Saturday, 3 April 2010

Wakatiwa tendo anatoa maji mithiri ya Mtindi,Ni nini?

"Habari da Dinah pole na majukumu uliyonayo na pia hongera kwa kuchukua muda wako kutupa elimu na ufafanuzi wa mambo ya mahusiano na mapenzi. Mimi nina mpenzi ambaye tunapendana sana tatizo ni kwamba mara zote tunapotiana yeye hutoa maji yafananayo na maziwa ya mgando.

Pia huwa hajisikii vizuri anapoona ile hali na mara zote hulalamika kwa kusema amenichafua. Nimekuwa nikifatilia kujua nini kinamsumbua je ni ugonjwa au ni kawaida kwa wanawake kutoa aina hii ya maji ukeni wakati wa kutiana japo hasikii maumivu na yuko kawaida tu?.
Naomba Da dinah na wachangiaji mnisaidie kuhusu hili ."

Dinah anasema:Asante sana kwa mail yako, nashukuru kwa uvumilivu as nimechelewa kutoa maelezo hii ni kutokana na ufinye wa muda. Ni wazi kuwa mpenzi wako haujui mwili wake wala kinachotokea mwilini mwake na ndio maana Utoko unapojitokeza hujisikia aibu/vibaya kuwa amekuchafua, lakini sio ugonjwa unless "mtindi" huo unarangi ya pink-ish, nyekundu, njano, kahawia(brown) the itakuwa tatizo, kwamba ukeni kuna maambukizo.

Huo ni ute ambao tunauita Utoko, ni ute ambao ni muhimu kwa afya ya uke wa mwanamke lakini unapofika ukeni unatakiwa kuondolewa. Kwa kawaida utoko huteremka wenyewe lakini huchukua muda mrefu hivyo mwanamke anatakiwa kuusaidia utoke kwa kujisafisha.

Umewahi kusikia watu wakisema "mwanamke usafi" hawamaanishi kuoga au kujiremba au kusafisha nyumba na kuiremba, bali kujiswafi na kuondoa Utoko kila anapooga au angalau mara moja kwa siku (kila asubuhi) hii ni kwasababu Utoko huzaliana kwa wingu usiku na hutoa harufu zaidi kuliko ule unaojitokeza mchana/jioni.

Tafadhali rejea.....kulia kwa juu tafutaTopic iitwayo "jinsi ya kujiswafi/safisha uke"

Kila la kheri!

17 comments:

Dr Morice Mwanyika said...

Pole sana ni tatizo la kawaida kwa wanawake, uchafu kama maziwa ya mgando kutoka ukeni ni fangasi wa ukeni. Nunua GYNAZOL VAGINAL OVULES anaweka kidonge kimoja ukeni kila siku kabla ya kulala kwa siku tatu mfululizo itakwisha.

Anonymous said...

sounds like an internal yeast infection(also called thrush)
it is very common in women and can b caused by lots of different things. it is also easy to treat so no worries
u should both go to the doctor..he/she will prescribe clotrimazole antifungal internal cream or vaginal pessary for her and external cream for u
these can also be bought at a pharmacy

Anonymous said...

kama haina rangi ya ajabu na hatoi harufu inaweza ikawa ni sababu ya hormones tu lakini kwa uhakika zaidi ni vyema mkaenda kwa daktari.

Anonymous said...

Kaka hiyo ni kawaida kwa mwanamke, na pia maji kama hayo yanatoka si wakati wa sex, wakati wa sex kunatoka maji tu yenye mnato ,unapomchezea mwanamke anaposkia raha hua ndo anatoa hayo maji kama unavyotoa wewe shahawa, na wewe unapoingiza uume wako unaingia bila tabu, hayo unayosema kama mgando tunaita utoko, na mwanamke bila kutoka hayo si mwanamke atakuwa ana matatizo kwa kuwa yanatusaidia sana kupima cancer ya ukeni, ila kama yamezidi kwa mpenzi wako na yanatoa harufu inabidi amuone doctor inawezekana kuwa ni fungus za ukeni na pia anatakiwa akionga anajisafisha kwa kuingiza kidole ukeni anatoa huo uchafu ni vizuri atumie maji ya uvuguvugu,mpe pole sana .

Anonymous said...

mhh!!!!

Anonymous said...

tatizo la kupenda watoto wasiojua hata kujiosha huko chini, huo unaitwa utoko, na huo utoko ni hali ya kawaida ya mwanamke kuwa nao na usipokuwa nao inamaana wewe sio mwanamke.
ila basi, kuwa na huo utoko haimaanishi kwamba hausafishiki, mwanamke aliyekamilika na anayejua nini usafi lazima kila akioga jioni na asubuhi usafishe huo utoko, ukiacha bila ya kujisafisha hilo ndio linakuja kuwa tatizo, na linaongezeka zaidi pale mwanaume anapokukojolea, kwahiyo utoko + shahawa ndio kinyaa kabisa.
tiba yake ni kujisafisha mkitoka kutombana na awe anajisafisha kila siku, sio kwa kupapasa nje tu, sharti mtoto wa kike uingize kidole ndani uutoe huo uchafu.
wanawake wa siku hizi eti ana mikucha mireeeeeeeefu, sasa sijui wanajisafisha muda gani hiyo kuma, mimi ni binti wa miaka 25 tu, lakini kujiswafi ni urembo muhimu kwangu kuliko hayo mengineyo.
labda ni kwasababu wa kutokea kulekuleeee( tanga)

Anonymous said...

Poleni kwa tatizo hilo.Hiyo si hali ya kawaida,ute mweupe unapobadilika kuwa kama mtindi basi ujue huo ni ugonjwa.Nashauri wote muende mkamuone daktari ili aweze kuwafanyia vipimo na kujua tatizo ni nini, na pia kama atakuwa hana tatizo basi atawapa ushauri wa kitabibu utakaowatoa wasiwasi.

Anonymous said...

Nashukuru Dr. Mwanyika kwa ku comfirm hiyo dawa, hata mimi mpenzi wangu alikuwa na tatizo hilo, tulienda kumuona doctor na akatuandikia hiyo GYNAZOL VAGINAL OVULES ametumia na hiyo hali haipo tena. Thank you very much Dinah for this blog, we learn a lot.

de'victorious said...

MKISHA TOK HUKO KWA DOKTA MKAONA NI HALI YA KAWAIDA MWAMBIE HUYO DEMU WAKO KILA AKIENDA KUOGA AU KUKOJAOA NA PALE MNAPOTOKA KUFANYA MAPENZI AJISAFISHE HUKU KUMANI KWA KUTUMIA KIDOLE CHAKE YANI AINGIZE KIDOLE AAFANYE KAMA VILE ANFUTA KAMA MARA TANO AINGIZE ATOE AINGIZE ATOE HAPO HUKU ANANAWA...MPAKA AHAKIKISHE KILE KIDOLE AKIINGIZA HAKITOKI NA UCHAFU MWEUPE NDO KUMA ITAKUA IMESAFISHIKA MWAMBIE AFANYE HIVO KILA SIKU UONE UTARUDI HAPA KUTUAMBIA LAZIMA HY K ITAKUA SAFI....

Anonymous said...

Hizo ni fungus, hata mm nilikuwa na tatizo km hilo pia nilikuwa nawashwa ukeni nikatumia clotrimazole vaginal tablets nikapoa kabisa.

Yes I can said...

Alafu mzee unazama chumvini na huo mtindi wote unaingia mdomoni,Duu unafaidi sana

Anonymous said...

jamani hiyo infection haisababishwi na uchafu, maana hiyo fungas ipo mwilini saa zote na sio hatari. ni vitu kama hormone,antibiotics,stress, diabetes na katalika, vinavyo fanya hiyo fangas kuwa nyingi than usual. kuma ina mechanism yake yakujisafisha kwahiyo no need to put fingers in there..thats what the secrections are for
infact unaweza kujisugua all u want but u can still get it!

Anonymous said...

jamani mdada kwanza ajue kujisafi, then kama tatizo linaendelea amuone dokt

Anonymous said...

Ukijisafisha sana utakuwa mkavu. Do it mara moja per day hasa ukienda kuoga jioni. Ok?

baby said...

hi me nina tatizo la kutokwa na uchafu mweupe,kila cku mpaka cjielewi sasa i need help wat can i do?

Anonymous said...

Kaka we ni daktari nini?

Anonymous said...

Wanaume wengine sijui kama tuna matatizo! Mimi kwa mwanamke kwenyekufanya tendo na nisipoona uume wangu umejaa huo utoko mweupe mithili ya maziwa lakini usio na harufu sifurahii tendo la kujamiiana. Nataka utoko mwingi ujae hadi kitovuni ndo nasikia raha lakini usiwe wenye matatizo.
Kwa anayetaka kunishauri au vinginevyo email yangu ni: hermanjoe29@yahoo.com