Monday, 8 June 2009

Nifanye nini kupata mtoto wa Kiume-Msaada

"Mimi na mume wangu tumejaaliwa mtoto wa kike miaka miwili na miezi saba sasa. Tunaomba mungu sana hapo baadae tupate mtoto wa kiume hebu nipe darasa najua unaelewa haya mambo kuwa pamoja na kusali upate wa kiume je Kitaalam unataimu vipi ili iwe kweli wa kiume dear?Pia kama nataka twins pia nafanyaje?

Nitashukuru sana ukinipa data kwani ndio nataka kujiandaa kumtafutia Bridgitte mdogo wake baada ya miaka miwili. Naomba nisikuchoshe nikutakie siku njema na baraka msalimie baby wako Conso a.k.a mama Bridgitte"

Dinah anasema: Dada Conso na Shamimu asanteni kwa ushirikiano wenu, hakika suala hili ni common sana miongozi mwa wazazi wengi wanaopenda kuwa na pea za watoto weye jinsia tofauti.

Natambua kuwa mtoto yeyote akizaliwa upendo, hali ya kujali na furaha ni ileile bila kujali jinsia yake, lakini kama ingewezekana basi wengi tungependa kuwa na mchanganyiko wa jinsia...namna gani basi utafanikisha hilo ndio mbinde!

Kupata mtoto wa kiume inategemea zaidi familia zenu ninyi wawili, kwa maana kuwa kwenu kuna wanaume na wanawake kiasi gani hali kadhalika upande wa familia ya mume wako, ikiwa wanawake ni wengi zaidi kwenu na kwa mumeo pia wadada wengi basi utazaa watoto wakike tu au wengi (inategemea unataka kuzaa wangapi).

Lakini kama kwao mumeo wanawake wengi na kwenu wanaume wengi basi mtoto wa kiume kupatikana ni rahisi zaidi, ila ikiwa kwa mumeo kuna wanaume wengi na kwenu wanawake wengi bado uwezekano wa wewe kuzaa wa kike tu au wengi ni mkubwa.

Hivyo basi, ili kupata mtoto wa kiume inategemea zaidi na upande wako wewe mwanamke, nikiwa na maana kwenu kuna wanaume wangapi kwa maana ya wajomba, kaka zako, baba wakubwa na wadogo n.k. (ila binamu hawahesabiki).

Nini cha kufanya kupata mtoto wa kiume.
Kuna njia kuu mbili nizijuazo mimi ambazo zinaweza kusababisha wanandoa kupata mtoto wa kiume na njia hizo ni zile za Kisasa/Kitaalamu na asilia....nitafafanua kidogo asilia ambayo ndio naijua zaidi na ile ya kitaalamu ni straight foward.....lakini kabla napenda ufahamu yafuatayo;-

(1)-Mbegu zinazosababisha mtoto wa kiume hutoka haraka na kwa speed kubwa sana ili kuungana na Yai vilevile hufa haraka (hufa ndani ya masaa 3 ya mwanzo).

(2)-Mbegu zisababishazo mtoto wa kike hujivuuuta sana (maringo ya wanawake yanaanza b4 hata hatujawa viumbe kha! hihihihi) na hubaki hai kwa zaidi ya masaa 72 (zaidi ya siku tatu).

(3)-Bao zito na lenye afya ndio muhimu kusababisha mtoto wa kiume (mlishe mumeo lishe bora).

Hivyo basi ili kufanikisha hili unapaswa kutegea siku ambazo wewe unajua yai lako limepevuka na linasubiri kurutubishwa na mbegu ya kiume. Ukingonoka kwenye siku hatari kuliko zote ni wazi kuwa zile mbegu za jinsia ya kiume zitakuwa za kwanza kurutubisha yai na kufanya mimba ambayo itakuwa ya mtoto wa kiume. Hii ni njia asilia.

Njia ya kisasa ni ile ya kitaalam kuchukua yai lako na kuchagua mbegu za kiume tu kutoka kwa mumeo nakurutubia manualy (nje ya mwili wako) kisha wanakupandikiza, yaani wanakuwekea mimba (yai na mbegu walizounganisha) kwenye Womb (mji wa mimba) na hapo kunakuwa na uhakika wa kuzaa sio tu mtoto wa kiume bali wanaweza kuwa mapacha 2-3 wa kiume.....inaghalimu mamilioni ya shilingi though.

Kidokezo; imni ya kujaribu mpaka upate mtoto wa kike au kiume bila kuzingatia kwenu mkoje intrms of jinsia sio njema kwani mtajikuta mnazaa watoto ambao hamtaeza kuwamudu.

Natumaini maelezo yangu na ya wachangiaji wengine yatakuwa yamekusaidia kwa namna moja au nyingine, kwa niamba yao basi twawatakia kila lililo jema na Mungu afanikishe matakwa yenu kwa mapenzi yake.

Midaz!

13 comments:

Anonymous said...

Jinsia ya mtoto hutokana na aina ya mbegu ya baba. Mama ana XX kwa hiyo hutoa X tu siku zote, na baba ana XY kwa hiyo anaweza kutoa X au Y. Watoto wa kike hupatikana kwa vile wewe hutoa X (na huna uwezo wa kutoa nyingine kwa vile wee ni mwanamke)na X ya baba uungana na X yako na hutokea XX (msichana). Ili apatikane mtoto wa kiume inabidi Y ya baba ndo iungane na X yako na kupata XY (mvulana). Kwenye mbegu za baba kuna X na Y. Inayowahi kuungana na yai lako kati ya X na Y yake ndo husababisha mtoto kuwa msichana au mvulana. Na hiyo ni kazi ya Mungu tu. Huwezi kuamua kwamba sasa Y ya mvulana ndio iunagane na X yako ili apatikane mvulana! Najua nimechanganya tu km hauna japo baolojia ya kiwango cha form 4.

ginfizz said...

dada Dinah tupo wengi ambao tunafatilia mataizo kama hayo ila hata mimi ingawa si muuliza maswali lakini nasubiri ushauri wa kitalam kutoka kwa wadau, ahasante kwa majibu mazuri pamoja na mada zako mungu akujalie uzima pamoja na falia yako.

Anonymous said...

Kabla hujajibiwa na wataalamu naomba nikuulize swali moja, je mlifanyaje mkapata mtoto wa kike?
Kitaalamu wanasema mtoto wa kiume hupatikana kwa mbegu za mwanzo,na ni vizuri ukala vizuri, virutubisho nk. Kwa mfano ukitaka mtoto wa kike unatakiwa ufanye mara tatu au zaidi, lakini wa kiume ni ule mpigo wa kwanza.
Katika kungonoka, unatakiwa uzame ndani sana wakati unamwaga, kwasababu ya vimiminika vya uke ni vingi.
Pia wanashauri mtindo mzuri ni mbwa kachoka kwa kupata mume na kifo cha mende kupata mtoto wa kike.
Wengine wansema wale wanaopenda kungonoka sana, hupata majike,na wale ambao hukaa muda mrefu bila kukutana hupata dume, kama nilivyosema `mchupo' wa shahawa unakuwa na nguvu.
Yote ni tisa, anayejua ni muumba, wapo waliojaribu hivyo wakafanikiwa na wapo waliojaribu wakakosa. Na wapo ambao hawaangalii cha mitindo au ninani watampata, lakini utafikiri walipanga, dume, jike, dume jike.
Labda tuwasikilize wataalamu tufaidike sote
emu-three

Anonymous said...

Endelea kujaribu, hatimaye utapata wa kiume.

Project Management in IT said...

samahani dada dinah naomba nimulize huyu emu-three is like wikipedia mashawahu kila kitu anajoa, i wish to meet with u.
i wish to know kama ww mwanamke au mwanaume

Anonymous said...

hey da diina tsup sister?
uko poa sana dada yangu nakubali kazi yako, the thng z mi nipo nje ya bongo nyumbani nimeijua hii blog juzi tu hapa nimecheck ishu za nyuma zote zimesimama sana, salute sister. sa dada angu mi nataka niulize swali, bt cjui wapi i ve post my qn, coz hapa naona ni special kwa comment. so plz can u help me the procedure?
tnx. mpe hi shamimu, nimecheza nae kikapu, na ndo nimekuta hii blog 4rm ha blog. asante

Anonymous said...

hey sister niaje? pole kwa kutupa mashrink ya ukweli na adimu.

ebwana mi nimeona niweke swali langu au ombi langu hapa kwenyen comment, then u r goin to help me kuliweka kule kwenye ukurasa wa maswali ili watu wachangie. coz mi ndie niliye omba ombi la maelezo jinsi ya kutuma maswali, as i told u mi mshamba kwenye zs blog, na mwezi tu toka nimeanza kupitia.


ni hivi Dina mi nilikuwa nataka tuongelee kuhusu TIGo, nasema hivyo coz DINA me ve been wit like 5 galz in tanzania back home, n wote tigo inaliwa vizuri tu, ingawa sio mara kwa mara bt TIGO nimekula Dada yangu, na the thng is nimegundua wasichana wengi Bongo now wanatoa Tigo, na hili kuwasaidia mi nilikuwa naomba uweke huu mjadala watu wakili kuliwa TIGO na kula , na watoe Maelezo ni jinsi gani, coz si wabongo ni wanafiki mno, na matokeo yake tunakuja kuaadhilika badae, so for the first time plzz lets b real tuache unafiki, mi naomba tusaidiane. ntaanza mi kueleza ka ifuatavyo.


mi nilkuwa nasikia tu watu wanasema yule demu anatoa Tigo, at that time mi uyo demu alikuwa sio demu wangu bt alikuwa anajuana demu wangu wa zamani, bt kama ajali yule demu alinizimika kiaina coz nilitembea na mwenzake akampa sifa zangu, so kumbe alikuwa ananimendea, sijisifii bali nimebarikiwa Da DINNA, m good in bed naweza nikamkojoza mwanamke hata mara tatu mi nkawa nimekojoa mara moja, na sijawahi kumtomba demu asining'ang'anie. kiasi cha kwamba sitaki kutomba demu mbaya au wa ajabu tu ili mradi nimtobmbe, nope. lazima awe Msafi na kasimama ili ata akining'ang'nia at least analipa na msafi.
ok sa baada ya kumtomba yule demu siku ya kwanza, alikojoa mara tatu tena sio ile ya kiakili amabayo u just feel gud thts all, nope, the real baoz mwanawane, mbaka anataka kuning'ata.

baada ya hapo alivyomaliza akaniambia sijawahi kupiga bao mfululizo na kumwaga ka hivi, kweli demu wako alikuwa anasema we noma. so nkajua she was expecting this, na mi nkataka kujaribu TIGO ka nilivyoamiwa na watu, nkajifanya nampitishia kiaina nkaona anafurahia n the worse akaniambia hivyo ntaumia dia, basi weka hata mafuta nasikia inakuwa nafuu. nkaweka vaseline mwanawane na still nimevaa condomu, ebwana coz mi mejaliwa nina MCHE basi ikasumbua kidogo, bt baada ya kuingia ebwana mtoto anaikatikia, na akapizi akapiga kelele ya mahaba kuliko hata wakati na mtomba. akawa ananiambia nimtukane, mara sema chochote.
alivyomaliza nikamwambia how was it? akasema ni raha awezi hata nielezea, n frm that day akawa ananiambia kabisa plz come n fuck my ass.nikala sana JICHO dada yangu, mbk tukaachana. na bada ya hapo nimekula Tigo ka mademu wengine wa nne, na demu wangu mwenyewe nnaempenda na mla mara mojamoja coz sio siri BONGO mademu kibao wanatinduliwa TIGO.

demu wangu kabla ya kumla TIGO anaoga fresh, namyonya mkundu taratibu yaani, analegea vizuri n nakula tigo taratibu mwnawane.
so plzz naomba watu especially wasichana na wanawake, wasione aibu watuambie how do they get ANAL sex n how oftenly ili watu wajue jinsi gani kuliko kuzuga, coz bongo hata condomu mwanzo watu walianza ohh dhambi, matokeo yake watu wakafa ndio tena now matangazo kila kukicha. hii ishu ni nyeti na inasababisha ndoa nyingi kuokolewa na kuvunjika.
asante n sorry 4 any inconvinience!

JANDU!

Anonymous said...

Mbona designed kids wanawezekana siku hizi.
Ulimwengu wa sayansi sasa.
Kwa mara ya mwisho nilisikia habari kwamba Uholanzi wanaweza kukuamulia unataka mtoto gani.
Kwa maana hio baada ya kungonoana wanaongeza xx au yy kitaalamu na mtoto unayetaka anazaliwa mzima wa afya kama unavyotaka.
wanaanza zile stage za mwanzo kukusanya hizo XX na YY.
Ila watu wa dini wanapinga wanasema nikumkosoa mungu. wanataka itumike ile bahati nasibu tu.

Anonymous said...

Kama unajua siku yako ya ovulation, have sex on the same day na kuendelea,usifanye before kama hujui ovulation yako ni lini ni ngumu shosti.

Anonymous said...

hello! mambo niaje sister Dinah? pole na kazi za kila siku.

namsupport mr jandu,mm ni msichana wa kibongo asikuambie mtu TIGO inaraha yake hasa ufanye na mpz wako. ANAL SEX inasisimua sana mm binafsi nafanya mara chache na mpz wangu ni raha ya ajabu isiyoweza simulika. huwa na piz mara nyingi zaidi ya mtombo, for real i lk it so much also ma boy knw hw to do. as pipo said fucking is dirty thing in the world coz u cn do anything u lk in bed without fear bcoz u cn lick n suck ya gal/boy all over his/her body. so TIGO is gud if u lk bt ma advice to u dnt do TIGO everyday coz it worse.

Anonymous said...

Hii hoja ya tigo tumeshaiongelea mara nyingi, pitia `mapitio'ya nyuma utaiona. Kwa upande wangu naipinga kwa nguvu zote, hizo hisia ni za `kujijenga', na hisia kama hizo utazipata kwa njia ya kawaida kama `utaamua' Naombeni msiwapotoshe wanajamii,hiyo sio njia nzuri. Faida za tigo ni ndogo ukilinganisha na madhara yake, ya baadaye.
emu-three

Anonymous said...

Jandu nafikiri unaweza kupost kwenye bongo.radio@yahoo.com

Anonymous said...

Nifanyaje ili nimfanye mpenzi wangu awe wangu pekee yangu?