Monday, 25 October 2010

Nimekuwa na Mchumba kwa Mwaka, nampenda lakini sina uhakika-Ushauri


"Pole Dada Dinah kwa kazi ya kutushauri, mimi ni mwanamke mwenye miaka 26 nina Mchumba wangu mwenye umri wa miaka 36. Tumekuwa pamoja kwenye uhusiano wetu kwa mwaka mmoja.


Mchumba wangu huyu kwa mujibu wake ni kuwa anaishi kwenye nyumba yake, lakini toka tuanze kuwa pamoja kwenye uhusiano hajawahi kunipeleka kwake japokua ameniambia sehemu anayoishi. Kwa kawaida huwa tunaonana kila siku na pia mara nyingi tunaenda out kwa ajili ya diner n.k.


Naomba mnishauri, je anamapenzi ya kweli au ananidanganya tu, ningependa awe mume wangu Mungu akitujaalia. Asante"

30 comments:

Anonymous said...

ehe we dada yani mahusiano mwaka kwake hukujui tena umeridhika tu kupelekwa out,fumbuka macho wewe kabla ujalia kilio cha mbwa,kama anakupenda mwambie akupeleke kwake ata kama bado anakaa kwao au kwa ndugu,coz inawezekana alikudanganya ili akupate sasa anaona aibu kukwambia kuwa hana nyumba,au shost isije ikawa ana mke nyumbani we unatoa huduma bure,changamka anza kufatilia uyo mtu wako ni wa namna gani.

Anonymous said...

MWENZANGU HUYO MCHUMBA NI JIN AU?ME NINACHOKUSHAURI DADA NI KWAMBA JARIBU KUONGEA NAE AKUPELEKE UKAPAONE ISIJE IKAWA UNAUHUSIANO NA MUME WA M2 ITAKUWA ISHU SANA!

Anonymous said...

Huyo anakudanganya, ilikiwa hajaonyesha anapoishi or talk much of his family or get more personal.

Maanake hana longterm objective in this relationship. Fanya upelelezi or time to move on kabla hajakuliza

emu-three said...

Mnamuhusiano kwa mawak sasa, mnakutana mitaani, tu, yaani kwenye migahawa nk, kwa mwaka mzima!
Hilo ni swala la kumshauri kuwa ni vyema nikajua kwako, ili kuimarisha mahusiano mema, kwani kuna leo na kesho. Kama ana nia njema na wewe atakupeleka!

Anonymous said...

Kimbia mamy mwaka mzima hujui anapoishii??hata kama akikwambie ni nyumba ile pale mwambie twende kwako aisee pole sana mdogo wangu kwahiyo mnakutana gest au kwako?hata kama analala kwenye mkeke danzinti mata.kwaufupi hana mapenzi ya kweli.mchunguze utasikia anamke na watoto amka shosti unauziwa mbuzi kwenye gunia inaniuma sana na sipendikuona mwanamke mwenzangu anatesekaa

Anonymous said...

polee atachakaza kuma hiyoo mwisho utasikia kaenda kuoa kwingine hutujui sisi wanaume wewe.hakupendi huyo anawatu wengi kimbia mama anaye kupenda hakufichi kitu bwanaa mchana kweupe atakupeleka kwake

Anonymous said...

Shosti unadanganywa, mwaka hujajua anapoishi mpenzi wako? kama ana mke je huko kwake? Hapana something is wrong somewhere, u better find it out bfr its too late. Au jaribu kumwambia kwamba unataka kwenda kwake ukiona anasita sita mwambie akupe sababu. Wanaume wa sikuhizi wengi matapeli kazi kutuchezea na kutopotezea muda

Glory said...

Huyo mwenzi wako mnapendana,is ok, lakini inaonekana anishi na mtu hapo nyumbani kwake.Kwa nini asikupeleke kwake ukapaone mnaishia juu kwa juu na huu ni mwaka sasa.Mchunguze sana na umuulize kwa nini hapendi ufahamu home kwake!Isitoshe kakuzidi sana he might have some for sure.
Anakutumia tu.utakuja kutuambia kwenye blog hii hii.

Anonymous said...

naomba kukuuliza swali, umewahi kumwuliza kwanini hakupeleki nyumbani kwake? inawezekana laba ana mtoto ama ndugu na hana uhakika kama wewe ni wake wa dhati,na hapendi kuonyesha kila msichana ambaye anakua na mahusiano naye. kaa nae chini muulize kama anania na wewe mbona hakuonyeshi kwake? ukiona anaendelea na tabia yake na hana majibu yanayoridhisha taratiiiiibu anza kutafuta akufaaye wa ukweli.

Anonymous said...

Anakutumia TU HUYO BIBIE!! KWANI MNAPOTOMBANA MNAENDA WAPI KAMA KWELI ANA NYUMBA YAKE KWA NINI ASIKULETE KWAKE AMBAKO MTAKUWA HURU NA KILA KITU?

Jua kuwa anaogopa kukuleta home kwake kwa sababu anajua atafumaniwa na msichana mwingine aliyenaye ila wewe hujui hilo tu.

Kama unaona anakupa raha unayoitaka endelea ,lakini kama una malengi mahususi kwa maisha yako basi chomoka bila kuangalia nyuma usije geuka nguzo ya chuma.

Wanaume walaji bibie anakula kuwili na kutakatisha kumoja tuuu!! Kama huamini hebu jaribu kuwa ngenge hivi mkomalie unapenda sana umembelee home au mwambie unataka ukamsaidie kazi za usafi huko kwake halafu uone atakavyojikanyaga Period

Anonymous said...

maybe anasubiri kuwe fresh akupeleke au labda hujawahi kumuomba. just tell him kua unahitaji kujua anapoishi ili hata kukiwa na tatizo au mtu kaomba umpeleke usibabaike, ila mwambie kwa upole na ucheshi na ikiwezekana use jokes. ila maybe ana mtu anaishi nae hivyo jaribu kuchunguza
G

Anonymous said...

Muulize kwa nini hataki kukuonyesha kwake. Naona kuna walakin fulani hapa. Usimwamini kupita kiasi. Pia ingawa nyinyi ni wachumba hujasema kama jamaa zenu wana habari na posa/engagement hiyo. mhhh....

Anonymous said...

Huyu hana uchumba wowote na wewe zaidi ya kuponda raha na baadae akuache. wewe hujiulizi kwa nini hakupeleki nyumbani kwake? kama hana mtu mwingine kinachomzuia mwaka mzima ni nini? Au na hiyo nyumba akuambiaye kuwa yake nayo kakupa fiksi tu. Mchunguze sana huyu inawezekana ni wale vijana mabishoo anaishi kwa dada au kwa mjomba aliye nje ya nchi na kaachiwa achungunge nyumba? Uamuzi ni wako lakini namshtukia huyu.

JIBABA said...

Pole Dada yangu kwa yaliyokukuta. Ndio maisha ya mahusiano yalivyo kila mmoja ana vituko na vimbwanga vyake.

Mi nakushauri fanya uchunguzi wako kimyakimya ambapo ni pamoja na:

Mwinde akitoka kazini, jaribu kumfatilia mpaka atakapofikia yeye kwani yawezekana Jamaa ana FAMILIA YAKE YENYE MKE NA WATOTO na labda yupo na wewe kwa ajili ya kujiliwaza tu na HANA MPANGO WOWOTE NA WEWE kwani watu kama HAWA WAPO WANAKUTUMIA KISHA MWISHO WA SIKU ANAAMUA KUKUFUGIA VIOO.

Njia nyingine nathani jaribu kujenga mazoea ya kutaka kujua marafiki zake, ndugu na jamaa kwa hili nathani nalo litakusaidia.ku kujua ndugu, jamaa na marafiki zake.

Yote yakishindikana haya, mi nakushauri ACHANA NAE mana HAILETI SENSE WATU MUWE KATIKA RELATIONSHIP then hata kwake hanapoishi husipafahamu. Dada una MOYO SANA KATIKA HILI, MAANA NI WACHACHE WENYE UVUMILIVU WA AINA YAKO.

katika MAELEZO yako haukusema kama huyo Jamaa ana mazoea na NDUGU, JAMAA NA FAMILIA.

Poa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

humpi penzi la kutosha mpe kila kitu au njoo kwangu

maggie said...

duh! pole mpz kwa hayo uliyo nayohii inaonyesha huyo mchumba hana futur na ww kwani hataki upajue hata kwake anjua ukipajua tu utamsumbua pale atakapo choka kukutumia kama anavyofanya. ushauri wangu kwako ni kuwa mdadisi sana juu yake muulize hvi lini tutaoana au tukiona utapenda tuishi maisha gani yaani jaribu kumtega na maneno yanayo husu ndoa na maisha yenu baada ya ndoa usikie majibu yake. pia kwa kuwa amewahi kukuonyesha mahari anapoishi jitahidi kwa siri upajue na siku moja nenda uone atakwambia nn. maana wanaume wengi wanakuwa na wnawake wengine ambao wanaruhusiwa kwenda nyumbani na wengine hawaruhusiwi, fanya mapema ndugu yangu usije ukawa unatumika kumbe hana mpango na ww ukapoteza muda wako bure ukajuta baadae.

Anonymous said...

huyo ana mke na watoto, chunga sana

Anonymous said...

kwa maoni yangu nakushauru achana na huyu mtu. naelewa itakuwa ni vigumu kwako kukatiza penzi lako lakini jaribu umsahau. coz huyo mtu hana malengo mazuri kwako. for what i know mtu mwenye nia ya kukuoa huwa muwazi kwako na mara nyingi mtu msiri kama huyu huenda ikawa ana mke na anacho taka kutoka kwako ni kukupotezea mda na wala sio ndoa. mwaka mmoja ni mda wa kutosha. unachotaiwa kukifanya dada, move on with ur life na usimwambie kuhusu decision yako akijaribu kukutafuta just ignore him. na uendelee na maisha yako.

Anonymous said...

Huyo anakusanifu tu. Atakuchezea, atakutumia kisha ataku-dump (FFF, yaani, Follow, F*** and Forget). Kujua "maeneo" anayoishi ni tofauti na kujua kwake. Kaa chonjo!!!!! Ukipata mtu "fit" zaidi yake wachana naye.

Anonymous said...

Wacha vituko bibie! Utamwitaje jamaa mchumba wakati hujui hata anakaa wapi? Tafuta mwingine atakayekufaa.

Anonymous said...

mdau wa pili umenichekesha...lakini siriasly huyo anaweza akawa jini au mume wa mtu au jitapeli tu...kama unahitaji "service" toa e-mail yako hapa ntakushughulikia ipasavyo ma utamsahau jamaa. Mimi Stedi Edi.

Anonymous said...

jambazi huyoo weweee

Anonymous said...

HUYO MDADA ME NAMJUA
TUMEJARIBU KUMSHAURI MARA KIBAO KWA KUMWAMBIA KUWA HUYO NI MUME WA MTU,
ILA HAAMINI WALA ASIKII AMETUAMBIA MAMBO MENGI KUHUSU HUYO MWANAUME.
ME BINAFSI SIMJUI ILA WATU WALINIAMBIA KUWA NI MTU MZIMA KWAKE HATA WAKIONGOZANA ANAONEKANA NI MWANAYE
ALISEMA KUWA WATAOANA MWEZI WA 12 MWAKA HUU HAPO ILIKUWA NI MWEZI WA TATU ANATUAMBIA HIVYO NILIPO MWAMBIA NAOMBA NIONYESHE AKANIKWEPA MPAKA NIMEGHAILI.
KWA KIFUPI MAISHA NI KUAMUA
AMEAMUA KUISHI HIVYO MWENYEWE KWANI YEA ANAONA KWENDA DINNER NDIO MAUJANJA KUMBE HIYO NI FANI YA MACHANGUDOA.
MWACHENI AKIJA KUAMBIWA SIKU YA SIKU KUWA SIKUTAKI TENA NINA MKE WANGU NDIO ATAMUACHA.

Anonymous said...

Huyo huenda ni mume wa mtu. Anakudanganya tu ili aendelee kukutumia lakini hakuna ndoa hapo wala nini. Wakina dada wenzangu tuwe macho sana wakati wa kuchagua mume wa kuishi nae maishani. Ili kuepuka uvunjikaji wa ndoa uliochukua nafasi kubwa kwa sasa. Watoto ndio wanaoteseka sana.

Anonymous said...

Huyo huenda ni mume wa mtu. Anakudanganya tu ili aendelee kukutumia lakini hakuna ndoa hapo wala nini. Wakina dada wenzangu tuwe macho sana wakati wa kuchagua mume/mchumba wa kuishi nae maishani. Ili kuepuka uvunjikaji wa ndoa uliochukua nafasi kubwa kwa sasa. Watoto ndio wanaoteseka sana.
By:- Kingi

Anonymous said...

Huyo huenda ni mume wa mtu. Anakudanganya tu ili aendelee kukutumia lakini hakuna ndoa hapo wala nini. Wakina dada wenzangu tuwe macho sana wakati wa kuchagua mume/mchumba wa kuishi nae maishani. Ili kuepuka uvunjikaji wa ndoa uliochukua nafasi kubwa kwa sasa. Watoto ndio wanaoteseka sana.
By:- Kingi

Anonymous said...

dada pole sana kwa kuwa na mpenzi usiyepajua kwake mtu mwenye mapenzi ya kweli lazima akupeleke kwake anapoishi be care huyo ni tapeli wa mapenzi tuu

Anonymous said...

My dear,huyo kaka ni muongo anakudanganya. Nakushauri kwa nia njema kabisa na sikiliza ushauri wangu nami yalinikuta.Kwanza nina uhakika huyo kaka ni mwepesi kuja kwako hata kama mtapanga mkutane karibu na kwake.
Mwambie tu kwamba unahitaji kupajua kwake otherwise muachane. Sikufichi wangu,ataona bora muachane kuliko kwenda kwake. Halafu wanaume wa aina hiyo ndio hao wanaopenda kuhongwa. Atakuambia umkopeshe hela na hatakulipa,Uongo? Achana nae hata kama unampenda vipi maana hana mpango na wewe tena ole wako huyo mwingine akijua(it's obvious haupo pekeako)mbona utanikumbuka best! Acha rafiki yangu hata humu wapo wanakushauri ila nao yamewakuta wanajikausha tu. BORA KUACHA KULIKO KUACHWA MAMA...

Anonymous said...

My dear,huyo kaka ni muongo anakudanganya. Nakushauri kwa nia njema kabisa na sikiliza ushauri wangu nami yalinikuta.Kwanza nina uhakika huyo kaka ni mwepesi kuja kwako hata kama mtapanga mkutane karibu na kwake.
Mwambie tu kwamba unahitaji kupajua kwake otherwise muachane. Sikufichi wangu,ataona bora muachane kuliko kwenda kwake. Halafu wanaume wa aina hiyo ndio hao wanaopenda kuhongwa. Atakuambia umkopeshe hela na hatakulipa,Uongo? Achana nae hata kama unampenda vipi maana hana mpango na wewe tena ole wako huyo mwingine akijua(it's obvious haupo pekeako)mbona utanikumbuka best! Acha rafiki yangu hata humu wapo wanakushauri ila nao yamewakuta wanajikausha tu. BORA KUACHA KULIKO KUACHWA MAMA...

Sylvester George said...

Huyo ni mwongo, haiwezekani mahusiano yenu yawe ya mwaka, wala asikufikishe home kwake!! Wewe je, umewahi kudai akufikishe home kwake? Basi pia wewe inawezekana kuna unachofaidika nae hivyo unahofia ukimchimba zaidi juu ya home kwake utakikosa! Lakini ushauri wa bure, "You're the only one to demand to know his home, coz the only your home to be!!"