Monday, 3 January 2011

Nilitalikiwa Kisa Usomi, sasa nimepata mpya lakini....Ushauri!

"Hi da Dinah!
Mimi ni msomaji na mfuatiliaji wa blong yako, shortly I like it and I you as well. Nina 30years nafanya kzi kama Mhasibu Ofisini kwa mkuu wa nchi hii! Dinah tatizo langu ni kutaka ushauri kuhusiana na mwanaume nilie nae, lakini kabla naomba nikupe hadithi ilivyokuwa.

Nilipokuwa na 25yrs niliolewa na mwanaume wa Kiislam kama mimi na nikaenda Chuo soon after ndoa! Baada ya kuanza chuo ikawa ni tatizo kwa wifi zangu na Baba mkwe that kwanini nisome kabla ya kuzaa alafu pia mume wangu ni Form 4? Kwa nini nimpite kielimu?

Tatizo likandelea na likawa kubwa, Baba mkwe alimwambia mwanae achague moja a Divorce au la yeye sio baba yake. Nilipokuwa mwaka wa pili mume wangu akanishauri niache chuo nami nikakubali lakini after 2 months mama yangu akaja juu kwanini niache chuo kisa shinikizo la baba mkwe?

Nikaenda kwa mshauri wa wanachuo Chuoni for ushauri, yeye ndio akanishangaa na kuiomba nirudi Chuoni ! In a dilema nikarudi chuo na within a week wifi yangu akaniletea Talaka Chuoni ! Nusu nijiue kwa kuchanganyikiwa ila kwa sababu ni Muislam tena safi sikufanya hivyo!

Niliumia kwasaabu yeye ndio alikuwa mwanaume wangu wa kwanza na sikuhitaji mtu mwingine tena maishani mwangu! Maisha yakapita na nikamaliza Chuo salama na kuanza kazi. Siku moja nikakutana na Ex baba mkwe akiwa na shida fulani, kwenye maongezi akaniambia "mwenzio anakuhitaji tena na bado hajaoa".

Mimi nikamsaidia shida yake bila kumjibu lolote, nilimsaidia kama binadamu lakini roho iliniuma sana kwa kusikia habari kuhusu Ex hubby wangu. Kwa bahati mbaya Baba mkwe alifariki Dunia mwaka 2009 na my Ex hubby akaja kutaka turudiane lakini mimi nikakataa.

Akaanzakunifanyia fujo wherever he sees me! One night nilikutana nae wakati narudi kutoka Kitchen party alinitolea Bastola , thanks God alikamatwa na kuswekwa rumande for a long time !Niliapa siitaji tena mwanaume, ila watu na wazazi hawakukubaliana na mimi , then nikaamua kuwa na mtu ingawa nilikuwa naogopa sana!


Sasa tatizo ni kitandani, yaani kuwa zaidi ya mara kumi nilizojaribu kuwa nae kitandani akitaka kugusa tu basii "kashacheka", akijitahidi na kusimamisha tena bado anaceka kabla hajagusa. Kaenda kwa daktari, kajaribu mazoezi , kasoma article zako nk ! imeshindikana !

NIFANYEJE? Je niachane nae na kusubiri mwingine au nivumilie?
jemmy, DSM "

19 comments:

Anonymous said...

Muulize kabla ya kuwa na wewe huko kwingine alikuwa vizuri au hilo tatizo limeanza baada ya kuwa na wewe? Kama tatizo limeanzia kwako basi ujue kuna mkono wa mtu hapo kulingana na stori yako ilivyo, kama toka huko kwa wengine mambo yake ndo hivyo hivyo kwa mbinde, hapo huna jinsi itabidi tu muachane tena kabla hamjaingia kwenye ndoa maana hata ukijidanganya kwamba uendelee nae utaishia kuja kumcheat tu, sex ina play part kubwa sana katika mapenzi mtu asikudanganye, sasa basi kama mmoja hamkidhi mwenzie itakiwavyo lazima mambo yatakwenda kombo tu.

Anonymous said...

Eh so mmefunga ndoa au bado mpo ktk zoezi? Kama bado ni tize,je mechi ataiweza huyo kijana? mi nakuomba umvumilie kama kweli unampenda ukijua yuko peke yake dunia yooote. Si unajua hakuna mtu ambaye ni fotokopy ya mwingine! so ikiwa unamnthamini kiukweli mvumilie tuu siku moja labda ataweza kuchekea ndani ili nawe ufurahi. Lakini kama humfeel,ah piga chini wako majamaa betry zinachaji mbaya,yaani hata trip 6 mtu anapiga mfurulizo(siwezi jua hayoo ya ex wako)mpaka unazunguka sayari zoote kwa utamu uliochanganyika na raha,maana one day utatoka nje tu,afu iwe balaa zaidi,otherwise all the best katika uchauzi wako,pamoja na upendo ktk ndoa,ila kasegment ka kitandani ni MUHIMU wajameni mhhh!
Cheers,frm rock city

Anonymous said...

Heri ya mwaka mpya dada Dina.

Pole sana dada yangu kwa matatizo ya mumeo.Kwanza usimuache mume.Jaribu kumshauri umfanye foreplay kwa muda mrefu hata kama ikiwezekana akuchezee uke wako ili uweze kufika kileleni(Reach your orgasm).Pia mshauri mumeo aondoe mawazo yoyote aliyonayo wakati wa tendo la ndoa na ajaribu kujizuia kufika kileleni mapema.

sauda said...

Dada Pole sana kwa mtihani huo uliokupata, ninawasiwasi na hivyo unavyojieleza kama ni kweli yaani wasiwasi wangu ni pale unaposema wewe ni muislamu safi. Kama ni hivyo kwanini unazini na huyo jamaa ambaye hakawii kucheka? SI busara kama ni muislamu safi kufanya uzinzi.
Kuhusu suala lako na huyo Mumeo wa kwanza, ninakupa pole na hivi ndivyo ndoa nyingi zinavyovunjika kwa sababu ya wakwe. Ushauri wangu kwako ni kwamba:
1.Fanya istikhara katika mambo yako yote hata hilo suala la mumeo wa kwanza, ukimtanguliza mungu mbele atakuonyesha njia. Kama huyo ex-husband bado ana kheri kwako, basi si vibaya mukarudiana. Binadamu tumeumbwa kukosea na mbora wa mkoseaji ni yule mwenye kutubia. Inawezekana ex-husband wako ameshalijua kosa lake ndiyo maana akataka kukurejea.
2. Achana na huyo anayecheka kila wakati labda awe mumeo wa ndoa hapo ndipo unaweza ukafikiria njia ya kumsaidia, kwani kufanya zinaa ni dhambi.
3. Jitulize kwa kumwomba mungu atakupatia mume mwenye kheri nawe na hata ikiwezekana kurudiana na huyo wa zamani kama nafsi yako itakuwa imeridhia. Hakuna linaloshindikana kama ukimtegemea yeye tu.

Somji said...

Hi dada Dina na wadau wengine kwanza napenda kuwatakia heri ya Mwaka Mpya 2011,uwe wenye mafanikio mema kwa wote.
Nikirudi kwenye mada husika ya dada Jemmy,kwanza nataka kumpa pole sana kijana mwenzangu kwa maswahibu yanayomkuta coz najua ni jinsi gani inavyofrustrate hiyo hali kwani ilinitokea.Kwanza nilitaka kuwashauri mfanye juu chini kuoana kwanza na huyo mpnz mpya maana ingawa inaonekana kama mada haijakamilika either imekatwa makusudi au bahati mbaya kwani hakuna maelezo ya kuwa mmeoana.
Kwa ufupi nami nilikuwa na tatizo kama hilo kwa mke wangu ilifikia wakati mpaka tukataka kuachana ndoa wakati iko changa kabisa,ila namshukuru Mungu wife alikuwa mvumilivu,nami nilihangaika kwa madaktari,mazoezi na kutumia dawa pia lakini haikusaidia.Kusema ukweli ili kuhakikisha kama kuna tatizo ilibidi nichepuke nje kdg basi huko nje mambo yalikuwa tofauti kwani nilionekana kama dume la mbegu vile,to cut the story short,najua wengi hatuamini mambo ya ushirikina lakini ukweli ni kwamba yapo na yakikukuta ndo m2 utaamini,wife alikuwa na jini alilotupiwa kwa ajili ya kunichezea,yaani ilikuwa nikkingiza kichwa tu,mara moja 2 mwaaah,kwa hivyo nakushauri Jemmy uhangaike na visomo M/Mungu akijali mnaweza kufanikiwa mkaenjoy tendo kupita maelezo.kwani baada ya kuhangaika sasa hivi kama Simba dume kwa makamuzi.All the Best............

Anonymous said...

Dada ilo tatizo lako limenigusa sana, na mimi nipo katika issue kama iyo,sio the same issue bt inafanana. Mimi ninachokushauri kufanya kama unampenda huyo kaka,ni bora uumvumilie ,najua nivigumu kumsahau mpenzi wako wa kwanza aliyekugusa moyo but, ni beta uumvumilie,jaribu kuongea nae labda kuna matatizo anayo ndomaana inatokea ivi,ukisema utafute mwingine, uyo mwingine akiwa ivyo ivyo,siutajiaribia ,so vumilia kwanza

Anonymous said...

huyo aliyekuwa amekuoa alikuwa chizi!! mimi ni form4 najaribu kumtafuta msomi yeye anachkia wasomi?? huyo wa2 kama kweli unampenda usimwache,maana tatizo alilo nalo si lake peke yake wanaume tuna tatizo hilo sana, na linatufadhaisha sana!!!,DADA ANGU TIBA ZIPO NYINGI TU,KUNA ZA MITI SHAMBA HATA ZA KIZUNGU PIA!!!!,/.
Ebu mvumilie na usimwonyeshe sana kama huridhiki na tendo,ila mpe ushauri wa kutokuogopa kwenda kwa madaktari na kutaja hili tatizo,hata mimi nilikuwa hivyo tu,ila kwetu ni BKB,kuna miti shamba mingi,nilirudi mkoa nikatibiwa na niko fiti,gem ya kwanza mpaka ya mwisho,kama hautojali nitatufute nikuelekeze hsptl ya tiba za asili na hilo swala wanalishughulikia, hii sio kwa waganga wa kienyeji bali ni hosptl.
Dda ukumuacha kwa tatizo hilo bila kumpa msaada wa kuondokana na tatizo hilo utakuwa si mtu bali wa kufikiri.

Anonymous said...

oh my dear pole sana nimesoma kisa chako nimesononeka sana wanaume ndivo walivyo na hao wanawasikiliza wazazi wao ndo wabawa sana usikate tamaa kuhusu huyo mpya mwambie ajaribu kukuridhisha kwa njia nyingine kama hiyo hawezi coz sex sio kuingiza tu anaweza akakunyonya K ukaridhika au anaweza kukusugua sugua kwa M yake hata kama haijasimama nawe ukaridhika kabisa binafsi sina BF muda mrefu kwa ajili ya kuboreka na wanaume lakini kinizidiwa naweza kuchezea kisimi changu na kidole hadi nakojoa na sioni sana umuhimu wa hao watu wanaoboa kila kukicha but sikushauri uwe kama mimi vile sijapata wa ukweli kama unamuona huyo jamaa wa ukweli mwambie ajaribu hivyo nilivyokueleza na mambo yatakuwa mazuri. kama hujaelewa utaniuliza nitarudi mara kwa mara huku kwa ajili yako na kama vipi nitapenda unipe mail yako ili nikueleweshe zaidi na zaidi kwa kadri ya uelewa wangu. ahsante na kazi njema

Anonymous said...

Mfundishe kwa hekima sana anza kumuandaa muda mrefu sana kama vile utani utani tu mwisho utapata kitu unachokitaka.

Kuhusu huyo jamaa yako wa zamani achana nae (Mpotezee)....Kizito!!

Anonymous said...

Kwanza pole sana mdada kwa yote, lakini ndo dunia. kuhusu tatizo la huyo wa sasa linatatulika ila ina bidi akubali kijitoa mhanga kwa ajili yenu sote, pili sijajua kama mpo katika ndoa pia au bado kisela, nakushauri mngeoana kwanza then ungemrudia Mola wako juu ya hili kwan dawa zipo nyingi kwa Idhin ya Mola wako. usikate tamaa yet. kuhusu huyo mme wa mwanzo sheria inambana kukuoa tena unless alitoa talaka moja, otherwise aombe mungu na asubir uolewe na uachike tena, kitu ambacho sikuombei dadangu, besides umri unazid kwenda na unahitaji kuwa na watoto wa halali na wajukuu. so mrudie Mola wako na Sunna zitawapatia ufumbuzi wa tatizo lenu. kila la kheri.

Hussein - Mutchoh.

Anonymous said...

salam dada dina,langu moja tu huyu alieuliza mbona sikumfahamu,huyo x wake anacheka kivipi,hii kucheka hebu dada niweke kweupeni

Anonymous said...

pole sana dada.siku hizi hilo ni janga la kitaifa.kama vp nitafute.its me jafari.

Anonymous said...

Usimwache kwani huyo ni mtu mzuri na inaonyesha si mtu anaefanya ngono mara kwa mara hivyo kwa kua anatamani kungonoka anakua anasisimuka haraka, hii ni kama vile vijana wanavyokua bado wadogo at the age of 18 akiona paja tu au kifua cha mwanamke au akigusana anacheka, akizoea itakua bomba

Anonymous said...

Kama ulivyosema ameshasoma article na ameshaenda hospitali n.k lakini imeshindikana. Hivyo huyo ni mlemavu kama walemavu wengine, na ulemavu siyo ugonjwa...ni hali yake tu ndivyo alivyoumbwa. Kwa hiyo basi unatakiwa kumfariji na kumfanya akubali hali aliyonayo, na wewe kukubali hali yake aliyonayo.

Kuhusu kuendelea naye au kutoendelea naye ni uamuzi ambao utaufanya baada ya kila mmoja wenu kukubali hali halisi na kufikia muafaka wa nini kifanyike kwa amani. Ningekuwa mimi ningemuacha kwa amani, kwa kuwa napenda kufurahia tendo la ndoa kama watu wengine wanavyofurahia. Pole sana....

Anonymous said...

Unaposema akijaribu tu kashacheka maana yake nini? wakati mwingime unapotaka ushauri jaribu kutumia lugha ya kueleweka au lugha ya wazi.
Hata hivyo kama ulikuwa una maana ana kojaa mapema sana wakati wa tendo la ndoa yaani primature ejaculation,naomba nikuondoe wasiwasi kuwa jambo hilo linatibika na hivyo usimwache. Hukusema alikwenda tibiwa wapi au na daktari mwenye qulification gani, kwa sababu taaluma ya udaktari ni pana na si kila daktari anaweza kutibu shida hiyo. kama vile si kila daktari anaweza kufanya operesheni yoyote, vivo hivyo si kila daktari anaweza kutibu primature ejaculation.

Anonymous said...

POLE SANA KWA YALIYOKUKUTA NAKUSHAURI JARIBU KUVUMILIA ILA NAYO NGUMU JE DAKTARI KAKUPA USHAURI GANI? JE SWALA LA WATOTO ITAKUWAJE? USHAURI WANGU BORA TAFUTA MWINGINE MAANA HUYO ANAWEZA KUKUPOTEZEA MUDA WAKO KISHA AKAKUPA TENA TALAKA. BY MAMA LYIMO.

Jabir said...

Pole sana dada lakini yote hayo ni majaribu ya maisha. It is time you start planning for a future permanent partner. Your first relationship failed, the second is in jeopardy. How many men will pass through you? Can you please get to find a permanent spouse after thorough investigation. But discuss that issue with him before you part ways.

Jabir said...

Pole sana dada lakini yote hayo ni majaribu ya maisha. It is time you start planning for a future permanent partner. Your first relationship failed, the second is in jeopardy. How many men will pass through you? Can you please get to find a permanent spouse after thorough investigation. But discuss that issue with him before you part ways.

Anonymous said...

Ahsanteni kwa maoni wadau ila all in all , mwisho wa siku tume kwit ! Alienda kwao kutibiwa ,hola ,hospitali hola ikawa anaogopa kukaa karibu nami eti anasikia noma ! Nili m pls to the end , ila nikahisi kuna mambo anaficha , coz mi nilimwambia tuishi tu japo kwa kuchezeana ! akawa akidai oooh , twaweza ishi hivyo ila kuna mwaka utachoka hili ! Basi sikuwa na la kufanya , just live Namuomba Mungu sana sana ili aniondolee hili kwani kwangu hili ni mtihani mzito ! Sababu naweza kaa kama miezi mitano siku inatokea "I FEEL KUWA NA MALE KULIKO MAELEZO , Nakuwa na hasira za ajabu nikipishana na mwanaume natamani Niwagonge na GARI,siku moja ilinitokea hiyo wakati naelekea DIA kuwahi ndege , njiani akaniomba lifti mkaka , akadai nakupenda bra bra bra , i said ok ! Seems alikuwa ni gud muslim as mi . Tukapeana contact zenu then nikawahi ndege. Baada ya mwezi niliporudi nikamtafuta tukawa tuna chat several time nilimwambia sifanyi kazi yeye akadai ana kabiashara Kwa manyaya (kinondoni)" ! Siku moja kwa bahati mbaya , nilikuwa nakatiza barabara nikamuona ktk hali ambayo ilionekana ni ya udhaifu fulani wa (kipato, shule ,life etc),akahisi utofauti , niliogopa KUMWELEZA THAT NAFANYA KAZI ,NIKOJE ILI ASIJI FEEL INFERIOL ! Akaanza kuhoji kila siku kuwa haiwezekani niwe mfanyabiashara ndogo ndogo kama nilivyomwambia , Mwisho siku moja nikiwa Dodoma was Julay 2011 , akasema mimi ni nani na amekuwa akitafuta ukweli siku nyingi hivyo anahisi HAWEZI KUVUMILIA UTOFAUTI WETU , SO YAMBIDI ASEPE MAPEMA INGAWA ANANIPENDA DAH ! SIKUMPATA TENA HEWANI WALA KTK LILE BANDA LAKE LA BIASHARA ! I FEEL KUCHANGANYIKIWA , MARA NYINGINE NASHINDWA KUFANYA KAZI ,ILA SIMWAMBII MTU ,JUST NAENDA KUKAA HOTEL ALONE NA NOVEL ZANGU HADI HALI YA KAWAIDA IKINIRUDIA ,SABABU HOM ,HUOGOPA MAA ASINIONE NIKO TOFAUTI ,NAYE ATAKUWA MNYONGE !