Sunday, 30 August 2009

Acha wale too wet! Mie yangu ni baridi-Ushauri

"Habari yako dada Dinah,
Pole na kazi za kuelimisha jamii,
Tatizo langu ni hili: nimeolewa miaka 3 iliyopita na nimefanikiwa kupata mtoto mmoja, natumia dawa za uzazi wa mpango sasa basi wakati wa kufanya mapenzi mume wangu anasema kuwa "K" yangu haina joto kabisa kama zamani na anasema kadri siku zinavyokwenda lile joto joto la ndani ya K linaondoka sasa ni miezi zaidi ya 4 tokea tatizo hilo litokee.

Je nifanyeje kurudisha hali ya ujoto ndani ya K yangu? je, hii inasababishwa na family planning? naomba please please uiokoe ndoa yangu maana tunapoelekea sipo kabisa.
nitashukuru sana iwapo nitapata ufumbuzi wa hili.
Ahsante na Mungu akubariki!"

Dinah anasema:Kwanza kabisa napenda kuomba msamaha kwa uchelewaji uliosababishwa na shughuli nyingi za kikazi, pili nasema asante sana kwa uvumilivu wako.

Tatizo la mabadiliko ya uke wako linaweza kusababishwa na uzazi (inategemea umejifungua lini?) hilo mosi, na pili basi inawezekanakana kabisa kuwa ni madawa ya kuzuia mimba ndio yanayosababisha mabadiliko ya uke wako.

Nadhani mumeo anashindwa kuelezea namna uke wako unavyo-feel kila anapokuingilia, inawezekana kabisa kuwa anahisi umaji-maji umeongezeka ambao mara nyingi huwa ni wa baridi kwa vile sio ule ute asilia unaotokana na nyege ni maji yanayosababishwa na matumizi ya madawa ya kuzuia mimba.

Nini cha kufanya: Kuna vitu 2-3 hivi unahitaji kuvifanya ili wote wawili kufurahia tendo lenu la ndoa. (1)-Badili aina ya kinga ya kuzuia mimba na hakikisha inakuwa Condom kwani hii ni kinga pekee ambayo haimbadilishi mwanamke kimaumbile wala kiHomono na haisababishi maji-maji. Lakini kabla ya kufanya hivyo unatakiwa kumhusisha mumeo ili asije kushangaa inakuwaje mnatumia Condom.

Natumaini itakuwa rahisi kwake kukubali kutumia Condoms since yeye ndio aliyelalamika kuwa K yako ni baridi vilevile hiyo ni kinga pekee itakayo saidia Uke wako kuwa na joto atakalo.


(2)-Sina uhakika muda gani umepita tangu umejifungua, vyovyote ilivyo jaribu kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya uke, Misuli ya Tumbo( ambayo yanasaidia sana kuboresha tendo la ndoa), kaza misuli ya mapaja na makalio kila unapokuwa unafanya mapenzi na mumeo (licha ya kufanay K ibane kinamna pia itasaidia kufanya mapaja na makalio yako kuwa firm).


(3)-Angalia vyakula unavyokula, hakikisha unapika vyakula kiasilia zaidi yaani kibongo-bongo na epuka vyakula vya kupasha moto. Ninaposema uache kula ready-made au fast food sio ili upunguze mwili wako tu, bali pia ni kupunguza chumvi ambayo inaongeza maji yasiyohitajika mwilini ambayo yana uhusiano mkubwa sana na maji mengi ukeni.

Kila la kheri.

6 Wamechangia Mada, bonyeza hapa kwa mchango wako.:

Regina Paul said...

Pole sana dada yangu kwa tatizo ulilonalo,

Mimi ninaanza na swali kabla haujaanza kutumia vidonge hali hiyo ilikuwepo? na kama hali hii haikuwepo bado mpaka sasa hauna jibu kwamba kilichosababisha ni hizo dawa?
Mimi ninaona kitu kilichosababisha tatizo lako hilo ni kutokana na matumizi ya vidonge hivyo.

Ushauri.
Jaribu kuacha kwa muda kutumia vidonge hivyo ili uone kama kutakuwa na mabadiliko na endapo hautaona mabadiliko basi nenda kwa daktari wa wanawake ukamuelezee.
Pia mimi nakushauri uachane na hayo madawa ni bora utumie sindano au kitanzi.

Asubuhi njema.

Anonymous said...

Aah!
Mimi sina cha kukushauri, zaidi zaidi nakupa pole tu! But tell ur husband kwamba tatizo lako ni lake pia, kwani kama ilivyo kwake kwamba hapati utamu, Hata ww pia hupati amani ya moyo kuona yeye hapati raha. In this case mwambie kuwa unaomba mushirikiane kutafuta njia mbadala ya kuondosha tatizo.
Mnaweza kuamua kutumia kondomu kama njia ya uzazi wa mpango, kwani ktk mzunguko kuna kama wiki moja tu ya kutumia condom, cku zingine zote ni safe kufanya bila condom, coz huwez pata mimba.
Nyie wanawake acheni kujipendekeza kutumia madawa hayo ya kizungu kwani mwisho wake ni saratani za matiti, makalio, uke, na mlango wa kizaz na matatizo mengine mengi kama kupungua libido(mnyegeko).
I think my wife will enjoy coz every problem of yours is my opportunity for better perfomance with ma wife at the future inshaallah.

Hongera kwakuwa ktk ndoa coz wengi wanapenda kunjungana tu!
Mwatima

ndumiodede said...

Pole dada,mwambie jamaa yako aache hizo mimi hisia zake tu,au inaelekea ameshapata dogo dogo sasa anatafuta sababu,joto kutokuwepo ndani ya k sidhani kama inasabishwa na kuzaa,mimi mke wangu tayari ana watoto watatu lakini sijawahi kuona k tamu kama hii hivyo mwambie abadilike

Anonymous said...

Kwa ujumla dada hizo ni hisia za mumeo tu hakuna cha kuma ya baridi au vipi.mwili mzima wa mwanadamu una joto ndani la sivyo hata wewe ungekuwa mgonjwa.haiwezekani kabisa kwamba Kuma tu iwe baridi hala sehemu zingine ziwe joto.

Huyo mumeo anajuaje hayo ? Bila shaka huyu ana kimada kingine nje anatafuta kisingizio cha kukikmbilia siku utakapombaini amekuwa na nyumba ndogo ili aje aseme mbona nikuambia kuwa kuma yako baridi.

mtu asikudanganye juu ya hilo.Tena wala si hayo madawa unayotumia kwamba yamekusababishia hiyo hali.Kuma ni sehemu kama sehemu zingine katika mwili tu.Mchunguze sana huyo mumewe ana janja fulani anakuzengua tu.

Inawezekana yeye ndiyo mwenye kasooro labda hilo bolo lake lina tatizo kwa nini aelekeze tatizo kwako tu?Hisis hizo anaziona kwenye kuma yako tu? hebu mwambie aingize ulimi au kidole chake kumani kwako aone kama ni hivyo.Pia wewe unaweza kuingiza vidole vyako uangalie klama kweli uan baridi kwenye kuma yako.Pia jaribu kulishika bolo lake hasa kichwa likiwa limekasirika uone kama lina joto.Msiandikie mate na wino upo.Joto haliji tu wakati wa kutombana.

Uwe na amani dada usihofu kama jamaa yako ataamua kukuacha atakuwa ana yake mambo mengine na wala si ubaridi wa kuma.Kama hajui kula atuarike walaji tumpe somo juu ya namna ya kukutia joto.

Anonymous said...

Dada dinah mimi ndie huyu dada ambae nimeomba nisaidiwe kuwa K yangu haina joto, nimesoma ushauri wa wachangiaji ila naomba niweke sawa kuwa natumia vijiti si vidonge kama watu walivyoelewa na tatizo hilo limekuwepo before sijaweka hivyo vijiti ila sasa linaongezeka siku hadi siku.

Anonymous said...

DADA MWATIMA NAPENDA SANA COMMENT ZAKO YANI NATAMANI HATA NIWE RAFIKI YAKO UMEMALIZA KILA KITU TUTAFUTANE BAC NDUGU YANGU.