Monday, 19 October 2009

Hili tatizo linakimbiza wapenzi-Msaada!

"Hallo ma sista!
asante sana dinah kwa ushauri wako elimu yako unayotoa kuhusu mahusiano. Kweli kazi unayofanya ni kubwa na ungestahili hata ulipwe mafao makubwa hata hao mafisadi uwapite. Sasa ngoja niguse kilichonisababishia mimi kuwa hapa leo.


Ninaitwa Hans nina umri wa miaka 23, katika mahusiano nimeshakua na zaidi ya wapenzi watatu kwa muda tofauti na mfupi lakini wote wameniacha. Tatizo ni kwamba mpenzi wangu wa mwanzo tulipanga kula maraha nakumbuka nikiwa na miaka 21, nakumbuka mimi na huyo girl tulikua chumabani tukajiandaana vizuri lakini ishu ikaja pale mzee alipogoma kusimama kabisa.


Tukahairisha zoezi mpaka siku inayofuata pia mzee akagoma, nakumbuka mpenzi wangu huyo akaniuliza tatizo nini lakini nilishindwa kujibu kwani ni aibu na hasira, cha kushangaza alipoondoka tu nikaenda chooni, nikawa navuta stimu na napiga punyeto vizuri.

Hali hiyo iliendelea nikahisi yule mpenzi wangu aliwekewa madawa ili asifanyiwe chochote kile na mwanaume so niakabidi nitafute msichana mwingine japo wa kutest kama niko fit lakini tatizo likawa lilelile.

Mpenzi wangu wa kwanza mapozi yakazidi na dharau kwamba mimi suruali tu lakini sina chochote na hatimaye tukaachana na aibu ilikuwa kwangu. Rafiki zangu wote walikua wanajua ninangonoka nae kumbe yaliyoendelea chumbani ni siri ya rom.


Ikabidi niende hospitali moja karibu, baada ya kumwelezea Dokta mkanda mzima bila hata woga wowote kwani yaliyonipata ni aibu ya kijiua. Dokta alinipatia dawa ya viagra inaitwa Cupid 50gm, alinipa vidonge Ishirini. Kama kawa nikaandaa dating na demu wangu yule mpya huwezi amini sista mzee aligoma kabisa tena lakini punde alivyoondoka mzee alisimaa na alinisumbua usiku wote.


Siku nyingine inabidi nimeze hata viwili ili nione tofauti lakini hola. Nakumbuka ilitokea siku moja tu nikaweza kupiga bao moja na ilikua imesimama baada ya hapo iligoma kabisa hata siku nyingine na kutokana na purukushani ile kweli sista sikuweza kabisa kutumia Condom.


Hicho kitu kiliniumiza kichwa lakini ndio mapungufu yangu. Hatimaye pia alinichaga na huyu pia mwingine alijipendekeza kweli sikuwa na hamu na ngono kabisa lakini sijui kutokana mimi kuwa sexy boy that's why wanatamani kungonoka na mimi zaidi au what! Kwani nilijiepusha sana na mitego yake kwani tatizo langu nalijua mwenyewe sikutaka alijue kwani ataniacha tu na yeye.


Lakini aliendelea kujipendekeza na hatimaye alifanikiwa kunitega mpaka anatoroka kwao analala kwangu lakini mboo yangu ilisusa tea kusimama, huyo nae hatukupotezeana muda akanitema. Nilikaa single na mwisho alikuja dada mmoja, yeye ni mkubwa kuliko hao waliopita lakini hajanizidi mimi kweli alivutiwa na mimi na washikaji nao wanammendea nikaona hiyo chansi siiachi lakini kichwani najua udhaifu wangu.


Tulianza kudate na huyo sista na nilikua sina haraka kabisa na tendo kwani sometym napiga pully siku zinaenda lakini cha kushangaza dinah taratibibu nikajikuta tunataka kusex na huyo dada hapo ndio mtihani unakua mgumu kwa mwanafunzi wa chuo.Tukawa tunasema course work haisomeki alafu final pepa ni gumu, nilitaka nikataae lakini hata mimi navutiwanae sana ishu ni mboo haisimami chumbani lakini inasimama bafuni tu tena wakati wa punyeto.


Sijui siku hiyo ilikuaje mboo ilisimama mapema hata sikumwandaa sana nikaingiza haraka haraka nikapiga pumbu, kumbuka bado natumia zile dawa za cupid 50gm, baada ya muda ikaamaka tena nikapiga pumbu tena kwa mara ya pili, yaani siku hiyo kwa hasira nilipiga kama 5 hivi mpaka gf akaniambia kweli nilikua na ukame kumbe ni hasira za back niliendelea kumtomba gf wangu vizuri mpaka akawa ananionga na akawa ananisifu kuwa mimi ni balaa kitandani lakini hajui kuwa natumia dawa.

Kuanzia siku hiyo nikasema situmii tena dawa, nashukuru kwani siku hiyo mzee alisimama vizuri lakini nilipo piga tu bao la kwanza alilala hapo hapo na bao lenyewe lilikua la 1min mpaka gf wangu akaniambia ninawaza mbali nirudishe mawazo yangu.


Ukweli bao la pili hata halikutokea kwani mzee alimwaga hata kabla ya kusimama vizuri, ilibidi nitafute dawa zangu nikarudia hali yangu ya kawaida so dinah nina maswali kama

(1)-Tatizo linaweza kuwa nini?
Dinah anasema;Kutokana na umri wako siwezi kusema tatizo ni Erectile Dysfunction kwa vile unaweza kupiga puchu bila matata kabisa na ninadhani Daktari kukupa dawa za kuongeza nguvu alikosea, alipaswa kukupa mbinu nyingine kama vile aina ya vyakula, michezo ya kitandani, kutumia akili yako, kujiamini kama mwanaume, kurelax unapokuwa na mwanamke n.k.

Inawezekana tatizo ni moja kati ya haya:-
(i)-Uzoefu,Ulipokuwa na miaka 21 na kuanza tendo kwa mara ya kwanza hukufanikiwa kusimamisha na haikutokea mara moja, uzoefu huu umekuathiri Kisaikolojia unakupa hofu na hali ya kutokujiamini kila unapokuwa uwanjani tayari kwa tendo.

Unapokuwa na mwanamke unawazia zaidi kuperform badala ya kurelax na kufurahia the moment.

(ii)-Kutovutiwa, Inawezekana wanawake unaofanya nao ngono hawakuvutii na wala huna hisia nao ila unafanya tendo hilo 4 the sake of doing it lakini sio kama sehemu ya kuwa karibu na mwanamke huyo kama mpenzi. Kama mwanamke havutii inakuwa ngumu kidogo "kudumisha" ugumu wa uume.

(iii)-Uchafu, sizungumzii uchafu wa kutokuoga au kubadili chupi! Nazungumzia uchafu wa mwanamke ambae hajui kujitunza kama mwanamke. Inaweza kabisa ikawa sababu ya wewe kushindwa kusimamisha na hata "kudumisha" msimamo huo.

(iv)-Mapenzi,kwenye maelezo yako hakuna mahali umegusia kuvutiwa na binti, kupenda mpaka ukashindwa kujizuia, wote uliowagusia inaonyesha wanajipendekeza na wewe unawatia kwa vile wanataka na wewe hutaki kuonekana "mjinga" unataka kuwaonyesha kuwa ni MWANAUME matokeo yake unafanya tendo 4 the sake of it na sio kwa vile uko inlove, lust or attracted to those viumbe.

(v) Mazingira na Umri, ktk umri ulionao hata labla ni wazi huna kwako na mabinti unaokungonoana nao watakuwa bado wanaishi kwao(kibongo-bongo), hivyo mtakuwa mnafanya ngono kwenu/kwao siku ambayo hakuna mtu home, kwenye chumba cha mshikaji, au nyumba ya wageni.

Unapokuwa kwenye mazingira hayo kuna aina mbili za hofu utakabiliana nazo, moja ni ya kubambwa na wazazi/ndugu/mwenye chumba kurudi mapema na demu wake na pili, binti kutaka kuwahi nyumbani kabla kaka/baba/mama hajarudi n.k.

(vi)-Kukosa ushirikiano, inawezekana unapokuwa kitandani binti anakuachia wewe ufanye kila kitu ofcoz kama wana umri mdogo ni wazi kuwa hawajui nini cha kufanya kama uume unaanza kupunguza ugumu kabla au hata ukiwa ndani (hii pia hutokea kama mume kachoka au yuko stressed na unatumia ngono kumpunguzia stress/uchovu na mke hufunzwa namna ya kurudisha ugumu wa uume ili kumaliza tendo).

(vii)-Lishe, kama lishe yako ni nyama zaidi na bia (any pombe) zinaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa usumbufu huo wa kingono.

Baada ya kujichunguza na kuzingatia vipengele nilivyokupa na kurekebisha alafu tatizo likaendela ndio ungeenda kwa Daktari kwa ushauri wa kitibabu na matibabu.

(2)-Je hizo dawa zina matatizo kiafya?
Dinah anasema; Sina uhakika na Cupid ila najua Viagra (kidonge cha bluu), kama ilivyo kwa aina yeyote ya dawa hapa duniani ina side effects zake kutegemeana na mwili wa mtu, afya yake na aina nyingine za madawa anayotumia.

Sote tunajua kuwa dawa yeyote ya kuongeza nguvu za kiume (ugumu wa uume) hazisababishi nyege na ndio maana unashauriwa kuanza kumeza kidonge at least saa moja kabla hujaanza kujiandaa na kupandisha hamu ya kungonoka ili kukufanya ufurahie tendo vinginevyo utatia tu bila kupata rahayeyote na matokeo yake utapata maumivu.

Vilevile dawa za kuongeza nguvu zinaweza kukupa matatizo madogo kama maumivu ya kichwa, kifua, kuziba kwa pua (as if unamafua), Kuongeza mapigo ya moyo, kizunguzungu. Matatizo makubwa ya dawa hizi ambayo hutokea mara chache sana ni Mshituko wa Moyo, Kiharusi/Kupooza upande mmoja, Upofu au Kifo.

Ni vema kufuata ushauriwa Daktari na kucheck afya yako mara kwa mara incase unaugonjwa mwingine umejitokeza kama Kisukari kutokana na mabadiliko ya kiafya.

(3)-Mimi sitaki kutumia dawa kabisa je nifanyeje ni perfom kama ninavyotaka?
Dinah anasema;Acha kutumia dawa hizo kabisa kisha rejea maelezo yangu kwenye swali lako la kwanza tafadhali.

(4)-Mimi naomba mchango wako wowote wa mawazo kwa namna unavyoona tatizo langu dinah.
NB:Samahani kwa message ndefu"

Dinah anasema:Hey Hans, shukrani kwa mail yako na kwa kuithamini kazi yangu na wachangiaji ambao sio wachoyo kuchangia uzoefu wao ili kusaidia. Kutokana na maelezo yako mimi binafsi kama nilivyogusia hapo awali, naamini kabisa kuwa huna tatizo la kusimamisha/kushindwa kungonoka ambalo kitaalam linajulikana kama ED au Erectile Dysfunction kwani mwanaume mwenye tatizo hili hata kupiga nyeto hawezi na huwa haliwapati wanaume wenye umri mdogo kama wako bali wenye miaka 40+.


Tafadhali sana zingatia niliyogusia kwenye swali la kwanza na ufanyie kazi. Natambua kuwa ni ngumu, lakini jaribu kusubiri mpaka utakapovutiwa na kumpenda binti, hakikisha anakuvutia, msafi na mwenye uzoefu kidogo hivyo kama bado uko shule piga kitabu kwa sasa na by the time unamiaka 25-27 utakuwa umesahau yaliyotokea miaka ile na utakutana na mwanamke mweye umri huo au chini kidogo lakini anakauzoefu kidogo linapokuja suala la ngono.


Utakapo mpata binti atakae kuvutia na ukampenda basi hakikisha unarelax na kujipa muda, usiwe na haraka na tafadhali usikumbuke tena yaliyokutokea miaka ya nyuma na kamwe usiweke mbele suala la ku-perfom kwani hilo ni jukumu lenu wote wawili na sio wewe peke yako.

Kila la kheri.

13 comments:

Anonymous said...

Kaka yangu naona una mamtatizo ya kusimamisha, nakushauri uende hosp ina wezekana kuna baadhi ya mishipa yako inayosaidia kuleta hamu na kusaidia kusimamisha imeathirika aidha kwa kujichua,au ndo ulivyozaliwa ila najua madokta wanaweza kukusaidia.

Anonymous said...

duh.. usimind mtu mzima,hata mimi nilikuwa najihofu uwezo wangu wakiume kwanza nilikutana na demu wa uswazi mmoja nikampiga bao 1 jogoo akagoma kbs kuerect demu alinichezea lkn wapi ndo baadae sana akapanda nilivyovaa condom tu akalala tena,mpk akaniuliza nina matatizo gani nikamzuga jana nilitoka kumtia demu wangu baada ya masaa jamaa akapanda nikapiga la pili na kumuaga binti japokuwa ilikuwa tulale,nilihofu sana uwezo wangu lkn baadaye nilikuja kujua kwamba yule binti alivyovua chupi tu harufu iliyotoka haisemeki ile chupi ilionekana ina wiki mbili mwilini na ndio sababu ya maswahiba yaliyonikuta
niliendelea na mademu wengine kiwiziwizi lakini uwezo wangu ulikuwa ni moja tu na baada ya kuja nje kimasomo nilikutana mdada wa ki thailand mwenye miaka 30 miaka 7 zaidi yangu kwakweli alipovua chupi tu kuma ni safi ya kiasia inanukia hata usogeze mdomo huwezi amini siku hiyo nilipiga nne ndani ya masaa 3 sikuamini kama ndio mimi kweli, nikatafuta demu mwingine wa kiasia nikampiga tano ndani ya masaa 4,nikampata mchafu mwingine nikapiga 2 tu usiku mzima.tangu siku hiyo nikipiga chache ni nne bila ya kutumia dawa na ni player ambaye ninaheshimika kwa kila binti na hivi nikirudi ntaenda kumtafuta yule mchafu ni prove kwamba mimi ni zaidi yake na kabla ya mambo hiyo kuma nitaisafisha mwenyewe kwa omo nione inakuwa vipi.

huwenda wewe hujampata demu msafi na usiwe unfikiria ukimwi kama unataka kutomba amini condom inzuia ukimwi 100%.ni matatizo ya kisaikologia tu hayo bro

b5 said...

ebwanaa hili tatizo linataka kufanana na mimi sema kuna tofaut kidogo la kwangu nikiwa na mpenz wangu nikifanya mara ya kwanza siwez kurudia tendo yaan mboo inakuwa imelala haiwez tena mpaka naona aibu,na hilo swala la punyeto mim sina na hali hii inanitokea sijui tatizo ni nin;gandwi

Anonymous said...

Mmmm jamaa wa ughaibuni uliyepiga mtailand na mwasia na wengine umekuwa kinara huku ughaibuni du!! unaokota malaya hao jamaa yangu!! nawajua hao wapo wengi huku US wanauza chupi njenje vyuoni. Lakini jamaa umejisifu kweli hizo bao zote.

hebu nizamie kwa ndugu yangu mtaka ushauri.Kwa kweli nakupa pole sana ndugu yangu.Nakumbuka hata mimi nilingizana na demu mmoja pale Buguruni nikiwa likizo bongo mzee alishindwa kusimama mpaka demu likaniuliza unangoja nini nitie mimi naondoka zangu!! Aisee niliona aibu, lakini niligundua kitu kimoja hakuwa ameniingia sana kichwani mwangu kwani nimzoa tu ili nile udaku kwa hiyo sikufunction siku hiyo nikamruhusu aende zake.laKINI TATIZO LAKO KAMA MWINGINE ALIVYOSEMA INAWEZEKANA LINAKUWA ZAIDI KATIKA MVUTO WA MDADA AMBAPO INAWEZA KUAMSHA HISIA KALI MZEE AKANYENYUKA FASTAFASTA.

Ni vema kama utaenda tena kumwona daktari.Ila hali hiyo inatokea wengi kwani hata mimi mara nyingi nikipiga kimoja basi mpaka labda masaa mawili hivi yapite ndipo atainuka tena.Tena mimi nikivaa condomu ndo kabisa napiga bao ndani ya dakika mbili tu sijui zinaniwasha na kusababisha nikojoe haraka maana nisipovaa nikikutana na mpenzi wangu nachukua muda mrefu sana.

Bila shaka hapa ndiyo penyewe tutapata msaada.Nakuatkia kila la heri.Kutumia dawa mimi naogopa sana maana zinaweza kukupa kilema cha maisha kabisa.labda za kienyeji kama kuna wazee wabunifu wanaojua wanaweza kuzitafuta inawa hata hizo sina uhakika nazo ni afadhali tu nifanyage mazoezi na kula vyakula viletavyo nguvu ya mwili.

Holahola jamani okoa jahazi hilo.

Anonymous said...

daaa man!!!kweli nimeamini haya matatizo ni wengi tunayo halafu atusemi inakua siri ya rumu,hata mimi dina kimoja tu basii.Dina tusaidie tunaumbuka!!!

masssaiboi said...

MZEE ILI TATIZO NAONA NI LA KISAIKOLOJIA ZAIDI KULIKO KIAFYA NA MARA NYINGI INATOKEA PALE UNAPOPANIA KUMUONYESHA DEMU WEWE NI KIDUME, KUMBUKA MKAMIA MAJI HAYANYWI.
USHAURI WANGU NI HUU, KWANZA KABISA ACHANA NA NYETO KWANI NI TATIZO KUBWA SANA LINALOKUMBA WATU WENGI DUNIANI NA MADHARA YAKE NI KUPOTEZA HAMU YA KUFANYA SEX NA MWANAMKE, PILI HIZO DAWA WALA HUZIITAJI UNACHOHITAJI NI MAANDALIZI MAZURI KABLA YA SEX, PIA JARIBU KUWA NA DEMU ANAYEJUA KUKUFANYA UWE RELAXED NA SIYO KUWA TENSE KWANI HAPA NDO PRESSURE INAPOPANDA NA MZEE HUGOMA KABISA. MWISHO KAMA NI MNYWAJI WA POMBE BASI KUNYWA KIDOGO SANA KABLA YA SEX NA TUMIA MUDA MWINGI KUCHEZA NA DEMU KITANDANI NA KUUZOEA MWILI WAKE NA YEYE AKUZOEE MWILI WAKO PIA, IKIWEZEKANA CHEZENI MUZIKI WA BLUES UKU MKILA DENDA NA KUTOMASANA KWA SANA TU NA NAKUPROMISS UTAONA MATOKEO BAADA YA MUDA. MWISHO KABISA PUNGUZA KUBADILI MADADA.
MIMI NILIKUWA NA TATIZO LAKO NA NIMETUMIA SANA TU MADAWA YA KIENYEJI NA HAYAKUNISAIDIA, NIKAKUTANA NA DADA MMOJA ALIYENIFANYA NIKAWA NAJAIAMINI NA TOKA HAPO NDO MWISHO WA TATIZO HILO.

Anonymous said...

Achana na hayo madawa kijana,mwishowe huyo jogoo wako atakuwa haparamii mtungi kabisaaaa,tena hayo mavidonge ni soo,bora hata ungecheck na vodafaster za wamasai,zikuongezee salio faster,au kama vipi anza kujizoesha kunywa supu ya pweza(stamina),pweza wenyewe,asali,mbata,karanga mbichi,n.k.Then anza kusoma novel za love stories,then ukiwa kwenye game,feelings zote hamishia kwenye hiyo K inayokuwa mbele yako.Hapo ndugu yangu hao madem utakaokutana nao hakuna rangi wataacha ona.Kama vipi nicheck live nikufunde

Anonymous said...

Hey mdogo wangu, pole sana kwa tatizo hilo.

Usiwe na wasiwasi sana hilo tatizo litaisha maana wachangiaji watakupa mbinu zote.Kama kuna siku umefanya vema hadi demu akanyenyua mikono na kukupa misifa basi uko fit ila tu nadhani kuna vitu kadhaa vinavyohitaji kuvitilia maanani kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu.

Jambo la pili ambalo naliona ni hatari sana kwako ni jinsi unavyoparamia wadada kwa pupa.Kwa muda mfupi tu umekamua wadad wanne.Anyway kwa kuwa umesema ulikuwa unatafuta suluhisho la performance yako kama itafunction kwa mwingine.Lakini bado nakutahadharisha sana maana kuna mahali umesema hata kondomu hukutumia.Pia umejisifia kuwa wewe ni sexy hivyo wadada wanaku-mind sana wanataka kula boo lako.Kijana utasomewa kitabu cha mauti haraka sana. Masexy ndo wanakula mwande haraka.Usijisifu hivyo wadada watakumind tu lakini utakula wangapi kama si ubatili mtupu tu.Wewe tatua tatizo lako ukipata ushauri hapa.Kula vimwana wengi si kutatua tatizo huko ni sawa na kutangatanga tu.

Usiparamie kuma haraka kabla ya kuwa na maandalizi kamili ya kimwili, kiakili na kiroho. Jenga hisia kamili juu ya kitu unachotaka kufanya na juu ya mtu huyo unayetaka kufanya naye. Chukua muda mrefu kufanya blablaa kwanza za hapa na pale kabla hujaparamia kuma ukiwa umehakikisha mzee amesgtuka na anatafuta wa kummeza.

Maansdalizi ya muda mrefu yanahitajika sana katika jambo la kungonoka.Usiwe na tamaa katika hilo.Naona una afya ya kutosha sana ila unaonekana una papara sana kuvamia kuma kiasi kwamba unakuwa hapo kimwili lakini kiakili unakuwa far away.

Haya dogo kazi kwako.Ikiwezekana acha kabisa kutombatomba mbona una umri mdgo sana jijenge kwanza kiafya.Miaka 23 unatomba hata hujihurumii?

Anonymous said...

Bro pole sana.mie sisemi sana.nakushauri utafune kitunguu somo kila siku usubuhi kabla hujanywa chai na usiku kabla ya kulala.mbegu 3 yakitungu thomo kwa kijiko kikubwa cha asali.utaona mafanikio kwa zaidi call me 0787944465 utanipa mkono.shukra

Anonymous said...

wadau changieni jaman maana tunaojifunza ni wengi,nimeapenda hii topik tena sana kwani ni pana kama kweli unafikiria,watu wengine hawapendi kuwa pleya ni matatizo kumbe?dina tutafutie mtaalamu atueleze madhara ya viagra na namna ya kuongeza nguvu mana utaalamu ni mwingi!!!!MDAU

Anonymous said...

Generally,mimi naweza kusema hivi, kwamba siku hzi matatizo ya kukosa nguvu za kiume yapo kwa wanaume wengi,ni vile tu mtu huwez kujua,mmejionea wenyewe baadhi ya waliochangia wameadmit that they are on the same plane with the guy anaetaka msaada,

inasemekana kwamba wanaume wanaoendesha gari muda mrefu wanapata tatizo hil mana lile joto katika kiti wanachokalia linaua nguvu hzo, pia wanaotumia laptop kwa kuweka mapajani kuna joto flani linalotoka pale nakwenda direct kwa viungiungo vile,hence kuua nguvu hzo.
Unaweza ukadharau but nimesikia zaid ya mara 3 toka kwa 'wataalam'.
This is what i can say,so mliofit mjihadhari,ambao ndio kama huyu ndugu yetu nashauri nenda kwa wataalam waulize,nbmini theres a solution.. all the best guys.
Mama juniour,

Anonymous said...

JIBU LA SWLI LAKO KAKUPA MASAI BOY, SO SINA HAJA YA KUCHANGIA HUO NDY UKWELI ALIOKWAMBIA!!!!!!!!!

Anonymous said...

Mdau unayesema kuwa laptop kuweka mpajani na kuendesha gari kunaleta upungufu wa nguvu za kiume, hiyo ni research ya maisha ya ughaibuni, na majibu yake hutakiwi uyalete kwenye context ya kibongo.

Fahamu kuwa zaidi ya asilimia 80% ya watanzania wanaishi vijijini, na ni wakulima. Huko wao na jembe, hakuna umeme, gari la luxury wala hizo laptops unazosema. Na hata hao waliopo mjini, ni wangapi wana hizo laptops? Ni wangapi wana magari binafsi? Na hao wenye magari ni kwa muda gani wanayatumia ktk kuwemo ndani ya gari hilo?Si kwenda kazini na kulipaki then jioni kurudi tu home??Hivyo basi tuangalie sababu za msingi za wengi watanzania kutokua na hizo nguvu na nini suluhisho lake. Maana tukisema hizo sababu za laptops na kuendesha magari tunapotosha ukweli halisi wa masikini wa kitanzania ambaye hana nguvu za kiume.

Suala la punyeto, sidhani kama ni tatizo kubwa kumfanya mtu ashindwe kucheza gemu. Maana cha msingi ni saikojia yake ya maandalizi kabla ya kwenda kwenye gemu, uwapo kwenye gemu nk. Kama wewe unaenda kutiana na demu then unaanza kuwa na mawazo sijui leo mboo itasimama, automatic unajipa pressure na possibility ya kutosimama inakuwepo kubwa. Unaenda kwenye gemu hujala chakula cha kukupa nguvu. Unaenda kwenye gemu una mawazo ya madeni, au masomo au kufumaniwa, hahahaha gemu ni saikolojia.

Kwanza ukienda kwenye gemu huku umeshapiga nyeto bao kama moja, ukifika huko kwa demu bao lile pale unapopiga ukiwa na demu ni bao la pili, ila demu anajua ni bao la kwanza, hivyo unaweza kucheza gemu kwa saa nzima then unapiga bao moja, hahaha acha weeeeee

Mdau