Wednesday, 23 December 2009

Tofauti ya kukata kiuno kwa raha yako na ya mwanaume!

"Hello Dinah,
Shukrani kwa kutumia muda wako kutufunza, ili tuendelee kuboresha mahusiano katika mahusiano tuliyo nayo.

Mimi ni mfatiliaji mzuri wa mada zako hapa. Kuna mada umemjibu mtu (mada ya November 29,2009) na ukazungumzia tofauti kuhusu ukataji wa kiuno. Naomba unifahamishe tofauti na jinsi ya ukataji kiuno wakati mwanamke anataka ajipe raha mwenyewe na tofauti ya ukaji kiuno wakati mwanamke anataka kumpa raha mumewe.

Shukrani,
Kagaruki."

Dinah anasema: Hey Kagaruki, asante sana kwa mail yako na ushirikiano. Mwanamke anasikia raha inayopelekea utamu ikiwa uume unabadili "mwenendo" ndani ya uke, hali hiyo husaidia mwanamke kuhusi kona zote za uke wake zinafanyiwa kazi.

Lakini katika hali halisi sio wanaume wote wanaojua kucheza na uume wakiwa ndani ya uke zaidi ya kuingia na kutoka (nje-ndani) sio hivyo pia wakati mwingine mwanaume anashindwa kufanya hivyo kwa muda wa kutosha kutokana na utamu/raha atakayokuwa anaisikia kutokana na tendo lote kwa ujumla.

Nadhani hii ndio ilikuwa nia na madhumuni ya Bibi/Shangazi zetu kutuweka chini nakutufunza (baadhi yetu) namna ya kuzunguusha kiuno kwa ajili yako mwenyewe na sio kwa ajili ya mumeo/mpenzio.

Ukataji wa kiuno ka raha yako mwanamke: Unatakiwa kukata kiuno wakati wowote utakapojisikia kufanya hivyo au pale unapotaka kufika kileleni haraka. Namna ya ukataji wa kiuno huu ni tofauti na ule wa jukwaani pia ni tofauti na ule wa kumsaidia mwanaume amalize haraka (kwamba anapata utamu kiasi kwamba anahisi kutaka kufika mapema)....

Mwanamke unatakiwa kukata kiuno kitakachokufanya uhisi kuwa unauzunguuka uume ukiwa ndani ya uke wako, kaza misuli yako ya tumbo kisha aanza kukizunguusha wakati yeye mwanaume anaendelea na nje-ndani kama kawaida...hilo moja.

Pili, wakati mnaendelea kufanya mapenzi, mwanamke unatakiwa kutafuta kona nzuri ya uke wako na kuubana uume kona hiyo na kuanza kukizunguusha kiuno. Vilevile unaweza kuwasiliana na mumeo/mpenzi wako wakati tendo linaendelea mtegee mpenzi akifika mwisho wa uke....shikilia kiuno/makalio yake fanya kama unamkandamiza chini zaidi....panua miguu alafu kata kiuno kwa.

Kwa kufanya hivyo utasikia utamu kila kona ya uke wako kwani uume ukiwa fully ndani na yeye mwanaume katulia wewe unakuwa na nafasi ya kucheza na uume huko kwa kubadilisha ukataji wa kiuno chako nahivyo kona zako zote za uke kuguswa vile utakavyo wewe.

Ukataji wa kiuno kwa ajili ya mwanaume: Hapa mwanamke unatakiwa kujia timing, sio akiingiza tu wee unaanza kukata kiuno...it's boring alafu by the time unatakiwa kufanya hivyo utakuwa umejichokea.....

Pia inategemea na ufanyaji wa mwanaume husika kwani kuna wanaume wengine huwa hawatoi nafasi kwa mwanamke kukata kiuno kwani kuna mikunjo mingine kwakeli inakuwa ngumu sana kufanya chochote zaidi ya kutoa mihemo na sauti za raha kama sio discomfort!

Ukataji wa kiuno ili kumpa mwanaume raha zaidi na hatimae utamu wa tendo unatakiwa kukatwa ktk mtindo wa kubana na kuachia na wakati unafanya hivyo kwa kutumia kiuno pia unatakiwa kushirikisha misuli yako ya uke.

Ukataji wa kiuno huu sio rahisi kwa kila mko, ila kuna mikao inayokufanya uweze kukata kiuno hiki kwa urahisi zaidi. Mikao kama mwanaume/mke juu/chini(kifo cha mende), Kipepeo, vijiko, kisusio, mbuzi kagoma/miguu minne, kuogelea (mwanamke chini), Kumi na 7/4 na mkao woowte utakao buni ambao unakuwezesha wewe mwanamke kukata kiuno ktk mtindo huu.

Natumaini maelezo yangu yamesaidia kuelewa tofauti ya ukataji wa kiuno.

Kila lililojema!

2 comments:

Anonymous said...

Kwa upande wangu mwanake ambaye hakatiki namwita mchoyo na siwezi kuwa naye tutashindana mbele ya safari kwani anaonyesha kuwa yupo pale kama picha tu kukatika kuna ammsha ari ya kungonoka

japo kwangu kukatika sana nako kunasababisha mwanaume afikie kileleni mapema kitu ambacho mwanamke anakuwa anaishia njiani

kwa hiyo akina dada angalieni namna mnavyowakatikia wanaume wenu coz unashangaa namna boy wako anavyowahi kukojoa unasema mbona unawahi sana kumbe ni kwa sababu mauno yako yamezidi.

Anonymous said...

Kukatika kiuno ni jambo mojawapo ya mambo yanayo ongeza utamu katika kungonowana,ningewaomba akina dada wote ambao wapo katika mapenzi wawakatikie kweli kweli waoenzi wao maana hii ni mojawapo ya mambo ambayo yatamfanya mwanamume asiwe na tamaa ya kwenda kutafuta mwanamke mwengine pembeni sababu atakuwa akielewa kwamba anachokitaka kama starehe anakipata kwa mpenzi wake bila usumbufu.