Mume ataja jina la binti yetu wakati wa Tendo!-Ni kawaida?

"Dada dinah habari ya mwaka mpya natumaini mwaka umeuanza vizuri. Mimi ndio mara yangu ya kwanza kutuma swali langu lakini ni mpenzi wa blog yako.


Mimi nimeolewa na ndoa yetu imejaaliwa mtoto moja wa kike mwenye umri wa miaka mitatu, mimi na mme wangu tumekuwa pamoja kwa miaka mitano sasa. Jana (1/01/10 ndio ilikwa mwaka mpya hatukutoka tulikuwa tu home kwavile nchi tuliyopo ni baridi sana na snow kwa kwingi sana.


Hivyo tuliamua kukaa home na fungua mwaka mpya home, ilipofika saa sita kufunga mwaka na kufungua mwaka tulifungua champagne na kunywa kwa furaha tukakaa mpaka saa saba usiku ndio tukaanza kufanya mapenzi, yaani mwanzo ilikuwa poa sana mara katikati ya mapenzi ndio mme wangu akataja jina la mwanangu badala ya jina langu katikati ya mapenzi.


Tulivyo maliza mavitunzi ndio nikamuliza kuhusu kuita jina la mwanangu katikati ya mavituzi, akasema amezoea kuita hilo jina all the time ndio maana amejisahu na kuita hilo jina. Dada dinah naomba uniambie kama hii ni kawaina na kama imewahi kutokea kwa watu wengine hapa.
Naombeni michango yenu.
Ni mimi Samatha"

Dinah anasema: Samatha asante kwa email yako, lakini naomba kuuliza kidogo kabla sijakupa maelezo na pengine itasaidia watu wengine kukupa michango ya uhakika zaidi. Je hilo jina la mtoto ni nani alichagua? Mumeo na wewe ukakubali au wewe na yeye akalikubali? Je jina la mtoto na lako linafanana kwa mbali Mfano Dinah na Daniela, Maria na Marian/Mariam n.k....inawezekana ni jina la Ex n.k.

Huenda alitaka kukuita mama____(jina la mtoto) na akaishia jina la mtoto akasahau "mama".

Asante Samatha kwa nyongeza ya maelezo (nenda kwenye comments), naungana na mchangiaji aliyehoji Uraia/Makuzi ya mumeo, hakika sio ubaguzi lakini sio watu wa mataifa mengine tu wanawarudi watoto wao. Hapa Tanzania wapo wengi tu lakini kutokana na kulinda "heshima ya familia" watu hukaa kimya nakutunza siri.


Natambua inaumiza kumfikiria mumeo jinsi ambavyo watu wengine wanamdhania, lakini mimi nakuomba ufanye ushunguzi bila kumuuliza binti wala baba yake. Kuwa karibu zaidi na binti yako ili kuondoa wasi wasi. Samahani kama maelezo hayo yatakuwa yamekukwaza. Inawezekana hajawahi kumuingizia wala hana mpango huo ila huwa anamchezea-chezea.


Ujue watoto wa kike huwa tunakuwa karibu sana na baba zetu, lakini kutokana na mazingira yetu hapa Bongo inakuwa ngumu sana kuwa that karibu na baba, yaani baba hapewi nafasi ya kubadili nepi ya mtoto wa kike achilia mbali kumuogesha.

Lakini kwa watoto wa nje ya Tanzania huwa karibu zaidi kutokana na mazingira baba hulazimika ku-baby sit wakati mama anaenda kazini n.k. hivyoinawezekana kabisa mtu akaibua a sick tabia ya kumchezea mwanae wa kike ktk harakati za kutafuta namna ya kumbembeleza n.k.

Kuna babaz wanawazoesha kuwachezea watoto wao wa kike na kuwapandikiza imani kuwa "baba anakupenda ndio maana anafanya hivi". Wengine wanaimani za kishirikina, ili kufanikiw abasi mudi mwanao, baadhi hulazimika kuwarudi watoto wao kama sehemu ya Mila....wenyewe wanaita Suna!

***************************MUNGU APISHE MBALI!

Tendo la ndoa ni tamu, ni takatifu linawafanya wote wawili kuwakaribu zaidi in a way mtu mwingine yeyote hawezi kujua achilia mbali kuhusika. The moment na utamu wake, mihemo na sauti za mahaba, harufu za majimaji ya miili yenu na namna mnashikana n.k hakika HUWEZI kabisa kulopoka jina la mwanao au la mtu mwingine yeyote unless otherwise umewahi ku-share the momet like that with au u r willing to do so!


Haijalishi unapata utamu kiasi gani au wewe mwanamke ni mlopokaji kiasi gani, huwezi kabisa-kabisa kumtaja baba yako au mtoto wako wa kiume. Katika hali halisi wanaume ni wagumu sana kulopoka-lopoka wakati wa tendo na wanapofanya hivyo ni wazi kuna uhusiano mkubwa kati ya jina na tendo (amewahi/anafanya ngono na mtu mwenye jina hilo).


Kama jamaa ni mbongo na anakuita mama nanihii time 2 time ni wazi alikusudia kukuita hivyo il akasahau neno "mama", pia inawezekana kabisa kuna mtu alimkaa sana kichwani (alimpenda kupita kiasi) na utamu alioupata siku hiyo ulimkumbusha huyo mtu mwenye jina linalofanana na mtoto wenu.

Kutokana na uzoefu wangu, wanaume wanatabia ya kuita binti zao majina the last Ex b4 mke aliemuoa hasa kama walipendana sana enzi zao ila mmoja hakuwa tayari kuendelea mbele. Kuna Njemba moja iliwahi kuniambia "Dinah hata kama tukiachana, nikioa nakubalikiwa kuzaa mtoto wa kike lazima nimuite Dinah"......which kafanya hivyo!


Pia inawezekana ni character kwenye Porn movies ambayo mumeo anaipenda namlipokuwa mkifanya akili yake ilikuwa ikimfikiria huyo mtu wa kwenye Kideo, lakini ktk kujitetea ikabidi aseme kuwa alimtaja mtoto kwa vile anamuita na kumtaja kila wakati ili kulinda hisia zako.

Sasa Samatha, kama ni jina la Ex au Porn star basi let it go kwa sasa, akirudia tena kutaja jina hilo ni wazi mtahitaji kuzungumza kuhusu hilo Jina kwa undani zaidi.

Amos, amegusia kitu muhimu sana kwa jamii yetuya Kibongo, baba kuchagua jina la mtoto wa kiume na mama kuchagua jina la mtoto wa kike.

Kila la kheri mdada.

Comments

samatha said…
Dada dinah habari ya leo. Asante kwa mchango wako. Jina la mtoto wangu na lakwangu yani yako tofauti kabisa. Na jina la mtoto watu tulikaa nchini na kuchagua kwenye vitabu vya majina si la ndugu upande wangu au upande wake yani mme wangu.

Samatha
Anonymous said…
Ama kweli mavituz hayo huwa yanapagawisha kiasi kwamba huwezi hata kujua nini unakiongea.Yaani wakati huo utamu ukiingia hadi kwenye mifupa unaweza kutamka kitu chochote kama vile unaota.Naamini hata mumeo kwa sababu ya kumpa vitu murua siku ya kuvuka mwaka na shampeni ilishawachanginyi mkaingia kwenye usiku wa kutiana bila shaka wewe mama ulijipatia staili za pekee hadi ukamfanya mumeo aone kiza na kutamka chochote ambacho kimetawala kinywani mwake.

Hakuna jambo lolote baya hapo,Hebu fikiria kama angetaja jina la msichana au mwanamke unayemfahamu mwingine yeyote si ungejinyonga?? Kutaja tu jina la mtoto ambaye ni wenu hapo ndani unajaa mashaka bibie?Vipi unaona mumeo kachanganyikiwa nini?au unadhani mumeo anachombeza kwa mtoto wenu?Nakusihi uondoe mawazo yawayo yoyote bali jenga hisia na dhamiri sahihi kuwa ulikuwa usiku wa kufa mtu baada ya kuvuka mwaka mkapeana vitamu vilivyo mpagawisha mumeo hadi katamka jina la mtoto.Hata mimi nikipewa na mke wangu kuna siku mambo yanakuwa mapya na kunoga hasa kiasi kwamba naweza nikatoa ahadi kemkem na kutaja majina yote hata yasiyoeleweka maana hapo hadi nywele zinashangilia utamu huo, sembuse jina la mtoto wenu wenyewe?

Aisee, kubali kwamba ulimpa mavituzi jamaa huyo hatakusahau na labda atapenda siku kama hiyo tarehe 1/1 iwe inajiri kila week.

Nikuulized swali, Je wakai mwingine mnapotombana hakuna vitu au majina mengine anataja au kuguna na kuongea kuashiria kuwa jamaa anapata minofu ya kuma?Nadhani kama mumeishi miaka mitano basi kuna mengine mengi tu ameweweseka nayo unapomkatia kiuno na kumkamatisha vema.
Anonymous said…
Wee mdada usijizurie balaa tu,je ulitaka ataje jina la demu aliyemmega huko nyuma?Tena unasema alitaja jina la "mwanangu" Huyo ni mwanenu!!

Hata mimi nikitombana na mke wangu huwa mambo yanaiva ile mbaya kiasi kwamba mke wangu saa ingine anaweza hata kutaja majina ya shangazi anapokuwa ametaja majina yangu au ya baba fulani.Si unajua jinsi mambo yanavyoshika hatamu kwenye kutombana?labda muwe mnatombana kama waibaji,lakini kama ni mke/mume wee acha tu pana raha sana hapo mkijuliana vitu mnavyopenda katiika kutiana, mbona utaimba hata wimbo wa kanisani!!

Kutaja jina la mwanenu yaani hiyo ni 'Given" kwani ndiye nkila siku mnacheza naye hapo ndani tena kama huku ughaibuni kila siku mko naye kwenye vikapu vyenu hivyo mnavyobebea.Mimi nawaona sana jamaa wanavyohangaika na kubeba watoto na kuachiwa na wake zao kila wakati, kwa nini asimzoee mtoto hata kuweweseka kutaja jina lake?Acha utoto wewe dada.tena kama ni mtembeleaji wa blog hii kama mimi atabaini kuwa ni wewe tu umeleta hilo na kukutilia kashikashi nyingi.Mawazo yako sasa unadhani anatomba mtoto wako?La hasha furahi kwa vile anamuweka mtoto motoni sana.
Anonymous said…
Mimi mtanisamehe, sio mbaguzi wala nini(racist)- lakini nataka kuuliza swali kwa alietoa hii hoja. Hivi mumeo ni kutoka nchi gani??? - Asante.
Anonymous said…
yaani hapo ametaja jina la mtoto wenu tena ana miaka 3 tuu.unawasiwasi je angetaja jina la nyumba ndogo yake ingekuwaje?acha kuomba ushauri kwa maswala yasiyo na kichwa wala miguu.
Amos Bwire said…
Hapo pana utata...sio utani kama watu wanavodhania. hakuna hata siku moja mtu akamtaja jina mtoto wake wawapo majambozini na mekwe...acheni mzaha kwenye hili eneo! We dada uwe makini. KWANZA: Yaelekea mlipopitia vitabuni jamaa akaliona jina la ex-girlfriend wake na akakushawishi kiaina kulikubali hilo jina...ndio inavokuwa almost always(especially kama ilitokea kakuoa wewe wakati bado ana deep feelings kwa ex wake...hayo mambo yapo sana tu!) Ndio maana wenye busara zao huwaachia wake zao wataje majina ya watoto wa kike na waume zao wataje ya watoto wa kiume...ku-avoid vi-issue vya ajabu-ajabu kama hivyo. PILI: Yawezekana jamaa ana kimada chake chenye jina kama la binti yenu. Ila kama ni kweli kamtaja mtoto wenu(na sio ex wake kama ninavodhani mimi) basi HIYO NI KALI YA KARNE! My take.
Anonymous said…
Sioni kwanini watu wanakua so naive, mimi binafsi nilivyokutana kimwili na mume wangu alikuwa anataja jina la EX wake karibu kila siku ilikua inanikera sana sana, lakini baada ya miezi michache aliacha, hii ilitokana na kwasababu walikuwa wapenzi kwa muda mrefu sana na waliachana muda mfupi tu ndio tukaoana sisi. Sasa kwenye tendo mtu akitaja jina la mtu mwingine ni wazi wanashirikiana kwenye tendo la ndoa. Samahani sana Samantha kukuumiza lakini ukweli ni kwamba kuna uwezekana mkubwa kuwa mumeo ana mmolest mwanao au ana kamchezo anafanya nae, wakati wa tendo la ndoa mtu tu huwezi tu ukataja jina la muuza duka, au jirani au mtoto hata kama unaongea nao kila siku, lazima mshirikiane kwenye hisia za sex ndio hilo litokee, wataalamu wanasema kuwa kumbukumbu nyingi za binadamu hujificha kwenye subconcious mind na hata kama hutozikumbuka sasa hivi bado zimerekodiwa kwe ubongo huo, so if i were you Samantha nisingdeal na mume wangu kwanza, ningeanza investigation ya nguvu, mcheki mwanao mara kwa mara, muulize maswali machache ili usimchoshe, rudi nyumbani ghafla wakati mumeo yupo nae, na endelea kumuuliza mwanao tena na tena na tena, utakuja kujua ukweli it takes time though, naomba email yako tuongee zaidi coz nina ndugu yangu who went through the same shit. Kaza moyo mambo yatakua poa tu ila usipuuzie.
-Judy
Anonymous said…
Judy,

Acha kupandikiza minusi kwe huyo dada.hakuna chochote anachofanya mumewe na mtoto au demu mwingine.

Huyo mtoto anakaa naye siku zote na anamwita jina hilo every time, sasa kwa nini lisiwe ndilo jina liko open kwake hata kulitaja ndotoni?Kwani kutombana ndio sumu tu na mchana kutwa analitaja jina hili na yamkini kuliimbia hata wimbo? wewe dada mwenye kuomba ushauri usiingie sana kwenye uchunguzi huo utakugharimu amini usiamini.Tena utakugharimu pasipo sababu ya msingi.Wewe kaza mwendo endelea na kazi na maisha yenu salama.naamini kutombana hamjaanza sasa je amekuwa akitaja majina mengine zaidi ya jina hilo kwa siku hiyo?Tunza ndoa yako ukiweka mashaka sasa utaanza maruweruwe mengi na kupoteza ndoa soon.Wewe ndiye unayeifahamu tabia ya mumeo, sisi wengine ni wawindaji tu wala tusikukamatie nyani kwenye ndoa yako.