Friday, 14 January 2011

Nipo na Mpenzi alie-cheat on her X with Me, je anaweza kuni-cheat na mimi?

"Hallo dada Dinah, Nakupongeza kwa kazi nzuri ya kuelimisha jamii kwa maswala mbalimbali ya mahusiano na mapenzi. Hongera sana.

Mimi ni kijana mwenye miaka 33, nina mpenzi niliyekutana naye mwaka mmoja uliyopita na tumeanza kuishi pamoja tangia mwezi wa kumi mwaka 2010. Nina maswali mawili. Mpenzi wangu alishawahi ku-cheat na mpenzi wake wa zamani ambao waliokuwa pamoja miaka 7.

Kwa maelezo yake miaka miwili ya mwisho mpenzi wake wa zamani alikuwa anamdangaya mambo mengi na akapoteza trust kwake, mapenzi yakapungua na kwa kipindi hicho cha miaka miwili wakawa wanaishi nchi tofauti ila walikuwa wanakutana mara moja kwa mwaka kwa mwezi mmoja.

Swali la kwanza;Anadai alim-cheat jamaa yake na mimi na ndio ukawa mwisho wa mahusiano yao. Hivi mwanamke kama huyu anaweza kuaminika kwa mahusiano ya kudumu na mimi?

Mimi binafsi niko commited kuwa naye bila ya kuwa na mwanamke mwingine ila nahisi kama alivyofanya kwa wa zamani yanaweza kunitokea na mimi. vipi maoni yako na wachangiaji wengine kuhusu hili?

Swali la pili: Ninamridhisha mpenzi wangu huyu kwa ratio ya 6:10 yaani kwa kufanya mapenzi mara 10 mara 6 anakuja. Swali ili mwanamke kuridhika na mwanamme kabisa anapenda afike mara zote kumi? yaani kila mkifanya mapenzi lazima aridhike(akojoe)? ninakuwa sina furaha hizo siku ambazo hafiki.

Je mwanamke akiji-stimulate Clitoris akiwa on top huku uki-pump na akafika, itatafsiriwa kama amekuja kwa Vaginal orgasm au Clitoris Orgasm? mimi binafsi napendelea aje kwa Vaginal Orgasm zaidi.

Pia,Je mwanamke anaweza kufurahia ngono ukiishi naye zaidi ya miaka 3 sawa na jinsi mlivyokuwa ndani ya mwaka mmoja? je hamu ya mapenzi itapungua? haitasababisha kutamani new adventure?

Asante dada Dinah".

7 comments:

Anonymous said...

Nikianza na swali la kwanza la kucheat, alicheat nini? Hata hivyo ukweli ni kuwa katika mapenzi karibu kila mtu hucheat. Kwa hiyo tatizo si kucheat ila tatizo ni sababu zinazomfanya mtu adanganye.

Hata kwenye ndoa utajagundua kuna mambo wandoa wanadanganyana kwa nia ya kulienzi penzi lenu. Kwa mfano siku ukiwa huna hamu ya ngono na mwanzako ana hamu itakuwa haipendezi kusema hujisikii. Na hivyo utajikaza kufanya na at za end uta act kuwa umeinjoy sana. Hata baadhi ya wanawake ambao kutokana na sababu moja au nyingine huwa hawajisii kwenye ngono wameweza kudumu kwenye ndoa kwa muda mrefu kwa kuwadanganya waume zao kuwa wanainjoi kumbe hamna kitu,(japo binafsi ningewashauri wawe wazi ili watafutiwe ufumbuzi).

Lakini pia mwanamke kama binadamu mwingine anapenda kuwa huru kwa baadhi ya mambo na akibanwa sana na sheria za ndani hujaribu kucheat ili kupata fursa fulani fulani. Ninachokisema hapa ni kuwa mpaka akacheat alikuwa na sababu za msingi japo kwako zinaweza zisiwe za msingi. Hivyo basi usimhukumu kwa jambo ambalo halikutokea kwako, na tena huna sababu ya kuhofu kwamba aweza akucheat kwa sababu wewe si yule wa kwanza na ikitokea kutakuwa na sababu zingine na si kama zile za X wake.

Kuhusu swali la pili hili unapaswa umuulize mwenyewe. Yaani anza kujenga utamaduni wa kumshirikisha mwenzako kwenye tathmini kama anaridhika na hiyo ngono au la, pia jaribu kusikiliza mapendekezo yake anapenda ngono yenu iweje, mara ngapi na kwa mtindo gani na wewe pia umweleze hisia zako.
Hata hivyo naomba nikupe maelezo ya nyongeza kuwa hakuna kitu kinachoitwa vaginal orgaism au clitoris orgaism, ila kuna orgaism tu ambayo mwanamke anaweza akaipata kama atachangamshwa (be stimulated) baadhi ya sehemu za mwili. Baadhi ya Sehemu hizo ni kama nywele, matiti, kukandwa mgongoni, clitoris na zingine. Cha muhimu hapa ni kuwa kama walivyo wanaume wanawake pia wanatofautiana sana kuhusu sehemu hizo. Wako wanaopata orgaism kwa kushikwashikwa sehemu fulani ya mwili tu na si ingine. wapo ambao sehemu yoyote ukiistumulate wanapata orgaism, na wapo ambao hawataki kushikwa mahali popote wanapata orgaism kwa kuingiliana tu. Ni sababu kama hizi ndio zimwefanya wanawake wengine wajiingize kwenye mchezo mchafu wa kusagana.Hivyo fanya utafiti yeye ana pendelea nini zaidi.
Kuhusu mwanamke anaridika mara ngapi, kwa kweli hakuna hesabu au fomula. Wanawake wanatofautiana sana kama walivyo wanaume. Wapo wanaopata orgaism kila unaposex nae, wengine mara chache, na wengine akipata leo itamchukua siku kadhaa ndio apate ingine licha ya kukuruka kwako. Cha muhimu hapa lazima ujifunze mpenzi wako ni mtu wa namna gani. Ujitahidi kuboresha hivyo alivyo na sio kumbadilisha awe kama mwanamke mwingine. Na usimchagulie jinsi ya kupata orgaism au idadi ya orgaism, ache mwili wake uamue.

Niliwahi kusoma riport ya utafiti ambao ulifannyika marekani uliokuwa ukiwauliza wanawake pamoja na maswali mengine kuwa wangependa kupata orgaism angalau mara ngapi. Ajabu wanawake wengi walisema orgaism si kitu cha msingi na wakataja vitu vingine kabisa ambavyo vinawavutia sana kwenye ngono na mapenzi kwa jumla.

Kuhusu miaka mitatu ya mapenzi inawezekana ngono yenu kwa maana ya yeye au wewe au wote ikachujuka na hivyo shetani akaanza kuwashawishi kwenda onja nje. Jaribuni kwa pamoja kubadilisha mitindo na hisia mara kwa mara ili hili lisiwafike

Anonymous said...

dah!!mi ningependa kukujibu swalii la kwanzaa,kamaa wewee ulijuaa yuko na mtu why ukamrubuni uka msababishiaa achit...kunaa wawili inawezekana kwelii alipoteza trust kwa huyo boy wake that why akachit,na kuna uwezekano vile vile na wewee akuchit...CSE WAT GOES AROUND COME BACK AROUND.

Anonymous said...

Habari yako mydear!! Ningependa kukushauri kwa kuanza kwa kukuondoa wasiwasi kuwa sidhan kama ata kucheat wewe,endapo utakua unamjali na kumuonyesha upendo,na pia umtombe vizuri hadi atosheke! Kucheat kwa sisi wanawake mara nyingi inasababishwa na sababu chache kubwa,1. Mpenzi kutokukujali,2.kutokutoshelezwa kitandani,3.kulipiza kisasi kwa mpenzi asiye mwaminifu!
Ivo jaribu kumpenda na muwe wawazi to each other!! Gudluck bro

Anonymous said...

ndio hes going to cheat on you big tym, RUN if u still can!!

Anonymous said...

always judge people on the facts at hand and not what they did before. Give them the benefit of doubt, and you can only judge if they betray your trust.

Anonymous said...

Ongeeni mambo kwa pamoja ili akutanabaishe nini anapenda, yawezekana kuna maudhi alikumbana nao kwa mpenzi wake wa awali. Zungumzeni pamoja na mtaweza kudumu katika mapenzi yenu.

Anonymous said...

Mpenzi aliyecheat kwako anaweza arudie au asirudie kutokana na sababu gani ilimfanya acheat awali so muonyeshe kujali, umpende wanawake wanapenda kupendwa ila ukimtreat ovyo na aliweza kucheat na wewe mbona rahisi tu!