Babu kicheche! lakini ananisomesha, nimpendae ni Kijana ambae.....

"Habari dada Dinah, natumaini wewe mzima, First and foremost thanks for the advice najua sijawahi kuuliza but seems like we all face the same problems.

Mimi ni mwanamke wa miaka 27 niko njia panda na sina mtu wakunisaidia zaidi yako. Niko kwenye relationship na watu wawili nasijui nifanyeje? Sitajali kama watu wakinishambulia kwasababu nahitaji msaada.

Nimekuwa kwenye relationship na baba mmoja mwenye umri wa miaka 60 kwa muda wa miaka 5, huyu baba amekuwa akinisaidia kwa kila kitu ukichukulia mie sifanyi kazi. Amenisomesha chuo cha bei ghali, ananijali na kunipenda kwa kweli lakini tatizo ni hili hapendi nifanye kazi japokuwa ndio namaliza degree yangu mwaka huu.

Hapendi niwe na marafiki na ikitokea nimetoka na marafiki nikirudi anakuwa hayuko happy, nikienda mahali ambako anakujua basi atanifuata kwa kisingizio cha kuja kunichukua. Hapendi ni-have fun like going to the disco or any activity.

Ajabu for the last few years ambayo tumekuwa pamoja amekuwa na wasichana wengi since anasafiri sana na kila mahali anakokwenda analala na wasichana but yote nimevumilia na sikuwahi kummuuliza kwasababu naogopa kukatishiwa huduma.

Miaka miwili iliyopita tulihama Tz na sasa tuko Australia still ananipenda na kunihudumia na bado akiwa anasafiri ana-sleep na wanawake wengine. Anapenda kuzungumzia mambo ambayo mimi sina mpango wa kuyafanya.

Kwa muda wa miaka minne amekuwa akiniomba tigo lakini nimekuwa nikikataa pia huwa anataka 3some na marafiki zangu na tukiwa tunasex anataja majina ya marafiki zangu na siku hizi tunaweza kukaa bila sex hata miezi miwili ila blow jobs nampa karibia every other day.

In a positive side yaani tunapatana, kuelewana na ananisaidia na mambo mengi sana ya kimaisha lakini tatizo hatujaoana na mie sijajijenga japokuwa nina vipesa bank bt sio vingi ki-hivyo, also nikiwa na idea za kufanya vitu au kutafuta kazi ana-ni turn down.

Ki-ukweli mie niko very bright na nikiamua na kupata mtu atakayenipush hapa na pale nitafika mbali, huwa najiuliza je akifa leo nitafanyaje kwa kuwa sina chochote na yeye hawezi kuniachia chochote kwasababu ana watoto na watoto wake hawajui hii relationship yetu, yaani hata ndugu zake pia hawajui isipokuwa ndugu yake mmoja tu ndio anajua.

Basi nikiwa huku nikakutana na mkaka yeye ana 38yrs, nilimsumbua 4 a year but akawa mvumilivu thereafter nikajikuta niko nae nikamdanganya kuwa that old man ni baba yangu, this guy ananipenda ajabu, amenitambulisha kwa rafiki zake wote na anatarajia kunipeleka nchini kwao kunitambulisha.

He’s so sweet yaani tuna-click big time na niko huru ku-speak my mind sex is great,ananijali,I’m in love & happy with him. Sijawahi kujisikia like this all my life, yaani naamini ananipenda for sure. Nikimwambia idea zangu anazikubali na ananipush nitafute maisha yangu, although sijamwambia relation iliyoko between me na this old man.

The problem is he’s married na hajanificha he has 5 kids all I know there’s a tension between yeye na mkewe for sometime now & he’s not happy with her.

Dada Dinah na walimwengu nifanyeje?what I have planed ni kuwa nikimaliza degree yangu at the end of ths year nitafute kazi nchi nyingine nihame niwaache wote nianze maisha upya as mimi? Kwa abilities nilizonazo naamini nitafika mbali sana.
Samahi kwa email ndefu,
Ahsante
Ni mimi PP"
Dinah anasema: PP asante sana kwa ushirikiano na maelezo yako. Babu anakutumia kama ambavyo wewe unamtumia (kwenye maelezo yako umesema anakupenda na mnaelewana, hujasema unampenda). Ikiwa mnapitisha miezi hata miwili bila ngono ni vema hasa ukizingatia kuwa anakuchanganya na wanawake wengine hun ajinsi ya kumkataza wala kulalamika kwa vile unajua wazi ukifanya hivyo atasitisha huduma hasa ile ya Kielimu.

Sio kwamba na-support kuwa na mwanaume bil amapenzi ili kupata unachokitaka (kumchuna) bali kutokana na maelezo yako inaonyesha kuwa life haiko sawa nyumbani na ndio maana unasomeshwa na huyo babu mzungu, wee sio wa kwanza.

Wapo kina dada wengi tu hapo Dar, huondoka na vijibabu vya kizungu na hata kufunga navyo ndoa kwa sababu za ikuchumi lakini hakuna mapenzi, so ugumu wa maisha na tamaa ya kuendesha maisha ya juu inafanya Mabinti wadoo wengi kufanya unachokifanya, ikiwa sasa una miaka 27 na umekuwa na huyo babu kwa miaka 5 ni wazi umekuwa nae ukiwa na miaka 22.

Kutokana na maelezo yako inaonyesha unajua nini ulikuwa unakifanya na kukitaka......Elimu na maendeleo yako kimaisha, sasa ukifanikisha hili ni vema kufanya kama ulivyosema kuhama nchi na kuanza upya.

Nini cha kufanya: Wakati unaendelea na haratati za kumalizia Digrii yako hakikisha unaachana na huyo mume wa mtu na jitahidi kutumia kinga kila mara huyo kibabu anapotaka ngono na wewe ili kujilinda.....kama unaweza usimpe kabisa mwili wako kwa kutafuta sababu atakazoziamini.

Kwa vile ni babu na mzungu haina maana kuwa hapati Ngoma, Australia wanapima Ngoma wageni lakini watu wao hawawapimi Ngoma wanapotoka na kuingia hivyo wanapokwenda Afrika au nchi nyingine na kungonoka ovyo uwezekano wa kuukwaa UKIMWI ni kuwa kuliko unavyofikiria. Kuwa mwangalifu, usipoteze maisha yako ktk umri mdgo ulionao.

Baadhi ya mabinti wanaoondoka nyumbani na vibabu vya Kikoloni (kizungu) huishia kufanya sex slaves (watumwa wa ngono), wengine hulazimishwa kuwa makahaba, wengine huteseswa na baadhi huishia kuuwawa.

Baadhi ya Wazungu bado ni wabaguzi, na wanapopata nafasi ya kumiliki binti wa Kiafrika huishia kufawafanyia maovu na mabaya mengi (kuwangonosha na wanyama, kuwafanya watumwa, kuwauza kwa Wazungu wenzao ambao hawajawahi kutomba wanawake weusi ambao wengi wanaamini kuwa ni watamu,kuwafanya mande n.k), kuweni waangalifu mnapojichanganya na hawa jamaa wanaokuja kutembea Bongo kwa ajili ya Ngono (Sex tourists).

Ni matumaini yangu Post hii ya PP itakuwa imesaidia mabinti wengine wanaibabaikia Wazungu wanakuja kutembelea Tanzania wakidhani ni mwisho wa matatizo, baadhi bado wanaunyama miyoni mwao dhidi ya Muafrika.

Kila la kheri kwenye masomo yako na katika kuhama makazi.

Comments

Anonymous said…
dada dinah nafikiri sasa unatakiwa uangalie kwa umakini sana hizi simulizi ziwe za kweli unajua kuna habari nyingine aziusiani na ukweli kabisa hata ukitafakari kwa makini sana unajua tu mtu anataka kujua habari za watu wenye hizo sifa za kuwa na aina hiyo ya simulizi,pia hizi mada kwasasa naona km watu wanatunga sana sina hakika na hii hila ni mtazamo wangu tu
kuhusu hii mada uhauri
1.kapime UKIMWI kwanza
2.acha tamaa mama
3.fikiria maisha ya mbele umri aurudi nyuma
4.tulia mama maana elimu naona unaisoma na aikusaidii kaa fikiria na uanze kuitumia kusoma expensive college sio kupendwa
5.achana na hao waume wa watu
6.maisha ni kujiamini popote na kwa aina yoyote kumbuka kuna mama ntilie wana watoto na wanasomesha na wanaishi
7.kuwa mkweli kwa kila mtu maana cheating itakucost by any means
8.ndoa si msingi wa maendeleo
9.kumbuka unakotoka,ulipo,na unataka kufanya nini
NAKUOMBA ZINGATIA HAYA UNAKUJA KUKUMBUA SIKU MOJA HII BLOG
Anonymous said…
pole na yanayokusibu. kwa maoni yangu, makosa yashafanyika, kama the old man ndo hivyo uko nae, kama the young guy ndo hivyo unampenda lakini wote wawili wana "excess baggage", wanamizigo mizito ambayo hayakusuhu,mizigo ambayo at some point you need to get rid off.
huyo babu hataki uwe huru because anajua ukipata courage tu unamuacha that much he knows ndo maana nakubana, na yeye pia najua ur bright.na kama ni kicheche hivyo utapata ngoma tu mdogo wangu.
anyway, nakubaliana na wewe kwa sasa soma shule maliza then kimbia mbali waache wote wawili. huyo kijana sawa mnapendana but usidhani atamuacha mke wake kiurahisi itakua ni mvutano wa miaka. so yes, ondoka kaanze maisha mapya with someone who is SINGLE, and loves and respects you.
Anonymous said…
pooole dada mi nakushauri bora utafute kazi njchi nyingine uachane na wote cause hapo pote ni moto utakuja kulia baadaye,ni vyema ukawa na wako mkaanzaq familia yenu,ukiangalia huyo ababu leo akifa maliu zitaachwa kwa wanae na hata kama akikutambulisha kutakuja kutoke conflict btn wewe na wanawe later, huyo mwenye watoto watano yatakusibu manake kilichotokea kati yake na mkewe kinaweza tokea kati yenu...achana nao wote mama we chapa lapa nchi nyingine uanze upya
Barafu said…
Kumbe hata wewe kicheche vilevile. Kwa kifupi huna future na yeyote kati ya hao wawili. Jibu ulilotoa mwenyewe ndio sahihi, kwa kuwa sasa hivi unamtumikia kafiri upate mradi wako, ukishaupata ondoka ukaanze upya. Na ubaya wa kuendekeza vya bure ni kuwa muda wa kuondoka ukifika utaanza kuogopa kuwa sasa 'huduma ikisitishwa' utaishije! Achana na hao 'vicheche' wenzio, na ukitaka kupata mtu wa maana wa kuishi nae kama mume, uache pia hiyo tabia ya 'ukicheche', jifunze kujitegemea utaheshimika.
mkewangu said…
Email ndefuuu ila tamu kuhusu babu kwanza ni hatari sana anaweza kukuletea maradhi...nakushauri kapeime afya yako.... na pia jijenge kimaisha kuanzai sasa.....NAONA TAYARI UMESHAJIPA USHAURI MZURIIIIIIII NAWEZA NIKAAMINI KWELI UNACHUKUA DEGREE...MALIZIA KUSOMA TAFUTA SEHEMU KAANZA MAISHA YAKO HAO WOTE HAWAKUFAI KATIKA MAISHA YAKO WATAKUTUMIA TU MDOGO WANGU....HIYO SENTENCE YA MWISHO IPE UZITO NA UFANIKIWA..
Anonymous said…
dada, kwa mtazamo wangu wewe ni mwanamke unayejitambua, ila kusema kweli, kwa akili unazo za kwenye kitabu tu!! swala la mapenzi ni sifuri.... pia huna utu... kwa nini umpende mwamume wa mwenzio?? kama unavyosema kwamba ndoa ya yule kijana ipo mashakani, chanzo cha weza kua ni wewe, huna chako pale, put yourself in that woman's shoes.. that you are married with kids and somebody takes your husband away from you, will harmony and peace be in the house?? because the man will be more indulged with the outside lady, and will change totally!! what comes around goes back around.. unachofanya wewe sio mema hata kwa mungu maana hata huyo babu, sio legally wako, ni wa mtu na yawezekana ulikuwa mwanzo wa kusambaratisha familia yake. kuna malipo, kama si kwako hata kwa kizazi chako, endapo utazaa.. kwanini usifanye mambo yako kiubinadamu?? tafuta mtu single, uwe nae, mpange maisha, before doing that, go for a cheque up, twice or thrice, as you are saying, that old man cheats with you with other ladies, you have a big chance of being hiv positive. sorry but thats the reality. kama swala la chuo... wewe si umesema unaviela bank, use that money umalizie chuo, stand on your own two feets dear.. usitake makuu bwana, vidole avilingani, kubali hali yako, kwani mwisho wake, utagraduate HIV and NO A'S!!! last but not list, hebu mrudie mungu, japo kidogo ujue uwepo wake... Kweli nachukia sana watu wanao tembea na mabwana za watu!!! haswa huyo kijna, maana ndo mwanzo wa watoto kuteseka. mhhh!! sijakupenda kweli na hizo tabia zako!! maana you know wat youre doing ain't right, but you're doing for cash!!! goshhhhhh....
Anonymous said…
dada pole sana,ila kuwa makini na maisha.Maisha ni zaidi ya hela,yaani na umri wako huo na elimu yako bado unamtegemea huyo babu,hapo hakuna penzi ,kijibabu kinajilia uroda tu,mwisho wa siku utakuja kuula wa chuya.
Anonymous said…
Hi pp,
pole kwa kuwa njia panda na hongera kwa kuweka tatizo laki hadharani.....ninachokuomba ni usali sanaa maana bado inaonekana Mungu hajakukutanisha na wako wa milele,mume wa mtu ni sumu kali....ila kwa upande wa pili kwanini haukumwambia ukweli huyo umpendae kwa dhati kuhusu huyo mzee,but still its not too late kama yeye ameweza kukweleza ukweli kuhusu mkewe sioni sababu ya wewe kumficha kuhusu huyo babu...kuwa muwazi ili u-enjoy mapenzi yenu......moove on with ur life,hata ukisoomaa na usipo-practice ulichokisomea inakua haina maana,amka mdada ur still young,timiza ndoto zako.
Anonymous said…
Duuh! MOJA...Dada yangu..kwakweli hapo hakuna anayekupenda hata mmoja wote wanakutumia tu.

PILI..si vizur kuutoa utu wako kwa sababu ya matatizo... Imean jinc unavyokuwa in love na babu bcoz unasomeshwa hapo umeonesha kuwa unatamaa.

ADVICE...kwakuwa ulishaingia kwenye love ya babu na punde utamaliza kusoma basi BORA ukimaliza uanzishe maisha yako mwenyewe coz huyo babu akutakii mema na kisha tafuta njia ya kuachana nae.
Na huyo next man pia hakufai ona anavyomsaliti mkewe anakuja kwako pia ni mtu mwenyewe familia
KWANZA ...muonee huruma mwanamke mwenzio
PILI...jua kuwa hata wewe atakuacha tu coz nae sio mwaminifu.
MWISHO...TULIA DADA uje upate mwenzako.
UKIMWI UNAUA.
BY mfalme.
Anonymous said…
dada naona uchukue hilo swala la kuwaacha wote halafu tafuta zako maisha mwenyewe ndugu. Huyo babu huna future nae kabisa na huyo kaka mwenye mke na watoto atakua anahitaju muda mwingi na watoto wake, sasa bora tu uangalie mstari mpya ndugu yangu..
Anonymous said…
Kweli shosti uhame tu ukaanze maisha mbele ya safari.Maana ukikubali kuolewa na huyo mkaka mwingine utakuwa kama unaruka mkojo kwenda kukanyaga mavi.Wote wawili kwakweli washachukuliwa sio wako, wewe bado mdogo wahi mbele anza maisha yako kabla makuu hayaja kupata.
Kim from A town said…
Najaribu kuchangia lakini napata ugumu sana my comments kwenda through. Let me try again.
Anonymous said…
Hey there!
Nimekuelewa vizuri sana mpenzi. Hilo suala la kuwa na wanaume 2 tu kwanza umeharibu. Sijajua kilichopelekea ufanye hivyo. Lakini ni hatari sana kufanya hivyo. Acha mara moja. Mambo ya wapenzi 2 yamepelekea mauaji mara nyingi sana kutokana na wivu wa mapenzi.
Sijafahamu mke wa babu (the o ld man) yupo wapi lakini he is already old and if not ugonjwa umri utapelekea mauti yake(unafahamu makumi mawili 3 na kumi 1?) Huo ndio umri ambao binadamu ametupangia kuishi dunia. No matter what eventually we have to die. So relying to this man in a life style you are living in, it will cost you. Anza kuishi sasa kwa sababu mpaka sasa hujaanza bado. So if you are planning to shift to some other places do so and start your independent life. Forget about the old mzee.
As for the other younger guy, please mume wa mtu ni sumu. Unajua niliwahi kumpenda mume wa mtu sana kupita kiasi. Mambo mengi yakatokea in our lovelife(of course mengi yalikuwa mazuri) nikaja kwa wadau wanisaidie. Wengi walinishambulia ingawa wengine walinipa ushauri kwa ustaarabu. Kiukweli kuwa na mume wa mtu ni kudhulumu mapenzi yake kwa mkewe na watoto wake. Hata kama angependa kubalance mzani kiasi gani mara nyingi inashindikana halafu kama una roho ya utu itakuuma kuona kwamba wewe unasababisha commotion katika familia ya watu. Lakini kwa upande mwingine huyo mwanaume ambaye unaamini sasa hivi anakupenda sana kuna siku atarudi kwa familia yake bila moyo wako kufanya maandalizi. Hilo likitokea kama una mapenzi ya dhati kwake utatamani dunia ipasuke ujifukie.
Ushauri wangu achana nao sasa uuguze maumivu taratibu because yours is right there waiting for you. Kama ni kwenda nchi nyingine fanya hivyo mapema.
Nakutakia kila la heri.
Kim from A - Town
Anonymous said…
Pole sana mdogo wangu umaskini ni mbaya saana jamani naamini ungekua na uwezo usingekua na huyo old man.
wazo lako la mwisho ni lamaana sana umefikiria mbali sana kweli ulivyosema ur very bright nikweli kabisa u seems to be dear.
maadam unamaliza Degree kama ulivyosema wetulia malizia then hama kabisa kata mawasiliano nao wote huyo mume wa mtu unapoteza naye muda wabure na huyo Old man achana naye
hama anza maisha upya unaelimu tayari na u seems so bright utafikatu na utapata mwanaume ambaye mnaendana umri na asiye na mke all the best.Zingatia sana wazo lako la mwisho is the best
Anonymous said…
Wapotezee wote dada angu anza kivyako. Kp21p@hotmail.com OR www.bongo21.blogspot.com
Anonymous said…
Pole sana dada yangu kwa kuwa njia panda.
Mimi ninachokushauri ni kuwa achana na huyo mzee.Ingawa amekusaidia kukusomesha sasa ni wakati wa wewe kuwa na maisha yako.Utakuwa unapoteza muda mwingi ikiwa utaendelea kuwa naye.Jaribu kufikiria maisha yako ya baadaye na kuanza kuyapanga kwa kumhusisha Mungu ili akuongoze katika njia iliyo sahihi.Pia kuhusu huyu kaka mwingine,jaribu kumuuliza anampango gani na maisha ya kwetu pamoja na kama hana mpango wa kukuoa soon naye achana naye kabisa kwani kutembea na wanaume wa watu sio vizuri kabisa.
Kamala said…
Wazo lako la kuwakimbia wote wawili ni la muhimu, na kwa kufanya hivyo utajiepusha na matatizo ambayo yanaweza kukukosesha amani pindi watakapogundua kwamba unawachanganya!! Kila mmoja wao ana matatizo yake. Huyo mzee ni malaya; na kutokana na hali halisi ya ulimwengu wa sasa hivi, unaweza kuambukizwa na maradhi hatari ambayo yanaweza kufupisha uhai wako. Mwenye miaka 38 ana mke na watoto 5!! I think you need a man of your own; whom you'll be able to enjoy each others love towards marriage there after. Good luck! Kamala.
Anonymous said…
Nimependa paragraph yako ya mwisho, mi mwenyewe nakushauri after hiyo degree ondoka hyo nchi achana nao wote coz hawana future na wewe, mtoto mdogo ukalee watoto wa mwenzio tena wa 5!!! akhaaa mwenzangu.

Huyo baba ni malaya ndo mana anataka na rafikizo, mi naamini ulienda kwa huyo babu kwasababu ulikuwa na wakati mgumu kimaisha na ulikuwa unahitaji msaada sana ukaangukia kwa mbaba too bad.

Pole sana
Anonymous said…
katika kitu ambacho wanawake wa nje au nyumba ndogo wanadanganywa na wanaume na wao wanakubali kama vile wajinga, ni suala la mwanaume alyeoa kukuambia simpendi mke wangu au tunagombana sana, nakupenda wewe, nitamuacha mke wangu nitakuoa wewe, siku zinakatika hamuachi wala nini, mtu mpaka amefikia hatua ya kumuoa mtu ujue alimpenda sana ukiacha exception case,ndoa ni safari ndefu watu wanavumiliana na wanakuwa wametoka mbali na mke wake, usitegemee atamuacha mke wake kwa ajili yako, tena unamtendea isivyo haki mwanamke mwenzio kwa kumuibia mme wake. achana nao wote hawakufai, huyo mzee hakufai ni mzee na malaya, na huyo mwingine ni mume wa watu ni sumu.
Anonymous said…
mmmh haya!..ndo mambo hayo watu wengi tunapitia ktk maisha,ndo kukua huko!

nadhani uamuzi wako ulioamua ni mzuri sana dia, huyu mpenzi wako nae ni mchemsho tuu.. mtu anawatoto wote hao we utamfanya nini? leo kagombana na wife wake kesho wakipatana waamue kukaa kulea watoto wao wot does that live u??
ni mefurahi, huyo mzee hajakutumia tuu.. bt pia amekupa kitu cha dhamani sana ktk maisha yako(elimu)sasa ni juu yako wewe kuendeleza maisha yako, move away from both two men, start u life over.. your still young!! soo very young that.. im sure God will give u a man of ur life.Stay blessed.. lily ars.
Anonymous said…
what I have planed ni kuwa nikimaliza degree yangu at the end of ths year nitafute kazi nchi nyingine nihame niwaache wote nianze maisha upya as mimi? Kwa abilities nilizonazo naamini nitafika mbali sana.
nimependa hii,kumbe jibu unalo kabisa
my dia ushauri wangu ni kwamba wote wawili hawakufai kabisaaaaa
anza maisha mapya mungu atakusaidia na huyo mzee kwa tabia yake wala hatajali hata ukimwambia unamuacha since anawanawake wengine.jamani wanawake wenzangu tuwe makini hizi pesa zinatunyanyasa lol,mara atake tigo mara 3some lol kisa anakupa hela!sema ASHINDWE KWA JINA LA YESU then anza maisha mapya na huyo mume wa mtu na watoto wa5 achana nae!HAKUFAI!
Anonymous said…
Kama ulivyosema, waache wote nenda mbali kaanze maisha upya.-martin
chuty said…
DUH! POLE MYDIA HUO NI MTIHANI, UR IDEA YA KUMALIZA SHULE NA KUACHANA NAO ITS GUD. MAANA HAPO HUYO BABU NI KICHECHE ANAWEZA KUKULETEA MARADHI, HUYO MR NAE SI WAKO CZ AMESHAOA MKEWE AKIGUNDUA NI NOMA!
SO WOTE HAO SI WAKO HAKUNA MWNYEFUTURE NAWEWE, UNGEKUWA MVUMILIVU UNGEKOMAA TU PKE YAKO UMALIZE CHUO KWANI HUPEWI BOOM WEWE AU UMESHAZOEA KUSPEND?
NWAY KUWA MAKINI KWA WANAUME WOTE HAO WAWILI HUYO BABU VILE NDIO ANAKUWEKA MJINI MFANYIE USANII TU PUNGUZA SANA KUFANYA NAE NGONO
Mikausho Mikali said…
ANGALIA UMESEMA BABU KICHECHE NA NAVOJUA MIMI WAZEE WA ZAMANI HUWA HAWATUMII CONDOM.USIJE UKAJIKUTA UNAMUANGAMIZA MTOTO WA WATU.AMUA MOJA
Anonymous said…
Mhusudu sana huyo aliyekusomesha shule hata kama hakupi sex tamu kama huyo unayemsifia lakini amekujengea maisha bora baadaye.

Tafadhali achana na huyo mpya ubaki na mzee huyo hadi unamaliza shule kimbia achana naye babu yako huyo kaanze maisha mapya.

usipochukua tahadhali mapema utajiua kwani unaonekana umezama sana kwenye kusex kwa jinsi ulivyoizungumzia humu.

nakutakia kila la heri na usikawie kuchomoka mara shule yako itakapokoma.
Anonymous said…
Let me guess huyo mwenye 38yrs na watoto watano ni mnigeria. Am I right or am I right. Tafuta maisha yako mwenyewe we bado ni mdogo ninakuhakikishia by the time una miaka 30 hautampenda hata huyo mwenye miaka 38. That is life na kutokana na umri wako na uzoefu wako we bado unahitaji kukua.
Anonymous said…
Huna akili wala nini wewe ni fala 2 na usipojiangalia mi nakwambia utagraduate shahada ya HIV. Hv huyo babu hajakwambia kama ana HIV??? Tafadhali jiulize mlipoanza mapenzi mlikuwa mki2mia kondomu? Na kama hamkuwa mki2mia basi jua kuwa hata kwa hao malaya wake hatumii kondomu, if u r nt careful then be sure dat u wl graduate the HIV Degree in yaa body. Na huyo mwenye mke hakupendi wala nini.
Na ulivojisifu kuwa una akili ni kuwa huna akili ila una uwezo mkubwa wa kukariri na sio ku analyse na ku interprete mambo. Kama ungekuwa na akili basi ungejua kuwa huyo mume wa m2 hana mapenzi yoyote kwako na mbaya zaidi ni msaliti. Jiulize kama anaweza kumsaliti mke wake je wewe ukiolewa naye una uhakika gani kama hata kusaliti? Kwanza wewe una nini mpaka usisalitiwe??
Bibie fanya maamuzi leo ana achana nao wote, na ufahamu kuwa education is nt all that u have or u need. M2 hataish kwa mkate 2 fala wewe, c lazma usome ndo uwe m2 ktk dunia hii. History is nt built by presidents, kings or educated bt it is built by ordinary people doing extraordinary things. So plz try ur best to be innovative, sio kama unavofikiri eti kumaliza degree ndo utakuwa umeukata, maisha hayapo hvo we jidada. Na inabidi ukae china ushukuru Mungu kwakuweka maovu ya m2 yawe siri ya m2 mwenyewe laa sivyo hapa duniani pasingekalika coz every human has a black chapter bt we differ in the intensity of blacknes.
Take care malaya wewe usijepata digree ya ujinga na ukimwi 2.