tofauti na mwanzo, je yaweza kuwa ni dalili za mimba dada yangu.....??"

Dinah anasema: Hahahaha kipengele cha pili kutoka chini kimenichekesha! Shukrani sana kwa mail na maelezo yako ya uwazi kweli kweli, natumai sasa mimba imeshika maana imekuwa muda kidogo, lakini kama bado na kwa faida ya wengine napenda kuongezea yafuatayo.

Wewe ulimfuata mume wako ukiwa na stress (ulipania kushika mimba) unapokuwa na stress miwli wako unatuma sign kuwa hujisikii vema na hivyo Chembe Chembe nyeupe zinazokulinda dhidi ya maambukizo na magonjwa zinakuwa tayari kupigana na chochote kitakachoingia mwili mwako.

Manii/Shahawa zinapoingia mwilini White cells zinazi-attack zikidhania kuwa ni wadudu/maamukizo (zinavyoingia ni kama wadudu na huenda kushambulia yai lako ili kulirutubisha na hatimae kuwa mimba), sasa kama Shahawa za mumeo zilikuwa chache na hazina afya njema(hazina mbio sana) hukamatwa na kumezwa na Chembe nyeupe kabla hazijalifikia yai.....matokeo yake hakutakuwa na mimba.

Unapotaka kushika mimba unatakiwa kutulia na kufanya mapenzi na mumeo mara kwa mara, muda uliokuwa kule ulikuwa mzuri na ingekuwa rahisi kushika mimba ndani ya siku tatu kama wote mngekuwa mme-relax nakufanyam penzi kwasababu mnapendana na sio kwa vile mnataka kumimbana.

Ukishika mimba huwezi kujua na hutokuwa na dalili yeyote mpaka baada ya wiki 3-4, huo ute unaokutoka ni ishara kuwa yai lako limepevuka(siku za hatari kama hutaki mimba lakini siku njema kama unataka kushika mimba), ute huo husaidia kwa kiasi kikubwa kusafirisha mbegu kwenda kwenye yai n akulirutubisha.

Ute unaoashiria mimba ni mzito namweupe kama maziwa a.k.a Utoko(kutokana na uzoefu wangu Utoko huongezeka kwa kasi ya ajabu mpaka kero)

Natumai kitu na box....kama bado usikate tamaa na wala usiwe na haraka, mbona bado mdogo sana 25yrs of age? Bado unamiaka 15 ya kuwa mama ukiwa na nguvu zako, relax na kama Mungu ameweka Tick hakuna wa kuiondoa, utashika Mimba when youbody is ready and relaxed.

Kila la kheri!

Monday, 6 June 2011

Mimba imeniongezea Libido ila Mume hawezi kuingia-Ushauri

"Habari yako Dinah,
Mimi ni mpenzi wa blog yako na nipo ndoani na namshukuru Mungu. Nimejaliwa kupata ujauzito wa kwanza na sasa nina ujauzito wa miezi 5. Tatizo nililonalo yaani nina hamu sana na mume wangu kwenye masuala ya Kungonoka ila tatizo linakuja kwangu hata afanye nini jamani K yangu hailainiki kufanya Uume uingie kwa urahisi.

Na kama nikimwambie aingie hivyo hivyo napata maumivu makali. Ananiandaa vyakutosha ila wapi yani hakuna matokeo yoyote mazuri. Sasa naombeni kujua kama ndivyo inavyokua au nifanye nini au nitumie nini ili niweze kungonoka kwa kuteleza kama ilivyokuwa awali.

Sababu nakosa raha ya mume wangu na yeye pia kumweka katika kipindi kigumu. Naomba msaada wa mawazo yenu waungwana,
Asanteni"

Wednesday, 1 June 2011

Je kuna madhara ikiwa hupati ngono kikamilifu?

"Mambo Da Dinah hongera sana kwa kujifungua jamani, mimi nina suala linanitatiza kidogo hivyo ninaomba mawazo ya watu wengine. Nina umri wa miaka 25 na mpenzi wangu ana miaka 34, yeye husafiri sana yaani kila mara anasafiri tena nchi za nje na mikoani pia.

Sijawahi kuongozana nae kwenye hizo safari zake kwa hiyo siwezi sema au kujua huwa anafanya nini huko. Tatizo langu ni kuwa hatufanyi ngono kama watu wengine, yaani toka january ianze tumefanya mara tatu tu!

Saa zingine anakuwepo nyumbani lakini wala hana habari na mimi, huwa naona mwenzangu sijui hataki au hapendi yaani hata sielewi. Mimi napenda kufanya mapenzi lakini siipati hiyo ngono basi nahisi naathirika Kisaikolojia, maana nyege ninazo kibao ila sasa wakunitoa ndio huyo haeleweki.

Sasa je mtu anaweza akaugua kwa kukosa kufanya ngono kikamilifu? au kuna madhara yoyote mtu anawezakupata ikiwa hafanyi ngono kikamilifu?, asanteni"