Wednesday, 7 January 2009

Alini-treat kama taka, sasa yu mahututi...nijimuvuzishe?

"Dada Dinah,Mimi ni mdada wa miaka 38, ninaishi ughaibuni. Ninaelimu, kazi na ya kunipa kipato cha kunitosha. Miaka miwili iliyopita nikiwa 36 nilikutana na kijana wa kitanzania ambae alikuwa 29 wakati huo.

Alihamia kwangu na tuliishi vizuri tu, hakutaka rafiki yake hata mmoja ajue anaishi wapi. Katika kipindi tunaisha wote nilipata mimba, alipogundua nina mimba alitaka nikaitoe lakini nilikataa akaanza kunitomba kama ugomvi na alihakikisha kila siku tunatombana tena dog style!


Siku moja nikiwa kazini nikaona damu imeanza kutoka, niliomba Mungu isiendelee lakini jioni ya siku ile nilijua tu mimba haipo tena ilekuwa kama ya wiki 5-6. Baada ya kuishi kwangu kwa miezi kama 4-5 siku moja aliniambia amepata apartment yake na kwamba yeye na mimi tutakuwa tunatembeleana.


Alipohama alibaki na funguo za nyumba akawa anakuja mara nyingi mwisho wa wiki, lakini hataki rafiki zake wajue kama anakuja kwangu. Kwakuwa ninataka sana mtoto basi niliamua kutombana nae ili nipate mimba lakini kila tukitombana anamwaga shahawa nje.


Mwezi wa tisa mwaka huu kulitokea tatizo ambalo lilitufanya tukutane mahali ambapo alikuja na rafiki zake, pale alijifanya kunisalimia kama tu mtu anaemfahamu na akawa yuko karibu na wasichana wengine, nishindwa kuvumilia nikamwambia mimi na yeye iwe mwisho ana funguo zangu anirudishie.

Alikuwa akibembeleza sana na nilimrudisha mwezi wa kumi na moja mwanzoni, ila funguo sikumpa.Kuna siku aliniambia anakuja, lakini hakutokea, kesho yake nilimpigia simu na simu yake ilikuwa imefungwa, sikuwa na mtu wa kumuuliza kwani rafiki zake siko karibu nao. Baada ya mwezi ndiyo nikagundua kuwa alipata ajali ya gari na sasa hivi ni mgonjwa mahututi hospitali.
Dinah ninaomba ushauri."

Jawabu-Pole sana kwa kupoteza mimba, sasa dada yangu ilikuwaje mpaka ukawa unaruhusu akungonoe kwa nguvu na kwa mtindo ambao ulijua wazi kuwa unaweza kusababisha mimba kutoka? au ndio mapenzi ya dhati?


Natumaini ulienda kwa Daktari wakakuchunguza na kukusafisha, kwasbabu usipofanya hivyo unaweza usishike mimba tena au ukawa na matatizo mengine ya viungo vya uzazi hapo baadae. Ikiwa hukwenda basi hima, fanya haraka na weka mihadi na Daktari kwa uchunguzi na umueleze ilivyokuwa kwa uwazi.....namna ulivyokuwa ukifanywa kwa fujo ili mimba iharibike.


Huyu bwana huenda anaendesha maisha mengine bila wewe kujua, usikute Bongo ameacha familia na anahofia kuharibu uhusiano wake na watu wake na ndio maana alikuwa naficha uhusiano wane kwa watu wengine ambao wako karibu sana na yeye. Kutokana na maelezo yako huyu bwana alikuwa anakutumia.

Uamuzi uliouchukua wa kumaliza uhusiano ulikuwa wa busara kwani huyo sio mtu mwenye kujali na wala hana huruma, kama hakutaka kuzaa na wewe kwanini basi asingekuwa akimwaga nje tango mwanzo? Na hata kama hakuwa tayari au hakutaka kuzaa na wewe, kitendo cha kukufanya kwa fujo ili kuharibu mimba ni cha kinyama na hapaswi kusamehewa. Hicho kitendo alichokifanya kinaweza kabisa kukusababishia matatizo makubwa hapo baade, wakati huo utakuwa umeshasahau.


Lakini kwa vile mlikuwa mmerudiana mwenzi wa kumi na moja lakini kwa bahati mbaya hakutokea kwako baada ya kupeana mihadi na wewe baadae ukagundua kuwa amepata ajali na yuko mahututi, kama mpenzi wake na unampenda ni vema basi ukaenda kumjulia hali huko Hospitali.


Mungu akimjaalia na akapona basi mpe kitu cheupe a.k.a live, kuhusiana na kuficha uhusiano wenu na matokea yako ndio kama ilivyokuwa. Kisha mpe msimamo wako kuhusiana na aina gani ya uhusiano unataka, nini unategemea kutoka kwenye uhusiano huo na nia yako ya kuwa mama.......kuwa muangalifu hapa ktk maamuzi. Ikiwa kapata ulemavu basi tambua kuwa atakubali haraka haraka so u can look after him......


Katika hali halisi, huyu kijana hajakomaa/kua kiakili na hajui majukumu yake kama mwanaume, najua unajua kuwa hakufai........hivyo sioni sababu ya wewe kupoteza muda wako na mtu kama huyo mwenye akili ya ki-teenager.

Zingatia furaha yako kwenye uhusiano wa kimapenzi uutakao, hata kama unataka sana mtoto hakikisha unazaa na mwanaume ambae anania kama yako ya kuwa na mtoto, kumpenda, kumjali, kumtimizia mahitaji na kuwa pale kwa ajili yake.


Angalia hamu yako ya kuwa na mtoto isikufanye ujiingize kwenye uhusiano "abusive" kama wa huyu kaka aliepata ajali. Chukulia kila siku kama inavyokuja na hakika siku moja utakutana na Mkaka mwenye nia nzuri tu yakutaka kuwa "baba".


Usikimbilie Vijana "single" ambao wanadai hawajawahi kuoa kabisa, nenda kwa wanaume "single" ambao ni wajane (kuwa makini na hoji nini kilimuua mke wake) au "single" waliotalikiwa (kuwa muangalifu na dadisi nini hasa kilisababisha mwanamke mwenzio kutoa/kupewa talaka). Hii jamii akilini huwa wametulia na hawana haraka/mapepe vilevile wanauzoefu mzuri sana wa kimaisha tofauti na wale "BNNK" a.k.a bado nipo nipo kwanza.

Kila la kheri.

20 comments:

Anonymous said...

Pole dada kwa yaliyokupata.
kutokana na maelezo yako nimeona kunavitu viwili ambavyo ninaweza kuchangia.

cha kwanza: huyu kaka either hakupendi he just wanted to use you for sex na anamwanamke mwingine ambaye rafiki zake wana mjua huyo mwanamke hivyo anawaficha kuhusu wewe. Au inawezekana hana mwanamke mwingine labda he is ashamed of your age anaona kuwaambia rafiki zake kuhusu wewe watamdown low.

Pili: kuhusu wewe kutaka mimba na yeye kuonekana kutoa nje inamaanisha vitu viwili, he is not ready kupata mtoto kwa sasa au anaweza akawa ready but hataki kuzaa na wewe na kuna mwanamke ambaye labda yupo ambaye anataka waje waishi pamoja na sio wewe.

Ushauri: nenda kamwone Hospitali na mpe pole na ikiwezekana mpatie huduma zozote za matumizi ambazo atahitaji au utakazoona zitamsaidia. hapo utakuwa umeonesha utu. aktakapo pona wewe ni mtu mzima so fanya uamuzi wa busara huyu kaka anakupotezea muda wako wa maisha na kukuzibia riziki.

Anonymous said...

Pole sana dadangu kwa yalokupata.huu ndo ulimwengu twaishi na watu na viatu.anae kutendea wema mlipe wema na anaekutenda uovu mlipe mema vile vile kwasababu wewe nimtenda wema basi wema ufanye hata kwa hasiyestahili kufanyiwa wema.nenda hospitali ukamwangalie pengine mungu anaweza kumfunguwa macho akaona unavyo mpenda kwa dhati.wish u all the best.wako utaonaraha@yahoo.com

SIMON KITURURU said...

Sio kisasi kizuri kumuacha mtu akiwa mahututi!Ila jamaa hajakomaa kiakili kutokana na alivyokuwa anafanya.

Lakini kwanini bado ulikuwa unaendeleza penzi naye wakati unajua anakuona kinyago mali ya gizani na mtoto nawe alikuwa hataki?

watubwana said...

achana nae yule msenge tu ,na ujifunze wanaume wengi wa UK ambao ni wabongo si lolote,wanapenda mteremko,na niwapumbavu.wachache sana wanakaa wanafikiriaa.waache wale wanawake zake wamsaidie na ajifunze..ye alikua anakuona we wann,kumbe wengine wanajiuliza watakupata lini.mshenzi wa tabia huyo mwanaume.pumbavu zake.

Anonymous said...

Pole shosti kwa yaliyokupata
but u know what huyo mwanaume hakupendi ndo maana anakuletea attitudes za ajabu ,let him go utapata mwanaume anaekupenda na utazaa nae kama shida yako ni kuzaa tu ,What u can do nenda hosipitali kamuone ,but akipona kila mtu hamsini zake cos wanaume hawana shukrani kama hujui unaweza ukamuhudumia akitoka atakua na kimwana mwingine,so u better stay away with that before it comes to reality

Baby

Anonymous said...

Kwakweli huyo kijana hakufai kabisa na wala hakuthamini, ushauri wangu ni nenda ukamuone lakini kama rafiki tu si kama mpenzi mjulia hali na umsaidia kama ana hitaji msaada just because mnamatatizo sio sababu ya kuto mjulia hali wakati anashida. lakini jitafutie mwanaume mwingine ambaye atakupenda kwa dhati.

Anonymous said...

ooohh men, navuta pumzi taratibu kabisa wakati nikifikiria nianzie wapi.

Kwanza kabisa pole dada, pili nadhani swala la kutegeana mimba lishapitwa na wakati. I think kwenye karne hii ni bora mtoto iwe majadiliano.

Nadhani kwa sasa swala muhimu kwako ni kufanya utu na mapenzi yawe pembeni. Ushauri wangu ni kwamba msaidie kipindi hichi, lakini saidia kwa sake ya msaada na isiwe ni sababu ya kupata la kuongea pindi akipona.. mfano isije kuwa nilikuuguza mbwa wewe leo umeshapona unajifanya kidume.

Nadhani swala la umri ndio tatizo kubwa kwa huyo kijana, nadhani bado ana akili za kitoto... Kwa umri wako sidhani kama inatakusaidia kufanya mapenzi ya kupotezeana muda.

Kwa muda huu msaidie, and mapenzi shouldn't be part of the deal.

www.jamii1.blogspot.com

Alice said...

Pole sana mpenzi, I can understand unajisikiaje. Kwa nini unakua na mtu uliyemzidi umri hivyo? At least ingekua 2yrs, hapo ulichemka. Anajificha bse anaona noma wewe mkubwa na hakupendi, anapenda what u have. Forget abt that man, ingawa age yako imeenda usijali utapata tu wako atakaekupenda kwa dhati. Wapo wengi size yako hawajaoa. Msaidie tu akiwa hospitali kwa moyo wote manake unaokoa maisha ya mtu hapo. Akipona tu achana nae chukua time yako. Yan huyo ni muuaji, anasex na wewe kwa nguvu ili mimba itoke..., imeniuma my dia. Pole sana, am with u in my prayers.

Anonymous said...

Dada huoni kama Mungu ameshakurahisishia kazi, move on!

Dada Kemmy said...

Pole sana dada kwa yaliyo kukuta!
Huyo kaka ni mnyama tu kwani age kitu gani 29yrs aliyonayo ni kichanga?anaonekana alifata something kwako na sio mahaba, its ok for ur age dada wewe ni mkubwa kwake na may be ulimpenda ukijua anamwelekeo but kwake ni tofauti.

Nakushauri kubali matokeo kwamba hakupendi ile kikweli either kuzaa na wewe au kuoana na wewe hataki sawa ila kamuone tu kama vile unavyoweza kumuona mtu mwingine na msaidie tu inapobidi akipona wewe ndo uwe wa kwanza kumbwaga sasa maana yeye anaweza rudi na gia ya aibu kuwa umemsaidia sasa inabidi akulipe fadhila ya penzi, for u BIG NO, umwambie tu inatosha muwe just friends basi,dada muombe mungu utapata wako aliye mwema,unless otherwise pole sana.

mama perinha said...

tatizo la huyo kijana ni umri tu! lazima anamengi yanamchanganya na anashindwa kukueleza ukweli kutokana na kuogopa vile wewe utalichukulia. mimi ninacho taka ujue kutoka kwake ni hilo tu suala la umri anshindwa kukutambulisha kwa jamaa zake siunajua tena vijana watamcheka na kumuona kwako anafata tu vile upo navyo lakini usitegemee kijana wakibongo akatambulishe kwao mwanamke aliye mzidi karibia miaka 8 hataeleweka siunajua tena!
kwasasa usimtupe akiwa katika halihiyo ya ugonjwa unapaswa kumhudumia kama rafiki au kama mdogowako; nawashauri muwe like kaka na dada muache hako kamchezo ukinogewa hutakuwa na haja ya kumtafuta mwenza. na elewa kijana lazima anatafuta mwenza wake mwenye umri unaofanana.

pole sana.

Anonymous said...

baby,

hata wanawake hawana shukrani. unaweza kufanya mazuri yote na bado ukatelekezwa. Huyu mdada ye aoneshe tu utu maana hata vitabu vimeandika. la msingi asiangalie kwamba umri umeenda sana hlf mapenzi sku zote ni pande 2. penzi la pande 1 si penzi hata sku moja maana jamaa anamuumiza kila siku. Tafuta mwanaume mwingine sista mwanume sio huyo tu. visa vya mapenzi vimewatokea wengi na walioseparate na kupata wenzi wapya watakubaliana nami kwamba wamepata peace of mind.

jaba

Anonymous said...

kusema ukweli huyo hakupendi ..lakini nenda tu kamuone hosp na kumpa huduma zote zinazostahili.lakini suala la mapenzi hapo hakuna huyo anataka tu kukutumia tu na kukuacha.

Anonymous said...

dinah nina shida na nilikuwa nahitaji ushauri kutoka kwako/watu wengine ...nifanyaje sijui jinsi ya kutuma ?

Anonymous said...

Wewe mdau hapo juu unayejiita WATUBWANA sio vizuri man just try to respect yourself toa comment na mada iliyoandikwa hapa acha upumbavu wako wewe wanaume wa U.K wamekutombea Mke wako/demu wako??Mbona unakuwa na akili ndogo wewe???acha hizo na acha chuki binafsi jaribu kujiheshimu mwenyewe.....kwanza huyo dada alikuambia kwamba yupo U.K????Mbona una shobo kupita kiasi???Punguza hayo mambo ya kike wewe.....

Anonymous said...

Wewe dada kama ulitaka kuzaa naye na ukamhifadhi nyumbani kwako ukatombana naye hadi mtindo wa mbwa.Lipi gumu kumuuguza kama hayo yote mliyafanya kwa maelewano yote?

Kutombana naye hukuuliza mtu leo mwenzio amepatwa na ajali ndo unakimbia kuuliza mtu, loo du wewe dada wa ajabu sana.tafadhali sana nenda kamuuguze mwenzio!!

hayo malalamiko ya kutombwa kwa staili ya mbwa(Dog style) uliyataka mwenyewe,kwa sababu ninavyojua hakuna mwanaume anayeweza kufanikiwa kumtomba mwanamke kwa staili hiyo bila ridhaa yake.Mwananume uwe na nguvu gani hata ufaulu kumwinamisha mwanamke na hapo umwingize hilo dud kirahisi?Huyu dada inaelekea katutungia tu hili limkasa kwa sababu ndo mambo ambayo wabongo walioko huko UK wanayafanya.tena hapo ameficha mengi sana kama ni kweli na kama ni story ndiyo maana amesimulia hivyo tu.Mimi niko huku ughaibuni najua mambo mengi yanayowapata vijana wa kibongo wasichana kwa wavulana wanaokuja kuvamia nchi za watu bila status maalumu.

Neenda kamuuguze kama kweli jamaa huyo yuko hapa na kama bado unatafuta mtoto basi tafuta mwanaume yeyote akutombe tu tegea siku ambazo unajua mimba itadaka on the spot then tombwa subili mimba hiyo.

Anonymous said...

mdau hapo juu hovyo...atunge stori ili iweje? dina kama mtu hana cha kushauri comment yake ibanie tu...we kama unajua the whole story pamoja na aliyoyaficha yaandike wewe basi...usilete habari za uchafu wa ze....hapa tuko kusaidiana na msaidie mtu kutokana na aliyoyaandika siyo uamue kuongeza vya kwako .

Dada Kemmy said...

civilization is very important!verbal and abuse is not issue, u guys try to grow up eboooo!!!!!!!!

Mimi said...

Pole Mrembo..miake haijalishi wala nini mbona sisi wanawake tunalewa na watu wametupita miaka 10 au 20 na hakuna noma...na wala mtu asimtete huyo bro kuwa ati age yake ni ndo sa kama lina miaka 29 bado linafanya upuuzi atakuwa lini maana...ni baadhi 2 ya mijianaume yenye moyo wa ajabu ambao wanafanya makusudi jst for their hapiness an d satisfaction wanawaumiza wenzao...1st if u feel it within u msaidie kama u don feel usimsaidie..nenda kaote charity those people needs u more not dat bastrd..pili again folow ur heart...unasemaje?...do u ril think he loves u coz i kno for sure u kno the truth u just need a lil push ndo maana umetuuliza sie wadu wa dinalicious...i kno wat u feel its hard bt plz don waste ur tym...mpe kibuti kama vipi..lione jiaume la ajabu hilo..maana nasikia uchungu..uchungu mkali sana..ur a gud lady u ll get a gentleman u deserve..jst pray...
Mimilicous

Dada Kemmy said...

WATUBWATA mpaka huku unafika??gues who?am from BC!