Sunday, 6 November 2011

Nimevumilia tofauti zake kwa Ex, ila hili lanishinda...

"Habari da Dinah!
Jamani nimeshawishika kukuchagua wewe kama msaada kwangu, umri wangu ni miaka 29ti mwenye jitihada sana katka maisha. Kinachonikatisha tamaa ni mpenzi wangu ambae simuelewi kama ana ugonjwa au la, maana ni miezi tisa sasa hanifikishi kila tukianza kufanya mapenzi.

Hali hii aliyonayo mpenzi wangu hakuwepo awali, imejitokeza mwaka huu na sasa ni mwezi wa tisa anawahi kukojoa sekunde chache tu tangu tuanze tendo. Imefikia hatua ya kujichua mwenyewe na hata kufikiria kutoka nje ya uhusiano wetu ili niridhike kingono...so horrible!

Licha ya tatizo hilo nimekuwa nikivumilia tofauti alizonazo compared to my ex relations, ukweli ni kuwa he is not smart as my either he is romantic, nimejaribu kum-pimp atleast aweze kunivutia  lakini habadiliki, yaani ni kama anapuuzia vile.


Tatizo ni uoga wa kumuacha kwani ataniona kama namkimbia kwa mapungufu aliyonayo kimwili na kikazi. Nisaidieni mwenzenu kwani nahisi nina mwanaume jina. Asanteni"

4 comments:

Anonymous said...

habari mdada,pole na hongera kwa uvumilivu!!miezi tisa sio masihara,sio wote wavumilivu kama ww,pia usikate tamaa kama kweli bado unampenda mchizi!....kuusu kuwahi kukojoa kuna mengi,umezungumziaa mapungufu kikazi, (nahisi umemaanisha hana kazi)kama ni hivyo,anapokua loose mda mwingi anakua anawaza ngono,labda anaangalia sana porns,inawezekana pia akawa anapiga puchu mara kwa mara na kupelekea yy kuwah kukojoa akikuacha unahaha,kama anakuskiliza,jaribu kumshauri awe anafanya mazoezi,na ajaribu kujiweka bzy,na wakat wa kusex ajaribu kucontrol hisia na mawazo yake,hatakiwi kuskilizia utam tu,kama anakujali atahakikisha anakufikisha 'peponi'!kuusu kua smart,labda haoni sababu ya msingi ya kua smart,ongea nae mfungue macho,muelezee vile unavyopenda ww awe,pia jaribu kumpeleka sehem ambazo kuna smart pipos,aone wa2 wanavyojipenda labda wivu utamjia atabadilika!good lucky...

Anonymous said...

Pole dada kwa yote.
Wanawake tunavumilia mambo mengi sana hasa katika mahusiano.
Mimi ninalo tatizo kama la kwako, kwa upande wa kujaribu kum-pimp jamaa yangu ili tuendane.
This guy yaani sio polished na ni semi-illiterate.
Sasa problem ni kwamba yeye harekebishiki, anapuuzia tu, sijui ndio karidhika na hiyo hali?

Yeye ni mfanyabiashara na anakutana sana na wafanyabiashara wa kimataifa, so, najaribu asiji embarrass akiwa na wao kwa kumfundisha basic etiquette , lakini wapi, hapendi kubadilika.
Eg. Dirty finger nails, table manners, etc..
Yani nikiwa naye huwa saa zingine naskia kum …
But at the end of the day, he’s great in bed … kwa hio, nafumbia macho hayo mengine …. for now ..

Ushauri wangu kwako, kama hamna hata point moja nzuri kwake ambayo inaweza kukufanya ukayavumilia hayo MAPUNGUFU mengine aliyonayo, hit the road gal … Life is too short and good satisfying sex is everything, that’s why hii blog imeanzishwa na that’s also why wanawake wenye ma PhD yao wanatombagwa na ma house boy …

With good sex, you can ignore other things sometimes …

Anonymous said...

skiza dadangu.mwanaume mwenye siha njema (asiye na matatizo ya kiafya)ana uwezo mkubwa sana kitandani.na ndo maana mwanaume mmoja ana uwezo wa kusex na wanawake kadhaa pengine kwa siku au masaa kadhaa.huyo mwanaume wako kama hana tatizo la kiafya naweza kuhisi kuna mambo yafuatayo; 1.Hamna mahusiano mazuri kati yenu 2.Umepoteza mvuto kwake kiasi hakufurahii tena 3. Unampangia muda wa kusex (muda ambao yeye anataka kusex ww hutaki,yy anapotaka ww hauko tayari)4. Ana mwingine au sehemu nyingine anakomaliza shida zake.

Suluhisho ni mkae pamoja na kuongea chanzo tatizo ni nn.Pia jitahidi kujiweka msafi ili akutamani coz wkt mwingine wanawake wengine wanajisahau sn kujiweka nadhifu hasa walikwishaolewa. Mpe anapotaka na uache visingizio coz inaweza kuwa chanzo cha mwenzio kukasirika na kwenda kumaliza shida zake nje kimyakimya na kukuchunia ww.

Huo ndo uzoef wangu mdogo.sorry km nimekukwaza.

Anonymous said...

Tatizo halipo kwake tu, bali kwenu wote. Jichunguze ww kwanza kabla hujamuhukumu.