Wednesday, 8 July 2009

Boarding School imeniharibu, Mpenzi kakimbia-Ushauri

"Mpenda dada na wana blog wote, wasalaam!
Sitakukupotezea muda mwingi naomba sana unisaidie shida yangu hii kwani nahisi dunia yote nimebaki peke yangu!!.

Kifupi mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 29 Elimu yangu ni ya Chuo kikuu japo bado sijabahatika kupata kazi. Nilisoma shule ya Bweni ya wavulana pekee kuanzia Kidato cha kwanza mpaka cha sita.

Nilipokua shule tangu kidato cha kwanza nilifundishwa au kuiga tabia yakupiga punyeto (Masterburation) na ilikua ni tabia ya kawaida kabisa pale shuleni na kutokana na hilo hakika sikujua kama ina madhara yoyote.

Niliendelea kupiga punyeto kuanzia Kidato cha kwanza mpaka Kitado cha sita mfululizo na nikawa addicted kabisa. Baada ya kujua madhara yake niliamua kuacha kabisa tabia hii na hili nimeliweza.

Nilipofika chuoni niliingia kwenye uhusiano na msichana ambae nilmpenda sana na tulipendana sana. Baada ya kupima afya zetu na kukuta wote ni wazima wa afya, tulipanda siku tukaenda kutembea Zanzibar na siku hiyo ndio natuliamua tufanye mapenzi kwa mara ya kwanza.

Cha ajabu mimi mboo yangu ilisimama vizuri tu, nilipoingiza tu mboo kwenye K yake na kupampu mara mmoja nikamwaga hapo-hapo na mboo ikasinyaa!! Nilikaa muda wa zaidi ya saa mmoja ndio mboo ikasimama tena na nikajaribu kufanya tena sikuchukua zaidi ya dakika 3 nikamwaga tena!!

Hili tatizo liliendelea kujirudia mara nyingi sana katika uhusiano wetu na mpenzi wangu alikosa raha na kulalamika simlidhishi katika mapenzi. Baada ya muda akanichukia na mapenzi yakapungua na mwisho akaomba tuachane na akaniaacha!!.

Nimekaa mwenyewe muda mrefu sana na najihisi mpweke sana pia sina raha. Je naweza kupata mtu wa kunipenda katika hali hii na kuyaelewa matatizo yangu na kuangalia jinsi ya kunisaidia?

Je naweza kupata tiba ya tatizo hili? kwani hata Uume wangu umesinyaa na umekua laini na ukiamka asubuhi inakua imelala tu!1, naomba msaada wako,na Je kuna mwanamke yoyote atakuwa yuko tayari kunipenda kwenye hali?
NAOMBA MSAADA WENU WADAU.--Kulwa John"

Dinah anasema: Kulwa asante sana kwa mail yako ya uwazi kuhusu tatizo lako, kwa sasa hebu soma Makala hizi kwa kubonyeza hapa kisha hapa zinafanana kiasi na suala lako.

Nitarudi kwa ushauri zaidi....

6 Wamechangia Mada, bonyeza hapa kwa mchango wako.:

Anonymous said...

Pole sana kaka
I feel ur sorrow!!
Kwanza, kosa kubwa ulilofanya ni kujamiiana kabla ya ndoa! Kama hayo mambo yangekutokea ndani ya ndoa huyo demu wala hangekutosa na baadala yake, ndio angekuwa mstari wa mbele ktk kutafuta suluhu ya tatizo lako, Sasa mwenzio kahisi c vema kuwa nawe na mwishowe akusaliti ndio maana kaona ni vema kukueleza bayana, I appriciate her decision!
Siku nyingine acha uzinzi na badala yake ukimpenda mtu basi umuoe kwani Mola wa Mbingu na ardhi hapendi zinaa.
Enyi watu! Acheni uzinzi kwani ni chukizo kwa Mola wetu

Ushauri, Tatizo lako ni la kisaikolojia, na ni kweli linatokana na punyeto.
Ikiwa ulizoea kupiga punyeto ktk mazingira ya hofu ya kuonekana bila shaka utakuwa ulikuwa ukilazimika kupiga puchu haraka haraka ili umalize haraka, Sasa hali hyo imesababisha ubongo na mwili kuadapt. Hivyo hali hi usipofanya juhudi ujue itaendelea mpaka cku utakayoondoka ktk mgongo wa ardhi.
Nini cha kufanya?
Ukiwa na mke make sure unaondoa woga na mchecheto wote wa ngono, baadala yake u relaxe na ujiamini.
Make sure mnafanya romance ya muda mrefu ili kumfanya mwenzio asitumie muda mrefu kufika kileleni, Hii pia itasaidia kupunguza presha na mchecheto[overstimulation] ya mwili, pia itasaidia kuuzoesha ubongo uadapt new experience
Mnapofanya ngono, acha papara na baadala yake uende slow wise ie step by step huku una vuta pumzi ndefu rather than faster. Yaani ufanye kwa spidi ndogo na sio haraka haraka, na umweleze waz mwenzio nae aende kwa mapigo ya taratibu.
Pia ukiona unakaribia bas chomoa uume wako na uendelee kumstimulate mwenzako kwa kumnyonya chuchu huku kdole kikifanya kaz ktk uke wake.
Njia nyingine ni kufanya kegel exercise, mazoez hayo huimarisha muscles utumiazo kuzuia mkojo, hivyo zitakusaidia kuzuia manii kama uzuiapo mkojo. safu ktk net jinsi ya kufanya mazoezi hayo
Haya mambo nimeyasoma tu, sijapractice kwani cjaoa wala cna mchumba. Wanaopaswa kuyatumia haya ni walio ktk ndoa tuuu! Mola hapendi na hataki zinaa. C kwamba 2co fanya ha2pend bal 2n
Mwatima

Anonymous said...

Moja ya madhara ya nyeto ni hayo,ingawaje sio wote, lakini kwa akili zetu zilivyo, ukizoea mtindo fulani kama huo wanyeto, basi ubongo na ile hali hukutawala.
Inahitaji muda kuurudisha ubongo wako katika hali ya kawaida, hii ni pamoja na kumpata mwenza ambaye anajulia jinsi gani ya kumvuta mwenzake kimawazo na kivitendo. Wengi tunasahau kuwa tendo hilo hufana zaidi pale tunaposhirikiana, na kuelezana wapi panafaa na vipi tufanye. Tafuta umpendaye na anayekupenda nafikiri kama atakuwa anakupenda kweli mkasaidiana kwa subira na sio pupa,utajibadili hiyo tabia.
Nafikiri ukifuatilia vizuri kuna darasa la dada Dinah, alishalitoa, jinsi ya kujizuia usimwage haraka. Na hiyo ndio dawa yake, dawa za kienyeji hazitasaidia bila wewe mwenyewe kujituliza na kusahau punyeto. Nafikiri dada Dinah anaweza kukuelezea zaidi.
Nakushauri usikate tamaa kwa hilo, huo sio ugonjwa ni mfadhaiko na huisha ila unatakiwa urejeshe akili vyema.
emu-three

Regina Paul said...

Kaka pole sana kwa msusuko suko ulio kupata mimi ningekushauri uende kwa daktari ili kama ana namna anayoweza kukusaidia akusaidie kwasababu ukiishi hivyo itakuwa ni mateso.

Na pia jaribu kuwa wazi unapowatokea mabinti ili kama unaweza kumpata anaye kupenda hata kama unamatatizo.

pole sana my dear.

Anonymous said...

pole sana kaka lakini hiyo sio ugojwa wala nini mimi nilianza kupiga punyento tangu niko darasa la saba mpaka sasa napinga punyeto sometimes na sina tatizo la kulizisha mwanamke. ila nikweli hata mimi mwazon nilikuwa kama wewe nilikuwa na come halaka. ila nataka nikueleze kuwa hilo sio tatizo la masterbation nitatizo la psychological. nikwamba unapo piga punyeto huwa una imagine mwanamke ambaye unamtamani lakini wakati unafanya real sex huwa unasahau kuimagine kwasababu uko na real person. sasa hapa ndio inakuja tatizi kutokana na kwamba uko na real person huwa unakuwa na imaginatio script ambapo hiyo script inakuwa haiwezekani katika real life sasa inapo tokea hivyo unakuwa franstrated unapokuwa franstrated unakuwa huwezi kuperform vizuri. unacho takiwa kufanya unapo kuwa na mpenzi urelax wala usiogepe usifikelie sex ufikilia kuwa na fun na mtu unaye mtamani bila kufanya sex halafu ndio mchezeane kwanza mpaka wewe ucome kabula ya kufanya physical sex. sina mda wa kumalizi maelezo yote samahani.

Anonymous said...

Pole sana mzee
Hilo ni tatizo la kisaikolojia tu na wewe wenyewe unaweza kufanya zoezi na hatimaye ukawa fiti tu, mi mwenyewe nilikuwaga na tatizo hilo japo sikuwa na mazoea sana ya nyeto, nilichokifanya ni kujaribu kupunguza speed wakati wa sex, pia kujaribu kuondoa mawazo ya kile unachokifanya unaweza kuchukua muda mrefu sana bila kukojoa, ukiona speed uliyonayo inakupeleka kukojoa punguza au chomoa mboo kabisa ikipigwa na hewa ukirudisha angalau utaweza kusogeza muda kidogo,

Mpinga Ndusti said...

mi nakwenda tofauti ingawa ushauri wa juu hauko mbali na ukweli.ufanyeje sasa ?kuna dawa za kichina zinasaidia kutoa hili tatizo.nina cousin yangu alikuwa na problem kama yako na alipotumia dawa akawa fresh.zungukia maduka ya madawa ya wachina