Friday, 2 January 2009

Mume wangu namtaka na Bf namtaka-Ushauri

"Habari dada Dinah,
Mimi ni dada wa miaka 29, ambaye niliolewa miaka 7 iliyopita pia kwa kipindi chote niliwahi kushika ujauzito wa miezi 7 kisha mimba ilitoka. Hadi hivi leo yapata miaka mitano sijawahi tena kupata ujauzito.

Mume wangu ni Mzungu na ni mtu wa makamo ambaye kanipita zaidi ya miaka 29. Dada na wadau wengine nakiri nilijiwahisha kuolewa kwa tamaa ya pesa na maisha bora kutoka kwa Mzungu huyo.


Ni kweli vipesa vya kubadilishia nguo, mboga hazinipigi chenga. Miaka yote sita tuliishi Tz lakini sasa tumeamua kuwa huku ughaibuni. Dada tatizo langu la kutoshika mimba lilinichanganya mpaka nikaunda urafiki wa chinichini(siri) na kijana mwenzangu Mtanzania ambaye yupo bongo, niliona ngoja nijaribu huku nione kama mimi ndio ninatatizio au mume wangu.


Dada tumetombana wee siku za hatari najiachi sijaona dalili yeyote ya mimba. Pamoja na kujaribu urafiki na kijana mwenzangu tumechonga mzinga kwani urafiki wetu ni wa miaka 3 sasa, mwenzangu yeye yupo single.

Sasa dada si unajua mapenzi ya kijana kwa kijana ni raha tupu ukimpata awezae? dada sio siri huyu boyfriend ananifikisha kunako halafu ni very hadsome......mwangu ana V shape,ananipeti vilivyo, ingawa kipato chake si kama changu.

So ndugu zanguni juzi juzi nimeenda Bongo mwenyewe bila ma husband, basi boyfriend akaja nipokea tulieenda kulala hotelini siku hiyo sikutaka kwenda kwangu mbezi, tulikuwa tumemisiana kichizi.


Ila kufika usiku mpenzi wangu huyo alinieleza kuwa eti anataka kuoa, ametafutiwa mke Mombasa na bibi yake, pia ndugu wanamkera kuwa lazima aoe. Sio siri mimi nina moyo mwepezi ikaniuma basi nililia ingawa nimeolewa.


Akasema sasa kama wewe upo Ulaya unakaa miezi 3 ndio unakuja Bongo, tena unarudi Ulaya lipi bora mim ikuoa au kukaa na kufuta machangudoa? Pia nilisha mwahidi kuwa ningemsaidia juu chini naye awe huku Ughaibuni?


Hivi ndugu tarehe 24 Januari ndio Ndoa. mimi nampenda, pia nina wivu nae sana, Pia ameniomba pesa ya mchango wa harusi, nikimuliza anadai ooh hata kama naoa fanya juu chini unilete Ulaya na huyu mke ataenda kukaa kwao Mombasa.


Anaendelea ooh yote umeyataka wewe kwani siku zote hizo ningekuwa nawe Ulaya mke ningepewa saa ngapi. Na yeye pia anaonekana upendo nami bado. Jamani namzimia, anasifa nizihitajizo za kuitwa mwanume, anajua jinsi ya kuniandaa kuliko mume wangu.


Jamani pia nawahasa watu wasomao haya umri katika mapenzi ni kitu kizuri. Wazee bwana akifanya ni kimoja kwa week, au mbili, sometime ukimkalia utafikiri atakufia, akitomba kimoja atahema kama anakata roho.


Ndugu naombeni ushauri wenu, pia nimekiri kusaliti ndoa yangu najua ni dhambi, mume wangu namtaka handsomeboy namtaka niko njia panda dada yenu.

asanteni nawatakia HAPPY NEW YEAR:"

Jawabu: Habari ni njema tu Mdada, shukrani kwa kuniandikia, nitarudi baada ya muda mfupi kutoa maelezo yangu ambayo kwa namna moja au nyingine yatakusaidia ukiongezea na yale yaliyokwisha elezwa na wasomaji wangu.

Ni kweli kabisa watu wengi tu wanafunga ndoa kwa sababu fulani na sio mapenzi kama ambavyo baadhi yetu tunaamini, ni sehemu ndogo sana ya watu ambao wanafunga ndoa kwa sababu ya kupendana na kutaka kuishi kwa shinda na raha maisha yao yote. Umenifurahisha kwa kuwa muwazi kuelezea hali halisi na kwanini ulifunga ndoa na Mumeo huyo.

Ndoa bila mapenzi-Uamuzi wa kuolewa ili kuishi maisha fulani au kupata kitu fulani(makaratasi) sio wa ajabu kwa wanawake na wanaume wengi wa Kiafrika, lakini tofauti ni kuwa wengi wao hujitoa mapema mara tu baada ya ile "plan" kukamilika na kuachana Wazungu wa kisha kwenda kuendeleza mapenzi ya kweli huko waendako.....kila mtu nahitaji kupenda nakupendwa, maisha yangekuwa jehanam kama kusingekuwa kuna mapenzi baina ya watu wawili.


Kitendo unachokifanya nje ya ndoa yako sio kizuri na ni ukatili wa hali ya juu kwa mume wako. Ikiwa uliolewa kwa ajili ya kuishi maisha ya hali ya juu (ilikuwa mission) sasa ulitakiwa kuwa mbunifu na kufanya miradi ili kuchuma vya kutosha kisha ujitoe kwenye ndoa ambayo haina mapenzi ya dhati na imejaa uongo kitu kinachokufanya usiwe na raha wala amani.


Baada ya kujitoa (kuachana) ndio ungeenda kutafuta mapenzi na mtu mwanaume mwingine ukiwa huru na usingeumiza hisia za mumeo ambae mpaka sasa hajui kuwa anachangia mwili wako na mwanaume mwingine!......jaribu kujigeuzia angekuwa yeye mumeo anafanya hivyo na mwanamke mwingine ungejisikiaje?


Nilichogundua hapa ni kuwa ulikuwa na hisia za kimapenzi na mumeo na ndio maana mpaka leo bado uko nae, ila tatizo ni wewe na mumeo, hamlizungumzii hili suala la kujaribu njia tofauti ili mfanikiwe kupata mtoto.

Kutokana na tofauti kubwa kiumri huyo bwana (mumeo) anaweza akawa na huruma sana kwako na kuku-treat kama mtoto wake zaidi kuliko mpenzi, hali inayoweza kusababisha ashindwe kukumbushia suala hilo la kujaribu uzazi tena akijua ile mimba iliyoharibika imekuathiri Kisaikolojia (which ni kweli na nina amini kabisa kuwa kichwani hakuko sawa) na asingependa kukuumiza.

Mimba-Ikiwa ulishika mimba na ikatoka baada ya miezi saba (alikuwa mtoto mkubwa kabisa, tunasema "mtoto alifia tumboni") ni wazi kuwa mumeo hana matatizo yeyote, inawezekana wewe ndio unamatatizo yanayohusiana na viungo vyako vya uzazi kwa ndani.


Badala ya kwenda kutembea ovyo na mtu mwingine ulipaswa kutulia na kutafakari maisha yako ya nyuma na kutafuta nini hasa kinaweza kuwa sababu ya mimba (mtoto) kuharibika ndani ya miezi saba, sio hivyo tu bali ulitakiwa kuwa karibu na Madaktari wa magonjwa na kike na wale wanaojihusisha na masuala ya mimba na uzazi ili wakuchunguze na kuona kama kuna tatizo lolote lilijitokeza baada ya "mimba" kutoka, huenda ulihitaji kusafishwa mara kwa mara kwa mara...tafadhali fanya mpango ukamuone Daktari wako haraka iwezekanavyo.


Mapenzi na kjn-Linapokuja suala la mapenzi hakuna umri ni utundu, ujanja, kujali na kujituma kwa mtu umpendae. Kwa vile wewe upo kwenye ndoa bila kuwa na mapenzi na mumeo ndio maana ukahisi hivyo ulivyohisi. Kutokana na sifa ulizomiminia ni wazi kuwa unapenda huyo kijana na uko comfy kuwa nae karibu.

Nyumba ndogo kuoa-Kutokana na "hadithi" yote huyu kijana anachotaka kutoka kwako ni pesa au kurushwa/vutwa Ughaibuni na ile kujituma kwake ktk kufanya mapenzi ni moja ya mbinu zake ili avutwe na wewe haraka, lakini wewe ulichelewa kufanikisha hilo akabidi aje na "plan B" .

Baada ya kugundua hakuna juhudi zozote za kuharakisha na kumrekebishia mamabo ya kusafiri, ndio kakujia na "plan B" ambayo alijua wazi kuwa inakuumiza na itakufanya ufanye haraka kuweka mambo sawa ili aje kuishi huko uliko wewe.

Ktk hali halisi na maisha tunayoishi hivi sasa kijana kutafutiwa mke na bibi yake au hata baba yake haipo sana, japokuwa kuna ndugu na jamaa kutaka sana mtu afunge ndoa lakini bado unapewa nafasi ya kuchagua.....huwezi ukaenda kufunga ndoa na mtu kwa vile Bibi kamleta! Anachotaka hapa ni wewe kuwahisha mipango aondoke Bongo.

Huyu kijana angekuwa na mapenzi ya kweli kwako na sio mapenzi ya Ughaibuni angekushauri tangu mwanzo kuwa uachane na huyo Mzee (since u r not in love) ili yeye afunge ndoa na wewe na muende kuishi wote huko majuu.....hapa utaona wazi nini anachokitaka "out of relationship".


Kwa mwanaume, ngono haina maana sana kwao kama sisi wanawake, anaweza kuwa na uhusiano na wewe wa kingono na kuifanya vema kabisa lakini hisia zake za kimapenzi hazipo kwako. Atafanya kila awezalo ili kupata akitakacho.....in ur case ni kubebwa nje ya nchi.

Nini cha kufanya-Achana nae, yaani uhusiano wenu uwe umekufa kuanzia hivi sasa na mchango wa harusi yake usitoe. Najua itakuwa ngumu sana kwavile kijana anakaa Bongo na wewe unaishi huko uishiko. Kata mawasiliano (block mail Add na namba yake). Kuachana na mtu uliejenga hisia za kimapenzi juu yake sio rahisi lakini inafikia wakati inabidi tu uachane nae na kuendelea na maisha yako.

Umekaa kwenye ndoa bila mapenzi kwa muda mrefu sana, karibu miaka nane! Hiyo ni adhabu tayari kwenu nyote, kama nilivyosema hapo awali. Ikiwa umechuma vya kutosha, unamakaratasi ya nchi husika na bado unahisi kutompenda huyo "babu" basi anza mbele kwa faida yake na yako.

Tafuta Wanasheria wanaojihusisha na Talaka na watakupa ushauri mzuri na kutaliki mumeo usiempenda kama ifuatavyo.....lakini hakikisha unabakiza urafiki kwa maana kuwa usioachane na kibabu cha watu kwa fujo na vita na kuua urafiki, keep the friendship na kuwa pake kwa ajili yake akihitaji msaada ili kuonyesha shukrani kwa ulichovuna kutokana na yeye kukuoa wewe miaka nane iliyopita.


Bada ya hapo utakuwa huru ku-date mwanaume kijana yeyote utakaemdondokea na yeye kukufia. Maish aya kimapenzi sio rahisi na mara zote huwa tunafanya makosa ambayo tuki-share kwa uwazi na watu wengine kwa namna moja au nyingine tunasaidia watu wengine wasifanye makosa kama yale tuliyofanya sisi.

Psst-Siku hizi hata wanaume wamekuwa "wachunaji" a.k.a wizi, inaweza ikawa sio kujihusisha kimapenzi na wewe mwanamke bali hata kutaka mfanye biashara ambayo haipo.

Natumai maelezo yangu ukichanganya na ya wachangiaji utakuwa umepata mwanga wa nini cha kufanya. Nakutakia kila la kheri kwenye uamuzi utakao uchukua.

22 comments:

Anonymous said...

WE SST NI KICHECHE,HUNA JINA JINGINE JEPESI.KUTOPATA MIMBA NI MATOKEO YA UTOAJI MIMBA, KATAA KUWA MIMBA HIYO HAIKUTOKA KWA SABABU YA CERVICAL INCOMPETANCE,TUAMBIE PIE UMESAFISHWA MARA NGAPI. USIMHARIBIE MAISHA KIJA HUYO KWANI UWEZEKANO WA WEWE KUZAA NI MDOGO.
YOTE NI MATOKEO YAKO YA KUPENDA PESA NA MAISHA MAZURI KWA KUTUMIA UCHUMI ULIOKALIA.
DADA ZANGU ,USHAURI WA BURE, PESA SIO KILA KITU, SASA ANGALIA MWENZENU ALIVYO ANAVYOTEKELEZA WIMBO WA MWANA FA.
HEY,KAMA UNAMPENDA HUYO DOGO NAYE AMBAYE NIYA YAKE KWAKO NI PESA NA KUJA ULAYA, ACHANA NAYE ,AISHI MAISHA MEMA.
MWAMBIE UKWELI,ULAYA HAKUNA MAISHA HUKU.

Anonymous said...

Hey poor sister, Ninakupongeza sana kwa kuwa muwazi juu ya yaliyokusibu na yanayoendelea kukusibu hivi leo.

Ndiyo umesema mipesa ya mzungu na kule kulipanda pipa kwenda ulaya vilikupeleka mbio kuolewa na hilo libaba.Kwa ujumla unaonyesha bila shaka kuwa umekaliwa na wengi wenye pesa na kutoa mimba sasa unahitaji mtoto huwezi kupata.Kwa ajili hiyo tafadhali usimng'ang'anie huyo kijana mwache aoe ili ajipatie mke atakayemzalia watoto.Wewe endelea tu kutombwa naye kaka hutapata mwingine.

Ninakiri kabisa kuwa kweli unalikosa penzi la ngono sahihi na tamu kutoka kwa huyo mzungu wako.Bahati nzuri mimi ni mwanaume na niko ulaya,najua wazungu kutomba hawajui kabisa,kwani wanatomba kama vile wako kwenye ugomvi na mtu.Hivyo msichana kama wewe huwezi kurushwa na kupelekwa ahela katika kutombana.Tena wa kwako ni mara mbili ya wewe,ingawa si kiegezo.lakini mizungu inajua zaidi romance,lakini kule kufanya kitendo cha kutomba na kuridhisha wako hoi.lakini vumilia kama unaona huyo jamaa huko TZ ameoa na wewe umerudi ulaya tafadhali niandikie mimi ili nikusaidie kukufikisha mahali unapotaka kufika katika suala la kutombana.

Jambo lingine hata kidogo usimdanganye huyo kijana kuwa ulaya kuna maisha, ndiyo lakini asije akajuta,maisha ni popote mtu alipo ila inategemea sana mtu mwenyewe ingawa pia mazingira yanaweza kumwezesha mtu,hata hivyo nisingemshawishi huyo jamaa kukimbilia ulaya akamwacha mkewe huko.
Nakutakia maisha mema,tafadhali nitafute ili nimalize kiu yako.

Anonymous said...

Wee dada unataka kila kitu,mali, mapenzi, ngono, ujana, ndoa, yaani kila kitu.Huyo mzungu wako akiamua kufanya unavyofanya ungejisikiaje?

Mzungu wa watu kakupenda na uzee wake na ndio maana wala hakulazimishi kumzaliwa ungeolewa na Mbongo ndio uneijua joto ya jiwe. Ungeeitwa majina yote mabaya lakini kamzungu kawatu kametulia.

Ulipoenda kulala na huyo bwana ili kupata mimba ungeipata ungefanya nini? Ungeitoa kwa vile jaribio limepasi au ungesema mtoto kafanana na babuyake?

Hako kawabana kako kanakukubali kw avile unakapa hela na ulikaahidi kukavuta Ulaya, kakija Ulaya ndio ukasahau. Kanakuchuna tu hako tena siku hizi bongo wanaume wa hivyo wako kibao wanataka wadada walio ulaya wakijifanya kuwapenda ili wavutwe. wakigusa Ulaya tu huwaoni.

Muache kijana wa watu na mkewe na wewe baki na mume wako na muende hospitali makafanye IVF mzae.

Anonymous said...

Viwango na ubora muhimu jamani. Hako kamzungu ulikaokotea wapi kasikojua mapenzi dada, wazungu wajua kutomba tena kwa mapenzi na kwa muda mrefu? Uwezo wa kushika mimba bibi unao na ndio maana iliingia ikatoka ila baada ya kutoka ulitakiwa kucheza karibu na wataalamu wakusaidia kwaniinaweza kusababisha kuzima tube na mbegu zisifike yai lilipo.

Tulizana na mumeo kwani hapa duniani huwezi kupata kila kitu mwana, jifunze kuridhika.

Anonymous said...

Dada umenisikitisha japo ni muwazi ulishindwa kuzuia hisia za mwili wako,pia tamaa imekuponza aidha huwezi pata kila kitu dunia hii, pengine sio ridhiki yako watoto au mwenyewe hukutulia na vitu kama hivyo ukweli unaujua mwenyewe au unatatizo ambalo linatibika ila ww na mumeo hamjawa siriaz kulitafutia ufumbuzi, nashangaa wewe upo ulaya ipi ambayo hujajua kama una tatizo gani wakati ulaya almost kila kitu kipo ni wewe tu.

Kuhusu huyo kijana anaye kufikisha naomba ukubali tu matokeo na umpe huo mchango kwani hata yy najua alijituma kukutomba vizuri coz anajua wewe utamtoa kimasomaso coz mambo yako safi.
Hilo tegemea kwa kijana yeyote ambaye atajua wewe una miss kitu kama hiko hata ningekuwa mimi ningekutomba hadi ukojoe na ungekuwa ushanileta ulaya maana usingekubali kukosa hiyo raha kwa muda mrefu ingawa nishakuja mwenyewe kwa sasa nipo UK so kama vipi nisome utamsahau huyo anayetaka kuoa nina 29 yrs of age,na weight 80 kg mascular enough,v shape,decent,educated etc.naweza kwenda pima na wewe VVU kama hutojali ila hili sio lazima sana so unaweza liangalia nasema hivyo coz mwenyewe sijaoa na bado sina huo mpango na sina mtu ninaye mtomba toka nimekuja if u will not nitatafuta mwingine haina kwere.japo naona kaaibu coz still utaendelea kutoka nje ya ndoa yako of which ni risk dunia ya sasa imeharibika,lkn i'm sure i can make u happier and unatoka mwepesi, na stress zimekuishia. Hata huyo jamaa hzo chenji zako lazima alitombea malaya kama ifuatavyo tafuta mmoja pima nae VVU libeneke siku moja moja usi mix sana ni hatari kwako na mmeo atajajua utaachika bure,wazungu hawana dogo wala kubwa ukikutwa ni byee byee lkn kama upo ok try to find me maana huna option na utaendelea kutoka nje tu coz mzee kachoka angekuwa kijana hata usingeotafuta huyo kijana japo wazungu wapo so rough kutombana ni kama ugomvi, ila wanajitahidi romance still tupo na nguvu zaidi yao wanatukubali [blacks]
Ni vema wengi wakajifunza hapa wanapo taka kuolewa sio kukurupuka, matokeo yake ndio haya, the greatest happiness huwezi ipata ndani kwako.Huu ndio mtazamo wangu ktk hili ngoja tusikie wadau wengine na dada D. ni hayo tu

jkboy.la@googlemail.com

Anonymous said...

Fantastic! nasikitika na nashindwa kushangaa lkn ndio imetokea so sina cha kupinga hali halisi dada umetupa. Ila hii iwe changamoto kwa wote wanaoelewa na kuoa, hivi vibabu jamani mtakuja mviue bure, kwani vijana hawapo, au ndio useme wa bahati haiji mara mbili?

kusema ukweli dada huyo kijana mpe go ahead bila kinyongo kabisa na mchango utoe, najua kazi alofanya si ndogo na lijua upo ulaya so keep chenji haziwez kukosa, hata ningekuwa mimi yaani ww ungejua utamu wa mwanaume.lkn maji usha yavulia nguo... ni sharti uyaoge, najua hili ulilijua kamalitakuwepo coz mwenyewe umesema ilikuwa tamaa ya maisha mazuri.

Kama mwanandoa u've got to keep your fidelity,coz hata wewe usinge ridhika husband wako atoke nje ya ndoa! take the same case opposite ww ndio aged kijana anatoka nje ya ndoa unge feel vp? aidha una cheza na risk coz hata huyo jamaa inonyesha ulikuwa hu2mii ndomu,na sijaelewa ungepta mimba ungesema ya nani maana hapo hata ushahidi huna and wat if ungepata hafu uambiwe ufanye DNA test ambayo ingeibua cheating...dada sijui kama unawajua wazungu vizuri au laa lkn naamini utakuwa unawajua ni kwamba hawana dogo ama kubwa meaning black/white , yes/no.''with this incedence therefore its reasonable to say if you could conceive,the obvious option would be abortion'' however kimantiki inaonyesha ndo mchezo wako kufanya xperiment kama hizo au kunasa na kutoa enzi zako majibu yametoka now!

mimi naona uvumilie tu,wewe upo kwenye ndoa,acha kijana aingie kwenye ndoa pia,ajenge familia yake ya badae coz hawez ishi kiivyo 4good,na usidhani hata umlete ulaya ndio utafaidi,thubutu coz yy hata anajituma hivo anajua utamtoa na akija huku akikuta mambo ndivyo sivyo hutamuona tena cheating zitaanza na utaumia sana, pia utakuwa hujamtendea haki mwanamke mwenzio huko sijui mombasa au tz..huna namna kwasasa,ukishindwa nunua mashine ikusugue hadi nyege ziishe,jipige mkono nk, ukishindwa hapo UK vijana wengi tu wenye shape utakazo,nguvu za kutosha [samahani kusema hili kwa wahusika...kuna wabeba mabox kama wanavyotuita wengi bongo ambao kazi yao si haba utamsahauhadi babu wako,bila kusahau wapopo ambao ndio kimbilio la dada zetu walio wengiwenye tamaa huku UK just bzoz of money]ambao wanweza kukutomba ukamsahau babu yetu huyo anayeibiwa baada ya kushindwa kukutoa minyege ambayo siipatii picha huyo jamaa wa bongo anavyo kukutaga nazo kama kweli unaye huyo tu,maana wewe ndo unajijua kiasi gani umesema ukweli hapa,lkn jaribu kufanya maauziambayo niya busara kama mwanandoa usikurupuke kama ulivyofanya wakati unaolewa na huyo babu yetu.maisha yamebadilika magonjwa mengi ni hayo tu kila lakheri

lajk@ymail.com

Anonymous said...

dada unavotaka kuzaa na huyo kaka mblack si mtoto atatokea mblack sasa utamwambiaje mumeo??wakati unatakiwa kuzaa half cast?anyway its gud umekuja clean na kuconfess ila tamaa mbaya ..money doesnt bring happiness Plz tujifunze wadada! tupende kwa dhati turidhike. USHAURI:achana na huyo bf wako mblack kwakuwa haitasaidia kitu unless ur thinkin of divorce! na kwa haraka haraka jamaa mblack anataka mtremeko yeye shida ni kukwea pipa kuja ulaya akija huko atakutosa. na yeye anadeserve maisha..anataka kuoa kwua na mke wake peke yake watengeneze familia, my advice just tsick to ur mzungu o get a divorce n move on wit lyf coz kama mapepa tayari unayo.

Anonymous said...

Hey sister, pole kwa matatizo yako mawili.
Kwanza una tatizo la kuzaa kwamba hushiki mimba.
Pili una tatizo la kutotoshelezwa kimapenzi.Na matatizo yote mawili yamekabidhiwa kwa huyo kijana ambaye amefaulu sana kukutosheleza kwa kwa kukutatulia tatizo la kukurusha kisawasawa kingono na kwa kweli kwa masimulizi yako umefika kwa mtu.

hello wachiangiaji,unajua kuna siri moja niwaambie niliyoyaona huku ugahaibuni.

Mzungu akipata penzi kutoka kwa msichana wa kiafrika, haachii atakufa naye.Unajua nini hawa dada zetu wanajua sana kumega penzi la ngono na kumfanya mwanaume afurahie sana.Pia msichana wa kizungu akimpata mvulana wa kiafrika aisee acha labda umfukuze kwa panga vinginevyo hakuachii,kwa sababu ya jinsi wanaume wa kiafrika wanavyojua kuwaweka sawa wanawake kimapenzi(kingono).wazungu ni watomabji sana lakini dada zao hawawezi kuwaridhisha kama dada zetu katika style zote za kimapenzi.wao wanafanya ngono kama kuku au bata.

Kwa ajili hhiyo wapendwa wachangiaji huyu dada yetu si kwamba ukubwa wa umri wa mumewe ni sababu tosha ya kutomridhisha,la ila kwa sababu wanatomba tu bila kujali kitu gani muhimu kiwekewe umuhimu katika mchezo huo.Ndiyo maana huyu dada amezamia kwa huyo kijana.Si sababu tosha kwamba akienda naye huyo mzungu round moja kachoka,kwa sababu round moja ikimpata mtu mshezi wa ngono du huyo dada hatkuwa na hamu kuchukua round ya pili haraka.

Wewe dada huyo mzungu wako yeye anakuzimia sana kwa jinsi unavyomning'iniza na kumkatikia, na kwa vile labda hakuwahi kupata hivyo vitamu,basi anapovipata kwako huwa anaishiwa hamu ya kuendelea kwani anakuwa kishashibishwa nawe ukamwacha hoi hapo baada ya kukata kiuno ile ya kumenya na shoka.

Lakini tafadhali sana achana na huyomkijana aoe wewe kazana na huyo mzungu au tafuta kijana mwingine akuridhishe kama unavyohitaji.Tena kuna mtu kajitolea ann wa pili hapo juu.Mtafute huyo maana unaye huko ughaibuni.

Suala la kushika mimba,hilo unalo jibu mwenyewe maana sisi hatuwezi kujua yaliyo sirini mwako.Lakini kama mmojawapo alivyosema hapo juu, muone dkr.Tena wewe una mzungu na mipesa mnayo kwa nini msiwaone wataalamu kwenye nchi kama hizo hili ni tatizo dogo sana.Bila shaka huyo mumeo hana mpango na mtoto, kama nijuavyo wazungu wengine hicho ni kitu cha kawaida tu.

Hello dada, uko nchi gani huku ughaibuni?

Anonymous said...

dada! we kicheche tu achana na kijana wa watu afunge ndoa yake wee huna maana kwake coz hata akisema akuoe huna uwezo wakupata mtoto.bali utamfanya kijana wawatu akose mtoto kwa sababu yako.


kumalick@gmail.com

EVARIST said...

Mshika mawili moja (kama si yote) humponyoka.Hivi tumia busara kidogo na kujiuliza kuna mabinti wangapi wangependa kuwa katika nafasi kama hiyo yako,yaani si kuolewa tu bali kuolewa na mtu mwenye kumudu maisha (mzungu or not isn't the case)!Unachofanya ni dhambi,UNAZINI (tendo la ndoa nje ya ndoa) na mshahara wa dhambi....malizia mwenyewe.

Usipobadili mwenendo wako utamkosa mume na huyo "boyfriend",and trust me,mzungu akikubwaga na huyo boyfriend atapotea kwani (japo hujasema) ni lazima kuna vijizawadi viwili vitatu unamtumia "kumziba mdomo".

Look it this way too.Huyo "boyfriend" wako anaweza kabisa kukufanyia kitu ambacho utajuta kufahamiana nae,nacho ni BLACKMAIL.Hivi akikwambia,kwa mfano anahitaji gari au mamilioni ya shilingi ,na usipomfanyia hivyo "atauza picha" kwa mzungu,itakuwaje?Ni dhahiri kwa muda wa miaka mitatu mnaoiba mapenzi anaweza kuwa ametengeneza ushahidi wa kutosha ambao unaweza kabisa kuharibu ndoa yako.Na tatizo la Blackmail ni kwamba ukimpa blackmailer anachohitaji ndio kama unamwongezea mdadi wa kutoa masharti zaidi.

It's not too late,unaweza kurekebisha makosa yako na kuokoa ndoa yako.Otherwise,40 za mwizi zikifika utajuta milele.You have been warned!

Anonymous said...

Mtaka vyote hukosa vyote....

Anonymous said...

hapo ndipo mnaponishangaza ninyi dada zetu! Ulitaka maisha mazuri ukatafuta mzungu, mzungu umepata, bado unataka huyo kijana, nadhani kuna tatizo, na tatizo lako hasa nini?? Kama tatizo ni kutoshelezwa basi achana na mzungu uendelee na huyo kijana, nina uhakika huyo kijana hawezi kukuoa kwanza kwa sababu anajua utamfanyia tu kama unavyomfanyia huyo mzungu ukimpata mtu mwingine atakayekuridhisha zaidi. Hii dunia huwezi kupata kila kitu, penda ulichopata, kwa kuwa ulichagua fedha ni suala la kutune mind yako na kuridhika na huyo mumeo au mueleze unavyotaka akufanye.Nilikuwepo ulaya nikaona dada zetu walioolewa na wazungu wanavyowafanyia, wazungu wanawaamini hata kama ni wazee wamewatoa kwenye dhiki lakini wakifika huku wanakoroma na kuleta tabia za kiswahili, tatizo hasa nini? wengine wameenda ulaya na mabwana zao wabongo wote, wakifika huko wakipata ujanja kidogo wanawatelekeza waume zao. Dada unatueleza tu ni namna gani usivyotulia, nakushauri kaa chini tulizana onana na daktari tatizo siyo mzungu hawezi kukuzalisha, tatizo nadhani kama wachangiaji wengine walivyosema huenda likarekebeshika hospitali. Kila la kheri, uwe na shukrani.

Anonymous said...

mmh, haya makubwa, lakini yanatokea. Pole dada, ila sio tatizo kwani yote yako ndani ya uwezo wako. Tamaa zilimshinda fisi lakini. Huyo kijana na wewe nyote hamjatulia, sijui na yeye akioa itakuwaje, matumizi ya mke atatafuta kwa watu kama wewe? Kwa kweli dada zetu mpunguze tamaa. Hata hivyo mimi mgeni maeneo haya, nilikuwa napita tu!!

Anonymous said...

Mtaka yote hukosa yote acha wivu dada muache kijana aoe atulie na mkewe tabia unayotaka kufanya ni mbaya sana mungu hapendi ndio maana hata hupati baraka tulia na mumeo tamaa ni mbaya sana.

Anonymous said...

Kwa kifupi dada yangu. Ikitokea ukaolewa na huyo kijana ujue fika hatakuamini na cha zaidi atakuwa ana-cheat kwako. Hii ni kitokana na kwamba anakufahamu kabisa kwamba wewe ni msaiti wa ndoa.

Ulitamani mali ukaona mzungu bomba. so stick to ur husband na usahau mambo ya kufikishwa kileleni kama mumeo atashindwa. Maisha ni kuchagua so mimi nakushauri udumishe ndoa yako. Ukishindwa tumia matoy. Yako mengi huko ulaya.

Mwachie kijana wa watu aoe ampendae. Ninavyoona alikuwa anatamani mali zako na sio kwamba alikuwa anakupenda.

Pole kwa yaliyokusibu lakini wewe na wadada wengine wasomao msg hii ambao wanatamaa na pesa wajue maisha ni kupanda na kushuka. Ukichagua maisha mazuri then ikitokea ukakosa raha ya dakika mbili tatu kitandani basi usimsaliti mwenzi wako.

Ni hayo tu.
David

Anonymous said...

Wapendwa wachangiaji na Dada Dina,
Ili ni fundisho kubwa sana si kwa wanawake tu kwa sababu huyu dada aliyeleta mada hii ni mwanamke,bali hata kwa wanaume pia, kwa sababu wapo wanaume ambao wanaingia katika mahusiano kwa kufuata maisha mazuri.
Ni vizuri kuwa na maisha mazuri katika mahusiano lakini sio vizuri maisha mazuri ndio yawe 'driving force' ya kuingia katika mahusiano. Mapenzi ya kweli ndio yawe 'driving force' ya kuanzisha uhusiano.
Kuna ndoa nyingi sana ambazo hazina furaha kwa sababu tu mmoja alifuata maisha mazuri. Kama 'driving force' ndio itatuingiza katika mahusiano,basi maisha mazuri yatatafutwa wahusika wakiwa katika mahusiano.
Mtanzania,
tmajaliwa@yahoo.com

Anonymous said...

Pole sana dada (Mlimani Park waliimba wimbo -Mtoto akililia wembe mpe ukimkata ....)sasa hayo ndiyo yako wewe mtu kakusaidia mungu kakupa opportunity kama hiyo ambaye naimani millions of my Tanzanian sisters dreaming about wewe ile raha ya kukojoa sekundi 15-30 ndiyo ikuharibie maisha wewe mtu umekaa ulaya kuna sex shop ambapo unaweza kupata vitu vya kujitomba mwenyewe na ukakojoa vizuri mara mbili tatu kwa siku bila ya kuathiri ndoa yako au kama vipi wazungu ni understanding sana kuliko sisi nunua ponny film (black core)angalia na mme wako ukimaliza film moja huko tayari mme wako akikugusa tu lazima utakojoa na kulia sana kwasababu sex in feeling inayoanzia kichwani (mentaly ) unaweza kutombana na mzungu kimwili huku mawazo yako umeyapeleka kwa kijana wako wa Dar au Model (black) aliyekuvutia kwenye ponny film fanya hivyo lazima utakuwa unakojoa mara nyingi na mmeo na family yenu itakuwa ya furuha
kuhusu jamaaa wa bongo huyo anataka kujilipua tu ana mapenzi na wewe.
advice ....mfundishe mzungu katelero haiitaji nguvu sana nikusugua taratibu nina uhakika unaonekana una nyege sana basi kwa staili hiyo ninakuhakikishia kukojoa kila baaada ya dakida 5....
Mdau wa Kamachumu

Anonymous said...

Mdau wa Kamachumu, futa usemi wako wa millions of Tanzanian sisters wanalilia chance ya kuolewa na wazee wazungu wenye hela. Sikatai wapo, wenye tamaa na wasioweza kujishughulisha, but not millions, tuheshimu tafadhali.

Dada kemmy said...

Mdau wa kamachumu pls tupe respect ebooooooooooo!
japokuwa tunatoka sehemu moja lakini tutolee kauli za ajabu sio wote wanaotaka vibabu vizungu!!!!!!!!!
pole dada mwenye tatizo, nakushauri muache mkaka wa watu aoe kwa raha zake mpe mchango kwa moyo mkunjufu tu basi biashara iishe tena usimbuguzi mkewe maana ataitwa mume wa mtu soon upo?
wewe nenda hospital na mumeo mzungu mkapate ushauri na njia za kuwawezesha kupata mtoto basi unless otherwise all the best!

Anonymous said...

dada we stick na kazee kako kwani angalau kanajua ku care,kwa umri wako huo sahau ndoa toka kwa mbongo,hakuna kijana anayependa kuoa "mzee" ila ni dhiki tu ndo maana majunk wengi waliochoka wapo na masuger mamy,huwezi kukuta junk mwenye hela yake yupo na mmama,ushauri wangu dadaangu we tulia na mzee wako huyo kijana anakudanganya s'bu ya hela zako na ndo maana anajituma si unaujua ule usemi 'Mtaji wa maskini ni nguvu zake"?

Anonymous said...

KUZAA NIMAJALIWA YA MWENYEZIMUNGU KAENI MKIJUWA KAMA MMEPANGIWA MIAKA 10 ni 10 mitihani tu ya mwenyezimungu anawatizama tayari mshakata tamaa mnaona sasa. mwache jamaa akaoe mwenyezimungu amjalie apate mtoto na wewe endelea na mzungu wako ipo siku mtapata mtoto tabia yako pengine ndio mungu anakuzuia kupata soma omba tulia.

Anonymous said...

Dina comment/ushauri wako uko so advanced, ni watanzania wachache wanaweza kushauri kwa level yako,Big up for that, inanikumbusha magazeti ya south Africa nimesahau majina yake lakini huwa wanakuwa na uwazi wa kutosha kiasi cha kutoa ushauri halisi si kama ule wa kwenye magazeti ya udaku