Sunday, 6 February 2011

Mume Mzinzi lakini hataki kunipa Talaka, nifanyaje?

"Habari dada Dinah pole na majukumu, naomba mnisaidie niko njia panda, mimi niliolewa miaka mitatu ilipota histori fupi ya mimi na huyu mume dada Dinah ni hivi: Tulikuwa wapenzi toka tuko shule, baada ya kumaliza mwenzangu akapata kazi kwenye hotel kubwa tu hapa dar.

Wakati huo mie nikawa niko field Airport tukawa tunaishi pamoja kam amume na mke, visa vikaanzia hapo. Mwanaume akawa anapigiwa siku na wanawaka mara akanza kuwa anarudi nyumbani asubuhi. Ikafikia hatua ya kunifukuza pale na kuanza kubadilisha wanawake dada dinah.

Vitu vilivyoko pale nyumbani vingi tulishirikiana kama wapenzi kwakweli niliumia sana kwasababu nilikuwa nampenda. Basi tulitengana nikarudi kwetu na nikapata ajira baadaya Field. Baada ya miezi kama sita hivi akaja kunibembeleza huku akiniahidi hatarudia tene na amekuja kwa ajili ya kunioa.

Nilikubali dada, tukafunga ndoa na tukabahatika kupata mtoto wa kike, ndungu zangu wakanisaidia kunishughulikia tukapata nyumba ya NHC naye pia alitoa pesa zake ila hati zote ziliandikwa jina langu.

Kama ilivyokuwa kabla ya ndoa akaanza visa tena, sasa akawa ananitukana matusi makubwa mbele ya h/girl mpaka majirani wanasikia mara aniambie "wewe mwanamke gani mie sinimekusaidia tu kukuoa", mara anipige, anarudi Alfajiri akiwa amelewa.

Nimejaribu kumwambia nataka Talaka yangu hataki kunipa, sasa nilichoamua mwezi wa tatu sasa sitaki kabisa kushare nae love. Kinachonikera kwasasa ni kwanini hataki kunipa Talaka yangu aendelee kufanya mambo yake!

Naombeni mnishauri, nitaipataje Talaka yangu kutoka kwa huyu mume ili na mimi niwe huru?
Asanteni.

7 comments:

Anonymous said...

ULIKOSEA MWANZO MPENZI WANGU MWANAUME ASIKWAMBIE HATORUDIA TENA UKAMUAMINI NI WACHACHE SANA WASIORUDIA.THE WAY I KEN C HUYO MWANAUME HANA UPENDO WA DHATI KWAKO THE ONE ANAEKUPENDA ATAOGOPA KUKUPOTEZA.SASA YEYE AMEKUOA ILI UWEPO TU AKIENDA NJE YAKIMZIDI ANARUDI KWAKO YANI UNAKUA KAMA GOALKEEPER UNALINDA MLANGO WENZIO WANACHEZA.POLE MSHAURI ASIPOSIKIA MFATE MSHENGA MUELEZE YOTE IKISHINDIKANA WATAFUTE WAZEE WAONGEE NAE.ILA USIMUACHE MUMEO HUYO.MVUMILIE TU.

Anonymous said...

POLE sana mwanamke mwenzangu kwa yanayo kukuta,mimi napenda kukushauri ya kwamba mambo ya kupigana na kuzalilishana yamepitwa na wakati,fanya hivi kaa nae wewe na yeye na umweleze kama hiyo hali ya matusi na kukuzalilisha kwamba uipendi,alafu msikie anakuambiaje,pili nenda kwa wazazi wa pande zote mbili waeleze ilo swala na tatu nenda kwa mchungaji au padri au shehe waeleze nenda kwa hawa watu kutegemea na dini yako au dhehebu lako.mwisho kabisa maamuzi yako ndio uyaheshimu kwasababu wewe ndio unae teseka na hayo mambo,unajua dada mwanaume ambae ni ubavu wako hawezi kufanya hivyo ni lazima atakuwa anakuwa na huruma na wewe kwa mambo ayatendayo juu yako.hivyo basi isije mtu akakuambia eti vumilia mwanaume mkorofi havumiliki maana hiyo ndio tabia yake labda MUNGU wenyewe aliyemuumba ambadilishe,lkn usijali shiriki sana kwenye maombi mwambie "MUNGU kama huyu fulani ni ubavu wangu mtaje kwa jina basi MUNGU wangu mbadilishe na kama sio ubavu wangu basi ndoa hii naomba uitenganishe kwaku ni wewe tu ndio unaweza kuitenganisha kwa kua ulisema ulicho kiunganisha wewe Mwanadamu hawezi kukitenganisha"Alafu mwachie mungu afanye sehemu yake na mungu atatenda kulingana na imani yako.zingatia sana dada haya na nina amini utarudi tena kwenye bloog hii kutushuhudia.nimekuambia umuombe mungu kwasababu wengi wetu sasa hivi tunaolewa na watu ambao sio wetu yaani ubavu wetu na ndio maana ndoa zetu zina kuwa za machungu.pole sana na mungu takusaidia na mimi nitakuwa nakuombea japo sikujui lkn nimeumia sana kusoma haya uliyotueleza mungu akutie nguvu.

Anonymous said...

Kwani amekuambia hakupendi unaposema hataki kukupa talaka??? kwani wewe unashindwaje kumpa talaka?Mwanamke mwenzangu wewe mbona unatutia aibu hivyo kwani talaka lazima akupe mwanaume?

Nenda mahakamani kaombe talaka kama mumeo umemchoka.Mnime unyumba kabisa na hamisha kitanda chako msijuane kama unaogopa kuchukua talaka.

Anonymous said...

kwanza pole shost...nimejaribu kumfikiria huyo mwanaume nimeshindwa kumpatia picha ana matatito gani manaaake kama alikuwa hakutaki kwann alikuja kukuomba mrudiane na kwanini alikuoa?! kwa kweli huyo mwanaume ni mpuuzi na ana utindio wa ubongo...
for my advice mwenzangu kik him out kwani iyo nyumba si ya kwako ina jina lako ka hataki kuondoka mtafutie vyombo vya sheria
life is too short we have to be happy kama limtu litaka kukufanya uishi kwa shida bi dada dont let him...
kik him out he is a monster...

Anonymous said...

Pole kwa tatizo lako. Mimi ningeshauri mkae chini muongelee tofauti zenu ili kila mmoja ajue tatizo liko wapi halafu mtajua la kufanya. Na ikibidi muwaite watu wazima pande zote mbili,kwako na kwa mumeo ili waongelee suala lenu ili pande zote mbili wajue hata utakapoondoka tatizo ni nini.Usikimbilie kuomba talaka kumbuka kuna mtoto anayehitaji malezi ya Baba na Mama, ila kama anatabia ya kutoka itabidi utumie condom maana hujui anakutana na wangapi anapolala nje.

Anonymous said...

Dada, wewe unatakiwa upunguze mawazo ili uweze ku-relax wakati wa tendo. Jaribu kuweka akili yako yote kwenye tendo lile ili uweze kupata hisia. Pia jaribu kujua sehemu gani ukiguswa unasikia utamu. Unaweza kujipapasa mwenyewe ukiwa faragha ili ujue mwili wako na wapi panakupa raha zaidi. jaribu matiti, kuma, mkundu na sehemu nyingine. Usihofu, ni kawaida sana. Unaweza hata kujikojolesha mwenyewe ili ukiwa na mpenzi wako umwelekeze taratibu wapi unafurahia zaidi. Jaribu hivyo.

Anonymous said...

pole sana kwa yanayokusibu. Niseme hali hiyo huwapata watu wengi, kwa sababu wanadamu wanamaumbile mawili yaani umbile la nje ambalo watu wengi kupitia hilo huwapenda na kuamua kuoana nao, na umbile la ndani ambalo ndio huamua mawasiliano yenu ya ndoa yawe kama yawe mabaya au mazuri. Bahati mbaya umbile hilo la ndani huonekana baada ya kuishi na huyo mtu kwa muda. Uzuri au ubaya wa masiliao hayo unaweza tafsiriwa tu na wanandoa wenyewe na pia jukumu la kuvunja uhusiono unaweza ufikiwe na moja kati ya wanaandoa hao au wote kwa pamoja.Kwa maana hiyo tasahaanga kama kweli unanyanyaswa kiasi hicho na wewe mwenyewe umeamua kuachana nae isipokuwa tu unangoja talaka. Talaka ambayo wanaume wengi wameitumia kama rungu la kuwanyanyasa wanawake. Kama kweli umeamua kuondoka na hataki kukupa talaka kwanini huendi kudai talaka mahakamani? Hata hivyo kama hayo unayoyasema ni kweli takuwa nakufananisha na abiri aliyeko kwenye basi na bahati mbaya basi limshika moto na wewe hutaki kushuka mpaka urudishiwe nauli yako na konda. Nakushauri shuka kwenye hilo basi kama ni nauli utapewa baadae.