Monday, 12 April 2010

Nitajuaje kama kafika kileleni bila yeye kusema?

"Hello,
Natumaini unaendelea vizuri na kazi.

Nina imani sana na maelezo yako kwa vile yamesaidia sana ku-improve maisha ya familia nyingi japo baadhi ya watu wasio na mtazamo sahihi wa maisha wanayaona kama yanapotosha jamii. Ukweli ni kwamba haya mambo yapo na njia sahihi ya kuyashughulikia ni kushirikiana (to share) uzoefu kutokana kwa jamii tunamoishi.


TATIZO LANGU:
Ndoa yangu haijaingia mashakani ila nahisi naweza kufika huko endapo sitaelewa mambo yafuatayo:


Wakati wa kujamiiana na mwenzangu, kawaida yeye huwa ananiambia kuwa amefikia kileleni, ukweli ni kwamba mimi sijui ni jinsi gani ya kuitikia zaidi ya kuendelea tu. Pia mimi nikifikia kileleni huwa simwambii ila nadhania anakuwa anajua.


Pili, napenda kuelewa ni mbinu gani naweza kuitumia katika kujamiiana ili mwenzangu atoe maji (majimaji) mengi? Maana naona inakuwa vigumu kufanya hivyo mara nyingi. Nakuomba sana uifikirie hii email na unipe majibu yatakayoweza kuniongezea ujuzi katika eneo hili la maisha ili ndoa yangu/yetu iendelee kuwa yenye furaha.


Nasubiria kwa hamu sana kutoka kwako.

D"

Dinah anasema: D asante sana kwa ushirikiano. Nadhani mkeo ni mmoja kati ya wale wanawake wachache wanaopenda kuwasiliana/ongea wakati wa kufanya mapenzi, anapokuambia kuwa amekojoa ni kama kukupongeza kwa kwazi yako nzuri, kwamba umemfanya vizuri na amefika kileleni hivyo usimsubiri/usijizuie wewe jiachie tu na ukojoe.

Mf:- anakuambia nimekojoa/nimefika kileleni....wewe mwambie "oh yeah, jitahidi ukojoe tena basi" au "napenda unavyokojoa/fika kileleni" au "namimi nakaribia kukojoa"....au unaweza kumpa denda la kimahaba ambalo linaweza kumrudishia nyege na hivyo kupiga bao la pili kwenye mzunguuko mmoja.

Utajuaje kuwa amefika kileleni: Mwanamke anapofikakileleni mawili au yote kati ya haya hutokea....ute unaongezeka ukeni, utahisi uume wako kama vile unavutwa kwa ndani kutokana na misuli ya uke wake kubana na kuachia, mapigo ya moyo wake yatakuwa ya juu, kuhema kwake kutakuwa deep, atakaza misuli ya mapaja....alafu utahisi kila kitu kimetulia isipokuwa misuli ya uke kwa ndani itaendelea "kukonyeza"......ukichomoa uume wako utaona mashavu ya uke wake na kisimi vimetuna/vimba.....hapo ujue amefika kileleni.

Mkeo kutoa maji mengi inategemea na maumbile lake, kama ameumbwa hivyo basi wala huitaji kutumia nguvu bali kutumia uume wako kuchezea kisimi na sehemu iliyo kati ya tundu la mkono na kisimi, namna ya kufanya hivyo tafadhali bofya hapa kama hatotoa majimaji mengi utakayo basi ujue mkeo ni mmoja kati ya wanawake wengi ambao hawajaumbwa hivyo.

Kama unaweza kumridhisha kwa kumfikisha kileleni, mshukuru Mungu kuwa unamfikisha kwani wapo wanaume wengi hawawezi kuwaridhisha wake zao.
Kila la kheri!

2 comments:

Anonymous said...

Pamoja na mambo mengine, Utamu wa kubanjuka hunoga pale mnapokuwa mna-share feelings. Msiwe mabubu!, kama yeye anakuambia wakati anafika kileleni nawe huna budi kufanya hiyo. Unaogopa nini kumwambia "Darling Im..im.. comming"? Fanya hivyo utaona ngoma inavyonoga.

Kumfanya mpenzio atoe maji mengi ni suara ambalo limekaa kisaikolojia kama hana tatizo la kibailogia. jaribu haya machache yafuatayo na yawe ni muendelezo wa maisha ya kila siku:

1. Usiruhusu ugonvi kutawara maisha yenu. Jitahidi kuishi maisha ya maelewano na upendo usiofichika. Ugonvi na chokochoko hujenga chuki na kupunguza nyege.

2. Mawasiliano na mpenzio mara kwa mara kwa lugha ya kimahaba ni muhimu hata kabla ya kufika huko kwenye uwanja wa mpambano. Mfano awapo ofisini, nyumbani, mnapokuwa outing nk. hii ni muhimu kwa kuwa huamsha ashki ya tendo.

3. Uwanja wa mpambano unapaswa uwe tulivu sana. Sidhani kama utatoa maji vizuri kama hapo jirani kuna milio ya vyuma kutoka kwa mafundi jiko n.k. Mkiwa faragha, jaribuni kuwa huru. Msitawaliwe na wasiwasi. mpe mwenzio uhuru wa kuujua mwili wako na mruhusu ajivinjari kwa uhuru bila vijimasharti.

4. Mnapokua mnabanjuka, jitahidini tendo liendane na maneno matamu ya kuchombezana. MSIWE MABUBU!. Msipende kutumia maneno ya mafumbo. "Mkono utamkwe mkono" si vinginevyo, inatia hamu. Ukisikia utamu sema unasikia utamu, unamuonea aibu nani kutamka? JARIBU HAYA MACHACHE KAMA INASHINDIKANA MUONE DAKTARI KWA UCHUNGUZI ZAIDI.

Anonymous said...

Namshauri kama maji yanajaa ktk uke bac atumie mafuta yanayoitwa miski ,achukue pamba achovye matone mawili kisha afungue mlango wake apige hatua mbili ndani kisha aiweke,awe akifanya hivyo mchana ama usiku hisaidia kupunguza maji na pia hufanya uke ukawa unabana,
Anaweza pata kariakoo kwenye maduka ya madawa ya kisuna ama madawa ya kiarabu