Sunday, 1 November 2009

Mtarajiwa kanikataza kutumia Vizuia damu na Kidole, eti....

"Pole kwa kazi nyingi D!
Mimi leo nina tatizo kama ifuatavyo, mume wangu mtarajiwa amekuwa akilalamika kuhusu vitu vifuatavyo:-
Tampax-Amenikataza kutumia pad za kujiingizia ukeni kwa madai ya kwamba zinatanua uke,
hivyo ilibidi niache na kuanza kutumia pad za kawaida tu.

Dinah anasema:Inasemekana kuwa Matumzi ya Tampax zinahusiana na matizo ukeni kwa wanawake ikiwa zinatumia mara kwa mara, wataalam wanshauri zitumike marachache sio hivyo tu bali pia inasemekana kuwa bidhaa hiyo inasababisha uke kubadili uhalisi wake ila sidhani kama ni upana.

Samahani Mimi binafsi sijwahi kuzitumia bidhaa hizo hivyo kwa vile siamini katika kuingiza vitu ambavyo sio asilia(vitu kama toys, tampax, dawa za kuzuia mimba n.k) hivyo sitoweza kukupa jibu kutokana na uzoefu ila kutokana na hadithi za kweli za baadhi ya watu ninaowafahamu.

Tampax zinatengenezwa kwa kutumia fibers ambazo ndio zinanyonya damu, inasemekana fibers hizo hubaki ukeni na kujikusanya na baada ya miezi/mwaka ukeni na zinaweza kusababisha matatizo ya kiafya na maambukizo ukeni. Tatizo kubwa linalosabishwa na matumizi ya Tampax ni TSS (Toxic Shock Syndrom), hili linaweza kuwa serious na hata kupelekea kifo.


Vidole-Hivi karibuni tulikuwa wote bafuni na akaniona jinsi ninayojisafisha ukeni kwa kujiingiza kidole, akashangaa sana na kuniambia hivyo pia ni vitu ambavyo vinachangia sana kutanua misuli ya uke!!!!!! Hajawahi niona ninavyojisafisha kwani hatuishi pamoja na kutokana na ubusy wa maisha basi huwa tunakutana wikiend kupanga mambo yetu ya ndoa.

Dinah anasema: Nadhani mpenzi wako anahitaji kutembelea blog hii, ili ajifunze mambo kuhusu wanawake na maumbile yao. Kuna vitu vinavyoweza kusababisha K kuwa pana na vyo ni:

Mosi, Utoko ukiachwa ukeni ndio inasemekana (kwa mujibu wa Dr wangu) kuwa unasababisha uke kupanuka. Inasemekana wanawake wengi wa kiafrika wana K zilizokaza kwa vile wanautamaduni wa kuondoa utoko kila siku tofauti na wale wa magharibi ambao wana K pana/kubwa.

Vilevile mwanamke ukianza ngono katika umri mdogo wakati mwili wako bado unakua/badilika basi harakati za ukuaji hu-ignore K yako ambayo kwa wakati huo itakuwa pana nahivyo utakapo kuwa mtu mzima utakuwa na K kubwa na ukadhani kuwa ulizaliwa hivyo lakini ukweli ni kuwa hakuna mtu anazaliwa tayari kapanuka K, hii ni ya pili.

Je Dinah ni kweli kujiingizia vidole kunaweza kuwa kunatanua misuli ya uke?
nimekuwa nikifanya hivyo tangu nimekuwa binti na bila ya kufanya hivyo najiona kama sijakamilika vile.

Naomba ushauri wako pamoja na wadau wengine wote ambao watapenda kuchangia chochote..
Love, Fatner!"
Dinah anasema:Niambie Fatner, asante na nimekwisha poa aisee. Sasa rafiki nimeamua kukujibu hapo juu kutokana na kila point uliyogusia. Pole kwa kuhisi kuwa baadhi ya wasomaji wanakushambulia. Kama wangekushambulia hakika mimi ningewaambia wasifanye hivyo na hata kuhariri comment zao.

Ukweli ni kuwa hawajaku-attack bali wameshangazwa na hali ya kujiamini kwako na uhuru mbele ya mpenzi wako which ni kitu kizuri ila kama kimepitiliza kidogo hihihihihihi....skia mimi ni mmoja kati ya wanawake wachache wanaojiamini, niko huru na muwazi kama unavyoona ninavyofanya kazi yangu hapa lakini tangu nimekuwa mtu mzima na kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi sijawahi kuruhusu Mpenzi mume wa mimi aone ninavyojiswafi uke wangu wala ninavyobadili kizuia damu (Pad).

Hata kama tunaoga wote, siku zote nitakuwa wa mwisho kumaliza kwani mimi kama mwanamke nachukua muda kidogo bafuni ili kujinafasi na kujisafisha vilivyo bila haraka.

Ni matumaini yangu basi utakuwa umechukua maelezo ya wachangiaji wengine in possitive way.
Asante kwa ushirikiano na tafadhali mtumie link ya jinsi ya kujiswafi uke mpenzi wako ili apate Elimu ya uanamke ambayo itamsaidia kufurahi tendo even more.

Kila la kheri.

14 comments:

Anonymous said...

Wala haupanuki wala nini. Tena unakuwa tight ukitoa uchafu kwa kidole kila ukigoga. Mpe hi shem

Anonymous said...

Anapotomba ndo unapanuka. Sio kuosha. Na ukipanuka ndo mzuri unatomba bila mkwaruzo na uume hauchoki sana.! Jamaa huyo vipi? Anataka kuma isiyooshwa? Aache ushamba. Aongee na wababa wamfunze.

your, j

Anonymous said...

sio kweli kujisafisha uke kwa kidole kunatanua uke,inavyoonekana huyo mchumba ako hajui maswala ya usafi haswa kwa wanawake,mueleweshe vizuri na atakuelewa sio wote wanaojua.mi mpnz ndo kanifundisha jinsi ya kujiswafi na wala hakuna cha kupanuka uke wala nn.

Anonymous said...

rafiki pole kwa hilo,ukweli vyote ulivyotaja havipanui maeneo,dada kujiswafi muhimu sana tena saaana haswa kwa mwanamke kutokana na mazingira yetu ila mama jaribu kuwa na privacy sio kila jambo ulifanye mbele ya mzee alione especialy mambo ya kike nadhani unanielewa...kweli shurti mume akukute safi ila asijue ufanyayo kukamilisha usafi wako

Anonymous said...

Nijuavyo mimi, Kucha tu ndio sumu.

SIMON KITURURU said...

Mambo mengine ya kike ni ya kike na sio lazima uyafanye mbele ya mchumba!

Na huyo mchumba kama mitazamo yake ni hiyo wala usikubali aje kushuhudia ukijifungua kwa kuwa inaonyesha kirahisi atadai umetanua kipengele kama mitazamo yake ndio hiyo.

Sasa kama anatishika na upana wa Tampax na kidole inamaana pembejeo yake ndogo kiasi gani huyo shemeji? Na kama anapembejeo yakutosha, inakuwaje hafikirii uwezekano wa pembejeo yake yenyewe kukutanua kipengele?

Anonymous said...

Najua kuwa mahali popote si huko kunako ninihii tu,kama pakiguswaguswa basi hubadilika maumbile yake ya asili,mfano,push-ups kwa vidole hubadili maumbile ya vidole sembuse sehemu laini kama hiyoooo?

Anonymous said...

Huyo mumeo mtarajia kwa kiasi fulani ni mshamba!!! Anafikiri akiingiza mboo yake ndiyo haitanui huo uke?

Wewe dada usafi ndiyo uwanamke hasa ukiacha kufanya hivyo utakuwa unanuka na yeye huyo mpenzio ataanza kukwambia mbona unanuka.Tafadhali usiache kabisa kutumia pad au vidole kujisafisha.

Mwambie mambo ya akina mama awaachie wenye nayo na yeye ajijue namna ya kusafisha hilo nbolo lake.Kama hajui kula basi awarike walaji wampe somo.

Fanya mambo kiuwanamke asikufundishe mambo yasiyomhusu kabisaaaaaaa hayo!!! yeye angoje unapomnyenyulia miguu juu basi.

Anonymous said...

ni kweli msemayo na hiyo pad ya kijiingizia ukeni nilijaribu jamani inaumiza balaa yani kama kuna kitu kinachoma kwenye kizazi inaumiza jamni acheni masihara na nakwangua sijui sehem gani mimi niliacha kutumia ila haitanui kitu na kujisafisha ndio hapo utam unapo ongezeka sio mbaya mtu kujisafisha mbele ya mume au mchumba wako kwani si anakujua ulivyo sioni ubaya na ikiwezekana ukipata kipele yeye ndio wakwanza kukutumbua mimi simfichi kitu ikitokea hajaridhika na mimi basi yupo atakae ridhika na mimi binadam hawalingani wewe wasema wanini wengine tutampatalini.

Anonymous said...

wewe bibie acha usanii huo utamwonyeshaje huyo mtarajiwa wako hadi pad ulivyozifunikiza kumani?Unataka kutwambia kwamba jamaa anakutomba hata kama uko hedhini?kiasi kwamba anaona jinsi ulijisheheneza na mapad hayo?

Ulioga bafuni pamoja naye so what?ukaanza kujiswafi ndipo akaghadhibika kuwa hataki ujiswafi na vidole? Hebu twambie ni jinsi gani alikushauri ufanye ili ijiswafi kisawasawa badala ya kutumia vidole vyako?

Wewe acha kumhusisha mwanaume wako na mambo ya siri za wanawake wewe unachohitajiwa tu ni kujiweka safi unapokutana na huyo mlimbwende wako lakini ya jinsi ulivyojiswafi si kazi yake kujua hayo.

Anonymous said...

jamani achani kunishambulia badala ya kunipa ushauri natakiwa kufanya nini, huyo mchumba wangu siyo kama namuonyesha jinsi gani ninavyojiingizia pads no, ni kwamba aliziona nikiwa nimezihifadhi katika handbag yangu baada ya kuwa anachukua kitu ndio aliposhangaa tangu lini nimeanza kutumia pads aina ile kwani si kawaida yangu!

Abdallah said...

Kwa sie tunaopenda kunyonya kuma, Mwanamke asipojisafisha vizuri tunamwacha kabisa, maana kuma itatoa ka-harufu fulani hivi.

So be careful na usafi wako, anayekukataza kujisafisha hakupendi, maana mwisho wa siku wewe ndo utanuka.

Nahisi mwenzio hajiamini na ukubwa wa mboo yake, so mtoe wasiwasi. Kuma safi inaraha yake bwana,

Kindiki@gmail.com

Anonymous said...

yaani mboo yake anatpotia haitanui uke ni kidole chako tu au anataka utembee unanuka uchi mwambie mwanamke usafi na bila kuingiza kidole huko chini uchafu hauwezi kutoka mwisho utaanza kutoa harufu, mueleweshe tu ataelewa.

Paulo isacc said...

ok Asante dada Dina kwa ushauri juu ya Tampax na effects zake,nimejaribu kufuatilia kwa kina,
mambo ambayo yanaweza kusababisha kuongeza upana wa K, NA WATU WENGI WAMEPINGA kuwa uingizaji wa vidole hauwezi kupanua k,ni kweli kuwa frequently finger vaginer entruences,husababisha kuongeza utanukaji wa misuli ya uke,wanaopinga sijui wana maana gani, na nivizuri usimfiche mchumba wako mambo yote ya ndani na nje,wengine ni wataalamu anaweza kukusaidia na kukupa ushauri na kuepuka hatari zozote.
DADA Dina ni kweli hili nimeshawahi kufanya utafiti ,kwanini wanaume wengi wa Kiafrica wana nyumba ndogo? ukilinganisha mke wake ni mzuri na anatisha, lakini matokeo anaachwa anaenda nyumba ndogo,na anachukua kimada mbayaaaaa. Jibu ni hili..... Kule nyumba ndogo mambo yote hazalaani, hafichwi chochote mipnago yote anashirikishwa,na wakati wa tendo lenyewe kuna kugonoka haswa style zoote, kimada anajua kuwa nikimpa kidogo ntaachwa wala hafichi uchi wake.kwa tafsiri sahihi ni hajivungi.vimada wanajigeuza mwanaume akiona maungo yote ya kimada wake hata ondoka, Lakini mke halisi anavunga eti anaheshima ya kumficha mme hata maungo yake asiyaone akiondoka tu kigog hata kuwasha taa kwenye switch anajigunga kimtandio, ali asionwe nyeti zako, huo n i ushamba, hakikisha wewe dada mmeo aone kila kitu, ili umtamanishe, akikuona akukumbuke, na hata akiwa kazini akikumbuka pia akukumbuke,na hata wakati wa kusex wana dada anaogopa kukatika , eti ataambiwa malaya. kumbuka hapo ndo unajichafuria jina kuwa wewe hujui mambo na afhazari akatafute wale wanao jua kukatika.

Pointi ni kwamba hakikisha na jitahidi kuwa mwazi na umshirikishe mwenzi wako mambo yote.

Ushauri kabla ya kumwona Daktari Tafadhari mwone na umweleze mpenzi wako, ili hata kama kuna hatari wote mpate mbinu sahihi za kujikinga na balala, sisi wanaume huwa hatupendi maelezo,ya mdomo huwa tunapenda kuona.
Asante
Paul