Miaka 3....Happy B'day Dinahicous!


Dinahicious ni Blog ya kwanza inayozungumzia Ngono kwa undani na uwazi zaidi, imefanikiwa kwa kiasi kubwa, inajulikana zaidi kuliko miaka 3 iliyopita, inazungumziwa kwenye mitaa, sherehe na kwenye mikusanyiko mbalimbali.
Bila wewe Dinahicious isingefikia hapa, napenda utambue kuwa nathamini sana Ushirikiano wako kwa kutembelea, changia, kuuliza, kuizungumzia na kuiweka Blog hii kwenye Tovuti yako.
Katika kuadhimisha miaka 3, ningependa kukupa nafasi wewe mpenzi mtembeleaji, Msomaji na Mchangiaji (kwa kuuliza au kushauri) kutuambia umefaidika na nini hasa tangu tumeanza kukumbushana, fundishana, ambizana, shauriana, elekezana kuhusiana na masuala ya Kimapenzi, Ngono na Mahusiano?
Nakupenda sana!

Comments

Anonymous said…
Basi dada dina,miaka yote hiyo basi tuwekee angalau tuone picha yako. Kwani una ushaushi mzuri na ni muwazi hasa,saa nyengine naishia kuku i magine uko hivi au uko vile. japo ki ji picha cha passport size tukinatosha.
Anonymous said…
HAPPY BIRTHDAY DINAHICIOUS love this blog 4 ever!!!!!!!!!!!!
Anonymous said…
Kikweli watu kibao tunafaidika na hii blog,hapa oficn kila mtu na dinahicious yaani watu wengi huwa tunaona aibu kuuliza au kuomba ushauri kwa kuwa wawazi,but kupitia blog hii ni full kuuliza mpaka yale mtu kuandika unaona aibu.
Cheers sana ukizingatia ni kusoma na kuchangia bureeeee,endelea kutupa mambo hivyo hivyo si unajua wabongo tunavyopenda dezo!!
Happy bthd.

Jer
Anonymous said…
NIKUONE TU MAMANGU NAMI ROHO YANGU IFURAHI JAMANI MBONA WATUTESAAA. HAPPY BIRTHDAY TO OUR BLOG. KWA KWELI DADA DINA MIMI NIKISEMA NIANZE KUELEZEA HAPA JINSI NILIVYOFAIDIKA NA HII BLOG DADHANI HATA MZALENDO HALITATOSHA.

NIMEJIFUNZA MENGI SANA MAZURI, NIMEJIFUNZA MAPENZI, MAHUSIANO YA MUME NA MKE KATIKA NDOA, JINSI YA KUDUMISHA NDOA, JINSI YA KURIDHISHA MWANAMKE, JINSI YA KUSEX KWA UFANISI WA HALI YA JUU ZAIDI, JINSI YA KUEPUKA MATATIZO KATIKA NDOA.

JINSI YA KUTONGOZA NA KUONGEA NA WANAWAKE, YAANI NIMEKUWA MWALIMU HASAA, UMENIPIKA DINA NA NKIMEIVAA HASWAA NA UMENIFANYA KUWA MUME BORA SANA KATIKA NYANJA ZOTE HASAAA KITANDANI.

NI MENGI SANA NDIYO MAANA UNAONA NACHANGANYIKIWA HATA SIJUI NIANZIE WAPI NA NIISHIE WAPI. WEWE NI MWANAMKE WA SHOKA NA UDUMU MILELE NA BLOG IDUMU MILELE. LONG LIVE DINAAA, LONG LIVE DINAHICIOUS-SEX, RELATIONSHIP AND LOVE. MMMMMMWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH DINA MWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH OUR BLOG.

NAKUPENDA SANA KWA KUWA UMEBADILI KWA KIWANGO CHA HALI YA JUU SANA MAISHA YANGU YA KIMAPENZI NA KUNIANDAA KUWA MUME BORA SANA. ABARIKIWE MILELE ALIYEKUZAA NA LIBARIKIWE TUMBO LILILOBEBA MIMBA YAKO KWA MIEZI SITA, ABARIKIWE SANA MUMEO ANAYEKUPA UHURU WA HALI YA JUU NA KUKUPA MAPENZI MOTOMOTO, YEYE NI MFANO WA KUIGWA SANA KWA WANAUME WOTE, HAKIKA ANAFAIDI SANAAAAAAAA NAWE PIA UNAFAIDI SANAAAAA, KWA SABABU KAMA UNGEKUWA HUFAIDI USINGETUMEGEA NA SISI HAYA MAUJUZI. MMMMMMMMMWWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH

ABARIKIWE PIA ALIYENIONYESHA HII BLOG ALIFANYA JAMBO LA MAANA SANA. NADHANI

NASHAURI UWANJA UWE MPANA ZAIDI ILI WATU WAPATE NAFASI YA KUPATA WACHUMBA WA KWELI PIA HUMU HUMU NDANI YA BLOG DINNA. MCHANGO WAKO NI WA HESHIMA SANA KATIKA JAMII YETU, TWAKUPENDA SANA KULIKO HATA UNAVYOWEZA KUFIKIRIA. DINAHICIOUS IDUMU MILELE AMINA.
Anonymous said…
Happy B.day Dinaricious, Dada dina tunashkuru sana kwa kutuekea blog hii inayotuelimisha ktk uhalisia wa maisha ya ndoa, Mungu akuweke uendelee kutupa elimu. mm ombi langu ni kama la mchangiaji wa kwanza, tungependa kuona at least picha yako moja ili tukujue kwani imagination zimekuwa nyingi, tunakupenda sana jinsi unavyotuelimisha na elim yako haiishi hapa b'coz tunaifanyia kazi kwa kuelimisha wengine ambao hawajabahatika kutembelea hapa.
Anonymous said…
Hongera kwa kutimiza miaka mitatu na kuwawezesha watu waombe ushauri katika uwanja muhimu sana wa maisha yetu. Pia wasomaji wa blog hii wanastahili pongezi kwa kuwa wengi wao wamekuwa wakitoa nasaha vizuri bila kutukana ovyo (jambo ambalo kwa bahati mbaya limekuwa la kawaida katika blog za Kiswahili). Hata hivyo katika sentensi yako ya kwanza ungliongeza maneno [blog ya kwanza] "ya Kitanzania na Kiswahili". All the best. ED.
Anonymous said…
Ongera dada dinah wadau tunakutakia kila la heri. Lakini hebu jaribu kuwa IRONY kwa hawa dada zako wasokuwa na misimamo linapokuja swala mapenzi mi wananiboa sana.
Anonymous said…
asante sana Dinna na hongera sana. Dada me naulizia mada jamani wengi tulijifunza mengi, kujiswafishwa, kukata mauno, kunyonya uume, umekuwa kungwi wangu mchaga mie. naulizwa kila siku mautundu nayatoa wapi juzi nikafanya ile ya sex music huku navua nguo ile aliyotufundisha Bwire.
Nikabanwa ikabidi nitoe website ninayojifunzia basi nimeloga kila siku mwanaume anaprint anakuja navyo tujifunze

ASANTE DINNA KWA KUDUMISHA NDOA YANGU NA KUTOA HAMU YA KUFANYA MAPENZI BILA KUCHOKA KILA SIKU MTU UNAKUWA NA HAKU NA MWENZIO MKIBADILI STYLE NA KUPEANA MAUTUNDU KILA SIKU

JAMANI HAPA PAMENIFANYA NIONE RAHA YA MAPENZI KWANI KABLA YA HAPA NILIKUWA SIPENDI NA NILIKUWA NAUMIA SANA ILA SASA SILALI BILA KUPEWA HATA KAMOJA.

ASANTE DINNA ASANTENI SANA WAPENZI WA DINAHICIOUS.

TUENDELEE KUSAIDIANA TUOKOE NDOA ZETU JAMANI
Anonymous said…
Love your blog sana, maana nimejifunza mengi zaidi utundu na jinsi gani ya kuishi na mwanaume, Zaidi nipomuwazi sana kwake kuliko awali. zaidi ya yote Nakutakia kila la kheri katika maisha yako na shughuli unazozifanya. Love you tooo.
claire said…
jamani da dinna nakutamani kikuoneeeeeeeeeeeeeeeeeee !
au hutakiiiiiiiiiiiii ? jamani makupenda mwaaaaaaaaaaa ~
happy birthday !
Simon Kitururu said…
Happy B'day Dinahicious!
Tuko pamoja SI.
Gise said…
HAPPY BIRTHDAY DINAHICIOUS, Kwa kwl ni mengi nimejivunza kupitia ww blog, i don know what to say but the only thing is Congratulation, and plz keep it up. UNATUPA MAMBO ADIMU.
BLACKMANNEN said…
Dada Dinah!

Hongera sana kwa kazi nzuri unayoifanya na imefikisha miaka mitatu na inadunda kama vile blog mpya.

Siku hizi kuna ushindani mkubwa sana katika mambo yote. Mtu unapofaulu katika mashindano yoyote unastahili kusifiwa.

Blog nyingi zilianza na moto mwingi, lakini hadi dakika hii hazipo, zimekufa kwa kutokutembelewa na Wadau. Hongera sana dadaangu.

Najisikia vizuri ninapoona akina mama wa Kitanzania kama wewe mkiwa juu kama ulivyo. Big Up Sister!

This Is Black=Blackmannen
Zeddie said…
Happy B'day Dinahicious!
Tuko pamoja dada.