Sunday, 29 November 2009

Nataka kubaki juu, hatupati muda wa kufurahia ngono....

Hujambo mpenzi mtembeleaji wa kona hii? Haya ni maswali matatu kutoka kwa watu watatu tofauti. Asante kwa ushirikiano.

Mosi-"Dada dinah pole na kazi ngumu but keep it up 4 the gud job. Mimi naswali dogo tu jamani, hivi hiyo Ky jelly yauzwa kwenye ma-pharamacy????? na pili kirefu cha ky kipo na kama ndio je nini au ni jina tayari kama lilivyo? samahani kwa ushamba".

Dinah anasema: Asante sana. Ndio KY Gel (Jelly) inapatikana kwenye maduka ya madawa. Sina uhakika na kirefu cha K-Y nimejaribu ku-check na Johnson & Johnson ambao ndio wategenezaji Orijino wa KY-Gel nao wanadai kuwa K-Y haina maana yeyote na hainakirefu japokuwa ni jina la bidhaa yao hiyo maarufu na inayoendelea kuwa maafufu baada ya watu kuanza kuitumia kama kilainisho kwa ajili ya kungonoka.
Shukrani kwa ushirikiano.

************************************************************************


Pili-"Jamani kweli mambo mazito nimeona ila nami ninashida. Mume wangu hupenda sana kunilalia juu wakati wa kufanya mapenzi, yaani kifo cha mende. Nikiomba nimlalie yaani mie niwe juu yake anasema anakubali lakini tena ananigeuza halafu yeye anakuwa juu! nifanyeje ili nibaki juu bila kugeuzwa na kulaliwa?!!"

Dinah anasema: Mumeo anapenda ile hisia ya yeye kuwa mtendaji mkuu (being in control) na mkao wa yeye kupata hisia hiyo ni yeye kuwa juu yako au nyuma yako (mbuzi kagoma, kumbi-kumbi n.k). Vilevile inawezekana kabisa kuwa yeye kuwa chini inamfanya atake kumaliza mapema na yeye hataki kukuacha "solemba" hivyo basi anaamua kukugeuza ili kukupa raha wewe kabla yake.

Sasa kwa vile wewe pia unapenda kuwa in-control ni vema basi mkawasiliana na kukubaliana au kupena zamu, kwama "mimi naanza juu mzunguuko wa kwanza, alafu wewe utakuwa juu mzunguuko wa pili".

Kungonoka kwa mtu na mume wake ni fun na sio mashindano. Hivyo basi ganyeni maelewano na kisha furahieni uumbaji wake Mungu.

Kila la kheri.
****************************************************


Tatu-"Ahsante sana kwa mafunzo yako mimi nauliza hivi, mpenzi wangu (mwanamme) anafika haraka yaani anakojoa kabla mimi sija-enjoy. Je nifanyeje au tufanyeje?"

Dinah anasema: Wakati wowote unakaribishwa lovey, Mwambie "mpenzi naomba leo unisubiri mpaka nitakapokuambia nakojoa/jakuja/namaliza/ nafika n.k ndio na wewe umalize".

Kuna uwezekano mwenzako hajui kama wewe umefika au bado labda kwa vile humpi ishara au huonyeshi dalili. Kama unapiga kelele ili afurahie lakini sio kelele za wewe kufurahia ni wazi kuwa yeye atakuwa akudhani kuwa umefika sikunyiingi, kumbe masikini hata robo ya safari hujafikia.

Jaribu kuwasiliana nae kuhusiana na suala la wewe kutofika kileleni, vilevile jifunze namna ya kuita kilele mwenyewe pia jitume badala ya kumuachia yeye akufanye mapaka ufike, hakikisha wakati anaendelea na mchezo na wewe pia unakata kiuno kwa ajili yako sio kwa ajili yake (kuna tofauti hapo), pia jiweke katika mikao ambayo itakurahisishia wewe kufika haraka zaidi kama vile wewe juu kwa kukaa na kulala.

Vinginevyo mwambie mpenzi aanze na katerero ya uume au ulimi kabla hajamuingiza Abdalah kichwa wazi kunako. Kumbuka, ili kufurahia ngono wote wawili mnatakiwa kuwasiliana kwa uwazi.

Kila la kheri.

8 Wamechangia Mada, bonyeza hapa kwa mchango wako.:

Anonymous said...

sababu ya kukufanya uwe chini anataka ku-control game, maana ukikaa juu yake ndo kabisaa atakojoa hata akiwa hajaingiza.Hiyo ni defensive mechanism yake ya angalau kurefusha game kwa uwezo wake anachoweza. Kuhusu kukaa muda mrefu, tusubirie maoni mengine mie sina utaam zaidi, ila hapa najua hapahaibiki neno, utapata tu solution.kila lakheri.

Anonymous said...

Aaaaa Lahaula walakuwata,Bibie kwanza Tambua kuwa hilo jambo la mumeo kukojoa haraka sio maradhi wala udhaifu wa jinsia ya mumeo.bali kuna sababu nyingi ambazo, humfanya mwanamme kumaliza haraka.kutokana na muda nitaeleza kidogo.naamini zitakusaidia.kwanza yatakiwa wewe na mpenzi wako.kabla ya kutombana.muondowe aibu na kila mmoja awe tayari kumuachia mwenziwe mwili wake wote ili autembelee kila kona kiasi.aweze kuuzowea.yaani nina maana mfanye romance kwa muda mrefu. kabla hujampa kuma.muachie kila,pahala anapo taka kugusa na aguse.na afanye atakavyo.kwani ikiwa humruhusu.kuitembelea bustani.anakuwa na jazba.kwavile inakuwa bado anakuwa hajauzowea mwili wako.utashangaa vipi hajauzowea na nyinyi mshatombana sana.ndio babo kwavile nyinyi nyote mnapupa ya kutombamba.chukueni muda na msabiliane miili yenu mtafurahia kutombana.kama haitofaa tafadhali irudishe,mada yako nitakupatia njia nyengine.ok

Anonymous said...

Kina dada mna mambo kwa nini mnakuwa aibu katika mapenzi mwambie huyo mwenzio jinsi unavyo penda, atakuelewa.haitosaidia kitu kuileta mada hii humu wakati wewe mwenyewe,ndoi mtendaji mkuu.mwambie huyo jamaa la kufanya ili ujisikie raha ya kutombwa.

smk said...

we kazana kumpagawisha tena nashauri kwa wanaume kama huyo ukimgundua kabla ya chochote mnyonye mboo kiutaaram kama ilivyo elekezwa utaona utamuinjoi na kufurahia mikuno.

Anonymous said...

Kabla hajakutomba,mnyonye mboo akojoe!Kisha mfanye romance kwa dkk 20,kisha mpe kuma uone!

Anonymous said...

sababu ya kukaa juu ni kwamba wataalam wa afya wanasema wakati wa gem mwanamme lazima aweko juu kwani kitendo cha kuweko juu mwanamke kuna athari kubwa kwa mwanamme kwani kuna cells zikimuingia huwa anapoteza nguvu...labda nawewe jaribu kumuuliza zaidi kwasababu gani....bye fadhil, znz

S.H said...

Inavyoonekana huyo jamaa si mtaalm sana wa majamboz,unachotakiwa kufanya ni kumuingiza kwenye dunia ya majamboz taratiibu,au pia inawezekana nawe huna manjonjo mengi unapokuwa juu,maaana km ungekuwa unammaliza kwa manjojo,angekuwa kila siku anataka yy kuwa juu.labda ningekuuliza wewe ukiwa juu huwa unakaaje na unafanya nini niweze kukupa ushauri zaidi ya nini ukufanye uweze kumtawala mpenzio awe chini,na sio chini tu na style nyengine nyiiiingi tu.

kwa yule ambae m2 wake anakojoa haraka,hiyo ni maumbile ya wanaume waliokuwa wengi,kuongeza muda kidogo mwambie jamaa asiwe anapiga nje ndani nje ndani,km anaweza basi baada ya wewe kulainika kiasi cha mboo yake kuweza ingia ndani yt basi awe anakatikia ndani kwa ndani huku mboo ameigusisha na kisimi chako namaanisha kwa mkao wa kifo cha mende,ili mjaribu kwenda sawa kwenye kupees.natumai takuwa nimekusaidia kdg,jaribu halafu tatuambia.

Anonymous said...

wewe dada mimi nikiwanatomba huwa napenda niwe juu na siwezi kuwa chini coz mbolo yangu ikisimama inaelekea juu kiasi na mwanamke akija juu yangu huwa ninahisi mboo inakatika ndani ya kuma kwa jinsi inavyouma. ila style zilobaki zote ni master

huwenda huyo jamaa ana mboo kama yangu