Friday, 26 March 2010

Naogopa uhusiano mpya, nikizidiwa najichezea je kunamadhara?

"Habari zenu wakubwa kwa wadogo,
Mimi ni mwanamke umri wangu ni miaka 25 tatizo langu ni mimi nilikuwa na mume wangu ambaye tuliishi pamoja kwa miaka 4 na nilikuwa nikimpenda sana mume wangu lakini kutokana na kutokuwa mwaminifu kwangu na mateso aliyokuwa ananipa kwa sababu alijua wazi nampenda nilishindwa kuendelea kuvumilia na mwaka jana mwezi wa 4 tukaachana.


Mimi nikaanza maisha ya peke yangu basi sikuhitaji tena mwanaume kwani nilimpenda sana mume wangu na sikupenda kuachana naye ila tabia zilinichosha.Kama unavyojua binadamu huwezi ishi mwenyewe mwezi wa 7 nikapata mkaka mmoja ambaye mwanzo sikumpenda kabisa lakini baadae nikajikuta nimeingia kwenye mapenzi yake.

Tumedumu na huyu kaka kwa muda wa miezi 3 kumbe naye hakuwa mwaminifu, sasa tatizo langu kubwa ni hili; tangu niachane na huyu bwana'ngu nimekuwa muoga kuanzisha uhusiano mpya wa kimapenzi kwahiyo nipatapo hamu ya kufanya mapenzi huwa najilaza kitandani kajichezea kinena hadi najiasikia raha kama vile nakojoa.

Nimekuwa nikijifanyia hivyo kwa muda mrefu, je inamadhara gani? na je huku ni kujichua? maana najua kujichua kuna madhara nifanyaje jamani na kuanzisha mahusiano na mtu mwingine naogopa isije kuwa yale yale.

ASANTENI NASUBIRI MAWAZO YENU
TINA-MOROGORO"

Dinah anasema: Siku zote sio vema kukimbilia uhusiano mpya baada ya ndoa kuvunjika au hata kutoka kwenye uhusiado uliodumu kwa muda mrefu. Kihisia na kimapenzi unakuwa hauko tayari kujua kama unampenda mtu au unakubali kuwa na mtu kwa ajili ya comfort. Hii inajieleza wazi pale uliposema kuwa hukumpenda bwana'ko mwanzo lakini ukaendelea nae kwa muda wa miezi 3.

Kuchezea kinena huwezi kusikia raha yeyote (kinena ni eneo linaloota nywele/mavuzi) na dhani unamaanisha kisimi a.k.a kiharage hicho ndio pekee kitakachokufanya usikie raha. Kuna njia nyingi za kujichua/chezea.....tafuta topic ya kujichua kwa mwanamke.

Kujichua kwa mwanamke kiasili hakuna madhara yeyote, lakini kama unatumia au unajingizia vitu au vifaa Ukeni (Sanamu) zinaweza kukusababishia maaambukizo, "kutifua" misuli ya uke na kusababisha uke wako kulegea, nyama kujitokeza kwa nje.

Ukizoea kutumia Sanamu kujichua utashindwa kusikia utamu kila utakapofanya ngono na mwanaume kwa vile sanamu ni ngumu japokuwa watu watakudanganya kuwa ziko na texture kama uume asilia lakini sio kweli, Mungu aliumba uume kwa ajili ya kuingia ukeni na sio sanamu.

Mazoea hayo yatakufanya kihisia udhani kuwa mwanaume hana uwezo wa kukuridhisha kingono na hivyo kumuomba akufanye kwa kutumia sanamu badala ya uume wake kitu ambacho nitakiita "madhara ya kujichua kwa kutumia sanamu".

Kujichua kiasilia kunakusaidia wewe kama mwanamke kuujua mwili wako, kuongeza nguvu kingono na hali ya kupenda tendo (utakapokuwa tayari kwa ajili ya uhusiano mpya), kukaza misuli ya tumbo na kufanya kuwa na shape nzuri ya makalio......inategemea na mtindo wa kujichua unaotumia, sio lazima iwe kidole.

Kila la kheri!

16 comments:

Anonymous said...

faida ni kubwa kuliko matatizo keep it up dada

Anonymous said...

Nakufagilia wewe dada endelea na kamchezo hako kwani kanakusaidia kujibinafasi kabisa na unaepukana na mengi mno mabaya.Kama ulivyosema mambo ya kujiingiza na mtu mwingine yanaudhi na kuleta za kuleta. Ni afadhali ujidhuru kwa njia kama hiyo ili ujijue mwenyewe kuliko mtu mwingine akuingizie lishetani.Na bahati nzuri umeyaonja.

Madhara hakuna kabisa wewe jisaidie utakwepa maukimwi.Hiyo ndiyo njia hata mimi mwanaume naitumia kupiga nyeto mke wangu anapokuwa yuko mbali na mimi na inalipa vizuri sana nakwepa kujiingiza kwenye mikenge ya udanganyifu.

Anonymous said...

Well mimi nakushauri tulia tu utapata mtu ambae atakuthamina kukupenda kwa dhati, Muombe mungu tu kwani hayo mambo yapo sana hata mimi nilikuwa na matatizo na mke wangu yeye alikuwa kicheche mno nikaamua kuachana nae, nitafute kwa namba 0715 559588.
tutaongea mengi..

Anonymous said...

haina tatizo lolote dia cha msingi unapata raha,mimi pia nina fanya hivyo japo nina mume lakini anasafiri abroad mara nyingi huku nyuma nakunywa wine namkumbuka na nyege zinanipanda najichezea mwenyewe hadi namaliza then najisikia raha sana na najikuta nataja jina lake wakati napizi

mimi inanisaidia mana sitaki kotoka nje ya mpenzi wangu na magonjwa yalivo mengii....akkkaaaa najipa raha mwenyewe

Anonymous said...

Kweli dada faida ni kubwa kuliko matatizo, hakuna mwanamme wa peke yako dada wote baba 1 mama 1 wa ukweli ni kumi kwa mmoja, tuliza ball kwanza endelea tu bora waridhika.

mwanyika2 said...

Huko ni kujichua ndio, hakuna madhara zaidi ya kukupotezea muda wako mwingi kitandani badala ya kufanya ya mambo mengine ya msingi. Kuhusu kuanzisha uhusiano mwingine usiogope u r still too young to live alone cha msingi ni kukumbuka kupima VVU kabla hamjakutana kimwili.Na angalizo ni kwamba kitaalamu kwa mwanamke kadri unavyokuwa na wanaume wengi tofautitofauti in ur life time basi unajiongezea chances za kupata kansa ya shingo ya kizazi, so now tulia na utafute mmoja ambaye hamtaachana.

Anonymous said...

Usijali utapata tu akupendaye, kwa mda huu we endelea tu na kujiridhisha kuliko kutangatanga

de'victorious said...

mi sidhani kama ina madhara ila ukizoea sana utashinda kuacha ana hutakua hutaki mwanaume tena.....

Anonymous said...

Hakuna madhara yoyote, wangelipatikana wanawake kama 100 kama wewe ukimwi ngeliisha, wanaume wanatutesa sana, ukimwonyesha kuwa unampenda yeye anaanza kuleta mbwembwe ili ujue kuwa wanawake wengi wampapatikia, tena akiwa na vijisent kidogo na usafiri ndo utakoma.

Anonymous said...

pole dada lakini kuwa mvumilivu yupo ambaye mungu amekupangia,usiwe na haraka

Anonymous said...

hy kali sio fresh kabisa nakusihi tuliza akili utampata wa nafuu cause wanaume wt siku hz sio waaminifu

Anonymous said...

Hahaha pole mpenzi kwa yote yaliyokupata,but usiumie sana bali chukulia tu kuwa ni sehemu ya changamoto za dunia. hakuna ubaya wowote katika kufanya hivyo cha msingi tu ni wewe kutumia vitu salama. kucha ziwe safi na fupi na tumia vidole zaidi au mikono yako but hakikisha ni misafi vya kutosha kwani huko chini kuko laina sana. Mimi mwenyewe niko ulaya demu wangu yuko bongo, but kwa week tunaduu hata mara tatu na huwa namkojolesha anamwaga kwelikweli si mchezo.kwa siku yaani kwa lisaa lomoja naweza kumkojolesha mara tatu, yaani anakojoa siyo kubabaisha, na hutumia vidole kushika kila sehemu nunayomwelekeza kufanya, na anafurahia sana maisha ya mapenzi coz anaenjoy na kupata raha ya ajabu kuliko hata wanaotombwa live. But nakushauri jaribu tu kuwa mvumilivu jipe muda utulie uwe makini then utampaka mkaka mwenye mapenzi ya kweli na atakusahaulisha machungu yote yalopita. usikurupuke kwa kumkubalia kila anayekuja na kukutongoza, lazima uwe na msimamo na kujua unachokitaka siyo kusukumwa na tamaa ya mwili zaidi.coz unakuwa unakurupuka katika maamuzi na mwishowe unaishia kuachiwa machungu kama hivi. Na wanaume wakishagundua kuwa kuna mteremko basi watakudandia mpaka uone dunia chungu. uwe na wakati mwema

Anonymous said...

Mhhh., Jamaa hapo chini "Anonymous 1:27:00pm" mwenye namba 0715 559588 naona kishaanza kujipigia pande mwenyewe. Kuwa makini na mtu anayekuja kwa kasi kukutaka kwa kipindi hiki. Inaweza kuwa ni janja ya kutaka kukudandia then akakuacha pia. Cool down mtu wakweli utakutana nae bila hata wewe kujua. Muombe Mungu tu.

Suleiman said...

NUNUA VIBRATOR YA MBOO.

Anonymous said...

dadangu mi sikushauri ufanye hivyo..ukiendelea sana u will become addicted to that afu ikawa tabu pale utakapokua tayari kwa mahusiano mengine ...hali unayojisikia ni ya kawaida mtu kua hivyo pale anapoachana na ampendae give urself sometimes utarudi kawaida utapenda na kupendwa tena wala ustie shaka, ure too young staring doing that....
ol the best....

Anonymous said...

dadangu mi sikushauri ufanye hivyo..ukiendelea sana u will become addicted to that afu ikawa tabu pale utakapokua tayari kwa mahusiano mengine ...hali unayojisikia ni ya kawaida mtu kua hivyo pale anapoachana na ampendae give urself sometimes utarudi kawaida utapenda na kupendwa tena wala ustie shaka, ure too young staring doing that....
ol the best....