Friday, 1 January 2010

U've made it! Heri ya mwaka Mpya!!

Hongera kwa kumaliza Mwongo (Decade) na Kila la kheri unapokwenda kuanza mwingine. Nakutakia afya njema, maisha ya Ndoa/Kimapenzi mazuri, marefu na yenye mafanikio zaidi ya 2000-2009.
Akupendae na kukujali,
Dinah.Xxx

4 comments:

Anonymous said...

I wish all the best to you and your love happy new year,

Amos Bwire said...

Thanks much Dinah! The very same goes right back at you. You've been great to us all, so generous, educative, down to earth and gifted sexofrank. Hope you become more and more of that this year. Stay blessed and rich of health, knowledge, whatever man!

Medy said...

hello kwanza habari yako dinah!!!nna iman ni umzima wa afya teeele pamoja na wenzangu yani membrz wa hii DINAHICIOUS.....!!!pia nashkuru saaana kwa kkwa dua ama maneno yako mazuri ya kuombeana kheri juu ya kwaka huu mpya.nami pia nakutakia kila la kheri katika maisha yako kiujumla wangu!!!pia shukran saaana kwa kuweka hii kitu coz ni hutusaidia ktk kuelimishana pia kupeana ideas za hapa na pale!!!big up sana wangu...pamokoooooooooooo...

Maggie said...

Dinah happy New year to you as well my dear, nakutakia mafanikio mengi kwenye 2010, as for me I don't know what to expect this year maana nimeuanza mwaka vibaya sana, only God knows what is in store for me. Love you much Dinah!!
-Maggie.