Wednesday, 16 December 2009

Uke kuchanua ni dalili ya kungonoka sana?-

"Dinah na wachangiaji wengine suala langu ni moja tu, je mwanamke kuwa na Uke uliojitokeza nje yaani kama umechanua ni dalili ya kungonoka sana? Yaani utakuta ile sura yake kama lips za mdomo(hazifungi) bali zipo nyama za ndani zinazochungulia nje!

Kuna dem nimefanya nae ngono hivi juzi, nikamkuta yuko hivyo, au nimaumbile? Au ni kutokana na umri kwani yeye anamiaka 25?
Ntandu."

Dinah anasema:Ntandu natumaini utakuwa umefurahi kuona swali lako mahali hapa. Uke kuchanua ni maumbile ya mtu japokuwa inasemekana matumizi ya muda mrefu ya Sanamu za kutetemesha zinazoingizwa ukeni husababisha nyama za uke kujitokeza kwa nje.

Wanawake tuko tofauti sio tu kimwili bali kimaumbile. Kama ambavyo ninyi wanaume mlivyo kuwa kuna zilizopinda na kunyooka, ndefu na nyembamba, fupi na nene, kubwa na ndogo hali kadhalika wanawake tuko hivyo, kwamba kuna kubwa na ndogo, zenye kina kirefu nakifupi, zilizotuna/vimba na kunywea, zilizochanua na kusinyaa n.k.

Uchanuajii wa Uke hauna uhusiano wowote na ufanyaji sana wa ngono wala umri wa mwanake. Ni matumaini yangu maelezo haya na ya wachangiaji wengine yatakuwa yameongeza uelewa wako kuhusiana na maumbile ya Uke.

Shukrani.

5 comments:

Anonymous said...

Aisee wewe jamaa yangu una mambo kweli, Yaani wewe demu kakupa uhondo halafu unatilia shaka na nyeti yake?? Kwani hukuridhishwa?mbona ulikata sana maungo na leo unamfanyia utafiti unadhani ana V?

Aisee hayo ni maumbile yake, ni sawa na watu wengine midomo yao iko mikubwa sana lips zao , na wengine miembamba sana, na wengine imejikunja kwa ndani. wengine iko migiriri mikubwa.Ni hivyohivyo na kina mama wana tofautitofauti sana na kuma zao wengine hizo lips wala huwezi kuziona kirahisi iko flat, na wengine itaona kama imechanika, na wengine imevimba, na wengine hata kisimi huwezi kukiona vizuri, na wengine kisimi kiko mbele kabisa kimetawala muonekano.

Kwa hiyo jamaa yangu huyo mlimbwende wako uliyemmega ndivyo alivyo wala si kwa sababu katombwa sana.Labda una historia yake maana umekimbilia kusema ni kutombwa sana.Kumbuka kakupa uhondo usimzurie balaa la kasoro hiyo.

Kila la heri katika kuendelea kummega tena huyo demu wako.

Anonymous said...

Kama nimekuelewa vizuri wewe muuliza swali, unamaanisha umbile la uke la nje ambalo kwa kitaalamu linajulikana kama vulva.

Jibu nia HAPANA. Hali hiyo haisababishwi na kujamiana(kungonoana) sana au kidogo.

Hiyo ni baadhi tu ya sura mbalimbali za maumbile ya uke kwa watu tofauti tofauti. kila mwanamke yuko tofauti na mwingine.
Baadhi ya wanawake wana mashave ya kuma(LABIA MAJOR)ambayo yametuna sana na vhivyo kufunika maumbile ya ndani kabisa(LBIA MINOR).Wengine Labia minor zao zimejitokeza kiasi kwamba zinaninginia nje kabisa, pia wengine utakuta labia moja ni kubwa kuliko nyingine. Hii hainamaana kuwa huyu anajamiana sana. Ila kuna baadhi ya wasichana, kwasababu ya mila zao au nia fulanifulani, wanakuwa wakivuta labia minor(mashavu madogo ya uke)ili yarefuke na baada ya kufanya hivyo kwa muda yanarefuka kweli. Utaona kuna wengine wana vinembe(clitoris)virefu utadhani mboo, na wengine ukikitafuta kinembe hukioni kwani ni kadogo sana. Hayo yote ni maumbile ya kawaida tu, si kipimo cha kujamiana sana.
Lakini sisemi kwamba kujamiana sana hakuleti mabadiliko kwenye kuma au uke kwa ujumla. Mabadiliko hayo ni pamoja na kuma(tundu), kupanuka kiasi ukilinganisha na mtu ambaye kabisa hafanyi, mashavu(LABIA MAJOR) kunenepa na kupendeza, lakini sio kurefuka.

Kuna hili japo sio swali lako lakini wengi wnaliuliza:
Je kujamiana(kungonoana) sana ndiyo sababu ya matiti kulala?
jibu ni HAPANA
Matiti kulala ni maumbile ya mtu.Kuna wasichana mabikira lakini matiti yao yameshalala kabisa , na halikadhalika kuna wengine wnangonoka sana lakini ukiwaona tadhani hawajui mboo, matiti yayo kama vile ndo yanaota.
Wengi wanafikiri kwamba matiti kushikwa shikwa wakati wa mapenzi ndo chanzao cha kulainika na kulala, sio kweli. Utafiti umeonyesha kwamba mabadiliko ya matiti ni zaidi ya kimaumbile ya mtu husika na umri ukichangia kiasi.

Anonymous said...

Kama nimekuelewa vizuri unauliza ikiwa kujamiana(kungonoana) sana ndo kunasababisha sehemu za ndani za uke kujitokeza nje:

Jibu ni HAPANA.

Semu ya uke ya nje kitaalamu inajulikana kama VULVA. inaundwa na LABIA MAJOR,(Mashavu makubwa), LABIA MINOR, (Mashavu madogo)na CLITORIS,(Kinembe).Hizi ndizo sehemu ambazo wakati mwingine huonekana mwnamke anapovua chupi.

Kurefuka kwa labia minor au mashavu ya ndani ni maumbile binafsi ya baadhi ya wasichana na wala si dalili za ngono. Kuna wengine utakuta shavu moja ni kubwa na linaninginia nje kuliko jingine. Kuna wengine utakuta umbile lote la uke limetuna vizuri utadhani wamevimba, na wengine limesinyaa. Ni maumbile tu. Kuna wasichana mabikira kabisa lakini wana hali hiyo. Kunawengine wana kinembe(clitoris) kikubwa utdhani mboo, na wengine inabidi ukitafute ndo ukione.


Ila kunabaadhi ya wasichana, kwasababu ya mila au nyinginezo, wanafanya mazoesi ya kuvuta mashavu ya ndani(labia minor) mpaka zinarefuka. Hii inawezekana kwani kiungo chochote ukikivutavuta kinarefuka kidogo.

Kuna hili japo sio swali lako:
Je Matiti ya wasichan kulala ni kwasababu y wingi wa kungonoana?

Jibu ni HAPANA:
Matiti kulala ni vivile maumbile ya msichana husika. Haina uhusiano kabisa kujamiana.
Kuna waschana mabikira lakini matiti yamelala, wengine wan umri mdogo kabisa ka miaka 15,16 lakini yamelala. Na wakati huo kun wengine haipiti siku bila kulala na mwanaume lakini ukiwaona matiti yao ni kama ndo wanavunja ungo. sasa tusemeje juu ya hawa? hawajui mboo?
Wengine ni kinamama kwenye familia na wana watoto wao lakini wako gado kabisa.

Hayo yote ni maumbilile tu ndugu yngu.

Hata hivyo sikatai kwamba kufanya ngono kunaleta mabadiliko kiasi kwenye maumbile ya kike na hasa KUMA(VAGINA au Tundu),inaweza kupanuka kidogo, kuwa laxity, ukilinganisha na mtu ambaye hafanyi kabisa. vulva(mashavu) ina kuwa mwororo na kujaa kiasi lakini sio kujitokeza kwa midomo ya ndani, "lips" au labia minor.

Anonymous said...

sidhani kama uko sahihi kwani hayo ni maumbile ya mtu ingekuwa hivyo wale changudoa nadhani wangekuwa wanatisha ila kama ukienda nae vizuri mtu wa hivyo utampenda kazi yake ni wepesi kukojoa mara nyingi au kufika kilele kwahiyo mzee huna shida ya kwenda mwendo mreeeefu kifupi utamu wanaupata sana kutokana na maumbile yao.

Anonymous said...

kiterero huyo atakutajia jina lake la utoto