Tuesday, 26 January 2010

Ujauzito umeongeza nyege lakini mume hataki-Ushauri

"Dada Dinah pole sana na hongera kwa kazi ya kutuelimisha kuhusu masuala ya kuboresha mahusiano yetu katika ndoa. Nimekuwa nikisoma na kuchangia kwa kutoa maoni kwa watu waliouliza maswali.

Leo na mimi yamenifika. Ninaomba tu wanablog mnisaidie. Yaani hapa nilipo nimetamani hata kumpigia simu dada Dinah ili tuonane uso kwa uso anisaidie zaidi, ila sina namba. Naomba tu dada Dinah ujitahidi kuutoa ujumbe huu mapema na ninaomba mawazo/maoni yenu. Dinah unaweza pia kuanza kudokeza machache wakati wachangiaji wanaendelea.

TATIZO NI HILI
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 29, nimeolewa na nina miaka 8 kwenye ndoa yetu ambayo imejaaliwa watoto watatu na sasa nina mimba nyingine ina miezi mitano, Mtoto wetu wa mwisho, inshallah!.


Imetokea mume wangu akapata serious infection kwenye mkojo. Daktari aliyemtibu kwa kuwa anatujua amemwambia kuwa kwa sababu mimi ni mjamzito na wajawazito hupata maambukizo haya kwa urahisi (ambayo hata hivyo hayajitokezi mapema) basi mimi nitakuwa nimemwambukiza.

Alipokuja na maelezo hayo sikumbishia na ilibidi na mimi nikapime. Kwa hakika sikukutwa na infection zaidi ya Viprotini kidogo ambavyo ni vya kawaida kwa mama mjamzito yeyote. Alitahadharishwa kwamba tusifanye kabisa ngono hadi atakapopona ili tusimwambukize mtoto.

Niliona ni wazo jema na nilijua kwa kuwa ni ugonjwa unaotibika poa tu. Sasa ni miezi miwili tangu alipoambiwa hivyo na ameshapona lakini "ananiogopa nitamwambukiza tena" na wala hana mpango wa kufanya ngono tena na mimi, sijajua hali hii itaendela hadi nitakapofungua au!

Tukilala kila mtu kivyake, haniwekei hata mkono kunikumbatia. Mwanzoni alikuwa analalamika mwili ni dhaifu, anajisikia vibaya sana, nimwache alale nisimusimbue. Sasa ni zaidi ya mwezi tangu amepona lakini bado mambo ni kama mwanzo.

Hapa nilipo yamenifika shingoni. Ninatamani hata kukunwa tu na nimejaribu kumchokoza anakuwa mkali, kama defensive mechanism hivi. Wakati mwingine anazua ugomvi ili tusiwe na mahusiano ya karibu.

Ninakuwa sina la kufanya ila ni kunyamaza tu, maana Condom pia alishakataa kutumia (na sijui kama ni nzuri pia kwa wajawazito!). Kwa kweli inaniumiza na ninajisikia vibaya. Nyege zimenikaba sina jinsi. Nimejaribu kujishika mwenyewe sisikii raha na ninatamani ningeguswa hata kwa kidole tu. Nadhani jamani mmenielewa.
Nahitaji ushauri wenu wapenzi.

JOKE: Nilikuwa nasoma ujumbe wa aliyeamua kulipiza kisasi hata nikashawishika kusema, wakati mwingine inabidi. Ila kutokana na hali yangu siwezi thubutu, ningetafuta hata wa kunishikashika kisimi tu (jamani msinielewe vibaya sijawahi hata mara moja - niliolewa bikira na bado ni bikira kwa mme wangu tu).

Ninaomba mnisaidie, nifanyeje? Na pia, je, mume wangu ameathirika kisaikolojia au? Nitamsaidieaje?

Mind You: Mume wangu pia huwa ni "mvivu" kwenye ngono. Ni kama amepata pa kuponea. LAKINI hili halizuii kutafuta mbinu. Nipeni ushauri wenu ndugu zangu."

Dinah anasema: Asante kwa ushirikiano na uvumilivu wako. Inapendeza kuona baadhi ya wachangiaji wamejitahidi na kuzungumzia uzoefu wao ambao hakika umesaidia kulichukulia suala lako kivingine na pengine kukuongezea mawazo au hofu zaidi.

Lakini kumbuka kuwa tatizo la kingono linapojitokeza kwenye uhusiano sio mara zote kuwa mwanaume anajinafasi nje na mwanamke mwingine, wakati mwingine inakuwa ni mawazo, hofu, hatia, ugonjwa, utu uzima n.k. ndio maana huwa nashauri watu kufanya uchunguzi wa kina nakuwa na uhakika wa nini kinasababisha tatizo lililojitokeza kuliko kujaji na kufanya uamuzi ambao mara zote huwa sio wa busara.

Kutokana na maelezo yako ya hapa na private nahisi kuwa mumeo inawezekana kabisa anasumbuliwa na tatizo la kiume a.k.a Upungufu wa Nguvu za Kiume, tatizo ambalo liko tangu na tangu lakini wanaume huwa hawapenzi kulizungumzia wala kwenda kupata ushauri namatibabu. Tatizo hili linatibika ikiwa mwanaume hana matatizo mengine ya kiafya.


Sasa mwanaume yeyote anapohisi kuwa uwezo wake wa kungonoka umepungua au hana kabisa nguvu za kufanya tendo la ndoa huwa anapoteza hali ya kujiamini kama mwanaume. Mwanaume hapa atatumia kila mbinu ili usigundue tatizo lake ambalo kwake ni aibu.


Njia mbazo mwanaume mwenye tatizo la Ukosefu wa Nguvu za Kiume wengi huzitumia ni kukimbia tendo, kutumia pombe, kubadilikakitabia na kuwa mkali, kusingizia kuwa wanaumwa/choka napengine kukusingizia wewe unatoka nje ya ndoa kama sio kuwa "humvutii" tena na wengine huamua kutoa Talaka kabisa, hii yote ni kuzuia "siri ya kiume" kutoka ambayo ni wazi inaweza kukufanya wewe mwanamke utafute namna hasa kama ngono uhusiano wako kwako pamoja na mambo mengine muhimu umeegemea zaidi kwenye ngono (unapenda Ngono).

Mwanaume anapokuwa kwenye hali hii anahitaji ushirikiano, matumaini na uelewa wa mwanamke kuliko wakati mwingine wowote wa maisha yake, lakini kutokanana hali yako ya ujauzito ni wazi wewe pia unahitaji ushirikaino na support yake.

Pea nyingi hupoteza ndoa zao kwa uzembe unaosababishwa na wote wawili kutokuwa makini na kuwa wabinafsi zaidi. Mumeo hapa ameonyesha ubinafsi ili kutunza Ego yake, wewe inawezekana mumeo akahisi kuwa umekuwa mbinafsi kwa kudai tendo wakati mwenzako hawezi kukupa pale unapotaka kutokana na matatizo ambayo ameamua kukuficha......katika hali halisi ungejua tatizo ungejitahidi kuwa mwelevu na wote kwa pamoja mkashirikiana na kupeana support ili kuondokana na tatizo linalokabili ndoa yenu hivi sasa.

Mambo mazuri hayataki haraka, natambua sana kuwa ujauzito umekuongezea hamu zaidi ya kungonoka na mumeo analijua hili lakini kwa sasa hana namna ya kukuridhisha utakavyo hivyo basi anajitahi kukupa ikiwa siku hiyo mambo ni mazuri (anahisi kuwa anaweza kusimamisha kwa muda fulani) au pengine katumia dozi ndogo ya Bluu au Viagra.

Isije kuwa kuwa anatumia aina fulani ya dawa za kuongeza nguvu ila hataki wewe ujue kwani anahisi kuwa utamdharau na kumuacha ukigundua kuwa hawezi tena kusimamisha bila "msaada".

Wewe na mumeo kwa mara nyingine mnahitaji kuongea kwa upendo lakini wewe kuwa a bit firm ili akuelewe vema na hivyo kukubali tatizo lake na kwenda kupata msaada wa kitibabu.

Samahani msomaji,
nitaishia hapa kwani ninaendelea na msaada wa moja kwa moja na mhusika.

21 comments:

Anonymous said...

Dada pole sana. Mimi ni mwanaume na nimeoa na wala sitaki kuhukumu mtu. Nafikiri kwa kuwa lengo kwenye hii forum ni watu kupeana mawaidha kutokana na uzoefu wao, mimi hili la huyu dada limenikuna sasa kwa sababu nilishawahi kumfanyia mke wangu hivyo hivyo miaka kadhaa ya nyuma.

Ila mimi sikukutwa na infection yeyote, yeye ndo alikutwa na infection na doctor akasema inabidi tusifanye ngono mpaka atakapopona. Basi akatumia dawa, tukaenda kupima tena akaonekana sasa amekuwa shwari. Niseme tu kwamba wakati mke wangu akiwa mjamzito kuna mvuto fulani wa kufanya nae ngono ulipungua kidogo, na katika process hiyo nikapata mdada mmoja mzuri tu tukaanza kungonoana wakati wife akiwa mjamzito (hii ilikuwa zamani jamani nimeacha siku hizi).

Sasa basi ngono na yule dada ikawa tamu maana mdada alikuwa anaijua shughuli weye si mchezo, nikanogewa mwanawani, na tukawa tunaendelea. Basi home wife kila akitaka sex, na kwa kuwa mimi unakuta labda siku hiyo nimeshatoka kungonoana na yule mdada mwingine na nimepiga kama magoli matatu manne hivi,namwambia wife si unakumbuka lakini una zile infection labda bado hazijaisha vizuri mwilini, but the real reason ni kwamba sijisikii tu kufanya nae kwa sababu nimeshapata matibabu kwingine.

Basi nikawa natumia hiyo kama kisingizio na kilikuwa kizuri kweli kwa kuwa wife alikuwa hawezi kubisha na kilikuwa very logical. Nikimuona tu wife anataka kuwa very friendly siku hiyo nalianzisha from no-where tu ilimradi nisije nikazidisha manjonjo halafu akataka kungonoana, coz yule dada mwingine nilikuwa nangonoana nae daily coz alikuwa mtamu huyo, kila nikimkumbuka kazini lazima jioni nikiwa natoka kazini nipitie kwake nipate moja mbili then home, na uzuri alikiwa anakaa kwake peke yake kwa hiyi uhuru ulikuwepo.

Na mambo yote hayo anayosema dada hapo ya kumpa wife mgongo na kutomkumbatia usiku yalitendeka, lakini sababu ilikuwa tu sitaki kumkumbatia ili asije akalianzisha.

Ila hiyo ilikuwa zamani kidogo, kwa sasa mimi na mke wangu tuko peace ngono kama kawaida na yule mdada tulishaacha mambo hayo siku nyingi. Ilikuwa tu ni katika kile kipindi ambacho wife alikuwa mjamzito na uzuri wife hakushtuka kwa hiyo mambo yaliisha salala.

Sasa nilivyosoma hii stori nikacheka sana, nikaona ni vile vile nilivyokuwa nafanya wakati ule.

But please mind you dada, mimi siko hapa kusema mmeo nae anafanya mambo hayo, ila nimeamua kushare hii yangu ili iweze ikupe angle nyingine ya kutazama hiyo issue yangu kwa akili,lakini usije ukamvaa jamaa ukaanza kumtuhumu bila sababu za msingi. We are sharing experiences in order to help each other to see the other side of the issue so that we can make informed decisions and analyse our issues intelectually.

Thanks and all the best. I just hope that ure husband is not doing what i did.

Anonymous said...

Pole sana mama!! Mimi kama mwanaume tena niliyeoa nilitaka hata kulia kwa kisa cha masimulizi yako ingawa kwenye joke yako pia umenichekesha.Lakini tatizo lako ni nyeti sana hasa unapokosa ile haki yako ya mzingi kutoka kwa mumeo.

Ushauri wangu mama ni huu.Kwa kuwa katika maelezo yako umesema Daktari aliyempima mumeo anawafahamu, na yamkini ndiye aliyemtibu mumeo basi nakushauri uende kimyakimya kwa huyo daktari ukamweleze hilo tatizo la mumeo ambalo ni kama amepata ugonjwa wa phobia hivi kuogopa kusogelea kuma yako.Huyo daktari umuombe amwite huyo mumeo au wote wawili ili amweleze kuwa sasa anaweza kuanza ngoma bila tatizo.Tafadhali sana muendee huyo dalktari wenu mpe sakambu ya mumeo maana ndiye aliyempa ushauri kuwa aikutombe ili kukwepa maambukizi.Huo ndiyo ushauri wangu maana tatizo limeanzia huko na ndiko litatatuliwa.
kama kauvivu anako pia basi vinachangiana pamoja.Pia huna budi kumweleza hali unayoikumba ya manyege yanayokukaba.Mwambie tu hata kama hataki kuingiza mboo ndani basi akutekenye nayo tu kwenye kisimi hicho ili upate raha zako mambo yaishe.

Ule mkojo wakati fulani waweza kusababishwa na vyakula au vinywaji fualni hivi.Sijui kama mumeo ni mnywaji wa vinywaji vikali?Nakutakia kila la heri dada.

mama 2 said...

Pole dada! Mi nakushauri muombe mumeo akupeleke hospitali kama vile unaumwa, na ukamuone huyo Dk aliyewapima, wakati unamuona daktari jaribu kumgusia na hilo la mumeo kukunyima raha ya ndoa especial kipindi hiki ambacho wewe nyege zimeongezeka. Kisha muombe Dk. amuite mumeo na ajifanye anawapa ushauri wote wawili na pia unaweza kumuuliza Dk. mbele ya mumeo kama mnaweza kutumia Condom. Labda akipata maelezo ya Dk. anaweza kubadilika, yaani anachokifanya siyo kizuri kabisa, kwani kwa stress ambazo unazo wewe mama mja mzito unaweza kuzaa mtoto Pre-mature. Kwani moja ya sababu za mama kuzaa pre-mature ni kuwa na stress.

Rabicca said...

Jamani pole sana dada. Naelewa jinsi unavyojisikia maana hata mimi ilinitokea nilipokuwa mjamzito nilikuwa nanyege kali sana na nilikuwa nataka kila siku.
Namshukuru mungu mume wangu alijitahidi na kuniridhisha kila nitakapo hata kama ni saa nane usiku. Pia anatakiwa awe karibu sana na wewe kuhakikisha unaridhika angalau kwa asilimia fulani maana hicho ni kipindi kigumu kwa wanawake wote.
Kama alivyoshauri Dina, tafadhali nenda mkapime tena. Kwa mtazamo wangu inawezekana alitoka nje, akapata huo ugonjwa na sasa anaona aibu maana ameumbuka. Na inawezekana anahisi anamaambukizi zaidi labda anawasiwasi asije akakuambukiza. Ikiwezekana, ungemshauri mpime na ukimwi, akikataa dada iwe salama yako, jicheki afya yako na jikaze tu ujifungue salama na uendelee kutunza watoto wako. Usikazanie sana ukute anakuhepushia na mengine. Kama hakutoka sasa anaogopa nini?

Anonymous said...

Pole sana dada kwanza kabisa nakupongeza kwa kuwa muaminifu kwenye ndoa yako maana ungekuwa ni miongoni mwa wale wasioheshimu ndoa zao hii ndiyo angekua tiketi ya kutembea nje ya ndoa.Nakushauri ukae na mwenzako umueleze jinsi unavyojisia na umuulize kwamba je ingekua ni yeye kakumbwa na hali kama hiyo angejisikia vipi ungemkatalia kama anavyokufanyia vile mwambie muende mkapime pamoja ili akuamini maana vilevile inawezekana yeye katembea nje na akapatia huko lakini kwa kuwa hataki kukuambukiza ndo maana anakataa kufanya mapenzi na wewe na hata kama amepona anaogopa utamwambukiza tena maana anajua kakuambukiza awali.Vilevile kama ana wasiwasi basi tumieni condom kwa haina madhara yoyote au hata oral sex inaweza kukuridhisha kabisa.Muelimishe maana inawezekana mwenzio ni mshamba wa mapenzi au huo uvivu wake unamsumbua mkumbushe kuwa wewe si dada yake na vilevile hujafusta chakula na mavazi kwake maana wazazi wako hawajashindwa kukupatia vyote hivyo,ulichokifuata ndo hicho anachokubania.Mimi sikushauri utafute second alternative lakini mtishie mwambie siku uzalendo ukinishinda usinilaumu maana wewe ndiye unayenionyesha njia kwa mwanamume yeyote mwenye kujali atabadilisha msimamo wake.Mimi ni mwanaume lakini nashangaa sana kuona mwanaume anayekimbia majukumu ya msingi ndani ya ndoa maana mwisho wake ni kumfungulia mwanamke mlango wa umalaya ila shemeji yangu usikubali hayo yatokee tunza heshima yako.Mwisho namwambia huyo bwana kuwa kuna msemo usemao"IF YOU CAN'T SLEEP WITH YOUR WIFE SOMEBODY CAN COME AND DO IT FOR YOU"Pole sana shemeji jaribu leo niliyokushauri na utaona mabadiliko.

Anonymous said...

pole sana ndugu yangu,tafuta muda kaa nae kwa mazungumzo mweleze kwa upole unavyoteseka naamini atajirekebisha.

Anonymous said...

pole sana dada, kwa mtizamo wangu mimi binafsi inawezekana huyu mume wako ana mwanamke wa nje, kwani yeye hana hisia? unataka kuniambia yeye siku zote hizo hajawahi kujisikia nyege? wewe mwenyewe kaa ujiulize na utapata jibu, kwani katika hali ya kawaida anawezaga kukaa muda gani bila kufanya ngono? otherwise mchunguze atakuwa anapata hizo huduma pengine, hicho ni kisingizio amepata sababu, na hata kama ni mvivu lakini sasa yeye amezidisha, mchunguze mumeo tena atakuwa ametekwa haswa na ukishapata jibu utapata suluhisho, pole sana mpenzi!!!

Anonymous said...

itakuwa mume wake ni mvivu tu akuna kitu kama hicho kwenye mapenzi
ila amshauri waende tena kwa Dr ili wapime tena wakiwa wote na fikiri wakipata majibu wakiwa wote inaweza kurudisha imani kwa mume.
jamni waume muwe makini kumbe nyie ndio mnao sababisha wake zenu watoke nje ya ndoa kutokana navisababu vidogo vidogo.
ni hayao tuu.
Rida.

Hilda said...

Pole sana my dear. Siku hizi kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wavivu na wazembe sana katika suala zima la mapenzi. Mimi mwenyewe mume wangu ni mvivu mno lakini naenda nae taratibu.

Ushauri wangu ni kwamba muombe kwa kumbembeleza umwambie umezidiwa pengine atakusaidia. Hao ndio wanaume zetu wa siku hizi mdogo wangu.

Anonymous said...

Hongera kwa kuwa bikira wa mume mmoja.Lakini pia uliolewa ukiwa na umri mdogo sana hivyo ni bahati tako hukupitia manunga emabe ya usanii wa wanaume ukabahatika kumpata wa moja kwa moja.

Kuhusu kunimwa utombwaji wakati minyege inakusakama, nadhani kosa kubwa lipo pale alipoambiwa mkeo ndiye kakwambukiza hivyo ameichukia kuma yako hasirani kabisa.Itakuwa vema kama hatafuti huko nje.

Dada muhimu sasa ni kumwendea yule daktari wenu abadili somo kwa mumeo amwambie sasa wewe ni mzima na yeye amepona anaweza kuendelea na libeneke.Nadhani mumeo aliathirika sana kisaikolojia kiasi cha kukuchukia na yamkini kuchukia tendo la ndoa na wewe ndiyo maana anakupa kisogo.na kama kauvivu kamo ndo kwanza kama asubuhi.
Nadhani yul;e daktari atakuwa mnsaada sana wewe mwendee kisiri kabissa na mwambie yanayokusibu kufuatia yale aliyoyafundisha kwa jamaa/mume wako.Aliyafunga na sasa ayafungue mwenyewe.

Nimekuonea huruma sana kwamba unatamani hata mtu wa kukukuna tu?Yaani nimepima wala haipimiki jinsi ambavyo unaumia kukosa utamu unaouhitaji kwa mumeo.Raha jipe mwenyewe mama, jitekenye kisimi na kuvuta hisia za mumeo kama vila anakutomba.

Nakutakia mafanikio mema utatue tatizo hilo maana hata wewe litakuweka pabaya licha ya kwamba umesema hutaki kwenda nje na bikira lakini mizula ya minyege ikizidi unaweza kujikuta unaingia mkenge bila kutegemea.

Anonymous said...

Pole sana dada. Mimi sio mtaalam kwenye haya mambo ila nitakumegea kidogo ksdri nanavyojua na kama mwanamke mwenzio. Mimi nimewahi kuwa mbali na mchumba wangu na kilichonisaidia kuwa mwaminifu ni vibrators. Hivi ni vijimachine vidogo vinavyotumia kustimulate kisimi/clitoris. na kwa kuwa umesema wewe ni mjamzito nimefanya kazi ya ziada kuingia mtandaoni kusearch kama ni safe kuzitumia kwa watu wenye hali yako. Habari ni kwamba ni salama kabisa bali inabidi ununue ya kisimi tu na I promise unicheza nayo itakupa raha ambayo hujawahi kupata maishani na kama unataka kumweleza mmeo ni vizuri maana hata yeye anaweka kukusaidia kutumia.
Mmeo pia inabidi aalewe wakati wa ujauzito nyege huzidi kwa sababu ya hormones.
Nakutakia kila la kheri

Anonymous said...

sema kwavile umeolewa na kucheat sio tabia nzuri...yaani mimi niliwai fanya mapenzi na dada mmoja jirani yangu alikuwa mjamzito ila yeye hajaolewa na mimi ni single so hatukuwa tunacheat kwani jamaa aliekuwa amempa mimba pia sio mumewe....aisee mwanamke mwenye mimba ni mtamu na anajoto la ajabu pia ananyege sana hivi mie b4 haata moja yeye anakama3 au 4...yaani raha..huyo jamaaa ako hakui..inamaana hata kukichezea kisimi hataki maana hata kukichezea kisimi cha mjamzito ni raha sana...


coxlee13@yahoo.com

Anonymous said...

kutombana raha jamani, basi tu

Anonymous said...

Wapendwa wasomaji wa blog hii, pamoja na dada Dinah!
Ninawashukuru sana kwa kujali na kutoa muda wenu kunipa ushauri n.k. Mengi nimeyapokea ni mawazo mazuri na kwa kuanzia jana nilimuomba twende kwa dkt wetu tukapime tena. Aliniambia ratiba yake imebana kidogo na hivyo akasema tutawasiliana aone mchana, kama inawezekana tukutane huko. Maana wote tunaendesha. Mbaya zaidi kwa sasa ameanzisha mtindo, akinisikia tu ninalalamika mgongo au mguu anasema, enheeee ni ile UTI. Lazima utakuwa nayo. Ninamwambia, basi tukapime tena, maana mimi Dkt aliniambia sina. Ananyamaza.
Jana jioni akaja na kikaratasi cha malaria, amepimwa na akakuta ana malaria 1, akasema Dkt kaniambia tena tatizo langu limerudi. Nilimtazama tu nikanyamaza. Lakini baadaye tulipoenda kulala nikamuuliza, si nilikuomba twende wote. Akasema alijisikia malaria akaone apitie tena huko. Nilichoka. Ukizingatia nyege zimenibana, nilijikaza nisije nikatoka machozi au kwikwi.
Kwa ujumla mme wangu si mnywaji/halewi, ni mnywaji mzuri wa maji.
Mengine kati ya mambo yaliyotolewa na washauri nimeshayafanya. Kwa mfano, kuna siku katika mazungumzo nilimwambia, kama mimi sina basi labda umepata kwingine au una maambukizo makubwa na unaogopa kuniambukiza. Lakini ni bora uniambie kuliko kunyamaza na kunifanya nisononeke.
Hali jamani bado, nitajitahidi kumkazania twende. Nimeona pia suala la kumwona Dkt tukiwa wote ni bora sana. Nitajitahidi kumfuatilia hadi kieleweke. But hes is so defensive and tricky.
Nadhani anonymous wa kwanza kabisa, anaweza kuwa anagusia ukweli japokuwa sitaki kuamini kabla ya kuona. Mungu anisaidie, maana siku nikijua au kuoana, nahisi nitazimia.
Wapendwa, bado nasubiria ushauri zaidi kwa wenye mawazo mapya.
Mbarikiwe sana!
Mhusika wa tatizo

somji said...

Pole sana Dadangu,hii stori imenigusa sana ila kwa mimi ilikuwa ni kinyume.mimi ni mwanaume wakati mke wangu ni mjamzito alikuwa hapendi kutombana kabisa,sasa I m trying to imagine wewe uko ktk hali hiyo sijui unajisikiaje kunyimwa unyumba na mumeo unaelala nae kitanda kimoja.na mpaka umeamua kupublish issue yako kwenye Blog ujue kweli maji yamekufika shingoni.kwa ufupi huyo jamaa hauko serious katika mahusiani/maisha ya ndoa,angekuwa anajua wanawake wanahitaji nini ktk ndoa basi asingekufanyia hivyo anavyofanya,sasa malaria inahusiana nini na U.T.I?kwa upande wako inaonekana jamaa hawezi kubadilika,endelea kumshikia bango ili muende kwa huyo Dr mkajaribu kuongea nae,ikishindikana jaribu kuwaambia wa2 wazima kama mama/shangazi yako,kuna kabila nyengine mashangazi wa mke wanakuwa na nguvu hata ya kuongea na mumeo ana kwa ana na bila ya kumficha waongee nae anaweza kuwasikiliza na kubadilika,ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi,okay dadangu tutaendelea kukushauri,Pole sana.

Mdau Somji.

Anonymous said...

pole sana dada,huyo mumeo anajifanya mjanja sana.hadi anakwepa kwenda na wewe kwa dokta na visingizio lukuki,hiyo ni dalili tosha kwamba there is somethng behind him.mchunguze kwa makini soon utagundua.but dont panic,just calm down!

Dida said...

Pole dada, mimi naona ni bora muende kwa daktari mwingine hata kama mnamfahamu wote wawili lakini badilisheni daktari, ili mpate uhakika ya kitu gani kinaendelea. Mkishapima na kupata majibu kwamba wote mmepona, pale pale ofisini wewe muulize daktari kama ni sawa kuendelea na ngono na mume wako, na mkitaka kutumia condom ni sawa pia, muulize daktari maswali yote ambayo unayo ili mume wako asikie majibu hapo hapo asije baadae akakugeuka na kusema vingine(ila usimwambie daktari kuwa mume wako anakunyima mavituz) sasa basi, daktari akisema poa muendelee haitaleta matatizo, basi ongea na mume wako, umueleze jinsi gani anavyokufanya unakosa raha, asipobadilika nenda kaongee na wazazi au wazee katika familia yenu. Lakini usiende kwa yule daktari wa mwanzo ambaye ni rafiki ya mume wako ( na assume kuwa ni mwanaume mwenzake, asije akakutongoza wewe au kumwambia mume wako vitu ambavyo havipo)

Ushauri mwingine, mwanamke kila mara anaposhika ujauzito anashauriwa kupima ukimwi ili aweze kumuokoa mtoto kama atakuwa yeye ameathirika. unaweza kwenda kupima na kumshauri mume wako akapime pia. ni ushauri tu. Namuomba Mwenyezi Mungu akusaidie na kukulinda, Amen.

Anonymous said...

ili kuepuka urinifection, wakati mkisha maliza kufanya yale majambozi,anaweza kwenda kujisafisha, ili kwa kuwa safi na mkavu, kwani urinifection inasababishwa na unyevunyevu sehemu za siri,mfano hata kama amekojoa na ukabaki mkojo kwenye nhuo za ndani ambao unaleta unyevunyevu ni rahisi kupata urinifection, kwa kifupi unaweza kuzuia urinifection kwa kunywa maji mengi, kwani backteria wote watatoka na mkojo ambao utakojoa kila wakati, au kwa kunywa aina ya vinywaji kama juice ya machungwa, ukikosa ata juice ya ndimu japo kidog, kwani ina ugwadu furani ambayo bacteria hawapendi, wanastop kuzaliana,

Elly Mo. said...

Nimeona response yako bila shaka kuna jambo kubwa nyuma ya pazia maana kwa nini anakwepa kwenda na wewe kwa Daktari halafu vilevile huyo Daktari inawezekana ni rafiki yake na anamfichia siri kwa hiyo si wa kumuamini.Hapa kuna mambo mawili ya kufanyia kazi; chunguza kama mumeo ana mwanamke wa nje ama anamaambikizi makubwa anaogopa kukuambukiza.Kwa kuanzia tafuta Hospitali/Daktari mwaminifu muelezee full story halafu mkubaliane kwamba mumeo atakapofika hapo watafute mbinu ya kumbana apimwe afya yake upate kujua kinachoendelea na akikutwa hana maambukizi basi ujue huyo atakuwa na mtu anayemchengua kichwa.Na ili kurahisisha namna ya kumdanganya unaweza ukajifanya unajisikia vibaya akamuomba akusindikize hospitali au kwa Dokta halafu unashauri muende kwa huyo ambaye tayari anajua tatizo lako,unaweza kumuambia umeambiwa na shoga yako huyo Dokta ni mzuri sana kwa wajawazito.Hebu jaribu hiyo halafu unipe feedback then tutaendelea kushauriana.

Anonymous said...

Nimepata kusikia visa ila hiki kwa kiasi kikubwa kina funzo ndani yake ambalo ni kubwa mno.
kwa ukweli imetokea wanawake kuwa wahanga wakubwa kwenye suala zima la mapenzi ndani ya ndoa, wanaume tumegeuka kuwa kama wanyama kama sio watu tusio na huruma.
ila kuna mambo mawili makubwa ambayo huyu mama anatakiwa kuyazingatia
mosi...... usimwamini sana huyu dr wa mume wako, napenda utumie muda wako nenda hospital pima kama una dalili yeyote ya maradhi hasa ya maambukizi
pili ....kumbuka una kiumbe kwenye tumbo yako, kwa wale ambao tunamwamini Mungu ni kuwa mambo ya manung'uniko yanaweza kumsababishia mtoto athari kidogo kwenye maisha yake. Usihangaike kutafuta kama mume wako ana kidosho kingine.

kuhusu suala la kuwa na nyege fine hebu jaribu kuangalia kama kuna uwezekano wa kutumia vitu vya moto vya kupunguza munkari na hebu jaribu kusahau kuhusu jambo la kujamiana.
kwa kutaka kusahau tendo hilo linaweza kukuondolea fikra za hata kutaka kumpata wa kukukuna maana kama utataka ukunwe unaweza kusababisha ujutie suala hilo maana haikuwa mpango kwenye maisha yako yote.

Anonymous said...

Pole dada ni Maputo kwani mimba ni miezi Tisa tu sababu zote zitaisha . Mtangjlize Mungu ktk ndoa yako na muombee sana mime wako