Saturday, 28 November 2009

Ndoa na Kaka wa kambo (step Brother) ni sahihi?

"Mimi ni msichana wa miaka 23, nina kaka yangu baba mmoja na mama tofauti. Yeye ananipenda na mimi nampenda na tumekwisha wahi kufanya mapenzi mara kadhaa. Yeye ameahidi kuwa atanioa. Sisi ni Waislamu, je ni sawa tunachokifanya kama sio sawa tufanyeje?"

Dinah anasema:Inasemekana na kuaminika kuwa Kibaiolojia na Kiuumbaji ( Mungu alivyotuumba ) mtu na ndugu yake hawawezi kutamaniana, ndugu kwa maana ya kuwa mmechangia damu ya mzazi mmoja. Lakini ndugu wengine kama Binamu, wapwa n.k. wanaweza kutamaniana na hata kupendana kwa vile hawachangii damu moja bali wazazi wao ndio wanaochangia damu.

Pia inasemekana watoto waliochangia sehemu moja ya damu (kama wewe na kaka yako wakambo) wakitamaniana ina maana kuwa uwezekano mmoja wenu sio toto halisi (Kibaolojia) wa baba. Yaani huenda wewe baba yako ni mwingine na sio huyo unaeamini kuwa ndio baba yako au kama wewe ni mtoto wa huyo Baba basi kuna uwezekano kuwa huyo kaka yako sio mtoto wa kweli wa Mzee wenu (mama zenu ndio wanajua ukweli halisi ktk hili au mfanye vipimo vya DNA kujua ukweli).

Kwenye jamii yeyote ile Duniani bila kujali Imani zao za kidini mtu na kaka yake waliochangia damu hawaruhusiwi kuwa wapenzi achilia mbali kufunga ndoa na kuzaa, kwa baadhi ya nchi za Ulaya ndugu kupendana ni kosa la jinai.

Kama hisia za mapenzi ni kali sana miongoni mwenu (which sio kawaida kwa ndugu) basi ni wazi kuwa ninyi sio ndugu na hivyo mnapaswa kuanza mikakati ya kutafuta ukweli kuhusu baba yenu na njia pekee ni either kuongea na mama zenu ili kuwapa ukweli halisi au kufanya DNA test.

Namna ya kupata ukweli:
Msikurupukie mama zenu na ku-demand bali mnahitaji kuwa na mipango nakujua namna za kupata ukweli bila wao kujua kama mmekwisha wahi kungonoana, mana'ke wakijua tayari mnamahusiano mtarushiwa shutuma na mtashindwa kujitete na wao kina mama watakuwa saved kutokana na "kutokujua baba yako au baba wa kaka yako".

Wewe na yeye kwa nyakati tofauti na kila mtu kivyake zungumzeni wazazi wenu wa kike......mwambie "mama mimi nahisi kama vile huyu sio baba yangu! Sina mapenzi wala hisia za baba na mtoto, unadhani kuna uwezekano kuwa huyu sio baba yangu?"......atakupa jibu, hakikisha majibu yake sio ya kusita na wala haonyeshi mshituko pia ukali lakini kama atashituka, kuwa mkali na kusita ujue kuna walakini.

Mwambie kwa kusisitiza kuwa " nataka kujua ukweli kwanini napata hisia hizi, hivyo nitaenda kufanya vipimo vya DNA ili nijue kama kweli huyu ni baba yangu"......mpe muda!

Sisemi kuwa huo ndio ukweli kuwa huyo Mzee sio baba yenu halisi bali kuna uwezekano mkubwa sana kuwa ninyi wawili sio ndugu! Nadhani mmoja wenu huyo sio baba yake mzazi bali ni baba mlezi (alisingiziwa au mama alikuwa hana uhakika na aliyem-mimba).

Kumbuka kuna asilimia kubwa ya akina baba ndani na nje ya ndoa nchini Tanzania wanalea au walilea watoto ambao sio wao. Ili kujua ukweli, ni mama pekee anatakiwa kutoka msafi au kufanya vipimo vya DNA.

Vinginevyo Ni mwiko kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtu yeyote ambae mmechangia damu. Toka kwenye uhusiano huo mara moja na usirudie tena.

Kila la kheri!

30 comments:

Anonymous said...

wote mna matatizo ya akili,na sidhani hata physiactric anaweza kuwasaidia,na nina shaka umri wenu ni mdogo,topic zingine dada dinahicious zinatia kinyaa,usiwe unazitoa ni aibu,kwa watoto wanaosoma hii,tunawafundisha nini,anyways mwisho wa dunia naona umekaribia,sodoma na gomola

Anonymous said...

heee!!yn mmenishangaza kweli!hivi amuoni kuwa nyie ni ndugu tena wa damu?umeona wapi mtu akatembea na kaka yake kweli ukistaajabu ya musa utaona ya firauni!
MDOGO wangu nakushauri ufanye haraka sn uachane na kaka yako,hivi mtajiskiaje wazazi na jamii yenu ikijua?kwa kweli mmetia aibu hakuna dini inayoruhusu wala kabila linaloruhusu huo uchafu mnaotenda,mdogo wangu wanaume wote hao hukuwaona?fanya hima tena sasa ivi nnavyosema muachane hilo halina mjadala!
HIVI na huyo kaka ako hakuona wanawake wengine mpk ww dada ake ameona wapi mambo hayo anakudanganya tu hawezi kukuoa inavyoonekana huyo kaka ni domo zege,mnajidhalilisha tu wadogo zangu..

Hersi said...

Mimi naona una matatizo ya akili wewe si bure!. Kaka yako wa kambo ni kaka yako tu!.

Halafu unasema wewe ni muislam?!!!...hivi hata uislam unaujua kweli?.

Anonymous said...

Ama kweli dunia imekwisha,kabla ya kufanya nae mapenzi kwa nini usingeyauliza?huyo ni ndugu yako kabisa na uuache huo mchezo mchafu.Unafikiri ndigu zako na wazazi wako watakufikiriaje?ina maana kweli ulikuwa hujui au ndio ulinogewa penzi na kaka yako.

MasterP said...

ni hatari.dada ungekuwa umesoma biology na kulielewa vizuri somo la genetics majibu ungeshapata.achilia mbali kijamii na kidini wanasemaje kuhusu.ni aibu aisee

Anonymous said...

Mmmmmmmmmmm wewe binti umechemsha sana kutombana na kaka yako kisa eti hamjazaliwa mama mmoja!!!

Kwa kweli mimi ningekushauri kabisa usiendelee na mipango yoyote na kaka yako huyo vinginevyo kama hutaki maisha.Kama kweli unataka kuishi maisha ya kweli katika jamii ni muhimu ulione hilo kuwa halikufai kuolewa na hata kuendelea kutombana na huyo kaka yako.

Nadhani mlitamaniana tu katika utoto bila kuwa na uamuzai wa busara katika fikra zenu. Na huyo kaka yako anakudanganya tu kwamba atakuoa bila shaka anasema hivyo ili aendelee kukufaidi maana kamchezo kamenoga na labda unampa vitu motomoto.Lakini kusema ukweli haifai kabisaaaaaaaaaa.labda kama dini yenu ya Kiislamu inaruhusu lakini kutakuwa na walakini mkubwa sna.

Anonymous said...

Ndugu yangu itabidi muombe toba kwa Mola wenu. Hivi huoni kama baba yako mzazi ndie pia baba mzazi wa huyo mwenzio?, hiyo ni laana kubwa sio siri.
Huyo ni kaka yako na kisheria mnamrithi baba yenu bila tatizo lolote. Hapo sina ushauri wowote.

Anonymous said...

duu dada yetu hapo unachemsha,embu jiulize leo ukizaa mtoto wa kike au wa kiume ukaja kupata tana bwana mwingine wale ukapata mtoto wa kike au wakiume wakiona utaona nisawa.jibu unalo hata huitaji kupewa mawazo au umechanganyikiwa ila labda kwa familia yenu mnaruhusi kufanya hivyo kwa hyo endelea tu mamaa,

Anonymous said...

kama mmesha megana haisaidii!kabla ya kumegana mlipaswa kuomba ushauri lakin hv sasa ni kazi bure endereeni kula mambo,hapo ndoa hakuna ndugu yangu kwan sio maadili ya kibongo.

Anonymous said...

nyie ni watoto wa geti kali nini?mpaka mnakulana wenyewe kwa wenyewe!ninyi ni ndugu kabisa tena wa damu ni vibaya kabisa na jamii itawashangaa.hebu muache haraka huo uchafu.hivyo vitu haviingii akilini kabisa.

Anonymous said...

acheni hizo nyinyi ni ndugu ,
ata aibu hamuoni kweli mnaakili nyinyi wanaume na wanawake waliojaa mmekosa hadi mnabanjuana wenyewe hayo ni mambo ya aibu asa katika mila zetu za kiafrica
ebu fikiri baba mmoja na mbegu za baba zinachangia katika utungwaji wa mimba hamuoni kama mnamdhalilisha baba yenu
huo utamu wa kutombana mnaouona ni wa muda tu mtakuja juta baadaye

Anonymous said...

Ningependa kumkumbusha dada yangu huyo kwamba ndowa hiyo hairuhusiwi na sheria yetu ya kiislam sababu huyo anaetaka kukuowa ni kaka yako japo hamchangiyi mama,sababu yeye ni damu yako kupitiya baba yenu mmoja.
Ukitaka kufahamu zaidi kuhusu jambo hilo,soma Qur'an katika suratu nnisaai utapata muelezo kuhusu watu ambao hawaruhusiwi kuwaowa.
Kwa hayo,Mwenyezi Mungu ndie mjuzi zaidi.

Anonymous said...

Kwa kweli huyo ni kaka yako kabisa please muache kwani mwafanyayo ni makosa na ulitakiwa ujue hilo bado mapema kabla haujasex nae.pole kwa hilo ndugu yangu kwani hiyo ni damu sawa na yako na je mkizaa watoto wenu watamwitaje baba yenu?je ni babu upande wa mama au babu upande wa baba.HAIPENDEZI KWA KWELI.

eva said...

Pole sana binti, umesema nyinyi ni waislamu lakini hujataja kabila. Ninavyofahamu kwa makabila mengi hivyo mlivyofanya na kaka yako ni kosa kubwa, wala haistahili kuoana kabisa. Ni afadhali ingekuwa mama zenu ni ndugu na baba ni tofauti kuliko ilivyo baba yenu ni mmoja. kwa wakristo neno linasema "Ole wake auonaye utupu wa umbu lake". kwa waislamu sijui, Nakushauri uachane na kaka yako pia utubu kwa mungu wako makosa uliyofanya na umwombe mungu akupe kijana mwingine wa kukuoa. Kila la heri.

Anonymous said...

Incest!

Hivi una akili weye! Wewe na huyo kaka yako ni wagonjwa sio bure! Haki ya nani vile hivi unathubutu kumpanualia your blood brother for the sake of lust! maana nyie hamuwezi kupendana kama mke na mume ni kinyume cha sheria na taratibu zote za maisha ya binadamu!

nakushauri uende ukatubu wewe na huyo kaka yako na la sivyo laana hii itakuwa juu yenu milele!

Anonymous said...

Mamy huyo ni kaka yako tu, japo kuwa umeshare naye baba.
Hapo hakuna ndoa mama ni uchuro tu.

waoneni wazee watambikie na muachane haraka sana.

Gud day!

Anonymous said...

Hilo jambo kwa mujibu wa uislamu ni haramu kabisa ushaidi soma quran sura ya 4 (an-nisaa) aya ya 23. Na hilo jambo mnalofanya mbele ya mola ni baya sana ache mara moja

The Evil HR Lady said...

hi cutie, its wrong period.
Yes you do love each other but you are blood ! he is your brother and it will not be proper really..its what Nigerians call 'abomination'
you will get your true love and dont ever discuss what you did with your parents
God bless you, you might need counselling and its available @ all big hospitals , incest is rampant in TZ but its not acceptable sweetheart

Anonymous said...

kwa kiislam kama hujanyonya naye ziwa moja ruksa, lakini kwa maadili yetu ya kiafrika si sahihi kufanya tendo na mtu huyo kwani ni baba mmoja hivyo ni kaka yako.kama familia yenu ni ya dini wataielewa lakini kama si wa dini sana na mpo zaidi kwenye utamaduni...

moha said...

Its wrong stop nowwwwwww, huyo ni kaka yako wa damu, hakuna ndoa hapo, raha uroda isikutoe akili, wanaume kibao bint, dont do it anymore plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz ni haramu.

Anonymous said...

kwa mujibu genetics,wale wote wenye tabia hio ndio walio wengi wanazaa watoto wenye jinsia mbili.mtoto anakuma na mboo.leave him alone.

Anonymous said...

Wewe binti na huyo kaka yako mna laana!!! Nendeni mkatubu haraka..

Anonymous said...

Wewe kwanza si Muisilam,Achakutiaaibu wa waisilam,Dina please achana na Topic sisizo mana . .

Anonymous said...

nilitaka kutoa comment nikaogopa waosha vinywa.

nyinyi mtakuwa mnatoka kwenye familia za kichawi sio bure

Anonymous said...

mmmmm mambo kwa vile mshafanya huna tena la kuuliza ni bure tuuuuuuuuuuuuuu bora endeleni.

Anonymous said...

ni wengi wamekulaumu kwa kitendo cha kula uroda na kaka yako,lakini wameshindwa kuku shauri nini ufanye ili usameheke kwa tendo lako hilo.kwa mujibu mila za pwani wewe itabidi utowe kafara kwa kumpa huyo kaka yako tigo (mkundu) kwa muda wa miezi mitatu mtawaliya hapo ndipo utakuwa umejitakasa.

lucie said...

labda kama ni waarabu, lakini its not fair ma dia, huyo ni kaka ako tu. mbegu za babako ndo zimekuzaa wewe na huyo kaka ako haya tena nyie mwabokoana. acha mchezo huo si mzuri hata chembe. tena hata mitoto yenu inaweza kuzaliwa mitahira. halafu wazazi wenu mnaawangaliaje? acha kabisa wanaume wote waliojaa mpaka ukatiane na kaka kako. acha kabisa tabia ya kilaana. na huko ni kujilaanisha.

Anonymous said...

Jambo hilo mnaafanya ni la hatari sana mbele ya Mungu hata katika jamii ni mambo ya aibu mno. usidanganywe na maneno ya huyo kaka yako,yeye kishanogewa na utamu wa kuma yako sasa anaona afadhali akupe maneno matamu ili aendelee kufaidi kupata kuma ya mterezo. Nawe piya usinogewi na utamu wa mboro ukajikuta unakwenda kinyume na maadili na sheria ya MUNGU.
Mie nakunasihi uachane na mchezo huo ili usije ukajutie maisha yako ya baadae sababu huwenda hata Mungu akakuteremshiya mitihani yake katika mashani mwako kutokana na uovu ambao mtakuwa mnaufanyiza.

Anonymous said...

Acheni zinaa nyinyi ni ndugu tu usitake kuzuga hapa. Tubuni toba ya kweli (yaani kutorudia tena madhambi hayo huenda Allah akawasamehe na muanze mara moja kujifundisha dini yenu muielewe, mambo mengine yanatokana na ujinga tu wa kutoelewa dini yenu japo na shetani hachezi mbali.

Anonymous said...

mi nahisi huyu dada na kaka yake ni Wahindi waishio bongo kwasababu wahindi ndo kawaida yao kumtombana na hata kuoana ndugu kabisa Mbongo wa kawaida hawezi fanya upuuzi huo