Friday, 26 February 2010

Ushuhuda kutoka kwa Wakawe!

"Ni mimi wa KAWE, niliyekuwa nazinguliwa na demu!!!!!!!!!.Nimekubali wadau hapa panafundisha. Ktk maoni yenu nimejaribu kufanyia kazibaadhi ili nianglie matokeo.

Nilianza na kummchunia kama sipo naye hata kimawazo, nikawa naondoka simuagi tukikutana nampa hi halafu nakuwa sina time naye kwa story wala kwa ishu yoyote. Hapo hapo nikamwambia kwakuwa amenikataa natafuta demu mwingine.

Akaniambia tafuta! Sikumchelesha kesho yake nikaigiza demu chumbani na yeye akamuona lakini hakufanya lolote kwa muda huo. Siku hiyo usiku nilimuona anakuja na vazi la usiku hana hata chupi, akaniuliza aliyekuwa humu chumbani mchana ni nani?

Nikamjibu mpenzi wangu, akaangua kilio na kunirukia nilipokuwa hakuongea lolote ila nikutomasa na kuniambia TANGIA LEO NAOMBA TUWE WAPENZI. Hapo hapo kanipa mpaka sasa nimapenzi motomoto.

Ananiambia alikuwa ananipenda ndio maana aliHitaji nimsumbukie kumpata ili nikikumbuka nilivyosumbuka kumpata nitashindwa na nikweli siwezi kumuacha wala kuhangaika kwingine !Kama mungu atajalia nitarudi jamvini kuwajuza habari za ndoa.

SHUKRANI WADAU NYOTE.
NI MIMI WA KAWE.

Dinah anasema: Hiongera sana kwa kufanikiwa kupata mpenzi uliyekuwa ukimtaka baada ya kufanyia kazi ushauri wa wachangiaji. Mimi nasema asante sana kwa kurudi tena hapa na kutuambia unavyoendelea na kuahidi kuja tena mara baada ya kurekebisha masuala ya ndoa.

Mungu awabariki wote kwenye maisha yenu kama wapenzi na kila la kher kwenye maandalizi ya kutangaza ndoa.

6 comments:

Anonymous said...

Mmmmmmmmmmmm wewe jamaa mwisho!! nakupa zote na nakutakia kila lililo jema katika safari hiyo.Akija kesho chumbani kwako mtombe hadi azirai ili na yeye akukumbuke kuwa ulimvumilia na alikutaabisha mno kimawazo.Basi mpe vitamu vyote ili aone kwamba alichelewa sana kuvipata.Naamini huyo sasa ni mkeo wa kweli.Endelea kula nazi.

Pia asante sana kwa kurudi kutupa feedback.hiyo ndiyo inayotakiwa ili kuwafanya wachangiaji waone wanachochangia kina manufaa kwa wahitaji.Ubarikiwe sana na uwe na amani na furaha katika penzi lako nono.

Anonymous said...

thats nice ila je mmepimaaa mana hilo ni muimu,na i hope umeachana kabisa n ayuleee uliekuja kumrushia mpenzi wako wa ss roho,be faithful and all the best

Anonymous said...

Umeonaeeeeeeee

Anonymous said...

Hahahaha...Hongera sana wakawe. yaani nimecheka My-Lungs-Out, dah! Hizo ndizo mbinu za nishani na ningependa vijana wenzako wengi wa kiume wajifunze kupitia kwako. Mwanamke always anagive-in kirahisi kwa mwanamume anayeweza kuonesha kuuamini UWEZO WAKE! My take.

Anonymous said...

tehe tehe..! weweee utamu kwa kwenda mbele, mi nilijua tuu anakupenda na ukimchunia tuu atajileta mwenyewe cause ilishanitokea hata mimi.. have fun and remember mapenzi na heshima ni km maji na samaki..practise safe sex always esp if ur not planning to have any childrens for now..
Lily Ars.

Elly Mo said...

Eee bwana hongera,sasa jitahidi kufanya mipango ndoa.