Tuesday, 3 February 2009

Umewahi kuhisi ukamilifu kama mwanamke?

Mambo vipi wewe?

Ni muda mrefu umepita bila kukupa somo, natambua kuwa ulikuwa una-miss mambo fulani, sasa leo rafiki napenda ku-share hisia ambazo sina uhakika kama ni mimi tu ndio huwa nazipata au vinginevyo. Kama hujawahi kuzipata basi endelea kusoma ili ujue kwa undani.


Nafahamu kuwa unafahamu kwamba mwanamke siku zote anachelewa kufika kileleni hali inayofanya waume/wapenzi wetu kufanya wawezalo ili mwanamke uanze kisha yeye amalizie....awe wa mwisho.


Hali hii ikizoeleka inakuwa "boring", yaani kila siku wewe unakuwa wa kwanza! Inakuwa routine kitu ambacho mimi binafsi nakipiga vita kutokea kwenye mahusiano ya kimapenzi kwani kinaweza kufanya ule msisimko wa uhusiano wenu kuwa "butu" yaani uhusiano hauna masham-sham a.k.a hauna "makali"Licha ya hivyo, kuna wakati wewe mwanamke unatakakuhisi "uanamke wako" yaani kama ni mwanaume basi atasema mwanaume aliyekamilika. Ukamilifu wa mwanamke sio tu kujua aina za mapishi, kutoa penzi, kuwa mwepesi wakati wa kungonoana, mwenye kulipenda umbile lake zuri alilojaaliwa na M' Mungu, usafi na mwenye kuvutia bali pia uwezo wa kujua kumuwahisha mpenzi hasa kama mpenzi wako ni mmoja kati ya wale waliojaaliwa kwenda "mwendo mrefu" au kazoea kujizua na hivyo anashindwa kujiachia ili awahi....


Au inawezekana kabisa bao la kwanza kutoka kwake mpenzi wako linakuja haraka (kwaida kwa wanaume wengi hasa kama ananyege sana)lakini yatakayofuatia yanachukua "mwaka" hali inayoweza kukufanya utake kumuona mpenzi wako anakuja tena na tena....si wajua kale kasura ka “nakojoa” au “nakuja”...aah mimi huwa nakazimia sana na kaniniamshia hisia....wanasema “turn on”.


Unaweza kujitahidi kumfanyia manjonjo na masham-sham ili ashindwe kujizuia na kumaliza mapema lakini njema haifiki walanini.....hii ikitokea usikate tamaa na kujishtukia kuwa huwezi "game"...."game" unaiweza ila hujampatia tu......sasa nitakupa kambinu ambayo mwanaume yeyote hawezi kujizuia ikiwa utakapatia kambinu haka.


Kumbuka unapofanya hii mbinu lengo ni wewe na yeye kufurahia hivyo haijalishi ikiwa mtafika wote au yeye kuanza.........utahisi mchanganyiko wa hisia za raha, furaha, ukamili kama mwanamke na mapenzi ya dhati kwa mpenzi wako......inategemea zaidi na unavyolichukulia tendo hili takatifu, kama ni mpenzi wa tendo hili kama mimi basi utakuwa umenielewa vema.

Mkao-Kama kawaida mkao ni kifo cha mende na mtindo ni mwanamke chini.....kifo chamende ni mkao wenye mitindo mingi ambayo haichoshi na inakuwezesha wewe mwanamke kuwa incontrol na kuwa huru kumfanyia mume/mpenzi wako mambo mengi kwa kutumia uke wako kuliko mikao migine.


Si kwa vile nimesema kifo cha mende basi wewe unakimbilia kitandani na kujilaza chali na kujipanua.....hapana! cheza-cheza nae mpe ile inaitwa "stata", au "hapitaita" kabla ya mlo kamili(hajalishi ni mzunguuko wa ngapi)....si unajua kuwa kila bao linautamu tofauti??


Ili asijue nia yako ni nini basi unapaswa "kuzuga" na kumlaza yeye pale kitandani na kuanza kumfanyia "uchunguzi wa kina" kwa kutumia mikono/vidole, matiti, midomo, ulimi, mashavu ya uke.....na hakikisha unagusa kila kona ya mwili wake ambayo wewe unajua anapenda kuguswa.....


Baada ya hapo, jilaze pembeni yake na kumvuta ili aje juu yako au njia rahisi ni kukalia uume wake na kuhakikisha umeingia vya kutosha ndani yako alafu jilaze (full) juu yake bila uume kuchomoka kisha mkumbatie alafu jibilingishe nae.....hapo atakuwa juu yako moja kwa moja.....panua miguu yako vya kutosha ili kukuwezeza kuzunguusha kiuno cha ngono (sio kile cha ndombolo....bali kile nilichokizungumzia ktk Makala za nyuma).


Akisha kuwa juu yako muachie apige "tako" zake mbili/tatu yaani aende juu-chini au nje-ndani mara chache huku wewe ukizunguusha kiuno taratibu kutafuta kona nzuri ya kukibana kichwa......kisha mwambie atulize “ball” yaani hakuna ku-move.....no more takoz!


Alafu sasa, shikilia makalio yake na jaribu kuyakandamiza dhidi ya sehemu ya juu ya uke wako ili kumfanya asi-move(akitaka anaweza) lakini hiyo itakusaidia kumkumbusha kwa kumrudisha ndani kila akitaka kutoka kutokana na utamu.....na vilevile kukupa balance ya kufanya ukifanyacho.

Sasa anza kuzunuusha kiuno chako cha ngono ambacho kitakufanya uhisi kichwa cha uume kinasugua kona ya uke wako pale ulipoubana ktk mtido wa kuzunguuka, kubana na kuachia......endelea kuzunguusha kiuno chako cha ngono ktk nusu mzunguuko/duara yaani degree 180.....yaani huendi mzunguuko mzima unaenda nusu kisha unarudi ulikotoka nusu nyingine....kulia na kushoto.....


Uhatahisi jamaa anataka ku-move au atakushikilia kimtindo kama sio kutoa mihemo na miguno Fulani ya raha.......hatua hiyo ikifika ndio wakati wa kwenda mzunguuko mzima kwa kuongeza speed na kuipunguza.....Mf kukata kiuno cha ngono kutoka kulia kwenda kushoto ni rahisi na unakwenda haraka kuliko kile cha kutoka kushoto kwenda kulia. (inategemea kama wewe ni left heanded au vinginevyo)


Sasa unapobadilisha "rythim" kutoka haraka kwenda taratibu hakikisha unafanya kwa mpangilio huo, kwamba kutoka kulia kwenda kushoto haraka na kutoka kushoto kwenda kulia taratibu.....Hakika ile hali atakayokuwa akionyesha kuwa anafurahia itakufanya wewe ufurahie zaidi na utahisi utamu unakaribia.....

Hapa njemba itapagawa na kupiga "tako" mfurulizo ktk harakati za kufika kileleni.....wakati anafanya hivyo "relax" kiakili lakini kimwili endelea kufanya mambo uliyoanzisha ili mfike wote.

Kunauwezekano mkubwa kabisa akakuacha njia panda....hey ndio nia na madhumuni kumuwahisha......hii yote inachukua dakika dk 10 mpaka 20 ukiunganisha na romance (kuandaana) lakini kwa tendo peke yake ni dk 8-10 tu kitu na box......

Jaribu leo, ili kumpa mpenzi wako mwanzo mzuri wa mwezi.....kila la kheri.

15 comments:

Anonymous said...

Asante dada kwa somo la leo.Sio wanawake wengi wanaweza kusema wanachojua kwa umati wa watu lakini wewe dada yetu sio mchoyo unasemaga tu.Naenda jaribu kama nitaweza kumuwahisha.

JayJay said...

This is hot, Dinah keep it up.

dadaa said...

usemayo ni ya kweli dada dinah na nishayajaribu kwa mahabuba mpaka akaniuliza he imekuwaje manake naona mambo tofauti leo nikamwambia dozi ya dawa imebadilika si kila siku ile ile ubunifu ni muhimu ktk mapenzi mi huwa napenda kumpa flava tofauti mpenzi yaani mpaka anadata akitegemea atapewa ya jana anakuta mengine tofauti
dah Muumba alitupendelea sana wanawake am proud to be a WOMAN
siku njema wote

Anonymous said...

Dada dina wapenzi wetu wengine wanatunyima maraha,matokeo yake tunakwenda kuzitafuta kwengine.kama mie hujitahidi sana kila mafunzo unayo yaeleza hapa namtumia mwenzangu bt matokeo hakuna tofauti yoyote.what should i do?coz i do love her alot ndo maana sendi kwengine but nifanyeje ili aniridhishe?from utaonaraha@yahoo.com

Anonymous said...

Mmh Mmh nilisema nisicomment mbaka nikajaribu kama nitaweza wangu nilisikia tu baby baby oh me oh baby my give it to me give me more. Ni rahaa ilioje kumsikia mmwandani wako akitetema jina lako kwa fujo.....the face was so hot and it was turn me on and nikawa kama nimetiwa pilipili wangu shukran.

Umenipa mwanga mpya ila na kesi juu wivu kibao saa hizi kila saa baby uko wapi na nani...haloo mambo ya Dinaaaah give us some more shule wangu...we truly need it hasa sie tunaopenda kungonoka na kusikia raha yake....

Msusubiri Valentine wadau wenzangu kufanya mambo mazuri...kwenye mapenzi kila siku ni Valentine day....unajipa raha

Mdau.

Anonymous said...

Hii ni kweli tupu. Ukiongezea katika maelezo yako dina, baada ya kupanua sana miguu ili kuiingiza, akijakuja juu yako, kaa mguu sawa fulani hivi. Halafu fanya anayoyasema Dina. Utashangaa na roho yako. Mie wangu siku ya kwanza alisikitika kuniacha, akamaliza yeye tu. Akasema sijui imekuwaje. Yaani mi wakati huo sina mbavu. Ndio kazi ya maraha hiyo kwenye majambozi.

Dinah said...

Anony @8:55:00 PM, huenda hajui na mbaya zaidi wewe unapojitahidi kufanya kila uwezalo hunafanya bila kuwasiliana nae.

Jaribu kuwasiliananae kuhusu nini unataka kufanyiwa, mfundishe, muelekeze, mwambie.....ushirikiano ni moja kati nguzo uhimu za kuboresha uhusiano wa kimapenzi.

Ninapozungumzia ushirikiano sio kwenye sekta ya kiuchumi na kupena aushauri/mawazo bali hata ktk kutumia miili yenu.

Mpe ushirikiano kwa kumshirikisha kwa kile unachokifanya na hata kujaribu kumfunza ili aanze kulipenda tendo hili takatifu.

Baadhi ya wanawake wanafanya ngono kama wajibu na sio "fun". Mwambia je hapa ili nimpe darasa na maajabu yake utayaona.

Kila la kheri!

Anonymous said...

dina mi napenda sana kumpagawisha mpenzi wangu kwa manjonjo tofauti ila yeye kwanza habari yake kubwa yani ikiingia inabana kwelikweli nashindwa kukukurukka.

Anonymous said...

Dinah!
Maneno yako yasiwe sheria, lengo ni kubadili muelekeo. Mume awahi kufika kabla yako but kuna washakaji wengine wakipiga bao moja tu hawawezi kwenda round ya 2 na mboo inasinyaa, hapo kama bibie hajafika kileleni utamboa. Jamani kabla hajawafinyia wenzi wenu ni vema mkajitambua uwezo wenu....kwasie wenye kucheza mpaka 120mins inatufaa hy.

Anonymous said...

Dada Dinah, `unasema Mwambia aje hapa ili umpe darasa na maajabu yake utayaona'
Aje kuuliza hapa kwenye blog, au aje akuone wapi, wengi tuna hamu ya kukuona dada Dinah?

emu-three

Anonymous said...

dada dinah pole kwa kazi, nimependa sana hii blog yako ina nisaidia sana. Dada mimi ni msichana wa kitanzania naishi NY (USA)bahati mbaya mama yangu hakuni peleka onyago so i never had a chance to learn how kukatika instead najifunza from ma frnds dada naomba uni fafanulie nini tofauti ya kiuno cha ngono na kiuno cha mziki?i'm plannin to come bongo dis summer naweza pata wapi mtu wakunifunda maanake when ever i get in here i feel less a woman everyday yaani nagundua kuwa sijui kitu.kazi njema

Anonymous said...

mwenzenu mi nikisoma tu mambo ya dinna,yani najisia nyegeee!!Sasa dina shost kama alivyosema anony wa 12.57.00,yani bao moja tu hawezi tena till morning,na tena hiyo moning mi ndio nakuwa namsumbua mpaka anaona tu aniridhishe ile yeye anakuwa hana haja ya kusex tena asubuhi,yani anatosheka moja tu,sasa mi nakuchanganyia nasoma mambo ya dinna,basi hua ninahamu ya kuua mtu,na nikimzidishia mautundu anapiz kabla hata sijazungusha mauno,yani nateseka,halafu hawezi tena maskini mpaka kesho tena.nimfanyeje mume wangu aweze japo bao 2 tu inatosha,maana hata yeye imamwumiza sana maana hua anahangaika ili tuendelee,lakini juhudi zangu na zake wala hazizai game ya 2,tufanyeje jamani.Sory nimechomekea kwenye mada tofauti.Nakupenda dinna,umenifundisha mambo mengi sana,maana nilikuwa ziii kama huyo wa usa anavyosema,da ya asante sana

Anonymous said...

Katika matumizi mazuri ya uzazi wa majira ni kutumia condomu. Lakini kiuzoefu wangu, condumu inapunguza `ladha' na wakati mwingine inachelewesha kufikia kileleni kwasababu ili ladha haipo, ni kama unajichua, je nipo sahihi? na je wenzangu mnaotumia hii kitu mnajisikia kama nijisiavyo mimi? Dinah, tusaidie

Anonymous said...

mambo vp dada dinah, somo la leo limenigusa coz nami mpnz wangu ni mgumu kukojoa haraka, round ya kwanza anapiiz kawaida but round zinazofuata mpk huwa naomba kupumzika kwanza but leo nimempatia dawa yake hop itanisaidia mimi na yeye pia, kwani huwa najickia vby sana kumkatisha kwa kuomba halftime. kuhusu huyo dada wa NY(USA)naweza nikampa darasa la kuhusu kukatika kama hatajali kwani nimepitia mambo ya unyago and i know each and everything kuhusu michezo ya kitandani, mungu akubariki unendelee kutupa utamu zaidi

Anonymous said...

Asante aunty hapo juu 3:56:00 lakini nitakupataje?au utanipaje coz bado sijarudi bongo bt narudi dis summer mwezi wa sita hadi wa nane nita kuwa huko nyumbani hop i'll get 2 c u coz nikisema nisubiri mama yangu hana hata mpango wa kunipeleka sehemu nijifunze. natanguliza shukrani zangu za dhati