Thursday, 3 September 2009

Nahisi naibiwa-Ushauri

"Nafikiri upo salama na unaendelea vizuri na shughuli zako.
Mimi ni mvulana 24, nina girlfriend ambaye tumeanza mahusiano yetu tangu tukiwa form One katika shule moja huko Kibaha mwaka 2002.

Tumeanza mahusiano ya kimwili tukiwa kidato cha tatu mwaka 04 kipindi hicho mwenzangu akiwa na miaka 16, nami nikiwa na miaka 19, nilifurahi sana siku hiyo kwani nilikuwa nakata utepe wa mpenzi wangu .

Tangu hapo ilikuwa kila baada ya mwezi tunakula goodtym mpaka tulivyomaliza kidato cha 4. Matokeo yalipotoka mimi nilichaguliwa kuendelea na kidato cha 5 ktk shule ya Azania mwenzangu hakupata nafasi na pia familiya yake haikuwa na uwezo wa kumsomesha zaidi.

Huku tulipunguza mambo flani kwakuwa elimu ilikuwa ngumu ukilinganisha na ile ya O-level, lakini tulikuwa tunawasiliana kama kawaida na mambo flani ya kizidi tulijiburudisha. Baada ya kumaliza kidato cha sita 6 mwaka 08 nilipata nafasi ya kuendelea na Elimu ya juu katika chuo cha Uhasibu Tanzania Institutes of Accountancy (TIA) tawi la mbeya.

Tangu nijiunge na chuo kila nikikutana kimwili na mwenzangu naona tofauti na nilivyozoea awali kwani sasa ukipiga goli moja tu mambo yanabadilika uke wake unakuwa na maji na mda mwengine naona kama size imeongezeka.

Sielewi kabisa dada inakuaje, najiuliza au ameshaanza kugawa mali yangu?. Nikimuuliza anasema kwamba hiyo ni kawaida kwa msichana kuna kipindi huwa inatokea hivyo, nashindwa kuelewa ukizingatia sijawahi kuingiliana na msichana mwingine zaidi yake nami ndiye niliye fungua mlango wake.

Naomba unisaidie dada angu kwani naogopa asije kuniuwa na Magonjwa. Sasa nafikiria kuachana naye lakini nashindwa ukizingatia nimemzoea, nimvumilivu na tumefanya mambo mengi ya hatari ila kwa hili nashindwa kuvumilia na roho inaniuma sana, huwa najiuliza kwanini size iongezeke wakati mi ndo mfunguzi wa uke wake?.

Naomba unisaidie kwa hili dada Dinah ili nijue ukweli wa mambo ili nifanye uamuzi sahihi.Ahsante!!
HO"

Dinah anasema:Mie niko salama kabisa hapa "naholideika" tu kimtido sehemu sehemu. Asante kwa mail yako na kunivumilia pia as nilikuwa "nabizika". Sasa wewe HO rafiki yangu ulianza uhusiano wa kingono yeye akiwa na miaka 16, ni mtoto na mwili wake ulikuwa bado unajengeka.

Wakati mwili wake unaendelea na mabadiliko ya ukuaji mlikuwa mnaendelea kula good tyme kama ulivyosema mwenyewe hiyo inaweza kuwa sababu ya kwanza. Sababu ya pili nadhani hakuwa akifika kileleni alipokuwa mdogo, sasa amekuwa mdada (mwanamke) anapata kusikilizia utamu na hatimae kukojoa......tuanze na sababu ya kwanza, sawa?

Sababu za Ukuaji:-
Hivi sasa huyu binti atakuwa na miaka 21 kama bado nakumbuka hesabu vema, umri ambao mwili wa mwanamke unakoma kukua yaani yale madadiliko kutokana kuvunja ungo yanakuwa yamekamilika na sasa anakuwa mwanamke kamili yaani mwili wake uko settled...umetulia.

Kwavile alikuwa akingonoka mara kwa mara akiwa ktk kipindi cha ukuaji mwili wake ukatend kukubali mabadiliko ya kingono yaliyosababishwa na uume wako na kuendelea kufanyia kazi sehemu hiyo kama ilivyo, sasa baada ya kuwa mwanamke wa miaka 21 ni kawaida kabisa kwako kugundua mabadiliko kama hayo na kwa kifupi wewe ndie uliyesababisha.......wazazi huwa wanasema acha kuharibu watoto wa wenzako that is what they mean.

Sababu ya kutofikia Mshindo (sitokwenda kwa undani kwa sababu ya Mwenzi mtukufu):-
Jinsi mwanamke anavyofurahi tendo ndivyo ambavyo ute unaongezekana na anapofikia mshindo(kilele) basi mwanamke huyu huzalisha ute mwingi zaidi hali inayoweza kusababisha yeye na wewe mtiaji kuhisi kama vile uke umepanuka kimtindo.

Ndio maana huwa nashauri wapenzi wanaokerwa na hili kubadilisha mkao/mdindo au kumpa muda mwanamke huyo apumzike (sio lazima utoke, unaweza kubaki ndani bila kufanya kitu) mpaka mwanamke huyo atakapo kuwa tayari kuendelea na ute utakuwa umepungua au unaweza kumfuta na kujifuta uume wako kisha mkaanza upya.

Mwisho kabisa napenda kukuhakikishia kuwa binti huyo hakuchezi shere na hata kama angekuwa kifanya hivyo wala usingegundua kwa kumtia, sio rahisi hasa kama anaotoka nao wanauume wenye ukubwa kama wakoa u chini ya hapo.

Ondooa hofu na endelea kupiga kazi kwa bidii.

Kila lilojema HO.

9 comments:

Anonymous said...

Wewe kijana ni wasiwasi wako tu umekujaa kwa sababu uko mbali naye kutoka mahali ulipokuwa kabla ya kwenda Mbeya chuoni.

Pia lazima uelewe kuwa mapenzi mliyaparamia mkiwa bado wadogo hivyo kadri unavyoendelea kukua hata katika viungo vyenu vya mwili vinafanya muone mabadiliko fulani hata katika maonjo ya sex.Hayo maji yana muonekano gani?

Unaposema kuma inaongezezeka uliwa kupima kwa vipimo halisi amabavyo sasa unaona sivyo?? Kupima kwa mboo tu unaona imeongezeka na wala hujiulizi labda hata wewe kinamna umekuwa mtundu kidogo kungonoka na hivyo kuona kama ni kitu kinabadilika.Hayo maji bila sha ni ute mwingi unaojitokeza ambao kwa uelewa wangu ndiyo yanafanya mboo yako ielee na kuona kama ni kuma imeongezeka kumbe ni utelezi zaidi umeongezeka.

usiwe na ghadabu sana kumghasi mpenzio ambaye inawezekana kwa kiasi kikubwa mahusiano yenu yalimfanya apotezee mawazo kwako na kushindwa kumudu masomo.badala yake wewe ukaonekana ni kinara kumbe umeishamharibia mpenzio kasi yake ya kufikiri katika masomo.

Unaposema unatamani umwache kumbuka kama hiyo ndiyo sababu fikiri mara mbili tatu.Kwa nini usiende kupima naye?Umetomba miaka yote hiyo leo unaona umeona vinamwana vingine huko Mbeya unataka kupata pa kusingizia tu?Vimwana wa Mbeya wasikuchote akili rudi kwa mtoto wa watu uliyemharibia mwelekeo kuanzia form one akiwa na miaka 14 ukaanza kumsomea mambo ya mapenzi?Umemwathiri sana kimasomo ingawa wewe hujui hilo unakimbilia utombaji na ubinafsi.

Mimi ni mwanaume mwenzio nakuomba uwe na uvumilivu sana katika hilo ukijua kuwa sehemu kubwa ya maisha ya kubarehe kwake mpezio yameharibiwa na wewe.Kwa sasa ungekuwa unajitahidi kutafuta namna ya kumwendeleza kielimu na siyo kumsakama kwa kuongezeka kwa ukubwa wa kuma yake!!!!

the nasty hr lady said...

doh pole sana kaka yangu, nina amini Dina atawasiliana na gynaecologist kabla hajakupatia jibu, kwa kuwa wote mmepitia mapito mbalimbali na amekuvumilia sidhani kama hicho cha uke kutanuka kuwa kiwe ni kigezo cha kuachana inawezekana umeizoea sana mbadilishe na sytle etc ila ninafurahi kuwa umeadmit unampenda na ninadhani you are right kuwa na wasiwasi sijui wengine watachangiaje ila kama tabia yake haijabadilika sidhani kama ni tatizo , mbona wengine tuna watoto wawili na tumezaa kwa njia ya kawaida na kuongezewa njia kisha watoto wenyewe walikuwa na kg 4 na kuendelea lakini kitu kimerudi hivyo nadhani shurti mbadili style za mapenzi jamani, ila pata ushauri wa uhakika kwa daktari bingwa wa kike, uke unatanuka kuzaa na hurudi vilevile sasa huyu wako hata hajazaa kumetanuka tu ? na kuna ndoa zingine wanaume huendeleza libeneke daily mpaka mtu awe kwenye siku zake ndio mama anapumua na Uke unapumzika lakini hakuna maneno

Anonymous said...

Dogo,

Nakushangaa ukimsakama huyo binti kwa kutanuka kuma yake kama sababu ya kuibiwa kwako.Kama una dhamiri safi ya ubinadamu naomba uyaelewe yafuatayo:

Kwanza umechangia sana kumdhoofisha kimaendeleo huyo binti kwa kuanza sokomoko la mapenzi naye akiwa mdogo sana.

Pili ulimdhoofisha sana katka kufikiri na kutafakari kwenye masomo yake kwa sababu ya hadaa ya mapenzi uliokuwa unamsokomozea akiwa kwanza ndo ameanza kidatu cha kwanza katika umri wa miaka 14.

Ulipoanza kufanya naye mapenzi mkiwa kidato cha tatu ulimpandikiza ushetani zaidi uliomwathiri kabisa kimasomo kwa sababu ya fikra mpya zilizokuwa zimemjaa juu ya ubarehe wake.

Ulichangia sana kumharibu kumtoa ubikira jambo ambalo kisaikolojia lilimtikisa sana mara alipokumbuka umemtoa hivyo kupoteza kabisa mwelekeo wa kujifua katika masomo.

Ulimwongezea zaidi wasiwasi na taabu kama alikuwa salama na utiwaji mimba hivyo kumpunguzia kasi na ari ya kujisomea zaidi.

Kimsingi muda huo ulikuwa wa kujipigania kujiandaa kwa mtihani wa kidato cha nne, lakini wewe ukawa umemwingizia shetani wa mapenzi.

Wewe unaonekana umekuwa kinara unaendelea na masomo wakati mwenzio ameshindwa na tena hata kuendelezwa hakuna uwezo, badala ya kuhuzunika na kutafuta mbinu mbadala ili umwendeleze mpenzio badala yake unamsakama na utombaji usio na huruma kabisa. Tena basi unahangaika na ukubwa wa kuma umesahahu kuwa wewe ndiyo chanzo cha mambo yote hayo.

Kumbuka kama huyo binti angekuwa ni dada yako au mtoto wako ungejisikiaje?

Wazazi wake hawana uwezo kama ulivyoshuhudia mwenyewe kuwa wameshindwa hata kumwendeleza kwa namna yoyote kidato cha tano.Hilo halikusumbui kuwa umemfanya mpenzio ashindwe kujimudu kimasomo lakini badala yake unatafuta njia ya kuchomoka na kumwacha hewani kisa eti kuma imetanuka!!! Kijana kumbuka ulikomkuta binti huyo na jinsi alivyokusitiri kimapenzi.

Chozi la binti huyo lililojificha wewe hulioni litakugharimu huko uendako kama utamwacha hewani hivyo.

Kumbuka mapenzi hasa ya utoto kama mliokuwa nayo ni ulaghai mkubwa sana.Acha kuhangaika na ukubwa wa kuma ya mpenzio bali hangaikia maendeleo yake kimaisha afanye nini ili naye aendelee kimasomo kama wewe.Kama mkweli unampenda basi chukua jukumu la kuhangaika naye acha kumtwisha mahangaiko ya kumsuta kwa kuongezeka ukubwa wa uchi wake.haina maana hiyo unazidi kumsononesha sana moyoni mwake japo hawezi kukuambia.

Kumbuka umeathiri maendeleao yake na familia yake kwa ujumla ambayo inamtegemea hapo baadaye.

Ninakutakia kila la heri katika kuyaona madhara yako kwake.

mdau Ughaibuni.

Anonymous said...

Ujana una mambo mengi, na mara nyingi hutawaliwa na vishawishi vingi. Na hilo ulilolielezea nalo ni mojawapo ya kishawishi ambacho kinakutuma kujua mengi zaidi, na hatimaye unajikuta sehemu ya mawazo ambayo ungeyatumia kujiendeleza kielimu utayatumia kufikiria hivyo vishawishi. Hii ni kwasababu huwezi ukashika mambo mawili kwa wakati mmoja wakati hujafikia muda wa kupambanua ukweli halisi wa kimaisha, utajikuta unakosa yote.
Maumbila ya kike ni kama plastic ambalo hutanuka na kurejea,lakini jinsi mwili unavyokuwa pia maumbile hayo hayawezi kubakia na umbile, ukubwa ule ule, hii ni halihalisi.
Kwahiyo bwana-mdogo mimi nakushauri kwanza kabisa hebu iweke hiyo dhana pembeni, endeleza lineneke la kitabu, hadi muda ukifika basi utaona mwenyewe kuwa hata huo ukubwa uliokuwa ukidai haupo. Hapo kinachokubabaisha ni mizungumzo ya ujanani tu.
Mengi ataendeleza dada Dinah, siunajua tena tupo kwenye toba.

Anonymous said...

Habari ya kazi ndugu zanguni. Napenda nianze kwa kukulaumu we kijana, kwa nini mlianza mapenzi angali bado vijana wadogo?! Matokeo yake ni hayo umemuharibia mwenzio future yake, lakini napenda kukupa moyo kuwa hamjachelewa bado una nafasi ya kumsaidia huyo mpenzi wako akaendelea zaidi kimasomo. Haipendezi wewe ukawa una elimu kubwa halafu mwenzi wako (japo si mkeo lakini umesema unampenda sana na mmetoka mbali) akawa nyuma sana kielimu. Kwa maisha ya sasa hivi ni lazima watu wapendanao wasaidiane katika kila jambo hasa mambo ya maendeleo ikiwemo na elimu.

Kuhusu tatizo hilo la kupanuka kwa K, mi nadhani ni wasi wasi wako na kutokujiamini kwako ndo maana unakuwa na fikira kama hizo. Na kuhusu huo ute, labda mnakuwa hajakutana siku nyingi na mwenzio anakuwa na liMZUKA la kufa mtu ndo maana shosti shuti kujaa mijaji co of mafeelings!! Yeah sometimes it happens mihamu ikijaa mwanawane full kuloa. Kama kweli mnaaminiana na mnadhani mnapendana mtavumiliana na mimi nawashauri kama mna wasiwasi sana nyote wawili nendeni hospitali mkapate ushauri kw awataalamu wa mambo hayo ya wanawake. Msije kusema tumechelewa so ni bora mkaenda mapema ili mjue moja maana matatizo ya viunog vya uzazi ni magmu sana. othewise mi naona sio jambo la kutisha sana au ndo libeneke limezidi sana mpk unaona unaelea!! (joking). kwa hyo ndo hivyo mshirikiane katika kutatua hiyo tatizo kama mlishirikiana kutiana!!

mwali J said...

ki kawaida, uke wa mwanamke unapaswa kuwa na majimaji ili shuhuli za tendo la ndoa lifanyike kama inavyotakiwa, na hii inamaanisha mwanake huyu anafurahia tendo la ndoa, na huko kulegea kwa uke baada ya tendo la ndoa anakosema huyo kijana ni dalili ya kumuonyesha ya kuwa mwenzie naye amefika kileleni,\

Anachotakiwa kuweka kichwani mwake ni kwamba, wakati wanaanza mapenzi yao walikuwa ni watoto hata maandalizi ya tendo la ndoa yalikuwa zero, wote na ninahis huyo kijana alikuwa anafuata zaidi mihemko ya mwili wake bila kujali binti ana utayari kiasi gani na ndio maana alikuwa akimkuta mkavu na si ajabu alikuwa akimuumiza

Kwa sasa,binti naye yu tayari na anaelekea kumpenda na kupenda kufanya tendo la ndoa na kijana huyo ndio maana anamkuta si mkavu tena na the good news is majimaji hayo hucheza part ya lubricant wakati wa tendo na hilo..

In short,aangalie hayo majimaji/ute yana rangi gani, yana harufu? na yanatoka kwa kiasi gani, ikiwa ute huo hauna harufu, na una rengi nyeupe na si kiasi cha kilowesha nguo za binti hata akiwa amekaa, hapo hakuna tatizo labda kama kijana anataka kumwaga mwenzie kimtindo...

Kwa ushauri zaidi waende kwa daktari na wamweleze naye atawapa uhakika zaidi...
ila stay safe, acha kurukaruka dogo, Mbeya si mahala pa mchezo, wasiliana na TACAIDS NA GTZ Wakupe takwimu za maambukizi hapo utatuliza mpira...

Anonymous said...

Naomba nami nichangie hapa kuhusu kutanuka kwa kuma, kitaalam.
Ni hivi mdogo wangu,
Ninyi mlianza mapenzi mkiwa wadoogo kabisa.Kuma ambayo haijabikiriwa kwa kawaida ni nyembamba sana. Ukiingia unaingia kwa shida. Kadhalika kuma ambayo haijatombwa sana, ina tabia ya kuwa nyembamba na hata kavu.
Sasa, ninyi mmeanza kutombana mapema. Ni halali kwa kuma hii kutanuka mwaka hadi mwaka. Wewe ndio umeitanua na hata kuchokonoa ute kutoka zaidi.
Pia mpenzi wako sasa anafurahi mapenzi na anajiachia zaidi. Hivyo, ute lazima uongezeke. Naamini hapa wa mama wengi wanaweza kutoa uzoefu wao kuhusu utokaji wa ute wakiwa wasichana na baada ya kuolewa au kufanya mapenzi saana.
TAFADHALI USIMWACHE ILA TAFUTA MTINDO MZURI WA KUIBANA KUMA YAKE.
MF. KUMWINGILIA MKIWA MMELALA KIUBAVU N.K.
Ni hayo tu kwa leo.
Usimwache utapata laana sana.

Anonymous said...

wewe kijaa acha matata, toka kidato hadi umefika chuo, leo ndo unaleta complain,au umepata mwingine huko kakuvutia sasa unatafuta sababu ya kumtosa mwana wa mwenzio,

hilo sio tatizo,ute kuwa mwingi jisifu kuwa unaweza sasa, yani umemfikisha, wala usifikiri anakuibia, na kuongezeka sambusa umetanua wewe mwenyewe, ina maana wewe hujaongezeka!

wewe chakufanya, ukiona ute umezidi chukua kitambaa futa ninino yako, mfute na mwenzako endeleza mchezo, au kama vipi weka feni karibu uone ule mchezo wa in- out, mwenyewe utakubali, ute au maji yale yatakauka na utapata kile unachokitaka kukila.

kwa uzoefu wangu,si kweli kama ute huo huwa upo muda woote, mwanamke akifika kileleni ndo hutoka, sasa ni vema mwanamke aanze ili nae afaidi,hivyo jua kwamba sasa anafaidi penzi lako.

ila acha ujinga huo wa wasiwasi ushakua wewe...

mama mu

mr cha said...

dada dinah naungana na ushauri wako labda na mie niongezee kidogo kumuelimisha huyo dogo, ni kwamba inavyoelekea huyo demu wake (mpenzi) bado kwanza hajakutna na makungwi unajua tena siku hizi ma bibi zetu hawafanyi kazi zao ipasavyo, kutokana na maelezo yako umesema goli la kwanza kwako safi kabisa ila una kereka na goli la pili na kuendelea sio? mie hapo naona tatizo liko kwa msichana kama akipigwa goli lazima lazima kwa kawaida lazima uokote mpira uweke kati mechi ianze tena sasa yeye haokoti mpira hilo ndio tatizo ukipiga goli lengine unakutana na mpira wa mwanzo basi basi unajiona kama unaogelea mwambie mpenzi wako aokote mipira iingiapo golini, itapunguza kuogelea kwako na kuona sehemu zake ni kubwa kuliko mwanzo.